Acha ujinga, kufananisha MBUZIII na BINADAMU,,😂😂 me nachekaga tu. KONTAWA my brother tutakutana siku1 studio 🎙️
@abubakarsuleman19836 ай бұрын
Emu usizingue kontawa huwezi kumsimamisha na watoto wadogo , tena ukome usituvunjie heshima.
@samuelmwatsuma44626 ай бұрын
Young Lunya ako vizuri,. hip hop commercial ya kisasa hawa wengine wanapiga ile ingine ya kina lord-eye
@dimpohzbekah-co5vh6 ай бұрын
Ama mnataka yesu arudi anikute bado sijaoa nakubali hio verse❤
@KamselelekoAlly5 ай бұрын
toa ngoma mwanangu 💪
@SaidimohamediMapemba-bw1ld5 ай бұрын
Kontawa ndo mkali kwani akuna msanii namkubali kama kontawa apa Tanzania kontawa namkubali sana ngoma zake mungu azidi kumpa uwezo zaidi Kwa majina naitwa saidi mapemba
@momadehenriquesjuma53106 ай бұрын
Kwa Mbali kama namsikia my brother Chi chi chiriririii😅🔥 One love from Mozambique my brother kontawa ❤ Like kama na wewe umemsikia 😅
@saidilome-ue2df6 ай бұрын
Toka nimeidownload Binaadam halijatoka on repeat.classic beat great lyrics.congrats
@KamselelekoAlly5 ай бұрын
tunakubari ngoma zako sana
@VIZBOYDOGOFIRE5606 ай бұрын
Namkubali❤ sana kontawa
@KamselelekoAlly5 ай бұрын
oy kontawa next toa nyingine
@Jini-y3d6 ай бұрын
Jeshiiiiiiiii
@ChancelaThomas6 ай бұрын
Kwan mnacho kiongea mnakielewa? lunya namba nyingine contawa bado sana kumlinganisha na lunya, ndio anajua ila bado awez kubato na young lunya.
@Mashaka-jk1dj6 ай бұрын
Kontawa bro Una weza🔥🔥🔥
@Hemedimkemi6 ай бұрын
Unasemaje binadamu haijawahi kusikilizwa wakati binadam kazi ya J nature unaacha wapi?
@TitusMtawa6 ай бұрын
Mbuziiiiii
@ChenchiKing6 ай бұрын
Mr Dunga Mawe🎉🎉❤🎉
@AbuduHamisi6 ай бұрын
Namkubali sana Kontawa❤
@KamselelekoAlly5 ай бұрын
kontawa ni mwamba
@DullahMayaula.6 ай бұрын
Firee
@WilliamNesty-eg6is6 ай бұрын
Bloo nakuku bali sana😮😮😮😮
@DanDanger-j8m3 ай бұрын
Acheni kumlinganisha kontawa na vitu vya ajabu
@RamzahOfficial6 ай бұрын
@harmonize ni mwamba na bado hamjakubali....MTAKUBALI...
@BarakaHarrison-l4t6 ай бұрын
Hili dude lipo vzur kwa ajili ya kondeboy
@AdeusmiguelusseneMiguelussene6 ай бұрын
Kontawa we noma tumekukubali msumbiji pia
@kassboy_tym5 ай бұрын
Kaka tawa
@MahmoudKagambo6 ай бұрын
Chemiy🤣kumekucha
@JohnijoSheby6 ай бұрын
Tawa anavitu vingi ukimsiliza kwa umakin utamuoelewa