Paul Makonda Mungu akulinde sana, Tanzania. inahitaji viongozi wanaojiongeza, sio wanasubiria tu maelekezo.
@sarahhusseni8210Ай бұрын
❤❤na kupenda sana kikeke daaah hadi raha una gusa penyewe
@salminasalim5630Ай бұрын
Kwa kujibu kwa hekima nakuaminia sana Mh Makonda. May God bless your wealth health protection and everything you need In Shaa Allah. Jamani waandishi tufikirie MAOMBI YA KUWAOMBEA WALIO FUKIWA NA VIFUSI ACHENI HAYO MASWALI YASIYO NA VICHWA WALA MIGUU.
@kelvinrizikiel3023Ай бұрын
Ndgu yangu: ukiweka siasa na ushabiki pembeni unaweza ukajifunza mengi sana: unavyowapa watu nafasi ya kukuuliza maswali tena yenye tija jibu majibu yenye tija: kma alitaka kumwambia raisi pekee kuhusu wahujumu what was the point of making a public announcement about it
@rastheuniqueАй бұрын
Hamna kiongozi hapo! Comedian Sawa!
@williamdungumaro6668Ай бұрын
Ila zembwela nomaa😅😅😅
@bless.2559Ай бұрын
Bado tunafikiria vifusi vya kariakoo. Watu wanateseka na kufa. MUNGU TUSAIDIE. Tuokolee ndg zetu wa Kariakoo. Kikeke achana na hiyo,tutarudi kujadili. TUPO HAPA KARIAKOO JAMANI WATU WANALIA WATU HAWALALI WANAMLILIA MUNGU NA MSAADA WA WANADAMU WENZAO. 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Government Inapambana sana kuokoa.
@samwelngao3201Ай бұрын
Ameniiii
@melanialeonard4031Ай бұрын
@@samwelngao3201maisha lazima yaendelee jaman
@KisaMaxАй бұрын
Kufa kupo kwa kila mtu ww kama unais uhai wako unasimamiwa na serikar endelea kupiga kelele😂
@melanialeonard4031Ай бұрын
Lazima maisha yaendelee
@BenjaminJackson-m5iАй бұрын
Unamjibu kikeke au watanzania
@Yuvas12Ай бұрын
Nimefrahi sana kuona angalau wandishi wengi wanauliza maswali mazuri sana. Weledi kwenye Tsnia yetu ya Habari umekuwa sana.
@Babyvai-l2uАй бұрын
WANDISHI WENGINE KWA HUYO MAKONDA MASWALI YA UCHOCHEZI MTAJITIA AIBU WENYEWE HUYO MAKONDA KICHWA 🙏👍👏🇹🇿🇬🇷
@LinafweraMwanduyeKweka18 күн бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa wa Arusha, kwa majibu ya Hekima!! Hongera!!
@fatmaathumani7116Ай бұрын
Anakwepa maswali 😢 kama yalikua yabaki kua ya kwenu mbona uliyaleta public lakini tunataka kuwajua hao mawaziri
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Tunataka watu kama Makonda jamanì Mungu awasaidie sana katika kazi yenu
@rastheuniqueАй бұрын
Hamna kiongozi hapo! Comedian Sawa
@willekessy465828 күн бұрын
Kwa kipi
@SuleAmber-lw2txАй бұрын
Salim Kikeke namkubali san kwa maswali yake Aseeh 😅
@ZaidAKissinzaАй бұрын
Makonda has answered the questions in a zigzag way. Makonda's body language shows who he is, what he is and how he is. Yangu macho na masikio
@AntonPiusiАй бұрын
Hata cjaona swali alilijibu kiusahihi nikama propaganda tu
@JujuGurugu04Ай бұрын
Always I am saying body language it is yani u won't be fooled hata swali LA tundulisu I saw something 😁
@BinSultan-t5gАй бұрын
@@JujuGurugu04well noted
@BinSultan-t5gАй бұрын
Taarifa ya nymban nikioew na jiran basi nyumbani Kuna udhaifu. Suala la kufukuza ni maamuzi mengne
@kigamboni82Ай бұрын
@@AntonPiusiame avoid kabisa kujibu wht a shame
@anorderick7162Ай бұрын
Nakukubali Kaka angu Makonda.....!❤🎉
@jimjam-xg7rvАй бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@JohnWailessАй бұрын
kikeke hapa bongo mambo huwa hayanyooshwi.hapa cyo kama United States.
@-kagerayetubw9jxАй бұрын
Kikeke ndio Muandizi peke anaye jiamini Tanzania achana na ao wakina miradi ayo
@NemesMasaweАй бұрын
Namkubalii sanaaa salim kikekeee
@jemedarikalimasi575425 күн бұрын
Jpm mdogo makonda hongera
@VictoriaFabiani-w2nАй бұрын
NATAMANI MAKONDA UJE KUWA RAIS HATA KAMA SIPO DUNIANI NITAKUWA PEPONI UNAJUA UNACHOKIFANYA NA HATA UKIWEKWA KWA MADARAKA UNAJUA KWA NINI UPO HAPO.NAUPO HUSDA NA HASADI ZIKAE MBALI NA WEWE AMINA
@Maria-cx4kn28 күн бұрын
Not everybody is smart enough to understand Makonda. Wengi wanapapatua tu brain zao, ni ngumu kumwelewa kirahisi sababu yuko tofauti na wengine wengi
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Mbn umekimbia swali bigup kikeke
@DennisFandiАй бұрын
Tatizo wanamuuliza km yy Raisi au ana maamuzi yote
@ifonlyiknew619Ай бұрын
@@DennisFandiSasa Kitu Umefanya Wewe Aulizwe Mwingine Mfano Kuvamia Clouds ajibiwe na nani Ninachojua Hata kma Mtu amefanya Jambo Hawezi Kukubali Kuwa ni Yeye.
@DennisFandiАй бұрын
@@ifonlyiknew619 umesikia alichojibu? Shida mtu akiuliza swali anataka ajibiwe jibu lililopo kwenye kichwa chake, akipewa jibu tofauti anaona sio jibu.
@MaguguStoreАй бұрын
Kajibu utumbo
@bongobana666Ай бұрын
Ilibidi masoud kipanya awepo hapo na maulid kitenge kwenye kuuliza maswali😂🙌🏾🔥
@TEDY-MTEMY24Ай бұрын
Walikuwa wanatosha sana hao ila badala ya ivona angekaa Mr Baruan au Raymond Nyamwihula,,Ivinna alikua anaonekana mdogo uulizaji wake wa maswali alikua haja jaa kwenye mkutano husika
@DenisDeogratias-j2v24 күн бұрын
Masudi ni zero nimchekeshaji
@robertjunior9916Ай бұрын
Kikeke hapa sio USA bongo ni janja janja 😂
@margaretkato5178Ай бұрын
Makonda you are our Man! Hekima na akili nyingi unao! Praying for you for ever to prosper with tht good heart of yours! Big brainer
@Maria-cx4kn28 күн бұрын
Ili umwelewa makonda unahitaji kutumia akili kubwa sana ambayo wengi hawana. Makonda ni kiongozi tofauti sana na wengi tuliowazoea danganya toto ambao hawaaemi kilicho moyoni mwao sababu si kizuri. Makonda speaks his mind. I like him so much for that.
@neemayatosha1618Ай бұрын
Whatever done in dark will always come out in light................mda una utaratibu wa kuongea na kutoa majibu .
@ombeniulime2768Ай бұрын
Makonda Saafi sana. NAKUKUBALI kwa Utashi wako na namna unavyojibu. Maswali yanaulizwa kama hawajaenda shule. Makonda hao wadogo mno kwako
@sponsor7882Ай бұрын
kikeke ndie mtangazaji pekeyako
@kimrudiger4454Ай бұрын
Makonda ni genius aisee😂😂😂
@aisariomrema2529Ай бұрын
Makonda ni mdogo sana. Jipe mda wakujipima zaidi.
@deusisindwa616Ай бұрын
Makonda Makonda wewe nikiongoz bola,, siyo bola kionhoz Mungu akujalie afya njema❤❤❤
@GoodDeeds-JesusАй бұрын
"Bora" siyo Bola 😊
@rastheuniqueАй бұрын
Hamna kiongozi hapo! Comedian Sawa
@sangajaffar741928 күн бұрын
KIKEKE NOMA HIYO
@فاطمهفاطمه-ش2ز9جАй бұрын
😂😂😂 unadhani apa marekan😅😅😅utamponza makonda
@guitar_melodyz4958Ай бұрын
ILA STILL AMEWEZA SANA NI VIONGOZI WACHACHE SANA AFRICA HII WANAOWEZA KUITISHA MKUTANO KAM A HUU
@elijahkajiwe1206Ай бұрын
Makonda even if you're head of Arusha, you should understand the work of Journalist is to ask a question and you Answer the question, these Journalist should not give you that time of drafting your own question shame on you
@sethny112Ай бұрын
Dah Makonda ni genius sana
@ramadhandiwani3410Ай бұрын
Makonda umekaa kimya muda mrefu Hongera japo bado wana wasi wasi
@erickcharles683412 күн бұрын
Good
@yoabuonesmondanzi3460Ай бұрын
Hongera sana kaka Makonda
@ZainabuBakari-yb4vjАй бұрын
Konda ni kiboko sana,ni mtoto wa mjini huyo,kikeke kiboko
@musiccaentertainment100k8Ай бұрын
Tanzania hamuwez toka nje kupigania haki zenyu.. ni kukaa tu kuongea kwa mitandao.. mnadhani kuna siku hao viongozi wenu wataskia mambo ya mitandao
@Yomiyomi6897Ай бұрын
Hivi mnaweza kutoka hapo na mnajidai mmeuliza na kujibiwa!! Sioni hata kidogo. Ni kujifurahisha tu.
@philemonmagesa5548Ай бұрын
Yani yy hapo ndio anawaongoza hamna aliyeuliza maswali ya kuchallengi
@arondickxon2806Ай бұрын
Kabisa aisee naona anawazunguka TU ndio maana kikeke katumia bsara kajinyamanzia tu anajuwa kama analetewa siasa za majibu
@danielshauri6390Ай бұрын
MAJIBU MAZURI SANA KUTOKA KWA MAKONDA Makonda ni bonge la kiongozi
@BinSultan-t5gАй бұрын
Kweli mapenzi upofu
@RehemaMagoireАй бұрын
Yaani
@mzenjiАй бұрын
Kwa maana anahitaji kufanya diet au ?
@brianjohn3913Ай бұрын
Unashida
@rastheuniqueАй бұрын
Huyu sio kiongozi!! Comedian Sawa!
@felixmsale9244Ай бұрын
Amefanya unyama mwingi sana na serikali ya ccm hivyo hakuna mtu anaeweza kumwaambia chchte .Ila akumbuke tu maisha yana mwisho kwa binadamu wote.Huo ubabe una mwisho tu.
@lucysanga9675Ай бұрын
Huyu jamaa simpendi hata kidogo anapenda umaalfu Sana halafu mbinguni unaaunguA
@Tatumbegu-n9nАй бұрын
Kaka angu kikekkeee skupping
@IddyAmir-gq1jrАй бұрын
Makonda 💪💪💪
@saidchombo5952Ай бұрын
Makonda kichwa sanaaaaa
@godfreyjohn8460Ай бұрын
Big up kikeke
@MsafirGervasАй бұрын
Makonda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@migerajacob581Ай бұрын
Haja jibu chochote,,zaidi ya kuji mwambafai,,
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
Huwa namkubali sana mwamba
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Kikeke nae asa ndio nn unapiga spana za kichwa kama hicho,huyo makonda ninja anaimudu kazi yake,namkubali kama crown
@sangajaffar741928 күн бұрын
ZEMBWELA MAKONDA MBISHI
@RajabuMkonjeАй бұрын
Maswali mengine, majibu mengine, unauliza swali, unajibiwa kwa kuulizwa swali sijaona cha umuhimu hapo
@MaguguStoreАй бұрын
Makonda msanii sana
@emmanuelkyandochali990Ай бұрын
Makonda anajua kuwakimbia kwenye maswali
@richardgontako7296Ай бұрын
Bongo maswali yakupangwa na anajua nini nitaulizwa 😂
@FrancisngwaleАй бұрын
Kuna sikù nilisoma post ya kigogo alisema Makonda ni hatari wakubadilisha upepo Anajua kucheza na mitandao nmeamini
@VoiceofpeopleotzАй бұрын
Tatizo serikali inao mtindo wa kufichaficha sana wahalifu wanaofanya mambo ya ovyo ndiyo sababu mambo ya ovyo hayaishi.
@twendetuishi2316Ай бұрын
Ukiangalia vizuri na kusikiliza vizuri utajuwa watanzania namna walivo
@Shokolokobango9385Ай бұрын
Tanzania hakuna wanahabar ni watu flani wanafiki tuu
Muheshimiwa Makonda akiongea watu wanawahi kupiga makofi! Wanaelewa anachozungumza?
@nelsonmgaya1490Ай бұрын
Hongera sana mh. Makonda(R.C) Kwa kujibu maswali kwa weledi mkubwa sana!!
@rastheuniqueАй бұрын
Hamna majibu hapo! Vichekesho sawa!
@filledacosta4085Ай бұрын
kikeke kaona majibu hajaridhika nayo akaona akaona aachie tu mike
@bakariomari24omar21Ай бұрын
Makonda namkubali hatetereki kabisa na anajua kuzuia hasira zake
@nuramoboy23 күн бұрын
Hivi wewe … hii nidharau sana
@eunicembaga4976Ай бұрын
Makonda tunakukubali Ile mbaya piga KAZI Baba hunaga baya
@alitomorrow166Ай бұрын
IVI MAKONDA HAPO KASIMAMA KWA MUDA GANI?
@judithkirenga9977Ай бұрын
Muache Makonda wetu ,alipoenda likizo kama walivyosema sikuelewa nilikosa Raha mpaka aliporudi
@MiseyekiLongiduАй бұрын
Kwani mnatongozana au mnaulizana maswali mbona badala ya kujibu swali kama ilivyoulizwa mnafanya utani
@yusuphedson-i3jАй бұрын
Nimependa hii inatakiwa ata rais awe na hii ata kwamwaka
@agnesndala9960Ай бұрын
I love the way he answered
@magneticofficialtzАй бұрын
Makonda una akili sana 🤝🤝🤝
@studio..07Ай бұрын
Makonda mjanja sana amemkwepa kirahisi sana
@fambemwanga3060Ай бұрын
Makonda upo vizur sana katika utendaji
@Gloria-vh5bzАй бұрын
Mpk kikeke kaona ujinga tu hakuna majibu ya maana zaid ya kujimwambafy ,duh ila akili n8 nywele
@aairraahseif5648Ай бұрын
🎉🎉Waandishi
@amsiabbas3809Ай бұрын
😂😂😂😂Kikeke bana unataka kumponza Mako ujue
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Makonda kahepa maswali magumu ya waandishi mahiri
@DavidDanken-uf7kpАй бұрын
Kikeke mkuu kachanganyikiwa anatumia ubabe
@brysonsabun4657Ай бұрын
Bado ni mawaziri? Daah hilo swali lol 😅😅😅
@KulwaLudovickАй бұрын
Hayo sio mahojiono izo comedy tu
@waydaeldaudi4388Ай бұрын
Mheshimiwa @Mkuu wa mkoa Vp kuhusu walimu wa Arusha na Karatu kwa ujumla ambao wanaendelea kunyimwa haki zao za kujumuika mahala pa kazi??? Kujiunga CHAKUHAWATA.
@CHARLESKAGOMBORAАй бұрын
Hata swali moja hakujibu. Kama ilikuwa ni siri kwanini aliongea public kwanini isibaki kuwa public
@ibrahimkibira9943Ай бұрын
Ccm hakuna kitu hao wanaompiga makofi amjielewi…
@husseinkitingi8186Ай бұрын
Uyu jamaa ni mwamba sana ktk kujibu maswali
@jamesmfinanga1717Ай бұрын
Wataje
@BoniphaceKayandaАй бұрын
Watu wenyewe wanachekacheka tu ,, this is not a serious issue. Watanzania hawako makini vicheko na kofi yasiyo na maaana
@samgchannel4547Ай бұрын
Makonda nakukubali sana, Mungu akutunze sana tunakuombea.
@JanethJoseph-g3hАй бұрын
Upo vizuri Kaka makonda.
@roudhamahmoud763Ай бұрын
Mtangazaji wangu pendwa iona kamutu🎉🎉🎉🎉🎉
@TEDY-MTEMY24Ай бұрын
IVONA JAMANI
@Jedidiah_UnitАй бұрын
Makonda Jibu Maswali Bhna..😂😂😂
@MaldyMaldwexАй бұрын
Mnataka apigwe bastora au
@kinotasontravel2093Ай бұрын
Spaner imevunjika chuma kigumu
@Shokolokobango9385Ай бұрын
Mawaziri waliopigwa chini alikua nape january ummy taja wengine unaowafahamu
@mwamakaassely2260Ай бұрын
Makonda kapanic. Anakwepa maswali.
@ntambisamwel4436Ай бұрын
Unajibu maswali simple sana kitu ambacho hakijib swali kabisa
@mmwaupete6265Ай бұрын
Uwezo wa baadhi ya waandishi wa habari wetu, bado ni mdogo sana na inasikitisha.
@ramadhanichuma7925Ай бұрын
Porojo 2 hawezi kujibu maswali kwa hoja hata kidogo