INASIKITISHA: MZEE WA MIAKA 75 KAVUNJIWA NYUMBA TANO "MIMI MSTAAFU, WAMETOA VITU NJE"

  Рет қаралды 23,943

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Jamaniii mwenyez MUNGU hebu mjaalie huyu Mzee .mahakakama za Tanzania waangalieni watu Kwa macho 3.uwamuzi km huu mtihani sana unaweza kusababisha madhara na vifo visicyo tarajiwa.ewe mwenyez mungutunakuomba simama na Mzee apate haki zake za msingi
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Dah jamani tangu uo mwaka 1991 hao wamiliki walikua wapi jamani hii sio sawa 😢😢😢😢
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Жыл бұрын
Jamanii😢😢😢 serikali muangalueni hyu mzee .kujenga nyumba maisha haya si rahis 😢😢
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Dah !!! RIP JPM wetu 😭😭😭😭😭 Nani aseme hapana badala yako JPM leo!!!!!!?????.
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Жыл бұрын
Hukumu Kwa Allah kule hakuna hakimu wala serekali hakimu ni Mungu atakulipia Baba yangu pole
@Andres-qt6kp
@Andres-qt6kp Жыл бұрын
Bwana Kavikuta na mama Mwenyekiti wa mtaa wanajuana hii ni dhulma ya wazi Mungu amsaidie Mzee wa watu
@mkonojr53
@mkonojr53 Жыл бұрын
Viongozi wa serikali ni wakati wenu wakutetea wanyonge kama hawa ila mnapokaa kinywa mnawapa nguvu wanyonyaji waendelee kuwanyanyasa wazee kama hawa 😢😢😢 mzee usijali mungu yupo pamoja nawe mambo kam hayo atakulipia na utarudisha amani ya moyo wako
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Pole Sana Baba watu ni kama mashetani awanauluma atakidogo wakiona wao wanapiga muuli kwenyekaratasi wamefika siopoaiyo
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Alafu eti kuna wazri wa ardhi, miaka yote huyo mmiliki alikua wapi?
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 Жыл бұрын
Jamani mbona mnamfanyia hivyo mzee wa watu mtamuua na presha mnamuonea sana hata kama kakosea mngezungumza nae
@officiallymercymargaret3259
@officiallymercymargaret3259 Жыл бұрын
Jamani nashindwa kuielewa manispaa ya Tanzania kazi yake nini, hata huku Kimela bunju kuna mtu anabomoa nyumba za watu anasema maeneo ni yake watu tumenunu viwanja toka 2013 mbaka leo mtu from nowhere anakuja anasema maeneo yake 😢😢😢😢 inachosha sana unaponunua hata mwenyekiti wa Mtaa yupo anatia saini kwenye makaratasi ya mauzo???? JASHO LA MTU HALIENDI BURE
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
KINONDONI hiyo kuna wahuni wengi
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
HUYU mama anahusika
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Mwendesha Sumbawanga uchawi upo
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
HUYU mama anahusika
@asiaabdul8245
@asiaabdul8245 Жыл бұрын
Hao wenye viti ndo vimeo
@SupportPigabet
@SupportPigabet Жыл бұрын
Pole sana mzee!!!
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Jamani,mambo haya yapo saaaaana,viongozi wa mtaa ni wahusika wa migogoro ya ardhi baadhi yao.Wizara na Waziri wanayokazi kubwa.
@NDEWARA
@NDEWARA Жыл бұрын
Ubabaishaji. Inaonekana huyu Mzee ameingizwa mkenge akanunua sehemu yenye hati😢
@devothakassimu8289
@devothakassimu8289 Жыл бұрын
Lakini sheria ingefuata mkondo, sio wamvunjie nyumba
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 Жыл бұрын
Duh Pole sana Baba angu najua kuna namna hapo ila usijari Mungu mwema atafanya wepesi kwako baba angu 😢
@robertlucas2335
@robertlucas2335 Жыл бұрын
Tapeli huyo anaongea na hela haki ya mtu haipotei bure kipindi mzee amenunuwa eneo yeye alikuwa na umri gani ukute hata alikuwa shule anasoma
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Ndo hapo ,Yani Mzee ANAANZA KAZI Mimi baba yangu HAJAZALIWA na saivi baba yangu ni mtu mzimaaa Mzee kijana mmmm ,watu wanadhuruma NCHI hii acha tu ,ndo maana natamani AJE TU MKOLONI ARUTAWALE UPYAAAAA
@amanimchome4191
@amanimchome4191 Жыл бұрын
Waa Jes hi wakiwa kazini wanakujwa wababe sana ila ikiwa hivi wamestaafu wanakiona cha moto kuna uwezekano alichukua kibabe kwa ujeshi wake
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Жыл бұрын
TUNAOMBA mamaSamia uingilie kati,na waliovunja wamlipe mzee,walikuwa wapi muda wote?huu sionutu kabisa serikali iingilie kati,Mungu atakulinda,na kwann wasubiri yupo hospital hapana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Hii laana ambayo inazidi.kulitafuna Taifa..mzee.Miakq 75 kusamehe unashindwa.nini
@ritaabduel4368
@ritaabduel4368 Жыл бұрын
Pengine angeomba wakibaliane nje ya Mahakama apate Hati original kisha ajaribu kuomba mkopo Bank ili kumlipa mdai wake kibinadamu inawezekana kama wote wakioneana Huruma Mana sasa uvunje au ubaki katika eneo la mtu Furaha yake ni nini 😢
@mauwashadrack8624
@mauwashadrack8624 Жыл бұрын
Kwa nini mnawatesa wazee😭😭😭😭😭
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 8 ай бұрын
Jamani Mungu atakupa wepesi
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nchi ya kitu kidogo hii Wizara husika mtizame hili suala nani mmiliki wa baada maeneo hayo kupimwa ?
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Umeona eeee nchi INANUKA dhuruma na rushwaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Inahuzunish sana pole sana babu km nihak yako haitaend bure
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 Жыл бұрын
Wanasheria was jeshi mteteeni mwenzenu hata nyinyi mtazeeka na mtastaafu,mkiacha hivi wastaafu watasumbuliwa hiv na wenye pesa mpaka lini,
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana mzee wetu Mungu atakulipia
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
1991 MPAKA 2008 ni MIAKA 17 NDIPO alipoenda kunahutajika. SHERIA inasema ukikaa MAHALA MIAKA 12 bila kuulizwa na mtu NI pako sasa huyo kakaa miaka 17. NA KININDONI KUNA KUNDI LA WAHUNI NDIYO KAZI YAO HIYO. NACSERIKALI KWA MAANA YA MAHAKAMA WALIENDEKEZA HILO KUNDI KUWAFANYIA WATU UHUNI WANASHIRIKIANA NA WANASHERIA NA HIZO MAHAKAMA ZA ARDHI BILA HILI KUNDI KULIMALIZA KINONDONI KESI HAZITAISHA WENGI WAO NI WAASTAAFU WA ARDHI NA WENGINE WALIOFUKUZWA KAZI ARDHI NA RAIS MWINYI
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
Uyu mwenyewekiti na wenzie washashikishwa ela hawa ata sura inamsuta Kwa uongo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Wazee kama awa mala nyingi wanakuwaga ccm so mim niko upande wa kushoto kwa ili
@TatuKatabanya-re5qq
@TatuKatabanya-re5qq Жыл бұрын
Nyie mungu anawaona
@BONIFACEEDWARD
@BONIFACEEDWARD Жыл бұрын
Yan mi bola nihame tanganyika niende Zanzibar ni shida Leo utasikia hil kesho Tena hil Yan unyanyasaji tanganyika umezid Kila kukicha
@anraneamisse9243
@anraneamisse9243 Жыл бұрын
Huyu mama anaongea anatetemeka inaoneka uongooo
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Жыл бұрын
Yani hii nchi sqsa hivi wamiliki wa ardhi wameibuka ni balaa. Huku mabwepande ilikuja Ddc inasema eneo lake. Haya tumekubaliana namkuu wa mkoa na ddc waendelee kupima tulipe mpaka sasa hawajarudi sijui kuna agenda gani.
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 Жыл бұрын
Daima tutakukumbuka anco magu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Ngoja wavunje tu ,HAKIKA MACHOZI YA WATZ NA LAWAMA ZA HAKI ZITAWALILIA KWA MUNGU NA WATASUFFUR NA VIZAZI VYAO VYOTE MUNGU ANAWAONAAAAAAAA
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Жыл бұрын
Mtu mwenye miaka 40 alizaliwa mwaka 1983. Hivyo mwaka 91 wakati mzee anamiliki ardhi hiyo. Jamaa alikuwa na miaka nane. Hivyo alinunua akiwa na mingapi,,, kwa nguvu ipi?? Au Basi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Watton wake wKo wapi wayside huyu baba kuweka zuio
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Mzee hapa Nenda SUMBAWANGA AU HUKO CONGO CHUKU@ SHERIA @TUU MKONONI HAKUNA HAKI UTAPATA HAPA😢😢😢
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Jamani serijali imsauduw huyo baba hata km hana haki
@Adammbogo
@Adammbogo Жыл бұрын
Sikuzote mzeeanajenga mbaka leo alikuwa wapi?
@Collethapolycarpmmahukutu
@Collethapolycarpmmahukutu Жыл бұрын
Mnaongea msicho kijua serikali y mtaa wanausika wezi wakubwa
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Ndo mana Kuna mtendaji alichinjwa kama ngamia ndani ya ofisi Tena asubuh sa nne . Kisa huu upuuz tuu
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 Жыл бұрын
Mnamuonea jaman huyo mzee nyiye serikali ya mtaa kwann msingempa hata muda
@allenmdota4820
@allenmdota4820 Жыл бұрын
Maisha yangu nawachukia sana wenyekiti niwaitaa punguzen njaaa nyinyi ndiyo sosi ya migogoro
@aishaemanuel1262
@aishaemanuel1262 Жыл бұрын
Duh Mungu atokuacha
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Mtihani sn wallah ila Mungu halali wal asinzii mzee wawatu anasikitika wallah nimeumia sn uyu kama babu yangu😢
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Жыл бұрын
Tunashahuriwa Kila siku kabala ya kujenga au kununuwa sehemu nenda Kwa Mtendaji wa Kijiji akupe baruwa upeleke jini waje wapime Kwa sababu unaweza kununuwa kiwanja sehemu ya barabara Kwa kutaka urahisi
@MabulaPatrick-bv5io
@MabulaPatrick-bv5io Жыл бұрын
Siyo mtendaji wa kijij kwa afsa ardhi pekee hutopata changamoto asilan
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
​@@MabulaPatrick-bv5iohuyo afisa ardhi hupatikana wapi?
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Tatizo ni ugumu wa maisha nawenyew wanatupiga mno
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Hii nchi tunambiwa ukiwa mwema utakula memo penginne mzee ilikua dikiteta? Nakama ulinunua hukutumia cheo bas mungu akushindie
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mwaka alionunua huyu Mzee tayari kulikuwa kumeshapimwa cha msingi ni kucheki mmiliki wa kwanza baada ya hayo maeneo kupimwa alikuwa nani mmiliki?
@lameckmbele5901
@lameckmbele5901 Жыл бұрын
ulikuwa mwanajeshi kula chuma hicho cha ccm mkiwa madarakani mnajisahau sn mnafikiri mmefika hapa Duniani mngekuwa mnasikiliza vilio vya wananchi yote hayo yasinge kukuta mzee karibu Tanzania ukitokea peponi
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Жыл бұрын
Hii mishangingi ndio imejaa serikalini kubinya haki za wananchi kwa rushwa tuu. Lione lilivyojichubua uso na kujiita serikali!! Aibu tupu!!
@contempo_builders
@contempo_builders Жыл бұрын
Tujitahidi sana wakati wa kununua viwanja tufuate taratibu stahiki. Tusinunue viwanja kienyeji. So sad kwakweli.
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Hivi miaka hiyo kulikuwa na haki gani ya viwanja ?
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
Sasa wakati anajenga huyo mwenye kiwanja alikuwa wapi?
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 Жыл бұрын
Mze akiwa na ngu amelinda wananchi na nchi yenyewe,leokazeeka Mali zake zinazulumiwa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Serikali iweke mpango mzuri hao watu wa ardhi ni majambazi wanafoji mambo baadae wananchi wanapata tabu sababu Yao na pili serikali itoe fidia dunia nzima wanafanya hivyo
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 Жыл бұрын
Jamani serikali iingilie kati huyu mzee apate haki yake
@musa-v3f
@musa-v3f Жыл бұрын
serikali gani wewe?? hii ya waovu na wala rushwa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Hiv Kama huyo mzee aliyefanyiwa hivyo ni baba yàko halafu wanapobomoa upo na una bunduki ndani bado humjauana na wabomoaji na walinzi wa wabomoaji! Nchi hii IPO cku kitatokea kibaya Sana Kama viongozi hawatakomesha hujuma hizi! Kwa nn haya yanatokea baada ya kufa Magufuli tu? Amkeni wananchi nchi imeporwa
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Kbsa kuna mambo yanaumiza sana .Utajikuta umechukua Sheria mkononi .
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Matajiri na viongozi ni wachache wata iona pepo ya mungu.
@shukurumkane3602
@shukurumkane3602 Жыл бұрын
Pole kaka yangu
@AbdulWahab-rm9ei
@AbdulWahab-rm9ei Жыл бұрын
Mzee pole sana
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j Жыл бұрын
Tatizo hapo Katiba yetu Mahakama zina Amua kwa Maelekezo hapo ume umiatu uta tokatu
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
SHERIA inasema UKAKAA sehemu. MIAKA 12 bila kuulizwa NI pako
@deucy-nv8wb
@deucy-nv8wb Жыл бұрын
hao watu wazurumati mzee amekaa kwa aman wanaleta zenge mbona enzi za magufuli awakuwepo
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Жыл бұрын
Dah mama anaupiga mwingi sana kazi iendelee 😭😭😭R.I.P MAGUFULI
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Hata akifufuka kavunja nyumba nyingi sana kimara mbezi
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
hii ngumu sanaaa yaani munoooo
@Adammbogo
@Adammbogo Жыл бұрын
Mzee mwambie akurudishie helayako elfu arobaini
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Mie nashangaa wachawi kwa nini wasingekuwa wanaloga na kuua hawa wanaopora HAKI za WATU HAPA DUNIANI ???
@elimuforum9135
@elimuforum9135 Жыл бұрын
Watu wanapenda kuvunja sheria, unajenga vipi kwenye eneo la mtu tena limepimwa alafu unatafuta huruma
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
Unauhakika na unachokiongea
@farajasallah2338
@farajasallah2338 Жыл бұрын
Pole sana jamani
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 Жыл бұрын
Yaani ardhi unaponunua kuna original documents kutoka kwa mnunuzi...sasa nani amenunua hiyo ardhi, kwa nani na pesa ngapi?
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
😭😭😭
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Kavikuta kwanini anangojea miaka yote hiyo mtu anajenga anaishi..kwanini asinge simamisha ujenzi mwanzoni??Serikali ya hovyo hiii imejaa dhiluma kila kona.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Kipindi cha magufuli haya mambo yalikuwa yameishaga yanatokea wp tena haya mm na ww cjui😊
@RodahKabehe-nu2uo
@RodahKabehe-nu2uo Жыл бұрын
Acheni uonezi jaman
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 Жыл бұрын
Hiyo ndio Tanzania Bara 😢
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Жыл бұрын
45000 ndio kanunua kiwanja sa iv apo mabilioni
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Eeeh... MUNGU wa mbinguni kama uishivyo ingilia katika hili na utende haki kama ulivyo wa haki
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Magufulii uko wapi baba watu wanaumizwa huku na serikali uliyomwachia.
@didamanyanya595
@didamanyanya595 Жыл бұрын
Uyu mama mnafiki anaonekana mtu
@henryndosi2002
@henryndosi2002 Жыл бұрын
Huyu mama. domo kama bakuli
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
KESI za ARDHI nyingi kinondoni ni uhuni mtupu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
DHULMA HAIDUMU NA INAANGAMIZA WENGI ,HUYO MTU ANAETUMIA PESA KUHONGA ILI ACHUKUE ARDHI YA WATU ATAPATA TABU SANA YEYE NA KIZAZI chke
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Vipi kesi kubwa kama hii iwe ya mitaani? Mpo kweli ?
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Duh
@jomba6514
@jomba6514 Жыл бұрын
Binadamu tukumbuke siku yako ya mwisho unawekwa kwenye ukubwa gani wa eneo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Hivi kweli SERIKALI NA JESHI LIPO???? UTU UPO WAPI? AU NIA YA KUUWA WATU KIMYAA KUMYAA.MTU AVUNJIWE NYUMBA HATA I INAUMAA,JE TANO??HADI ZINAVUNJWA USHAHIDI UKO WAPI? MBINA UONEVU MKUBWA HUU ILI KUMTIA UGONJWA AFEE😂
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Pole saaana Baba,kwa kuwa hawasemi ukweli.ili wakudhulumuu😢
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Da jmn yan mpaka aibu hivi tuko nchi gan hii😭😭Hiv serikal ipo kweli 2025 kura yangu itakwenda chadema hii nchi imekuwa ya manyanyaso sana
@maliamphili5589
@maliamphili5589 Жыл бұрын
Zambi lakin
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 Жыл бұрын
Wamesubiri aliye muuzia kafa ndo wanaanza kusumbua
@hassansaid3833
@hassansaid3833 Жыл бұрын
Mjeshi kafanya ubabe na pesa za mafao sasa imekula kwake maelezo yake yanarukaruka kama maharage ktk chungu
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Tanzania haina viongozi ni mavi ya popo tuu
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh Жыл бұрын
Kavikuta na kavichukua 😀😀😀😀
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
Ili nalo litapita
@allenenock2956
@allenenock2956 Жыл бұрын
Uonevu mtupu 😡😡😡😡
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Maskin uyumze anaskikitisha
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
Hayo ni malipo Ulipokuwa Askari ulinyanyasa watu ,sasa zamu yako kunyanyaswa unalalamija nini malipo ni hapa hapa duniani.
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Hii nchi itafikia mahala watu tutapitiahana tepe shingini kama sudan
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН