Afande apewe maua yake 🎉🎉🎉❤❤❤❤ila kusema ukweli ma bodaboda wanapitia mengi mwenyezi MUNGU awatangulie 😊😊
@hamismandary628714 күн бұрын
Hongera Kwa Afande Shayo Kwa utohaji Elimu nzuri na Wana Nchi kumuelewa
@SwadakatiKijangwa14 күн бұрын
Hawa ndio askari wanaotambua kuna utu na Kaz na anastahil kupewa maua yake Kila mtu ana haki ya kuishi Kwa aman ktk nchi yake na anapaswa kupewa elimu pale inapobidi sio wale wanaojiona miungu watu kisa gwanda la police mungu akulinde dada na akutangulie ktk utendaji wako wa Kaz inshallah
@RomanusBussa-g7q13 күн бұрын
Anae mjuwa pinto ebu tujuane hapa ❤🎉
@paulajohn790114 күн бұрын
Waaaoh….Hongera saaaana Afande
@vero5714 күн бұрын
Kazi nzuri sana police officer, mfano mzuri hapa mapolice wengine oneni huku!!!
@abdillahchikota430315 күн бұрын
Ila huyu afande kiukweli ni mzuri sana aisee
@brymotarihno681415 күн бұрын
Huyu afande anauelewa mkubwa sana tofauti na ile kichwa ngumu ya kigoma
@elesianakabuje583215 күн бұрын
Hongera afande
@daudimichael733814 күн бұрын
Afande Flora Shayo apewe maua yake jamani, ni mfano mzuri sana.🎉🎉🎉
@manlematz82113 күн бұрын
Watu wa mkoa wa pwani na morogoro Huwa ni wazembe sana na wanatapeliwa kifara sana yan hii nimeshashuhudia kama mara 5 kesi za hivi
@mecktridangonzela546115 күн бұрын
Hongera sana madam Yao
@coastermahenge891014 күн бұрын
Apandishwe cheo Samia onyesha uamirijeshi mkuu wako hapo , mfano wajeshilangu la police
@nass0113 күн бұрын
Tunahitaji kuwa na police km hawa tanzania nzima
@Chaz-c9w11 күн бұрын
Afande abarikiwe sana wote waige jamani
@ozzyjama14515 күн бұрын
Kuhusu mzingaaa vipi...???? Maaana wana piga mno🤣🤣🤣
@bwamzeemzee217315 күн бұрын
Safi sana kamanda piga kazi
@MfiriNasawe14 күн бұрын
Kama alikuwa anatumia simu walishindqa kumtrack?
@sir_ENOCKMACHA14 күн бұрын
Kijana wangu Jacobo Sonyo st joseph college morogoro 😀😀😀😀😀😀
@peterlangay646915 күн бұрын
Kama ameondoka na pikipiki ya huyo kaka na akaacha ya kwake kwanini asichukue hiyo?au sheria inasemaje?yaani aende na yangu kisha yake nipeleke polisi kusalimisha?ah hii ni akili ya wapi?me si kubali kabisa
@ambrocewilliam169914 күн бұрын
Tumia akili wewe unakaaaje na pikpk yake kama kaiba je ukikamatwa nayo mwizi ni wewe
@monicatv-c1p15 күн бұрын
❤❤❤❤
@aishajuma781315 күн бұрын
Mungu akubariki afande
@Clex-f5s14 күн бұрын
Asa Kwanini hyo pikipiki aliyoicha asifanyie kazi aingize pesa kuliko kwenda kuozea polisi 😢
@EGM-TZ15 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Afande kuituliza jamii pengine sio kutumia nguvu ni akili tu❤🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@Babahancytv15 күн бұрын
Big up kamanda hii ndio maana sahihi ya police jamii