Tuache dhihaka kifo kipo kama wakati umefika tumwombee kwa mungu apumzike kwa amani
@FatmaHalfan-w3l38 минут бұрын
Ndo walokole mshtuke mnapigwa pesa tu mwenzenu mchungaji ana kua tajiri mbona kashindwa kumponyesha msaidizi wake.mtegemeeni mungu tu sio mwanadamu kila amtegemeae mwanadamu ameangamia
@FrolenceRogath-fv6ku36 секунд бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@OCTAVIANSINZO2 сағат бұрын
RIP lakin Mwamposa kwann hukumuombea ili kumuondoa hyo kansa?
@MtanganyikaTanganyika2 сағат бұрын
Kaka hilo nalo neno au hakuna na imani
@exprodigitaltechtv5571Сағат бұрын
Hana huo uwezo zaid ya kuwapiga maskin hela zao
@wemaMichael-fr4thСағат бұрын
mbona hawakutaja ugomjwa hiyo kansa wewe umeipata wapi
@Tasaina46 минут бұрын
Kwani yes hakufa na alikuwa mungu and kama wewe mwisilamu u know
@Tasaina45 минут бұрын
@@exprodigitaltechtv5571my dia..mungu akusameehe but mambo mengine kuepuka rahana jifunze kunyamaza
@annachristersimonСағат бұрын
Hakupata Neema yakupokea uponyaji kutoka kwa mtume. Kila jambo namajira yake. Mtume uishiiii🎉
@wilfredyhumphrey91847 минут бұрын
MUNGU nifundishe kunyamaza tusipende sana kuwa wepesi wakufungua vinywa kupigana na wapakwa mafuta wa BWANA nawashauri tu