INAUMA SANA😭 RAFIKIAKE KATEMBEA NA MUMEWE WA NDOA | MOROGORO

  Рет қаралды 8,232

ZOMPAH 🎬

ZOMPAH 🎬

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@VeronicaMtita
@VeronicaMtita Күн бұрын
Jamani jamani jamani Morogoro hakunaga marafiki wakike Yani wanawake wamorogoro wanatamaa vibaya sana Yani ukitaka kuishi huu mji vizuri kuwa kama mwanaume hii ndio Moro yetu jamani uwiiiiiiii
@Enilyangolile
@Enilyangolile Күн бұрын
Ilah mapenzi jmn.. embu niwe bize na mume wangu na wanangu.. kuanza kumzalilisha mme wangu mitandaoni siwezi.. nipo ndani anaenda analud.. lkn naanza kumfatilia ya nn!! Akati hela mezani Kila siku inakuwepo love you hubby ❤❤❤❤❤
@textfever
@textfever Күн бұрын
good luck 😉
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Күн бұрын
​@@textfever😂😂😂😂😂😂😂😂.
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Күн бұрын
Hahahahahaaaaaaaaaaaaa. Tafuta na zako za kwako kuwa busy na mume sababu anaacha kodi ya meza haitoshi.😂😂😂😂😂
@textfever
@textfever Күн бұрын
@ 🤣🤣🤣
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Күн бұрын
Asante studio 🎙️🎙️
@janetchinga695
@janetchinga695 Күн бұрын
Unataka kuondoka ili umwachie mume rafiki yako au vipi usiondoke kahapohapo hapa telezi wala hapa vuji, pole sana 😊
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon Күн бұрын
Mume wangu uko ulipo kuwa na Amani muda wa kukufatilia sina kabisaa ilimradi unatimiza majukum yako ila kuwa makini magonjwa mengi
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Күн бұрын
Asante studio 🎙️🎙️
@karimhamdani793
@karimhamdani793 Күн бұрын
Asante mke wng niko makini sana na kwa usalama zaid hua natumia condom 😂😂
@RamlatyMkwata
@RamlatyMkwata Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon Күн бұрын
@@karimhamdani793 😂😂🙌
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka Күн бұрын
Sawa nimekuerewa mke wangu😅😅😅😅
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Күн бұрын
Naona morogoro kumeanza kuchangamka
@amosemmanuel6642
@amosemmanuel6642 Күн бұрын
Una challenge mme wa ndoa una akili kweli 😂😂😂
@AbnourAbdullah
@AbnourAbdullah Күн бұрын
😂😂 jamaniii nataka niende Moro Mie natafuta mwenyeji naona kumechangamka Hadi rahaa
@textfever
@textfever Күн бұрын
many people 😢😢😢
@LovenessWaibe
@LovenessWaibe 14 сағат бұрын
😂😂😂😂mwana kulifind mwana kuligate dada kayatafut kayapata😂😂😂 wanaume ni mbwaaa
@NeemaNeemajoshua
@NeemaNeemajoshua Күн бұрын
mama mkubwa bado unapambania mapenzi unatuaibisha wanawake
@Naah-o2c
@Naah-o2c Күн бұрын
Duh tunamtakia safar njema 😊
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 Күн бұрын
...😂😂😂😂
@mc_benja_classic6838
@mc_benja_classic6838 Күн бұрын
Zompaah unatishaaa upoii
@GetrudarCelestineAmede
@GetrudarCelestineAmede 12 сағат бұрын
Game kama Game😮😢
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Күн бұрын
Dudu dudu hiyoo dudu dudu ya mume duduu jaman dudu😅😅😅😅😅😅😅
@ReginaMnazi
@ReginaMnazi Күн бұрын
Jamani pole
@erinestangowi7785
@erinestangowi7785 Күн бұрын
Unajiona uvumilivu una unafanyia nini challeng kelele nyingi kwani kaondoka nayo sindo ubaki nae mdumishe penzi lenu
@JoyceFred-k6g
@JoyceFred-k6g Күн бұрын
Nailo swali yyt lazima ajikanyage tu Pole sana dada
@TMaiko-t3y
@TMaiko-t3y Күн бұрын
Lakini mwanzo alisema anashare Kila kitu na rafikiake 😂 😂 nacheka utadhan mazuri😂😂
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Күн бұрын
Zompah ebu fanya urudi dar tyu tumewachak watu wa Moro
@OmanOman-f7r2p
@OmanOman-f7r2p Күн бұрын
Kweli kaz
@RenaChami-co9uf
@RenaChami-co9uf 15 сағат бұрын
Mbna kapaki haraka hivyo au alishajiandaa😢😢
@AbnourAbdullah
@AbnourAbdullah Күн бұрын
Wanajaribu kufa kuzimia hawawez Mie na challenge akuu😂Ivo najua tuko km Mia ndo kabisaaa😂
@SheilaOmar2007
@SheilaOmar2007 Күн бұрын
Yaaan wadada ujinga tu na kutaka kuonekana kumbe umemuita zompah harafu kibesi cha nini😏😏😏😏
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 Күн бұрын
Huyo mtotooo ameutaka 😅😂😂
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b Күн бұрын
Kutokea south African nakubali zomp upoi bandika bandua
@ibrahimmwamyinga5968
@ibrahimmwamyinga5968 Күн бұрын
Kabisa yaaan bila kuchoka 🎉🎉
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 19 сағат бұрын
Daaah. Mimi nilikata usonga tokanipo bint Toka shule marafikizangu. Wanaume. Mpaka naolewa. Nimeza na sasani mtumiza naishi pekeyangu nikitoka nje sitori.na vijanawakiume mudanawanawake cna.
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y Күн бұрын
😂😂😂😂😂umeyataka
@allyjumanne4505
@allyjumanne4505 18 сағат бұрын
Ushaanza kupoteza uhalisia kwakua unatengeneza content zako
@matlidamushi1457
@matlidamushi1457 6 сағат бұрын
We da hawa polee
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w Күн бұрын
Yanini kujipa presha. Ukimchunguza sana Bata hautamla. Pengine na uyu dada Nae anamchepuko nabegi lake lafundi ujenz kalitoa kweny Camera 📸😂
@BeaSHAYANAHunterson
@BeaSHAYANAHunterson 16 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz Күн бұрын
Ntakuonga figo nikupe na moyo hahah😂😂😂😂😂
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 Күн бұрын
Marafiki wengi ni kina Yuda
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo Күн бұрын
Yalinikuta hayo Jilani yangu kamchukua Mumewangu shoga alijua kapata kumbe kapatikana Sasaiv Wamekua Mazipe zipe fimbo ya Mungu imewatandika
@DevothaJoseph-h5e
@DevothaJoseph-h5e 13 сағат бұрын
😂😂😂😂zompa anatamanii hata kuliaa mwangalie machoni 😂😂😂
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 Күн бұрын
Ulimuitia nn au ulitaka uonekane kwenye camera ovyo oo
@FahemaFahema-h9y
@FahemaFahema-h9y Күн бұрын
Hata Mimi jirani yangu alizini na mume wangu nisijafanya cocote ila nili chukuru tuwu mungu Kwa Yale yalotokeya nilifika namuaca azaye nayeye Mimi simutaki tena dawa ya Hawa viwumbe nikuwaaca tuwu acananaye tafuta mayicha yako hivi Mimi Niko zangu sawudia mwaka wapili hivi Sina habari naye kabisa mungu atanilipiya in challah
@emmanuelnyella9882
@emmanuelnyella9882 Күн бұрын
Soma Tena txt yako
@JaccyRichard
@JaccyRichard Күн бұрын
​@@emmanuelnyella9882😂😂😂😂😂 sio vizuri
@JaccyRichard
@JaccyRichard Күн бұрын
Pole ila kiswahili chako kimeniacha hoi😅😅😅😅😅
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 17 сағат бұрын
Siyo mtanzania huyu nadhan 😅😅😅😅
@jeritagakye3200
@jeritagakye3200 Күн бұрын
😂😂😂😂😂kiranga komo
@SamKissay
@SamKissay Күн бұрын
Mtt kautaka iv mwanaume unamfanyia challenge unaakili ww😂😂😂
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi Күн бұрын
Uyu dada mbona kama nimemuoka kwenye mvie moja tamu sana
@AraphaCheki
@AraphaCheki Күн бұрын
Ata mm nahisi kama nimemwone sehemu ivi
@MimaCharamila
@MimaCharamila Күн бұрын
Kumbe alikuwa kafungasha kabisa😂😂
@user-mA17o
@user-mA17o Күн бұрын
Hiii sio kweli mtu analia huku anacheka ila mtunzi wa hizi stori yupo poa sana
@ShakilaOma
@ShakilaOma Күн бұрын
😊mwanye kulitaka hahahah 😅😅
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 Күн бұрын
Mambo nmarafiki achaneni nayo.Hakuna marafiki zaidi ya wanafiki to.
@musichealsTz
@musichealsTz Күн бұрын
Maswala ya u bff kwenye mahusiano, ndo faidi hiyoooo
@user-mA17o
@user-mA17o Күн бұрын
Hivi niuleze jamani hizi show ni kweli au editing??
@NoorSaid-x2q
@NoorSaid-x2q Күн бұрын
Yaani ww ndo uliyemtafuta alafu unamfukuza wee vip acha usenge
@HusnaOmar-m9g
@HusnaOmar-m9g Күн бұрын
Zompah nakuja morogoro naomba uwe mwenyeji wangu😂
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka Күн бұрын
Sasa kama ulihisi hicho kitu, kwanini umufanyie challenge
@JumaAlly-m8u
@JumaAlly-m8u Күн бұрын
Kamdomo🤫🤫🤫🤫
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 Күн бұрын
Hayo yote ya nini sasa kama ulimuita mwenyewe
@SheilaOmar2007
@SheilaOmar2007 Күн бұрын
Kumbe movi wanataka kuingia mjini 😂😂😂😂😂
@mc_benja_classic6838
@mc_benja_classic6838 Күн бұрын
Nawewe kaigize kama movie
@Samwel_tz
@Samwel_tz Күн бұрын
wapuuz ninyi😂😂
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 17 сағат бұрын
Nataman kuingia kweny penzi zito na jitu la mtu lakin kila nikifikiria hay mapenzi nasema pepo chafu shidwa kabisa usinisukume
@FaridaA-s7p
@FaridaA-s7p Күн бұрын
Du ni atari
@PpPp-nv7gf
@PpPp-nv7gf 18 сағат бұрын
Zompa uwe unalipwa mapema kabla ya tukio 😅
@esterryoba5753
@esterryoba5753 Күн бұрын
Ni zaidi ya upumbavu
@Mego-s4s
@Mego-s4s Күн бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata
@SalmaMchekusalma
@SalmaMchekusalma 10 сағат бұрын
Ulimpa vyot mume ndoamuache shga Wann mm kumanina
@RahemaJumany
@RahemaJumany Күн бұрын
😂😂😂😂sikia zompa ujue nn kula chako kabla ya kazi kama hivi akizingua toka ondoka unapotea unamuacha hapo fala kweli huyo unamchallange vp mume wako
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m Күн бұрын
Machozi hakuna
@رحيمهعيدرمضان
@رحيمهعيدرمضان Күн бұрын
Watu.waumu.kamamachizi😂😂😂😂😂siwaerewi
@SelinaChares
@SelinaChares Күн бұрын
Ulichokitafuta ndo umekipata
@LucyPius-gk1di
@LucyPius-gk1di Күн бұрын
Et wanamutaka wenye pesa kuliko yeye
@EliassSimon-s4x
@EliassSimon-s4x Күн бұрын
Mh
@HusnaOmar-m9g
@HusnaOmar-m9g Күн бұрын
Mbona zompah kama anatoa machozi!?
@omanoman2044
@omanoman2044 Күн бұрын
Hawa madem wajinga san kwan sii wao walikuita siku moja mtapoteza maisha na huu ujinga wenu
WAMESHEA MUME MWAKA MMOJA BILA KUJUA | MOROGORO
18:46
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 32 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Unajua wewe ni mzuri naomba unitongoze Basi Pranks 😂
3:06
Mirah _Mc
Рет қаралды 2,2 М.
Cheers To The Kovanes |Traveling to Qonce | Traditional Wedding
32:22
Keep Moving Dadewethu
Рет қаралды 39 М.
MISSION IMPOSSIBLE [43] SEASON 2 FINAL
31:24
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 81 М.
KUMBE HAPENDWI YEYE NI MCHEPUKO NA ALIKUA HAJUI MASIKINI
7:31
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 8 М.
FUMANIZI | MOROGORO | SHEMEJI KANASWA KWENYE MTEGO
29:27
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 20 М.