INAUMIZA ASIMULIA ALIVYONYANG'ANYWA JIWE LA TANZANITE LENYE THAMANI YA BILIONI MOJA MANYARA.

  Рет қаралды 5,311

GADI TV

GADI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@calvin6445
@calvin6445 14 сағат бұрын
Kaka wewe ni mtumishi wa Mungu mzuri Sanaa...Ulituubiria neno zuri Sanaa kwenye Costa ya Moshi Arusha majuzi kati. Mungu akubariki Sanaa. Katika ukuwaji wa kiroho tunasamehe na kumuachia Mungu kuna maisha baada ya haya Kaka tuzidi kusali na kuishi katika njia zinazompendeza Mungu
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 5 сағат бұрын
Pole sana Mungu atakupa riziki nyingine zaidi ya hata hiyo.Na shida nchi zetu zimejaa rushwa😭😭😭🙏
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 6 сағат бұрын
Pole sana Kaka. Wewe tajiri kama unaangalia hi video njo mtafute huyu mtumishi wa Mungu kabla Mungu hajakushusha.mpe chochote ili moyo wake ufurahi.
@mosseskalimbu4629
@mosseskalimbu4629 3 сағат бұрын
Pole sana jiwe haliachiwagi ungepanda nalo mpaka juu ufanye biashara na Tajiri pia ungepiga kelele ilipokuja wizara kusili madin ili lionekane serikal ipate kodi nawe upate haki yako
@Piussimon-n4z
@Piussimon-n4z 9 сағат бұрын
Pole sana kaka, kwanza hongera Kwa kuwa umeokoka umeokoka , ondoa uchungu moyoni mwako muachie mungu atawashughulikia moja baada momoja
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 2 сағат бұрын
Pole sana ndg yangu, wengi tumedhurumiwa mengi. Lakini Yehova unayemwabudu hata kuacha ulale njaa. Wengi walio na wanao fanikiwa ni kwakudhurumu haki za wengine. Yesu akuimarishe rohoni
@petercostakisoka
@petercostakisoka 5 сағат бұрын
Pole sana kaka muachie mungu atalipa
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 7 сағат бұрын
Pole Sasa kaka,Mungu ni mkubwa sana anafanya njia pasipo na njia!!
@LinnahLaizer-jg8ok
@LinnahLaizer-jg8ok 2 сағат бұрын
Dahh asee3 Mungu aliingilia kati aseee siumeon sentensi ya mwisho shetani angejichukulia ushindi lkn Mungu alijua akampa upole kwanz
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 сағат бұрын
Pole sanaa
@sambotofuraha9971
@sambotofuraha9971 4 сағат бұрын
Pole saana!
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 8 сағат бұрын
NDUGU yangu kwenye madini yan mnakuwa wamoja pale mnapokuwa mnatafuta lkn liziki ikionekana aisee kukutoa uhai ni jambo la kawaida sana,yaan watu wa machimbo ni hatari sna😢😢😢 bora ata ukutaka kubshana nao ungepoteza uhai wako
@JonasKivuyo-o4o
@JonasKivuyo-o4o 4 сағат бұрын
Shida Yako unawenge sana ulipookota ulishindwa kuwa na utulifu .
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 2 сағат бұрын
kamuulize rambo pale kwa onee klichomkuta 2016 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@alexjackson5960
@alexjackson5960 7 сағат бұрын
Da ingenipata mimi hiyo sichezi saba kwenye kumi na nane yaani ni tiger by the tail njoo kesho kasafiri, nipe kidogo kwanza kazimia, tutaipima keshokutwa kafa, lete tukuwekee ni marehemu. HAPa Amebaki NILIPE NISEPE
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 3 сағат бұрын
Pole kaka
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 5 сағат бұрын
Kiukweli roho himeniuma sana hata Mimi hivi huyo tajiri angempa hata robo ya hela la hiyo jiwe kungekuwa Kuna shida gani
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 6 сағат бұрын
Hii inatufundisha muda mwingine kilichocako kukipambania kwa mabavu ili ukipate kumbe ungeamua kuwa serious chako ungepata
@josephngiisha6249
@josephngiisha6249 7 сағат бұрын
Kwa kweli huyu jamaa anastahili kulipwa haki yake bila kupepesa macho
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Сағат бұрын
KWANNI HUKULIVUNJA HATA MARA TATU
@saidm2718
@saidm2718 2 сағат бұрын
ndio 350k
@kwisa4899
@kwisa4899 7 сағат бұрын
One mistake one goal
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 2 сағат бұрын
ww auna akili timamu kabsa...mgodini chenga aichukuliwagi kama unaokota ngogwe mkuu....mgodin madini ni kuiba ndio formula yenyw....tajiri anaudumia mgod zaid ya miak minne na akati tamaa...we uje uchukue tu jiwe ueke mfukon ....😂😂😂😂
@ibrahimdaudi5823
@ibrahimdaudi5823 21 минут бұрын
haki yake anaipataje.pamoja kuwa hana akili timamu.ama wewe binafsi unaona hastaili kupata chochote
Mawakili wa Gachagua waibua maswali kuhusu jopo la majaji
10:09
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 25 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 26 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 107 М.
Which brands are exploiting East Turkestan?
12:20
GZT
Рет қаралды 81 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39