Asante peter macho! Ata frenk yule wa kiume naamini atarithi maarifa yako mazuri vzr kaka!
@kasangagregory57472 ай бұрын
hongera sana dada kwa kumshauri baba hii inatufundisha ukipata wazo jipya lifanyie kazi haijalishi anaye kwambia ni nani hata nchi za marekani na ulaya wanatengeneza nyumba za mbao
@AbuuBakar-t26Ай бұрын
Wazo ni zuri sana mashallah ila pia musisahau kuweka zile za kuzima moto 2 au 3 kiusalama zaidi
@EmmanuelMalisa-kz5jx2 ай бұрын
Wazo zuri sana,,,,,hongereni mlipoanzia mtapata ubunifu zaidi endeleeni pia kudadisi na msikubali kukatishwa tamaa na hawa watu.
@AnethEdward-nf6sc2 ай бұрын
Ni bahati mwafrika kukubali wazo la mtoto.
@jonakajigili69912 ай бұрын
Wonderful daughter.... hongera sana... atakuja kuwa mfanya biashara mkubwa sana
@liannsambu72642 ай бұрын
Hiyo nyumba nzuri maana pia unaweza kubadilisha aina ya nyumba ATA baada ya miaka kadhaa , na pia baba unaweza kutengeneza hizo ukachanganya na siment , so ni ubunifu Zaid TU ,so hongera Sana baba Kwa kufanyia kazi wazo la mwanao
Hongera sana anko wangu mpendwa nitakuja unijengee na mimi.
@mudidachi86162 ай бұрын
Mwanzo mzurii kwa mazingira ya UTALII👏👏👏
@alfredjoshua862523 күн бұрын
Hongera Sana ndg peter,. natamani kupata nyumba hii.
@japhetisraelsmafie9972 ай бұрын
Kwakweli nafurahi sana kuona hii,Mungu akuinue zaidi kaka,tunajivunia kuwa wa nyumbani kwetu
@GlorydavidJeremiahАй бұрын
Hongera bint kwa mawazo mazuri
@MohamedAliy-k5v2 ай бұрын
Watu wamezaa jmn
@AthanaseKiyoja2 ай бұрын
Kabla ya yote,hongera kwa kumzaa huyo binti.Imelipa,imekomboa familia hadi Taifa.Mtoto unamlundikia degrees,mwisho anakuwa mzigo kwa familia na Taifa.
@JemaMhagama-oz6me2 ай бұрын
Na wewe mwenzangu umeliona Hilo sio mtoto anafika HADI chuo kikuu hajitambui elimu inakuwa haija mkomboa mizigo tu. Huyo mtoto atafika mbali sana
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Ubarikiwe saaana Ndugu
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Kwa kweli Mfanyabiashara wewe kiboko wazo la mwanao ni kiboko Mungu awabariki sana mnetoa wazo zuri sanaaaa nyumba za kuhamishika nzuri sanaaaa
@paskaziasholla74712 ай бұрын
😂😂😂 ila ukiombwa zamana utaambiwa kitu kisichohamishika
@HadijaMmbaga-q4x2 ай бұрын
😅😅😅😅😅@@paskaziasholla7471
@ColethaMerick2 ай бұрын
Wow wow nimekua nikisubili sana sana kusikia hii kitu hongera sana
@abedysteven49302 ай бұрын
Dah hyo nyumba saw n nzur lakn n gharama sana!! Ila hongera sana kwa wazo zur!!
@fatumajumanne1982 ай бұрын
Naona comment nyng wanasema n gharama,JE gharama yake n nn?
@nyembomajid12622 ай бұрын
@@fatumajumanne198: na ndo nyumba wenzetu uzunguni wanazijenga Sana
@fatumahossein7542 ай бұрын
Je hii nyumba mpangaji akitoroka na hii nyumba itakuwa je? 😂😂😂😂
@emmanuelbonaventura42582 ай бұрын
@@fatumajumanne198 mbao ni gharama
@yasminjuma91462 ай бұрын
Hongereni baba na mtoto.. Norway nyumba za mbao na watu wanaishi
@PovertyHelpingАй бұрын
Congratulations so much and thanks for this online classes. We can start using metal flats. 🏭💕
@amourmtungo6232 ай бұрын
Hongera, mpango mzuri na tunakutakia kila la heri juu ya utekelezaji wa biashara yako. Wasi wasi wangu ni uzembe ambao kwasababu nyumbani ya mbao moto huweza kuwa ni adui mbaya wa hii asset
@ElliyaElliya-h2h2 ай бұрын
Waafrika tunataka diri km hz,, degree degree bila uwezo wakukulisha ndonini sasa,, hongera Sanaa dg
@fidelfidel-jz4iw2 ай бұрын
Nyumba hizi ni nzuri sanaa lakini lazima msingi wake uwe na zege ili iwe juu na hupendeza zaidi iliwa juu ili mchwa usisogelee lakini nzuri sana haina joto
@fettiemaganza14842 ай бұрын
Sasa ikiwa zege huwezi kuhamisha labda awe anajenga kwa matakwa na mteja
@HadiaAme-x5fАй бұрын
Mchwa nao tatizo
@athumanfuko199Ай бұрын
Na wale mchwa wanaotembea kama siafu vip.
@geofreykazaula79402 ай бұрын
Good idea, hizi prefab house huwa ni nzuri.
@hassanussein18178 күн бұрын
She's just entrepreneur congratulations to she
@calvin64452 ай бұрын
Napenda mnooo nyumba za mbao ❤❤❤much love ubunifu mzuri mnoo
@JackobKyaro-zi7uj2 ай бұрын
Kazi nzur sema huku kwetu vichuguu vingi sijui tutajilindaje na mchwa
@SabinaChacha-dy2ygАй бұрын
Ha😂😂😂vichuguu Kwa sana
@oliverngualo4028Ай бұрын
Hii mzuri nataka nikajenge UKWENI😂😂😂 wakinivuruga tu na Binti yao naondoka na Nyumban Yangu
@CarolineMsuya-j2dАй бұрын
Hii nyumba ipo barabarani naiona kila Siku, ni nzuri mnoo, Yaan hata kwenye simu haionyeshi
@YaeliJoseph2 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa ✍️💯
@AliceKangwa-f4g2 ай бұрын
Be blessed my dearest grand daughter. Big up sana!!!
@peninamusilim44692 ай бұрын
Pongezi Dada from Mombasa Kenya Congratulations
@edwardsademaki84312 ай бұрын
Ni nzuri hongera Kwa ubunifu
@sandraangela4681Ай бұрын
Hongera baba na bintiye
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Binti yako mzuri sana aliyetoa wazo hilo binti una maono mazuri sanaaaa
@dr_godfrey2 ай бұрын
Hongera sana kaka umefanya jambo kubwa
@mariamkibindo17412 ай бұрын
Wow wow nzuri sana nimeipenda sana idea nzuri ❤iko kama ya kutalii
@KuluHiji52 ай бұрын
Mm nataka ya chumba kimoja na sebule na choo ndani ya matairi naomba bei please
@bongo24news132 ай бұрын
Huyu dogo ni kichwa cha biashara kwanza anajiamini namna anavyooongea ni point point point huyu baba anaweza akastaafu kufanya kazi kampuni ikabaki kwa dogo na ikawa mikono salama yaan kama n mm nakaa nyumban dogo kafanye kazi ukikwama nitakushauri
@pendaelindossi7992 ай бұрын
Nyumba Kali sana, hongera Laura
@magrethelikanah51102 ай бұрын
Binti ana akili sanaa sana hongera kwa wazazi
@AnastasiaKilonzi-d3y2 ай бұрын
Kasi nzuri ❤
@BonifasyMgonela-m2wАй бұрын
Weeeee issue moto ikiwakaa
@joycehaule97172 ай бұрын
Hongera sana kazi nzuri mnooo
@zakiamseka9698Ай бұрын
Niliona Tarekea nyumba za mbao 😊
@evancekessy49272 ай бұрын
Nzuri but sio rafiki kwa Mazingira
@dominickjohn11282 ай бұрын
Hongera kwa binti huyu jamn!hila huyu c wa elf 2 huyu anakizazi chake pekee
@salumduru7039Ай бұрын
Hizi nyumba zinafaa zaidi kama Air B n B au mbugani au hotel za kitalii
@aisianyoka4608Ай бұрын
Hongera vp kuhusu shimo la choo ukitaka kuhama? Utaenda kuchimba Tena huko uendako😅
@Judy-dy4zt2 ай бұрын
Wewe mwenyezi Mungu akutangulie
@verasikawa63822 ай бұрын
Hongera sana Mzawa na binti yetu, we are proud of you! Keep up the good job
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Tanzania to the world 🌎 ❤
@khadjamhozya2 ай бұрын
Bado sana
@ramadhanimanga90782 ай бұрын
Wazo zuri sana ila ni nyumba za gharama zinafaa kibiashara, ofisi na makazi ya kitalii sina shaka msingi unafaa kuwa wa saruji pamoja na floo yake, kuimarisha ising'oke utafunga angle iron na bolts wawekezaji wa miradi mikubwa wanalipa vizuri
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lmАй бұрын
Hiv vitu ni vya miaka mingi lkn zinafaa kweny mambo ya kitalii au bar
@merinamkocha38182 ай бұрын
Wazo la mtoto. Hongera kwa ubunifu.
@JemaMhagama-oz6me2 ай бұрын
Nyumba ya mbao ni gharama sanaa
@emmanuelbonaventura42582 ай бұрын
Nomaa
@reytogowelle935121 күн бұрын
kwakweli ni balaa
@bintmrisho3526Ай бұрын
Nyumba hizi zipo huko marekani 😂
@KaliniaMori2 ай бұрын
Idea nzuri sanaaa❤❤
@NeemaJumanne-h5dАй бұрын
👏👏👏,
@BenjaNetanyahu2 ай бұрын
Wachaga wana akili nyingi sana,, na nikabila limebarikiwa na MUNGU sana,, njooni na huku kwetu njombe mtupe hayo maarifa,, MUNGU awabariki sana🙏🙏🙏
@HappynessJose2 ай бұрын
Nivinzuri sana ukichoka na wambeya unahamia mtaa mwingine sio kukaa sehem nyingine ata shamban unahamia mkimaliza kulima mnarundi tena mjin 😅😅😅😅😅
Nyumba nzuri sana, ila siku hizi watu wanavyochomwa ndani mpka mtu unaogopa, ila nzuri sana
@Norrisnoriega2 ай бұрын
Mmmh kwl ukiwa ma wazo usikae nalo tu amza kulifanya
@salama11132 ай бұрын
Hayo mawazo mgando kwani yatofari nyoka aingii😂😂😂😂
@deniccgabriel61532 ай бұрын
😂ukiona ivyo baba anamwamini mwanae ndio maana ikawezekana, Chapili : Mtoto anamawazo mazuri siokusuka tuuuuuu.,..😂😂😂😂😂
@KoleYasini2 ай бұрын
Tatizo moto unashika kiraisi pili izo ni seplasi zinaribika kwa wepesi..zinaoza..
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Mambo ya kizungu ❤❤❤❤❤
@goodluckmbwambo935Ай бұрын
Huyu binti bado ana ideas nyingi, Awe msimamizi mkuu wa hiyo kampuni, Itafika mbali. Itapendeza akisomea Architectural design au engineering. Pongezi nyingi sana kwa baba yake inaonekana amemkuza vizuri na anamwamini sana.
@johnmworia10622 ай бұрын
Hilo wala sio wazo lako.mababu zetu zamani walikuwa wanajenga za hivyo kule moshi linawekwa juu ya mawe. Baba yako anaifahamu sana hiyo aidia, sababu ni wa rika langu.Mimi nadhani umevumbua mambo mapya! Acha swaga zako
@cavoo4get6492 ай бұрын
Hauna akili wewe! Sasa mbona hukufanya hivyo? Matako ya kuku wewe
@smeena34472 ай бұрын
Nice idea
@jenipharobert96942 ай бұрын
Naijua hii nyumba ni nzur sana kwakwel
@halimamfaume19252 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤
@mosesjohnswilla9926Ай бұрын
Watoto watarithi hiyo nyumba ya mbao?
@mamafloraofficial43152 ай бұрын
Umeenda kanisani mnarudi nyumba haipo, mnaenda polisi kufungua case ya kuibiwa nyumba😂😂
@hawaally31362 ай бұрын
Ukiipeleka uswahilini kiberiti chako cha mia huna nyumba😂😂😂
@finestford0072 ай бұрын
Mimi sio mtaalam sana ila mchwa na wadudu wengine wanaziwinda hizi nyumba😅😅
@zakazitanzania15652 ай бұрын
Safi sanaaa hata Mimi nimefurahi sanaaaa! Ubunifu ni silaha ya vita....ntakuja kukuwaona nimechkua namba
@Kifyasi2 ай бұрын
Nyumba za hivyo ni nzuri sana ila lisiwe kubwa sana
@mcback43842 ай бұрын
90% ya nyumba za marekani ni za mbao lakini huzikuti zipo uchi hivyo na hata ukiambiwa ni za mbao hutoamini
@FIDELISMfugale2 ай бұрын
Nataka Moja ije moshi
@gracegeorge48482 ай бұрын
Naitaka hiiiii umbeya ukizidi unahamisha mjengo
@ashaomani58652 ай бұрын
Haki na mie nimeitamani 😂😂😂
@ullujaffariyohani11862 ай бұрын
Kulikuwa na nyumba kama hizi Tanga walikuwa wanaita kijiji cha miaka 21 sasa hv zimebolewa zilijengwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere mwenyezi mungu amlaze mahali pema Peponi
@AfricaQueen2 ай бұрын
😳🤔🤔🤔Mchwaaa je ? Nyoka , panya chini ya nyumba , je nyumba ikiibiwa usiku tukiwa tumelala??? Tutajilindaje Na majiko ya mkaa ??? Hii nyumba yahitaji somo sana kabla hujachukua nyumba.
@NuratyHussen2 ай бұрын
😂😂😂
@Zuu6732 ай бұрын
😂😂😂sio kwa bongo
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@Zuu673 🤝🤝🤝
@karibunyumbani38242 ай бұрын
Yani wa TZ tuna mawazo ya hovyo hovyo tu lakini sasa kweli kwa hapo kwenye kuweka matairi nyumba 😅😅😅😅 imagine unaamka asubuhi unakuta umehamishiwa mtoni 😅😅😅😅
@paulabelleghe4512 ай бұрын
hahaa hapo kwa nyumba kuibiwa nimecheka hizi zipo urope tunaishi huku na ninzur
@joycehaule97172 ай бұрын
Hahahaha wezi wakija wanakusukuma tu unalala arumeru unastukia upo mbauda hahahahhaa.....
@DhahabuSafi2 ай бұрын
Niliiona hii nyumba nikiwa naenda Moshi.Niliipenda. Nimefurah nimepata namba.
@IgnassSwa-gd9iy2 ай бұрын
Naomba no ndg yng
@MupeCom2 ай бұрын
Ninzuri sana shida ukukwetu ulizi ni mdogo sana hila kwa nchi zenye ulizi ni bonge la nyumba
@deogratiusyudatadei56582 ай бұрын
Kweli nyumba zambao ni sana ila siyo kwenye kuweka matari bana na wala siyo kuweka mbao chini
@user-samweli2 ай бұрын
Bola ujenge nyumba ya tofali tu ila hii hapana kwakweli
@bajagihaji89232 ай бұрын
Hongera ssna
@mosesjohnswilla9926Ай бұрын
Ukizinguana na washikaji wanaipiga kiberiti
@abdulkarimabdallah95362 ай бұрын
Nauliza Utafunga tair kwenye nyumba ukitaka kuhamisha huo mnyumba kuitoa sehem moja kwenda sehem nyinhine Itakua unaipisha wp angani au Nahitaji Elim kwenye hilo 😮😮
@karibunyumbani38242 ай бұрын
Unaisukuma tu huko hata saa ukijiskia kulala nje unasukuma nyumba unalala nje 😅😅😅 umeelewa sasa ?
@LillianSawe2 ай бұрын
😅😅😅😅😅@@karibunyumbani3824
@jennynaima49162 ай бұрын
Inatembea barabarani ila inakuwa size ya container za magari. Google hapo tiny house in Sweden, Mexico n.k utaziona
@joelmwendapole544Ай бұрын
Kabla sijaendelea kwanza We dada umeolewa?
@nyagabonamisana5400Ай бұрын
NYUMBA za mbao, hizi zilishakuwepo huko NYUMA hasa nyumbani visiwani tulikuwa tunaita "NYUMBA za mabanzi, watu walijenga Hadi ghorofa ya mbao
@GlorydavidJeremiahАй бұрын
Kkkkkkkk nawewe tengeneza ya golofa tutakuja kukutembelea wazo Bila kulifanyia kazi ni Bure Africa tugifinze kusupport sio kuwaza Bila kuweka kwenye mantendo
@DStarTz-if2koАй бұрын
Njoo dar
@Chimamy52422 ай бұрын
Mpk nyumba ifike huko unakoihamishia vioo vyote nyang'anyang'a🙌
@neemakingu41342 ай бұрын
Ni kujiongeza tuu ndugu yangu, ht wao wana akili timamu. Lazima vitu vingine viwe finishing nyumba unapoletewa. Kioo ni kitu cha mwisho kabisha watakugungia ikishafika enjoy husika
@Fredyjingu2 ай бұрын
Mwana pi network kama uko hapa mshauri jamaa aujue mradi Nadhani tutafanikiwa wote asante
@gilbertkalanda9354Ай бұрын
Shida ya hawa ukiwaona wanavyoadvertise mitandaoni utasema the same coperation utaipata baada ya kuwapigia. Mfano ni yule wa machine za pre paid za maji. Najuta. Bei kwanza wanayohojiwa na ukiwapigia uwa ni vitu viwili tofauti. Pili wabongo hatuna customer care, wakali not friendly