INCUBATOR ZA MAFUTA YA TAA.Jifunze kutengeneza mashine za kutotolesha vifaranga za mafuta ya taa

  Рет қаралды 28,989

MKULIMA SMART TV

MKULIMA SMART TV

3 жыл бұрын

MASHINE ZINAZOTUMIA MAFUTA YA TAA (Manual Kerosene Incubator)
KOROSENE INCUBATOR:(mashine ya mafuta ya taa ya kuangulia vifaranga)ni kifaa kilichogundulika na kutumika kutotoleshea vifaranga kabla ya vifaa vya kielektroniki havijagunduliwa duniani.Ni kifaa kilichofanya vizuri kwa miongo mingi kabla ya teknolojia mpya hazijaingia.Japo ina uhakika mkubwa wa kutoa vifaranga changamoto iliyonayo ni kuhitaji mtu wa kuihudumia kila baada ya masaa 6 kwa siku zote 21 mpaka mayai yatakapo totolewa
FAIDA:
1.Teknolojia hii ni bora zaidi ya hizi za kisasa kwa sababu maeneo mengi hayana umeme hasa wa uhakika hivyo kuongeza hasara kwani kukosekana kwa nishati zaidi ya nusu siku hufanya mayai yasitotolewe hata kama ilkuwa imebaki siku moja kwani mayai huharibika .kwa kifupi ni bora kwa mazingira ya hapa nchini na kwingneko umeme sio wa uhakika kwa saa24 wiki nzima
bei ya mashine ya kuangua vifaranga
bei ya incubator 2021
bei ya incubator ndogo 2021
kutotolesha vifaranga kwa kutumia boksi
namna ya kutengeneza mashine ya kutotolesha mayai
mashine ya kutotolesha vifaranga in english
jinsi ya kutumia mashine ya kutotolesha vifaranga
incubator ya kienyeji
bei za incubator tanzania
incubator inauzwa
incubator for sale in dar es salaam
incubator ya kienyeji
solar incubator in tanzania
hatchery machine price in tanzania
bei ya incubator ndogo 2021
incubator ya mayai 100
#mkulimasmart
#shambadarasa

Пікірлер: 62
@mediusdauson5807
@mediusdauson5807 11 ай бұрын
iyo machine sh ngapi
@user-gf3ge9ch5o
@user-gf3ge9ch5o 2 ай бұрын
Merci mr
@josephsiame3084
@josephsiame3084 Жыл бұрын
Very brilliant idea sir. Thank you so much. Keep it up!
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART Жыл бұрын
So nice of you
@hyppolitemiracle1203
@hyppolitemiracle1203 2 жыл бұрын
Bon travail
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 3 жыл бұрын
iko vzr sana
@omariaciza8878
@omariaciza8878 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Karibu
@samihktrh1197
@samihktrh1197 Жыл бұрын
ما شلله
@violatekituyl1432
@violatekituyl1432 3 жыл бұрын
Very very good advice be blessed 🙏
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Welcome for online training.call us
@jacklinewesonga7267
@jacklinewesonga7267 2 жыл бұрын
Niko Kenya busia nitapataje mashini hayo nimetamani sana kuwanayo
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Tuko Dodoma.Unaweza kuipokea Sirali boda
@mlandagodfrey121
@mlandagodfrey121 3 жыл бұрын
Nimekuelew Sana mpka nimeipends
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Karibu sana
@farajasallah2338
@farajasallah2338 3 жыл бұрын
Sh ngapi hiyo mashine
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 4 ай бұрын
Hizi mashine bado zina patikana?
@honoratussalvatort8700
@honoratussalvatort8700 3 жыл бұрын
good
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
karibu sana
@hamisimaloweka9830
@hamisimaloweka9830 Жыл бұрын
Naitaji nipo dar naipataje
@jassontheodory1725
@jassontheodory1725 10 ай бұрын
Nawezaje kupata incubator ya mafuta ya taa yeny trey 3
@DicklassRichard-wt3hu
@DicklassRichard-wt3hu 9 ай бұрын
Nikiwa mbali na mliko inaweza kunifikaje
@tivuuabelabel5838
@tivuuabelabel5838 2 жыл бұрын
Sh ngp naitaji hii
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Tuma ujumbe Whatsapp 0713178868
@benardsamba5248
@benardsamba5248 3 жыл бұрын
Mimi nipo Zambia naomba unifundishe kutengeneza bro
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Tuma ujumbe Whatsapp +255713178868
@sayunitv8378
@sayunitv8378 Жыл бұрын
@@MKULIMASMART nimekuelewa vizuri sana Kaka, nahitaji hii mashine
@user-gi6ew7fi8m
@user-gi6ew7fi8m 9 ай бұрын
Naomba mawasiliano yenu bc
@moussaessam3390
@moussaessam3390 3 жыл бұрын
Tres intéressant... Mais comme c'est en langue locale, nous avons des difficultés pour certains détails...
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
salam alaikum mon frere mousa vous etes d ou? moi je comprend bien langue swahili qu il parle j peut t aider si vous avez une question n hesite pas.
@moussaessam3390
@moussaessam3390 2 жыл бұрын
@@sammarley1413 wi Sam, je suis du Cameroun, on parle français et anglais si vous pouvez m'aider...
@imamkassim3969
@imamkassim3969 3 жыл бұрын
Salama mi na ishi kigali Rwanda ninawezaa je kupata iyo mashini
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Inawezekana sana.Sisi tuko Dodoma Tanzania.Kuna magari mengi ya Rwanda yanapita
@violatekituyl1432
@violatekituyl1432 3 жыл бұрын
Please i want to now how i can make that box 😄
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Call us
@jumamakoye3579
@jumamakoye3579 2 жыл бұрын
Nimeipenda hii mashine. Naweza kuipata ya mayai 90?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Tupigie WhatsApp 0713178868
@tanzaniaprojectmsk7032
@tanzaniaprojectmsk7032 Жыл бұрын
Mbona nyie hamuelekezi vizuli afu vidio za wizi sana hamna ukweli ety fulluu bwana
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART Жыл бұрын
Aksante Sana na pole Sana kwa kutoelewa
@ikazetuberwanda
@ikazetuberwanda 2 жыл бұрын
Asante kwa kupiga nambari ya Tsapp na ningependa kukuuliza kuhusu incubator
@ikazetuberwanda
@ikazetuberwanda 2 жыл бұрын
Ninaweka mayai kwenye incubator baada ya masaa 3 moto unazimika takribani lisaa 1 halafu narudi itasababisha na hapo ndipo ninapoiweka.
@mariethamushy8861
@mariethamushy8861 2 жыл бұрын
Hiyo mashine inauzwaje?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Tuma ujumbe Whatsapp tukutumie Bei zote
@erickjonas877
@erickjonas877 3 жыл бұрын
Boss habr mm nitaka kujifunza mnanisaidiaje
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
Tunatoa mafunzo
@erickjonas877
@erickjonas877 3 жыл бұрын
Namba ya simu unaweza nipa boss
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
@@erickjonas877 WhatsApp 0713178868
@dossantoschannel1808
@dossantoschannel1808 2 жыл бұрын
Gharam zake zpo na je munauza?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
WhatsApp 0713178868
@ezackphilipo6774
@ezackphilipo6774 3 жыл бұрын
Naweza kupata mafunzo kwa kutumiaa wattsp?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
inawezekana.Tuma ujumbe whatsapp 0713178868
@bahatikimanywa5939
@bahatikimanywa5939 3 жыл бұрын
@@MKULIMASMART 👏👏👏 Asante Sana Kaka nimepata somo
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
@@bahatikimanywa5939 karibu sana
@suleamir3424
@suleamir3424 3 жыл бұрын
iyo mashine sh ngap?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
tuma ujumbe whatsapp
@thepillar2715
@thepillar2715 3 жыл бұрын
WhatsApp number?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
@@thepillar2715 0713178868
@jonathanrashid3340
@jonathanrashid3340 2 жыл бұрын
Naomba namba zenu hapo hazionekani vizuri
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
WhatsApp 0713178868
@joanthesterling1972
@joanthesterling1972 2 жыл бұрын
Pokea simu basi ukipigiwa
@joanthesterling1972
@joanthesterling1972 2 жыл бұрын
Yeah
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
Tuma ujumbe Whatsapp au piga siku za kazi
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA   PART 2
17:38
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Atengeneza INCUBATORS kutumia Beseni Kaunti ya Nakuru || JAMII YETU
27:06
MBCI TV OFFICIAL
Рет қаралды 1,3 М.
KANUNI 7 ZA KUTENGENEZA MTEGO WA FEDHA! PART 1
30:57
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 169
MTEJA AKABIDHIWA MASHINE YA KUTOTOLESHA MAYAI YA KUKU ZAIDI YA 1000
11:29
JIFUNZE  ULEAJI WA VIFARANGA BILA VIFO .
8:33
KANALI UFUDU
Рет қаралды 34 М.
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA PART 3
17:05
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН