INJINIA HERSI ATOA OMBI ZITO KWA RAIS SAMIA "TUNATAKA KUJENGA UWANJA JANGWANI"

  Рет қаралды 75,606

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

INJINIA HERSI ATOA OMBI ZITO KWA RAIS SAMIA "TUNATAKA KUJENGA UWANJA JANGWANI"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 102
@rosemerrymasalakulangwa4456
@rosemerrymasalakulangwa4456 Жыл бұрын
Kazi nzuri. Asante sana Mheshimiwa Rais. Hongera sana Yanga.
@baranyikwamohammed628
@baranyikwamohammed628 Жыл бұрын
Speech hadi nasisimuka congrats President Heri!
@imantz
@imantz Жыл бұрын
This man has a huge IQ can't imagine his speech it's like written on a paper
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Speechless You are the MAN OF PEOPLE🎉
@JerinaNguto-vv1gt
@JerinaNguto-vv1gt Жыл бұрын
Ongera,injinia,ariss,raise,wetu,yanga🙏🧡💚💛🧡💚💛
@fadhiliakida8609
@fadhiliakida8609 Жыл бұрын
Mimi ni Simba, lakini huyu jamaa namkubali sana, maana hata speech zake zimetulia sana, hatumii written documents lakini speech imenyooka mno! Lakini pia namkubali sana kwenye mipango na mikakati ya kimaendeleo hasa kwenye soka, tunahitaji viongozi wa aina hii kwenye Klabu zetu ili Tanzania ifike mbali sana kisoka 👏👏👏
@makulileboniface7962
@makulileboniface7962 Жыл бұрын
Rais wa yanga ni mnyenyekevu jamen sijuwi fei kile anacho kionge Kama ni kweli mungu atamlipa Kama anamsingzia mtu wa watu
@halimamnavi3208
@halimamnavi3208 Жыл бұрын
Kazi iendelee mama yetu tunakutegemea Kwa Kila hatua na Mungu akutangulie kwa kila jambo 🙏🙏
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
What an Orator 👍👍👍
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Mm sio yanga lakini kwa hili nakupongeza sana mama haijawahi tokea umetuhishimisha sasa sio tena kichwa pchap mwandawazimu
@maxezeaguttu7821
@maxezeaguttu7821 Жыл бұрын
Hii Ndio Maana Ya Elimu💚🖤💛
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 Жыл бұрын
Brother benard..... Namkubali sana hapendi unyongee
@kabulapaul56
@kabulapaul56 Жыл бұрын
Diara ,mayere hongera sana
@nyambinyambi2250
@nyambinyambi2250 Жыл бұрын
Piga kazi jamaa unapiga kazi safi sana
@ImaniKabome
@ImaniKabome Жыл бұрын
Pamoja rais
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Yanga woyoooooooooo
@mohammedomary9476
@mohammedomary9476 Жыл бұрын
Genius and very smart he is our leaders 💚💛,nioneshe kiongozi wako smart na genius kama huyu😅😅😅
@AdrienLumbweMutiti
@AdrienLumbweMutiti Жыл бұрын
congrat yanga
@sportsextra4795
@sportsextra4795 Жыл бұрын
huyu anafaa kuwa raisi wa shirikisho la mpira Tff naamini tutafika mbali
@HisaniMsigwa-lc6zk
@HisaniMsigwa-lc6zk Жыл бұрын
Upo vzr kaka ,ww ni pure kiongozi
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 Жыл бұрын
Niliwambia kuwen makini na huyo Morison.atafanya vioja na kweli kafanya vioja mmejionea wenyewe.
@HusseinKoja-nw2vq
@HusseinKoja-nw2vq Жыл бұрын
Duh halafu kuna neno limesikika rais wa club aondoke ili mchezaji arudi
@sebamwita6026
@sebamwita6026 Жыл бұрын
I 💚yanga
@Kiddomafiaso
@Kiddomafiaso Жыл бұрын
Clement mzize saa mbovu ikasimama 😂😂
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Жыл бұрын
Our man of people 🔰🔰🔰🔰
@Geofrey-we1tv
@Geofrey-we1tv Жыл бұрын
Ila Bernard shikamoo😂😂😂
@marthamungure1777
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Niliipenda yanga tangu mwaka 1974. Hongereni sana
@allysanya8346
@allysanya8346 Жыл бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
MH....hersi. ...hongera
@juliussanga9313
@juliussanga9313 Жыл бұрын
Presidents requesting each other
@zikirination6769
@zikirination6769 Жыл бұрын
Pesa inaenda Kwa wachezaji izo sura mbn Kama Kuna ujanja ujanja😂
@yusuph-yf4lb
@yusuph-yf4lb Жыл бұрын
Safi sana
@Mr.SampaElias-fw3rb
@Mr.SampaElias-fw3rb Жыл бұрын
Morison ni mvuta bangi sema hamjui tu, yey ndo mzinze?😀😀
@konceptualagency4837
@konceptualagency4837 Жыл бұрын
Super confidence yani hapo mimi ningetetemeka mpaka na faint 😂😂😂 not easy as it looks
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
Many of engineers are intelligent and capable in many angles
@kabakuliibrah-jl8fe
@kabakuliibrah-jl8fe Жыл бұрын
@francoisesakina
@francoisesakina Жыл бұрын
Ila Morrison 😂😂😂😂
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Morrisson kichaa😂😂😂😂
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Siasa kwenye mpira tunaua soka letu ifike mahali wanasiasa wawe wanafanya hivyo Kwa team ndogo kama Namungo na zinginezo
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 Жыл бұрын
Hujaeleweka Kwan namungo ni kituo Cha yatima? Maana yake hio siasa ambayo huihitaji ndio unataka isapoti namungo ambayo pia ni team ya mpira
@kiumanursingtv1647
@kiumanursingtv1647 Жыл бұрын
Morrison hahahaaaa
@shukurulazaro8688
@shukurulazaro8688 Жыл бұрын
Wew utafika mbali Sana hata uongozi wa serikali utapewa
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Жыл бұрын
huyu jamaa ana akili sana,,uwanja ukiisha tu utasikia serikali wamemchagua na kumpa nyadhfa za kiserikali hapo usishangae 😂
@Jojo-princess-x1z
@Jojo-princess-x1z Жыл бұрын
Aendele kuwahudumia Watanganyika
@sportsextra4795
@sportsextra4795 Жыл бұрын
nilianza kuipenda yanga tangu 1722 sasa najivunia kuwa mwana yanga
@AkondwaOlodarasero
@AkondwaOlodarasero Жыл бұрын
Morisoni mjinga sanaaaaaaa
@abdallahsaleh5194
@abdallahsaleh5194 Жыл бұрын
Ni jambo jema lakini rais kuingilia mambo kama hayo wenye MICHUANO ya fifa wanaweza wakatufungia tusishiriki MICHUANO yeyote ya kimataifa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hata wasiposhiriki hakuna timu ya kuleta kombe hapa.
@thetanzaniaanimalchanel1564
@thetanzaniaanimalchanel1564 Жыл бұрын
SENEGAL UNDER 17 WAMEPELEKA KOMBE IKULU HATA MWEZI HAUJAISHA😂
@EngLex-vo7te
@EngLex-vo7te Жыл бұрын
Kaingilia? Kaingilia nini?
@elizabethjustine9915
@elizabethjustine9915 Жыл бұрын
Morocco walivyotok kombe la dunia wachezaji wote walialikwa na mama zao ikulu mbon awajafungiwa mpk Leo.
@athumanihassani7208
@athumanihassani7208 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@kabulapaul56
@kabulapaul56 Жыл бұрын
Kweri ilikua vita sana ila Poleni mungu Yu pamoja nasi wananchi
@zawadielisikay
@zawadielisikay Жыл бұрын
Big up mr president
@kabulapaul56
@kabulapaul56 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁 benard bwaaana
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Жыл бұрын
unapendez kweny hicho kiti cha urais
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Жыл бұрын
Amemsahau Andrei mtine
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Жыл бұрын
Spechi free style sio ywkuandikwa hahahaha
@ashrafsibandekeye-ft5ks
@ashrafsibandekeye-ft5ks Жыл бұрын
Halafu anatokea msenge mumoja anasema eti raisi atoke clubuni sasa helis said hatoki
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
Mjinga yule
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Hers genius
@Paul-k1g
@Paul-k1g Жыл бұрын
Njoo tule
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@muhidiniwadhifa3600
@muhidiniwadhifa3600 Жыл бұрын
Kweli club ya wananchi
@shukurulazaro8688
@shukurulazaro8688 Жыл бұрын
Jangwan hanuna maji mzee
@fundiwelding146
@fundiwelding146 Жыл бұрын
ANADANGANYA *HAPA TUMEPATA MAGOLI*
@allyatom2076
@allyatom2076 Жыл бұрын
Na wew kaongope
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Manara Yuko wapi jamn
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
💚💚💚💛💛💛🔰🔰🔰🔰
@bbsahl1242
@bbsahl1242 Жыл бұрын
Iyo yanga uko congo s c
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 Жыл бұрын
💚👏🤳💪🙏
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Tuwashitaki kwetu hatukuwafanyia hivi
@rayanjoseck4458
@rayanjoseck4458 Жыл бұрын
So sad Tanzania hawatawai enda mahali since chance yao ilikua na Hayati JPM
@musakalikenya5245
@musakalikenya5245 Жыл бұрын
Naam
@salimuomari-h4s
@salimuomari-h4s Жыл бұрын
Civil engineer huyo
@noelkaale5952
@noelkaale5952 Жыл бұрын
Acha ushamba wewe siyo klabu kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza Simba ndio ya kwanza nyie utopolo ni wapili
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 Жыл бұрын
Kawasikilize CAF WW KONYO
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Hasira teleee
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Ujielewi kuma ww
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Namchezaji Bora Wafainali Pia Mmetoa Nyinyi Kwanza. Namfungaji Bora Wamashindano Mmetoa Nyinyi Kwanza.
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Жыл бұрын
Kombe gani umesikia lkn?
@Allyamanzi-jt8us
@Allyamanzi-jt8us Жыл бұрын
Hapo makolo miyon mwao
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UNA WASHWA WEWE
@jacobsanday9085
@jacobsanday9085 Жыл бұрын
Kwan mako ni Nani @salimmalaka256 mbn umepaniki
@FesodiCharles
@FesodiCharles Жыл бұрын
❤❤❤❤🎉😂
@bakarhaj9214
@bakarhaj9214 Жыл бұрын
Ndio lile kombe la looser eee. Musimalize maneno vyura nyie.
@wazirymussa2456
@wazirymussa2456 Жыл бұрын
Kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake, CHANZO chake ,DALILI na MADHARA yake Kutokuwa na uwiano sawa wa homoni kwa wanawake ni hali ambapo kuna mabadiliko katika viwango vya homoni zinazosimamia mzunguko wa hedhi na uzazi wa mwanamke kwa maana ya uzalishwaji wa mayai. Sababu za kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na: Uzazi: Mabadiliko ya homoni yanaweza kutokea wakati wa hedhi, ujauzito, na kumalizika kwa hedhi (menopause). Matumizi ya Dawa: Matumizi ya dawa, kama vile dawa za uzazi wa mpango, dawa zenye kemikali za kurekebisha homoni , na dawa za kupunguza MAUMIVU zikitumika kwa muda mrefu,zinaweza kusababisha mabadiliko katika viwango vya homoni. Matatizo ya kiafya: Magonjwa kama vile , ugonjwa wa tezi ya pituitary, ugonjwa wa kisukari, na magonjwa mengine yanaweza kusababisha kutokuwa na uwiano wa homoni. Maisha ya kila siku: Mabadiliko katika maisha ya kila siku, kama vile lishe, mazoezi ya mwili, na usingizi, yanaweza kusababisha mabadiliko katika viwango vya homoni. Baadhi ya dalili za kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na: Kutokwa na damu ya hedhi kwa wingi au kidogo sana. Maumivu makali wakati wa hedhi. Kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa (libido). Kupata hedhi kwa kiwango kisichoratibiwa. Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,hii inasababushwa na kukosekana au kupungua kwa Ute unaozalishwa wakati wa tendo la ndoa kwenye uke,ambao hutumika Kama kilainishi. Kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku. Kupata hali ya wasiwasi au unyogovu. Madhara ya kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na: Ugumu wa kupata ujauzito au kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi ambayo inaweza kusababisha upungufu wa damu mwilini (anemia). Maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspareunia). Kuongezeka kwa hatari ya kusababisha saratani ya matiti, saratani ya kizazi, na magonjwa mengine. Kupata dalili za kuharibika kwa mfumo wa mifupa na osteoporosis. Ni muhimu kwa wanawake wanaoona dalili zinazohusiana na kutokuwa na uwiano wa homoni kutafuta ushauri wa daktari ili waweze kupata tiba sahihi. 0620785623 Au wasiliana nasi kwa USHAURI na tiba
"MIMI SIO MTU MBAYA, SIJAWAHI KUMNYONGA MTU" - HERSI AJIBU TUHUMA
3:17
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Rais wa Yanga Hersi Said ayakaribisha makombe Mkutano Mkuu
10:21
VITUKO VYA MORRISON IKULU MBELE YA RAIS SAMIA VYAWAVUNJA MBAVU
7:06
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН