Huyu jamaa anaita wakenya mapepo na wajinga na sisi ndiyo tunawalipa mishahara yao, heshima sio utumwa na utapatia wakenya heshima, hakuna sekta ambayo inafanya kazi vilivyo lakini hawa majamaa wa kk wanatukana wakenya, nyumbani mnaenda 2027, mna ahadi mingi mumepeana lakini hakuna hata moja mumetimiza ,mtavuna mlicho/mnacho panda 😅😂.