Unanitia nguvu za kuendelea na uimbaji wangu jamani pia nami Sina wazazi wote ila mungu pia amenijalia na kibawa cha uimbaji ninajua kunae mungu mbinguni mwenye neema
@adelebwale48182 ай бұрын
Jambo jameni ninawashukuru sana kwa kutusaidia kutuonesha kaka Patrick kubuya na dada Rehema,ningeomba munisaidie na number ya dada Rehema asante🙏🙏
@paschalinahharis96043 ай бұрын
My favorite singer❤❤
@JENITHANESTORY-xk4lp10 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako, ubarikiwe Sana na Mungu akazidi kukutumia kwa ajili yetu🙏