Elimu hawana wacristo waislam tulipewa hekma na elimu alhamdulillah ALLAH awape maisha marefu mashekh wetu amiin
@oman77102 жыл бұрын
Masha Allah Allah awahifadhi masheikh wetu
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Huyu nusu muislam kabisa Allah Amuongoze big up ma sheikh's Allah bless
@ashajuma86864 жыл бұрын
Mashallah... asanteni masheikh wetu kwa elimu yenu.....
@musanike30793 жыл бұрын
My favourite debate.. Mashallah
@zuhraabdi76 жыл бұрын
Ma Shaa Allah nimeipenda sana,duh!mpaka wamechanganyikiwa😂😂😂Mola awajaze khery ma sheikh wetu
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Zuhra Abdi # Allahuma amin thenks ukhty zahra
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
Jadhaakallahu kheri
@enoughisenough14783 жыл бұрын
🌎💧🙏🐓Subhana Allah,(ALLAH HU AKUBAR YEAH ALLAAH 💧 ALQURAN KAREEM 🌎 ANA BI MOHAMMED HE DELIVERED THE MASSAGE AROUND THE THE WHOLE INTERNAL LANGUAGES.ALL MUSLIMIIN SHOULD THANKS (ALLA HU AKUBAR)🍞💧🙏🐓🌎
@timrex57223 жыл бұрын
Biblia iko sawa vichwa vyenu ndio haviko sawa Kristo ni mwana wa mungu na Bwana wa wote kama biblia inavosema Mungu anawapenda sana kupitia kristo amen
@hamidukimaro57462 жыл бұрын
sijui kama akili yako ipo sawa,mwalim wako ajui apo ww ndo unasema ipo sawa
@salmaothuman97625 жыл бұрын
Mwenyezimungu awabariki sana kwa kuwafundisha hawa watu maana huu ni msiba
@enoughisenough14783 жыл бұрын
🌎💧🐓🙏ANA BI ISSAH A MUSLIM THOUGH 💧🌎
@hansiselemani80256 жыл бұрын
sheikh mm nakupend kwa ajiri ya Allah ,,nafuatilia sana mambo yako kla ukitoa news from Tanzania,,(iringa)
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Karibu sana kaka
@swalehkiuga1675 жыл бұрын
Ishaalah
@rkenea42626 жыл бұрын
Mashaa Allah shekhe yahya ungeendalea 2 kusoma nipate raha zaidi
@abdullyarechannel91283 жыл бұрын
Mashaa Allah
@mirajisalehe62955 жыл бұрын
Bishop kujua kiebrania kidogo isiwe nogwa. Ukakufuru
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Allah awalipe Kheir Insha Allah, sauti ilikua chini
@malicboy79735 жыл бұрын
Hahahha.. huyu bishop nitakuja kumsalimia in sha Allah. Mana anajitetea kama samaki alie naswa na ndoana 🤣🤣🤣🤣👏🏼
#IbnusharafDAAWAH ....Tunazidi kuwaombea dua Masheikh wetu’ ALLAH awape nguvu Kwa kila mmoja wenu na mchango wake katika kuitangaza dini ya haki na mwisho wa siku ndugu zetu katika Adam waione haki.....IN SHAA ALLAH ..!
Inna ddina i'ndallah huwa l islaam Allahumma aamin
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Aywaa
@Keymolin5 жыл бұрын
MaasshaaAllah kama wanataka original Hebrew scripture Muhammad is mentioned there as muhammadim in song of Solomon
@samisarwar36 жыл бұрын
Masha allah
@isaa_ogutu5 ай бұрын
Tora pia ilikuwa na hizo chapters za bibilia ama ilikuwa na different chapters with different names?
@abdulmnatii10276 жыл бұрын
Shukran Sheikh anwar umewapa ukweli,ni Abdul long time bro
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Thenks brother
@happyarooun60376 жыл бұрын
yaani shekhe yahya Issa nakupendaga xna yaan ww ni handsome sijui ni msomali
@samxx4115 жыл бұрын
usimpe mtihani shehe wetu tafadhali umpende kwa ajili ya Allah
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Ukiuliza pastor yoyote beblia imetoka wapi watapata shida sana kujibu kwa maana hawajui nani ka waletea mpaka kiama kitasimama hawa pati jibu
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Wao wanafwata it kadi ya wazungu kula kwa kijike kujipangusa na magaseti na kuva min sket hiyo ndiyo shida ya wakristo kufwata tu hawajui wa nakwenda wapi
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Wewe wata ushindani musa alitelewa na wa misri akiwa mdogo hakuwa anajuwa wa zazi wake mtoto akilelewa mahali anaongea ile lugha ya hapo mahali
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Kwanza nyinyi wakristo hiyo ibada ya juma pili mumetoa wapi kila juma pili munaenda kanisa nani kawambia ama kitabu gani kawambia muende kanisa juma pili hamupati mpaka kiama kitasimana
@timrex57223 жыл бұрын
Kama kuna litreture lugha ya picha mnapenda kila kitu kisemwe direct rekebisheni akili zenu kwanza
@shabamuhidin6342 жыл бұрын
Nisalimie Prisca na Akila...mwambie aniletee lile joho langu na vitabu nilivyoviacha Troa alafu mtu anakuambia ni neno la mungu hili?
@zaituniashki18946 жыл бұрын
Quran ndio kitabu peke hakina shaka
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Zaituni Ashki@,hakika Quran haina shaka
@michaelambani11355 жыл бұрын
@@kenyadawahtv90 be careful
@chorakondoa90514 жыл бұрын
Maashaallah
@mahfuthamafuta82587 жыл бұрын
Quran is the only book ambae haina shaka naitizama nikiwa USA
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
mahfutha mafuta #naam
@ukhtyhalima63426 жыл бұрын
Nice debete
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Wellcome
@abuuyaasinrashidirashidi96385 жыл бұрын
بارك الله فيكم
@tysonsamamba15936 жыл бұрын
Imani bila ya akili jamani shida sana
@happyarooun60376 жыл бұрын
hata mtoto mdogo anataelewa ipi dini ya kwel
@MrMbeva6 жыл бұрын
Kwanza kabisa hawa wachungaji hawana ufahamu na historia ya Bibilia. Torah imeandikwa kwa kihibrania lakini Injili iliaandikwa kwa lugha ya Kigreeki. Mwenye kiti wa huyu mjandala pia nikam anaengemea upande moja
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
Kaka wewe kama unajiamini karibu sana
@MrMbeva6 жыл бұрын
@@kenyadawahtv90 Asante Sana kwa kunialika. Nyinyi huwa based wapi?
@kenyadawahtv906 жыл бұрын
@@MrMbeva Nairobi Town
@chidzore6 жыл бұрын
...sikubaliani na wewe unaposema kuwa injili iliandikwa kwa lugha ya kigiriki....iliandikwa in Aramaic ndio baadaye ikatafsiriwa kwa kigiriki....then translated into Latin...then into other languages....
@malicboy79735 жыл бұрын
Hahaha.. pastor gershon aimba nyimbo ya alpha blonde 🤣🤣👏🏼👏🏼
@simonkaggwanjala95974 жыл бұрын
🤣acha zako ww🤓
@rashidkeke94624 жыл бұрын
Alpha blondy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mirajisalehe62955 жыл бұрын
Sasa ungeonyesha uongo uko wapi na kweli uko wapi katika hivyo vitabu viwili kimaandiko sio maneno tu. Aisee unatuchachanganya
@burbiddy3165 жыл бұрын
KAKA WAELIMISHE HAO NA MUNGU ATAWAFANYIA WEPESI NA KAMA BIBILIA IPO SAHIHI BASI ........ UKOO WA YESU NI WAZINAA KWA MUJIBU WA BIBILIA Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba: A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. B. (Qur'an 5:76). B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29). Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake. Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba: 1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1). 2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1). 1 Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kwa siri kutoka Shitimu waende kufanya upelelezi, katika nchi ile na hasa mji wa Yeriko. Wakaenda, wakafika kwenye nyumba ya malaya mmoja aliyeitwa Rahabu wakalala humo. 3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18). 13Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake, 14-alivua mavazi yake ya ujane na kujifunika shela kisha akaketi penye lango la kuingilia Enaimu, kijiji kilichokuwa njiani kwenda Timna. Alifanya hivyo kwa vile aliona kwamba Shela alikwisha kuwa mtu mzima, lakini yeye Tamari hakuozwa awe mkewe. 15-Basi, Yuda alipomkuta Tamari hapo, alimdhania kuwa mwanamke malaya, kwani alikuwa amejifunika uso. 16-Hapo, bila kujua kwamba huyo alikuwa mke wa mwanawe, akamwendea pale kando ya njia, akamwambia, “Napenda kulala nawe.” Tamari akamwuliza, “Utanipa nini nikikubali?” 17-Yuda akamjibu, “Nitakupa mwanambuzi kutoka kundi langu.” Tamari akamwambia, “Weka rehani kuthibitisha utaniletea huyo mwanambuzi.” 18-Yuda akamwuliza, “Unataka nikupe nini kama rehani?” Naye akamjibu, “Nipe hiyo pete na kamba yake pamoja na hiyo fimbo unayoshika.” Basi, Yuda akampa vitu hivyo vyote, akalala naye. Tamari akapata mimba yake. 4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5). 2-Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana. 3Daudi akatuma mtu kuuliza mwanamke huyo ni nani. Mtu huyo akamwambia Daudi “Mwanamke huyo ni Bathsheba binti wa Eliabu, na ni mke wa Uria Mhiti.” 4-Basi, Daudi alituma wajumbe wamlete. Basi Bathsheba akaja kwa Daudi, naye Daudi akalala naye; (mwanamke huyo alikuwa ndio tu amejitakasa baada ya hedhi yake); kisha akarudi nyumbani kwake. 5-Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema: “Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2). Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu. Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini? Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili. Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, pia karibuni katika dini ya Kiislamu. Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwahiyo karibuni sana.