MAZINGE vs GERISHON ODARE..JE PAULO NI MTUME?

  Рет қаралды 142,396

KENYA DAWAH TV

KENYA DAWAH TV

Күн бұрын

Пікірлер
@abuujureyjkhaniy.5520
@abuujureyjkhaniy.5520 4 жыл бұрын
ماشاءاللہ ماشاءاللہ SHEKH SULEYMAN ALLAH AKUHIFADHII
@ismailmassoudi-st5fw
@ismailmassoudi-st5fw 2 ай бұрын
45:51 45:53 45:55 45:56 45:57 45:58 46:00 46:00
@ramadhankiponza6730
@ramadhankiponza6730 6 жыл бұрын
Wakenya HONGERENI Sana Sana Sana. Maana Hii Mijadala Mnayoifanya Ya Kuwaleta Viongozi Wa Makanisa Mezani Ni Jambo LA Kipekee Sana. Na Tunapata Elimu Kubwa Sana Ma Sha Allah.
@jamalathman6219
@jamalathman6219 4 жыл бұрын
Shukran kwa mdahalo huu masheikh wetu,endeleni hivo tu kuwapa darsa wakiristo Allah huenda akafungua nyoyo zao wakaifahamu haki na kuiepuka batil
@mwawekomiuda5777
@mwawekomiuda5777 5 жыл бұрын
MashAllah. Wallah unaongea kwa yakini. Na ukweli kabisa. M'MUNGU akuzidishie uongofu na akulinde na maadui ishaAllah
@mwajumamasumbuko2170
@mwajumamasumbuko2170 4 жыл бұрын
Nakupenda Bishop Bwana akuwezeshe zaidi uwafundishe Wokovu wa Kristo Yesu
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Asichokiongoza mungu binadamu hawezi
@ramadhankiponza6730
@ramadhankiponza6730 6 жыл бұрын
Mazinge Suleiman Unanikosha Sana USTAADH Wangu. Nakupenda Kwa Ajili Ya Allah.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 жыл бұрын
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> kzbin.info/www/bejne/iqbFq2anjb6Ad80 MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 7 ай бұрын
Yaaani mimi binafsi anapo simama mazinge sinaga, shida uyu jamaaa kasoma na anajua nini anacho kifanya, nyinyi wenyewe mashaidi katika ili
@abdiwahabhusseinhud5854
@abdiwahabhusseinhud5854 2 жыл бұрын
Mashaa Allah. Nawapenda mashehe wetu kwa ajili ya mungu. Haki nawapenda Sana sheikh Suleiman and Sheikh yahye. Great you from Garissa
@nyc5595
@nyc5595 4 жыл бұрын
Hhhhhh aww ma sheikh wetu wapendwa nawapongeza sana kwa vipindi vyote mnatuandalia na nimefurahia sana hii mada hongera sana.na huu pastor nampenda sana anacangamsha mada insha Allah siku moja ataelewa na atasilimu.Allah awasidishie elimu na awap maisha mepesi sana na janatul fildawus kwa upendo wa Allah
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 4 жыл бұрын
MaashaaAllah jamani nawapenda wote masheikh na wachungaji sababu mnatufundisha huku mkiwa nyote na furaha Alhamdulillah
@rashiddzambo7789
@rashiddzambo7789 5 жыл бұрын
The discussion was well organized, great job, well done.
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 3 жыл бұрын
JazakumAllah khair for your efforts may Allah reward you abundantly, Suleiman mazinge if you haven’t then you need to do a lecture by itself about Paulo/ Saul InshaAllah!
@daudb2609
@daudb2609 4 жыл бұрын
Masha Allah tabaarakallah! Allah awalinde na awabariki mashekh wetu kwa kazi nzuri mnaifanya
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 жыл бұрын
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> kzbin.info/www/bejne/iqbFq2anjb6Ad80 MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
@mohammedidoo5663
@mohammedidoo5663 4 жыл бұрын
Thanks for your teaching well organised and it's understandable very clear speech.
@mutomubaya
@mutomubaya 4 жыл бұрын
Shukran kwa viongozi wa Uislamu Bishop amekiri kwamba kazi yenu ya kuwakutanisha inaelimisha. Kwa hivyo ni muhimu sote tujue kwamba kuna Dini ya haki (njia sahihi ya kuishi maisha haya ya Dunia) Mila ya Ibrahimu, alayhi salaam. ile ambayo Mitume wote walikuwa wanaifundisha. Kama kunae anapinga kwamba Dini ya Allah aliofundisha sio Uislamu alete andiko Ukristo ndio Dini sahihi.
@richardsineno6720
@richardsineno6720 5 жыл бұрын
Subhanallah kumbe church ama kanisa niya watu waliokuwa wakiabudu nguruwe ambayo mungu wao ni nguruwe maskini wakristo mumepotea nyote na hakuna atakaeuona ufalme wa Mungu,inasikitisha sana jameni njooni kwa ALLAH mpate uzima.
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 4 жыл бұрын
Kabisa Jazaakallahu
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Sheikh Suleiman a.k.a mazinge he is on another level. Moto wakuotea mbali. MashaAllah
@jumakoga2179
@jumakoga2179 4 жыл бұрын
Mashekhe wetu allah awape mwisho mwema takbiiiiiiiir kazi mzuri saana
@nimesirimuchanzomiazarayam7543
@nimesirimuchanzomiazarayam7543 3 жыл бұрын
Ukristu niupumbavu
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 4 жыл бұрын
Subhanallah kweli huu ni msba ya mtu bada ya kujifunza wana tukana na kutukana nidhambi kweli kuna watu wakilala motto wakiamka moto matusi ndio dini yao
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
Allah akuzidishie upeo na kuhifadhi yaliyo mema brother sulle big up broo Allah akujaalie kheri
@yahyakiomy1735
@yahyakiomy1735 4 жыл бұрын
Masha Allah mungu awazidishie shekh wote
@hassanjuamchipua9384
@hassanjuamchipua9384 4 жыл бұрын
Maashaa Allah al habibu mazinge na time yako
@salmaalnaamani8504
@salmaalnaamani8504 3 жыл бұрын
Mansha’Allah shekha Sulaman Allah akulinde na mahasidi yaarab 🤲🤲 Allah akuhifadhi yaarab 🤲🤲
@20155
@20155 2 жыл бұрын
Mashallah
@يحيىاحمد-ت9ض
@يحيىاحمد-ت9ض 4 жыл бұрын
Sheikh mung akuzidishie unajua Sana Sana Sana naunafasah mnoo
@abuujureyjkhaniy.5520
@abuujureyjkhaniy.5520 4 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 4 жыл бұрын
Sheikh mazinge Jazaakallahu khaira
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 4 жыл бұрын
Mashaallah nawakubali sana masheikh Allah azidi kuwapa umri mrefu
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 4 жыл бұрын
Waislam wote pepon inshaala
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 жыл бұрын
Peponi bila Yesu Kristo utaisikia tu.
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 жыл бұрын
Acheni hayo mambo ya ku gombana hatu yataki sisi wegine
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 жыл бұрын
Mungu ndie anae jua yote
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 3 жыл бұрын
Yani nakuonea huruma
@yahayaj7846
@yahayaj7846 4 жыл бұрын
Mdahalo mzuri sana hasa sisi tunaowatazama na kuwasikiliza tunajifunza na kutufumbua vitu.
@Heroes122
@Heroes122 4 жыл бұрын
Safi sana. Open minded brothers in action.
@bahatijabri1420
@bahatijabri1420 6 жыл бұрын
Mungu awaongoze waione khaki InshaAllah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 6 жыл бұрын
Allahuma Amin
@adanwoshe8828
@adanwoshe8828 4 жыл бұрын
MashaAllah,, good work on progress brothers
@fatmamudathir3038
@fatmamudathir3038 5 жыл бұрын
Keep the spirit.....the truth will always prevail" Islam" is the way
@KudraRashid
@KudraRashid 8 ай бұрын
Allah amfanyie wepsi maustadh wetu na bwana eskof Allah amuongoze inshallah uyu askof ni muislam
@jumaadremane7756
@jumaadremane7756 5 жыл бұрын
Fantastic sheh Suleiman Mazinge.
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 4 жыл бұрын
Wallah najivunia kuwa muislam maana ndy dini ya haqi Na isiyokuwa na mashaka. Alhambdulilah
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 4 жыл бұрын
Naomba kuuuliza, iv. Prof. OTHUMAN HABIBU MAZINGE, mwenyekiti wa mihadhara tz yuko wapi
@ramadhanomar360
@ramadhanomar360 4 жыл бұрын
Professor mazinge yupo tena Alhamdhulillah mzima wa afya
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 4 жыл бұрын
Assalam alleykum. Twaiyib Sheykh Suleiman
@munyarubugaismailally111
@munyarubugaismailally111 4 жыл бұрын
Takbiiir
@maryamidd4315
@maryamidd4315 3 жыл бұрын
sheikh Yusuf pia yuko
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 жыл бұрын
Nataka mfanye midaharo na mapadri wa Roman catholic Mashekh wangu
@zeidomar-f7g
@zeidomar-f7g Жыл бұрын
Allah awahifadhwi mashehe wetu
@سلطانسليمانبنجمعة
@سلطانسليمانبنجمعة 4 жыл бұрын
Somo uko juu
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 жыл бұрын
Mazinge kiboko yao 🇹🇿🇹🇿
@wewe3394
@wewe3394 4 жыл бұрын
Mazinge Allah azidi kuwapa Afya mnafanya kazi kubwa saana
@wewe3394
@wewe3394 4 жыл бұрын
Eti hawezi munyonga🤣🤣🤣🤣
@japhethmbusya1479
@japhethmbusya1479 4 жыл бұрын
Atakutana na babangu wa kiroho Josephat gwanjima
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Ni kiboko ya wasioongozwa na Roho mtakatifu...Ni kiboko ya waislam nanaofuata dini ila hawamfuati Kristo Yesu.Amina
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Moto wakuotea mbali
@fatumamroki2716
@fatumamroki2716 4 жыл бұрын
Rahaa tu
@hassananwar7327
@hassananwar7327 4 жыл бұрын
Sheikh Yahya na wengine musichoke InshaAllah jazaa yenu iko kwa Allah(S.W)..hawa washaona ukweli uko wapi na washajua ukweli ni upi na karibuni kama alivyosema Ustadh Mazinge Bi3izzatillah wataukubali ukweli na kuwa sababu kubwa ya watu wengi kuingia katika uislamu InshaAllah.......Innaa nahnu nazzalna ddhikra wa inaa lahu lahafidhun.
@mathiasbpaskali1145
@mathiasbpaskali1145 5 жыл бұрын
alhamdulillaah nimeelewa kuwa UKRISTO SIO DINI na YESU sio muokozi na hajaleta UKRISTO na kwamba kwe biblia kuna maneno yameongezwa na majambazi kwakuwa walikua wakitaka posho ..... yaani wachungaji wamevurugwa mpaka hawajui jina la dini yao .........nashkuru mimi kuwa. ....... MUISLAMU.....
@nasraally4588
@nasraally4588 4 жыл бұрын
Ma pasta wanavurugana! Hahahaaa uislamu raha
@brigedialandforcecommender3829
@brigedialandforcecommender3829 4 жыл бұрын
Afu jua uisilam uliletwa na waarabuu ko din tumeletewa wa Africa,,,
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 4 жыл бұрын
Yaani hawa watoto sana tuakili twao tote wamefika hapa kujifanya kuna anae tetea ukristo hapo
@swiddiqabubakar2993
@swiddiqabubakar2993 4 жыл бұрын
😂😂mashekhe munachanganya wachungaji mpaka wanarukana wenyewe kwa wenyewe😂😂
@radhiyarashid1314
@radhiyarashid1314 4 жыл бұрын
Wamenichekesha sana
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@suleimantsanje8904
@suleimantsanje8904 3 жыл бұрын
Sheikhs mazinge uko juu bro
@ikabako2454
@ikabako2454 4 жыл бұрын
Wow ! What an interesting debate. Wachungaji wanajichanganya balaa sipati picha hali ya hao kondoo 🐑 😅🤣😂
@franciskatana8723
@franciskatana8723 4 жыл бұрын
Jina haiwezi kubadilika...paulo ni nani na shaul ni nani?
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Kwenye ukweli uwongo unajitenga
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
iko kwa blaket mtu ameadd😅😅😅😅😅😅hiz din bwna sasa kitu mtu ana add vip na din ya Mungu😅😅
@jumakoga2179
@jumakoga2179 4 жыл бұрын
Yaani nyinyi nawapa pole sana , sasa kwa nini munawadanganya watu wakristo mmeshuhudia uwongo wa viongozi wenu
@Chychy.w
@Chychy.w 3 жыл бұрын
Asalam aleikum, Gerison nae naenda wapi kuabudu kwa sinagogi ama wapi?
@hamisihassan3634
@hamisihassan3634 4 жыл бұрын
Naomba Huyo Gerishon aje na Tanzania kuwaumbua watumiaji Wa maganda yaliyochakachuliwa
@richardsineno6720
@richardsineno6720 5 жыл бұрын
kulingana pastor gerison ikiwa yesu na shaul ama paulo kama ilivyoandikwa kwa biblia hawajaleta ukristo ni nani alieleta ukristo na hao watu walikua dini gani enzi hizo?
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Walikuwa waislamu
@jumakoga2179
@jumakoga2179 4 жыл бұрын
Ni waislaamu na maana unawaona wanavurugana, bibilia imetiwa mkono na wanazuoni wakiyahudi, mkubali nabii wa mwisho tu utakaa kwa amaani kabisa
@jumakoga2179
@jumakoga2179 4 жыл бұрын
Mbona mwavuana nguo wenyewe kwa wenyewe
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
@jumakoga Bible wameiyalibu Warumi watie Mambo yao yakidhalimu ndio Wakiristo makao makuu roma
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Watakuja makiristo ya uongo 😭😭😭😭😭😭😭jamaniiiii
@sh.issagisesa6271
@sh.issagisesa6271 4 жыл бұрын
Mazinge anazungumzia Bible tunayoijuwa Girson anazungumziya Bible haijulikane Afrika mpaka Girson atakapo ionyesha Afrika
@ramadhankiponza6730
@ramadhankiponza6730 6 жыл бұрын
Sheikh Mazinge Nimekuongeza Nyota.
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 жыл бұрын
Wanakuja wenyewe
@farxiyoabdullahi6722
@farxiyoabdullahi6722 6 жыл бұрын
Mashalah shikh yetu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 6 жыл бұрын
Naam
@mwajumamasumbuko2170
@mwajumamasumbuko2170 4 жыл бұрын
Yesu ni Mungu Mwokozi mwenye nguvu
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
Wewe ni chiz akili zako saw n paul
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@jumaalhamid5242 😂😂😂😂
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Eloi eloi Lima sabaktani.yesu anamlilia mungu .nguvu zilienda wapi hapa????
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
Haaa hata wewe muislam unaongea hivo umeritadi nn umepotea ndugu kumuamini binaadam mwenzio aliyezaliwa na mwanamke kama wewe kumuita mungu Innalilah wsinna illah rajiuni Yesu katahiriwa,yesu Alliingia msikitini kuswali masinagogi,Tena rakaa mbili kila kabla sabato na kumaluza sabato jamani nyie kumbukeni Yesu hakufa wala hakusulubiwa,Yesu aliwakimbia mayahud kutak kumuuwa na alisema yeyote anaetundingw mtini basi hyo ni dhamb ya shetani sasa leo hii angalia wewe mwajuma wajina wa make wangu mpendw na bibiangu mpendw wote sala tano nakushangaa wewe leo unaungam jam tesu ni mungu upo hasaraaaani
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@jumaalhamid5242 jina lisikuskume kuwa huyu ni muislamu. Si muislamu nijina tu na wako wengi kama huyu
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 4 жыл бұрын
Mjadala safi sana mwenye kuelewa ataelewa na atachagua yy mwenyew moyon sehemu ya kujikita
@mariamomar1572
@mariamomar1572 Жыл бұрын
Nimesahau jina but yuko ustadhi ulaya who can speak Hebrew. I wish he comes to Kenya and debate this black Israel of ours here in Kenya. That's my wish that Allah fulfills one day.
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 6 жыл бұрын
Nimecheka san😁😁😁😁
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Wanapingana wao kwa wao😂😂😂
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 жыл бұрын
Askofu mungu akujariye uyione haki ya wislam kama gisi nasisi tumeyiona uwepukane na moto wa jahanama
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
hahaaaaa wataelewa tuuu🙏🙏 🕋
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Ushirikiano na amani imetawala congratulations
@alphanisuleman6979
@alphanisuleman6979 4 жыл бұрын
Mimi nafwatalia Sana hii midahalo mchungaji kaanza kuelewa sasahivi atabadilika
@adamjumaa808
@adamjumaa808 5 жыл бұрын
PR. mazinge ni balaa lingne kaa mbali naeee usicheze nae karibu kabisaaaaa
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 4 жыл бұрын
Walm wote peponi😁
@franciskatana8723
@franciskatana8723 4 жыл бұрын
Alivyokua akieleza mtu wa kwanza,mwenye ndevu hakua na maswali ya kumkatiza katiza ila wa pili anavyoanza hatoi nafasi kabisa. Mbona??
@Sandra39823
@Sandra39823 3 жыл бұрын
Sasa kama hakuna swali mbona aulize?
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 4 жыл бұрын
Mchungaji hawezi kujitegemea ila kijificha na kutegemea nguvu za MUISRAEL MJALUO,japo yuwaona wazi kwamba yuwampinga na kumdhalilisha. WOTE HAWA WANAFANYA KILA JUHUDI KURUKARUKA ILI WATUNZE MASLAHI YAO YA SADAKA KUTOKA KWA WAUMINI WAO WALIO POTEA.
@saumuharoun633
@saumuharoun633 5 жыл бұрын
mazinge umewavuruga tangu mwanzo ndo maana hawajui walisemalo hawo wachungaji hahahaha mazinge ww kiboko umewavuruga kisaikolojia mwanzo
@nasraally4588
@nasraally4588 4 жыл бұрын
Mazinge mashallah Allah akulipe, ni mwalimu bora
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Nkama timu ipijwe bao 3 dakika kumi za mwanzo😂😂😂
@khairatsuleiman4606
@khairatsuleiman4606 Жыл бұрын
Hajawavurugwa wamepewa ukweli wamekosa kujipinzua
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 жыл бұрын
Wakristo hawaichokonoi Quruan kwa sababu wanajua haina makosa yoyote iko kamili na tukufu.
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 жыл бұрын
Kazi ipooo mungu ndie anae jua yote
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Inastikisha wapo gizani mungu awaoneshe njia Inshallah😢
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 3 жыл бұрын
Tumsifu yesu mtumishi,ikiwa hawamuamini yesu,wako gizani kwelikweli..Amuaminiye yesu,hayuko kamwe gizani bali anaouzima wa milele ..yesu ndiye nuru...Acts9:3-5////john12:46/////isaya9:1-6
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Masheikh Mashaallah
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Tumsifu YESU,..Yesu katika Mathayo 16:18 anasema atajenga kanisa...Paulo hapo hakuwepo,,hii inatuonyesha Hilo ni baraza la mizaa(zaburi 1:1-2)...na msimtafute mpinga Kristo mbali...tayari hawajifichi wanaonekana waziwazi...katika Mathew 10:16-17 katika masinagogi yao watawapiga ,si bishi hapo Kama masinagogi ni misikiti(ufunuo2:9/3:9)hapo utabaini why sibishi...halafu Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho....kuhusu kutahiriwa,hiyo ulikuwa ni sheria...(wagalatia4:4) YESU alizaliwa chini ya sheria ili atukomboe kutokana na hizo sheria coz wengi walikuwa wanatahiriwa mwili lakini Matendo Yao yalichukiza,,,Petro katika acts 10:28...... alikuwa akihubiria waliotahiriwa,Yesu akamlazimisha ahubiri hata pia kwa wasio tahiriwa...kwa hivyo so Paulo pekee akihubiria wasiotahiriwa hata petro....kuhusu jina sauli to Paulo soma acts13:9 sauli alitumia jina hilo wakati hakuwa anamjua YESU,Paulo analitumi iShara ya mtu aliyebadilika kutoka gizani(shetani) kuelekea kwenye nuru(YESU)...mbona mtu akiislim huwa mnambadilisha jina?jina halipeleki mtu mbinguni ni utakatifu pekee....mpinga Kristo ni anayemkataa Yesu...je wewe waamini 1john4:3///2:22///2:18 na2john1;7 Kama huamini wewe ni mpinga Kristo....Biblia haisomwi Kama gazeti john5:39
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 жыл бұрын
Hiyo mathayo 16:18 ni kanisa gani alilijenga Yesu?2.Wapi Yesu aliingia Kanisani?
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 жыл бұрын
Hiyo Zaburi 1:1-2 Ukitafakari unadhani nyie Wakristo sheria za Mungu mnazitafakari vizuri?
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 жыл бұрын
Wapi andiko ktk biblia kwamba Biblia ni kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 3 жыл бұрын
@@ramadhanilukambuzi9760 tumsifu yesu mtumishi;kanisa sio jengo ni miili yetu;petro maana yake ni mwamba,yaani kwa kumuamini Yesu na kumtambua kuwa ni mwana to Mungu aliye hai,yeye mwenyewe yaani petro alijengeka na kuwa kanisa la nguvu,,sio jengo..ndugu Yangu mpendwa ukimuamini Yesu (Mungu wangu),,utafanyika kanisa ambalo hakuna lolote litakushinda..majini yatatetemeka ukimuamini Yesu Katika roho na kweli..1corintians3;16-17//6:19////Katika matendo ya mitume 7:47-51,,Mungu hakai misikitini au Katika kanisa jengo,,anakaa ndani ya kanisa linalomuamini na kumtii ambalo ni miili yetu....john14:23 mpendwa yesu akifanya makao ndani yako,hakika umekwisha fanyika kanisa ambalo dengue milango ya kuzimu haita kushinda,,mpendwa,ukimuamini yesu umeipata njia iliyonyoka...Amina ndugu,barikiwa Sara.
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 3 жыл бұрын
@@ramadhanilukambuzi9760 tumsifu yesu mtumishi,uongofu si ushabik ni mtu binafsi usiseme wakristo kujua sheria,,je wewe binafsi wazijua?na kama wazijua wazifuata????hukumu ina Yesu mwenyewe lie sisi kuhukumu:::mathew7;1//warumi2;1///mathew25:31...barikiwa sana mtumishi..Amina
@batholomeomwaya6232
@batholomeomwaya6232 4 жыл бұрын
Mume kuwa elimu dunia kuna ishu ya kutohoa msamiati kutoka lugha moja kwenda luga nyingine
@Wambuiwakori
@Wambuiwakori 4 жыл бұрын
Vipofu kweli. Mtajua ukweli utawaweka huru. Jesus will remain the truth the way and the life. No salvation without the blood of Jesus. He is the only way to enter in to heaven.
@Truth771
@Truth771 4 жыл бұрын
Lol : Jesus is the only way?. Why then Jesus said that the spirit of truth will come after him who will guide you to the truth. (John 16:12-14) “I have yet many things to say to you, but you cannot bear them now. 13 When the SPIRIT OF TRUTH comes, HE will guide you into all the truth; for HE will not speak on his own authority, but whatever HE hears HE will speak, and HE will declare to you the things that are to come. 14 HE will glorify me, for he will take what is mine and declare it to you. WHO IS THIS SPIRIT OF TRUTH.
@Wambuiwakori
@Wambuiwakori 4 жыл бұрын
@@Truth771 The Holy Spirit.
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 3 жыл бұрын
@@Truth771 tumsifu yesu mtumishi,,the name of that spirit to come,,,is Jesus himself...john14:26///Mathew 28;20...Amina barikiwa Sana..
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@davismwamachi1145 : Tumsifu Yesu mtumishi!. Swali : Yesu mtumishi wa Nani?. Unazungumza kwa akili au unabwabwaja kama alielewa?.
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@Wambuiwakori : which Holy Spirit. Will come?. Wasn't the Holy Spirit, the father of Jesus according to the Bible?. Who exists first?. The farther or the Son?. (METTHEW 1:18) "Now the birth of JESUS Christ took place in this way. When his mother Mary had been betrothed to Joseph, before they came together she was found to be with CHILD OF THE HOLY SPIRIT;
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Sichoki kutizama kila nikiwa na mda na'angalia .
@annambezi6226
@annambezi6226 3 жыл бұрын
Huu ni uongo mkuuu. Lakini maana nimeshajua kuwa uislam umekuja miaka ya 600 na.. Msidanganye watu kwa makusudi. Maana wenyewe mnajua kuwa tulichoshika kina nguvu.. Yesu Kristo wa Nazareth.
@michaelmbezi7927
@michaelmbezi7927 4 жыл бұрын
Jamani msidanganyane njoni kwa yesu hapo mnavurugana akili
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Sisi twaenda kwa mungu kama alivoamrisha yesu
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
Paulo ameharibu vzaz na vzaxi hadi kufikia kw gerson
@stanstano6064
@stanstano6064 4 жыл бұрын
Huyu mchungaji ana float and no having notion... translation in Hebrew and Greece. Jesus has many names, or God has many names.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 жыл бұрын
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> kzbin.info/www/bejne/iqbFq2anjb6Ad80 MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
@stanstano6064
@stanstano6064 4 жыл бұрын
@@kabhikachambala3392 usislimu kwa ajili ya hoja za binadamu, simama imara tu ukristo. Utafsiri potovu kutoka kwa bibilia kusikubabaishe
@اال-ص8ر
@اال-ص8ر 4 жыл бұрын
Mtume shauli ni nan mbona ajaorodheshwa kwenye least ya mitume
@sh.issagisesa6271
@sh.issagisesa6271 4 жыл бұрын
Paul anajulikana hata yeye mwenyewe amejitapa kuwa ana mwiba wa Shetan
@فاطمهنزوى
@فاطمهنزوى 4 жыл бұрын
Muulize kwann wanamuabudu yesu kuliko maryam alomzaa huyo yesu
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ 4 жыл бұрын
wakirsto mungu awaogoze muone haki na muifate kabila yakufa kwenu uislam peke ndio dini ya haki na insha llah mutakuja2 kwa makundi makundi
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Kwenye majini,kweli haki yapatikana?haki yapatikana kwa Yesu pekee(John14:6)
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 4 жыл бұрын
Wakristo Kwa mtizamo huu mnatakuwa mjiongeze sana!!!!!! Mpaka hapo nafikir mmepata picha halisi
@happyarooun6037
@happyarooun6037 6 жыл бұрын
yaani hdi aibu huyo bishop bora awe comedian tu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 6 жыл бұрын
hhhhhh
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@muliamadi859
@muliamadi859 4 жыл бұрын
Mazinge fimbo ya mayaudi na wachristo, chezea weeeee chamote atawapa, big up my brother 😃😃
@wewe3394
@wewe3394 4 жыл бұрын
Mwenyekiti ananichekesha eti wamalizane uko🤣🤣🤣🤣
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Tumsifu YESU, umesema vyema kabisa lakini sio fimbo ya wanaomfuata Yesu ( Wana wa Mungu au wateule),,Warumi1:5-6..halafu unafaa uelewe kuwa katika acts11:26 ni watu walio waits wanafunzi wa Yesu wakristo,,,,Mathayo 22;14inasema walioitwa Ni wengi wateule Ni wachache . Inamaana,unaweza kuwa mkristo but usiwe mteule..Yesu ndiye njia ilionyoka John14:6
@amirsuleiman7205
@amirsuleiman7205 3 жыл бұрын
Ati anafuta extra verse
@AmosM7
@AmosM7 Жыл бұрын
Gerishon anajichocha ati sasa ni kuongea kiibrania..ati mashekeshua😂
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 5 жыл бұрын
Aca kubisha ukweli kitukinaonekana nakusikika vizuri ata pape anasema hutopata cakujibu mbele ya waisilamu nanjo bababayako sasa wamekufa wakaaca siri bila kufuta wamewauzisha wakorisuhamunalakujibu munabisha kweli
@halimamasudi7221
@halimamasudi7221 4 жыл бұрын
Masha Allah Muslims, mbona hao wenzenu Hawaii AYA?
@halimamasudi7221
@halimamasudi7221 4 жыл бұрын
Watoe AYA
@khairatsuleiman4606
@khairatsuleiman4606 Жыл бұрын
Wanayo n'a maneno mazima yamekaa sehemu yake
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@richardsineno6720
@richardsineno6720 5 жыл бұрын
hakuna lugha ya kiibrania inayofunzwa mashuleni hapa kenya so huyu Gerison anadanganya watu yeye ni kati ya wale mayahudi walio mkataa yesu abadani
@thetruewordt.v6525
@thetruewordt.v6525 4 жыл бұрын
Hapana sivyo.Kusoma kwanza si lazima uende shuleni,kunayo mitandao.Kisha,Mwalimu Gerisson na mtu ametembea duniani Sana.
@abassimakamechademakubwala5580
@abassimakamechademakubwala5580 4 жыл бұрын
Wakristo ni wababaishaji unaona wanamkataa paulo sasa wanasema jina bandia lakin si ndo huyo huyo sauli hawana lolote hao
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Tumsifu YESU ndugu,John 3:16 Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili Kila amuaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele...je,mafarisayo hayuko katika orodha ya Kila amuaminiye?Jibu Ni Yuko coz Paulo alimuamini Yesu..pili,kanisa halikuanzishwa na Paulo Bali YESU Kristo.. Mathew16:18...Tatu, YESU Kristo hakuleta dini Bali alizikuta dini,dini hazikuwa na uwezo wa kumuokoa mtu, Yesu alileta wokovu...yeye ni Kristo but hakuleta ukristo...Kila amuaminiye awe Ni mpagani, muislamu,mfree Mason,mkristo,mbuda,na dini nyinginezo,,atapata uzima wa milele,,, John14:6,barikiweni ndugu .
@ikabako2454
@ikabako2454 4 жыл бұрын
Kwanza Yesu hakuwahi kusalimia hivyo. Alikuwa akisema “shalom aleichem” yaani “amani iwe juu yako” na jibu ni “aleichem shalom” yaani “amani iwe juu yako pia”. Eti tumsifu Yesu mnatoaga wapi hayo mambo?
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
@@ikabako2454 Tumsifu YESU ndugu,hizo Ni salami tu...hata Mimi nikikusalimu"Tumsifu YESU"najitaabisha Kama Sina utakatifu (Hebrews12:14) halafu fahamu kuwa huyu YESU wangu ana heshima duniani na hata akhera Quran3:45 ...quran46:9 huyu hajui atakachofanywa Wala wanaomfuata watakacho fanywa..lakini huyu YESU wangu ananiweka wazi bila hofu..john14:1-6..anamuambia nisifadhaike,Tena atakuja kunichukua anipeleke kwake..najua utailiza kuhusu Baba,Jibu Ni John 10:30... Wafilipi2:5-11.. Amina..
@davismwamachi1145
@davismwamachi1145 4 жыл бұрын
Nikikusalimu Tumsifu YESU ndugu,Nina uhakika na huyu YESU wangu..coz yeye alikuweko kabla ya Abrahamu..Ni muumba wangu..kwa jina lake nikiwa mgonjwa napona..sipungukiwi na kitu kupitia jina lake(zaburi 112:1-10). Amina mtumishi.
HABIB MAZINGE   MITIHANI WAHUBIRI TUNAYO PATANA NAYO bondeni mombasa
1:15:43
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 313 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
PAULO MTUME WA SHETANI...MCHUNGAJI AJITIA KITANZI MWENYEWE.
52:54
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 28 М.
KUKURU KAKARA ..  MAZINGE VS PASTOR
33:37
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 149 М.
SISI RASTAFARIAN HATUKULI NYAMA...DAAWAH MITAANI NA SH MAZINGE.
29:59
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 11 М.
MCHUNGAJI DOMINIC ASILIMU NA AUKANA UKIRISTO NA KANISA LAKE ATOA SIRI ZA KANISA
12:12
IMANI PETRO KATIKA UBORA WAKE..ALLAH AMRAHAMU
1:23:14
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 73 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН