IRAN NA SAUDIA ZAFANYA MAZOEZI YAKISHE YA KIBABE|WANAISUBIRI IZRAEL

  Рет қаралды 3,289

THE WORLD NEWS

THE WORLD NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo Сағат бұрын
Mungu awajaalie umoja wakweli na awajaalienguvu inshaallaah
@AyoubHajj
@AyoubHajj Сағат бұрын
Ndugu zangu Mm kwaa furaha yangu adii machazi yananitoka Wallah m/mungu ni mkubwa Mungu adumishe undugu wetu Mungu awasimamiye
@allybetese6201
@allybetese6201 46 минут бұрын
Pole kaka nainatia mchungu sana kuona wapalestina wanateseka lakin chaajab bado wapo na usuilka na marekan na lsrail😢😢😢😢
@kouswayisaidahamada9979
@kouswayisaidahamada9979 Сағат бұрын
Safi sana warabu wawungane PUTIN hoyeeeeeeeee
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 2 сағат бұрын
WOW HII IMEENDA NDUGU WAWILI WAMEPATANA❤❤🎉🎉🎉🎉
@JafariNyallu
@JafariNyallu 36 минут бұрын
wee kuwa makin CIA at work
@JumaNtasimba
@JumaNtasimba Сағат бұрын
Safi sana warabu
@hizzasheshe3209
@hizzasheshe3209 43 минут бұрын
hawa nindugu lazima wawepamoja sana ili kumshinada adui waulimwengu marekani na iziraeli mungu wajaliye washikamane kwania njema
@allybetese6201
@allybetese6201 50 минут бұрын
Shida mwarab haelewek,lakin wangekuwa wanaeleweka ingekuwa vizur zaidi labda allah kaleta nuru yake lnshaallah uwe muungano mwema
@AhmedAladhary
@AhmedAladhary 35 минут бұрын
Mashaallah tumefurahi nihabari njema
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Сағат бұрын
Uovu unaofanywa na Israel umesambaa kwaharakasana lakini kwasasa tunaonamwanga wahaki unakuja taratibu atamae haki yawapalestina itasimama nahuenda tukashuhudia anguko la wamarekani❤
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 2 сағат бұрын
Sina Imani na Saudi Arabia, maana ni rafiki na nitegemezi wa marekani
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏 Allah .atuoneshe hakii.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 5 минут бұрын
Allah awajalie kabisa
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 2 сағат бұрын
MashaAllah
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 Сағат бұрын
Mashaallah
@mwanabeniasia3653
@mwanabeniasia3653 42 минут бұрын
❤❤❤❤❤
@JafariNyallu
@JafariNyallu 37 минут бұрын
wafanye lakin wasaudia wasipewe taarifa zozote za kijeshi, huenda wametumwa na baba Yao marekan
@Mumewangu
@Mumewangu 2 сағат бұрын
IRANI WAWE MAKIN NA HUYU MSAUDI
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 48 минут бұрын
Siti. Neno, viva rusia
@kwizeracedrick-p6u
@kwizeracedrick-p6u 2 сағат бұрын
Inshallah.yalabi.tupeushindi❤❤❤❤❤
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Сағат бұрын
Hii saut ya mtangazaji naikubuka kama kwenye media ya the hill tz kama ivo
@LabaniKushaha
@LabaniKushaha Сағат бұрын
Hata wakiungana watapogwa tu
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 23 минут бұрын
Tatizo la irani nikama marekani tu ukishirikiana nao wao wanawaza itiqadi zao na dini zao tamaduni zao wanataka waziingize kwenye nchi yako shida ndio hio dini ya ushia na dini ya kiislamu tofauti
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 2 сағат бұрын
Si haba
@focusliving9453
@focusliving9453 Сағат бұрын
Hayo mazoez n kwaajili ya kumshambulia iran mwenyewe
@shebyiddy-sd3wv
@shebyiddy-sd3wv 2 сағат бұрын
Hawa saudi arabia wanafki sana,irani asiwaamini kbs
@DevZone1089
@DevZone1089 2 сағат бұрын
Hata mm naona isije kuwa wanataka kuwachoma kupata taarifa nyeti... mana SAUDIA hawaeleweki na silaha zote wananunua kutoka marekani
@shebyiddy-sd3wv
@shebyiddy-sd3wv 2 сағат бұрын
Huyu msaudia atatumika na mmarekani kumsoma vzr muirani,,saudia mnafki san hana uadui wa wazi na mmarekani km ilivyo kwa muiran
@DevZone1089
@DevZone1089 2 сағат бұрын
@@shebyiddy-sd3wv eeh ndo hivyo man... sema Mungu awasaidie wanaopambania haki aamiin. mana ye ndo mjuzi wa mambo na ye ndo anaempa amtakae.
@PapaaMasauti-q7o
@PapaaMasauti-q7o Сағат бұрын
WAARABU NI WANAFIKI SANA
@daxenkiller6274
@daxenkiller6274 Сағат бұрын
Nan an tengeneza unafki nan anatengeneza uadui back tu africa yetu je s wanafiki lazm tuangliee chanzo ndipo tulaumu
@SiabaFadhili
@SiabaFadhili 2 сағат бұрын
Ohooo sasa Iran inafanya kosa kubwa sana kumuamini huyu jamaa dar
@SalumMohamed-ph4yn
@SalumMohamed-ph4yn Сағат бұрын
Kumuamini nani Sasa unaleta udini?
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v Сағат бұрын
Mm natak waungane warabu wt kwn hyo s mara ya kwanza waliungan zaman wakapigwa vby na tunatak waungane ili mkono wa mungu ufany kaz kw ukubwa kish wajue mungu wa Israel ndio mung
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 57 минут бұрын
Tutawapiga wt hv mpk sasa Israel tunapigana na nch 6 za kiarabu wkt huo chin na urusi wap upande wao ko niseme tu Israel tinajiwez n mungu anpenda muone nguvu zk
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 24 минут бұрын
Israel wamelaaniwa hawana Mungu yetote upande wao, na watapigwa siku moja tu
@RamadhanYusuph-xi3rh
@RamadhanYusuph-xi3rh Сағат бұрын
Mimi sioni Faida kwailo
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 сағат бұрын
Watu wameshamshitukia marekani lengo lake ni kuwagombanisha na kutanua mzozo middle east ili kumpiga iran
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 2 сағат бұрын
Marekani ni Ulaya hawapendi kusikia Saudia na Iran wakiungana kijeshi wanappenda wachukiane tu
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Сағат бұрын
Duuh sasa waraabu wamejitambua hawa walikuwa chui na paka leo wameacha tofauti yao marekani alikuwa anawagombanisha ili haitawale shamm vizuri na israeli wake sasa israeli na mmarekani wake kwisha mchina akawambia hacheni kugombana
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Сағат бұрын
saudia Sina Imani nao kabisa wamekuwa kama koroni la marekani
@amirinestory
@amirinestory 2 сағат бұрын
Kama waislam wataungana hakuna taifa litakaloonewa duniani hasa palestina
@PAULZACHARIA-l8u
@PAULZACHARIA-l8u Сағат бұрын
Iran na Saudi Arabia Pigeni Hao MANYANGAU
SAKATA LA UKRAINE LAKUNA VICHWA VYA MATAIFA  MAKUBWA DUNIANI
9:23
Как не носить с собой вещи
00:31
Miracle
Рет қаралды 1,7 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 15 МЛН
UCHAMBUZI || Uvamizi wa Urusi kwa Ukraine
7:36
Azam TV
Рет қаралды 163 М.
Iran yaonyesha ndege zake za  kivita zilizotengenezwa nchini humo
1:14
Bunge la Iraq lapitisha azimio dhidi ya Marekani
7:38
VOA Swahili
Рет қаралды 93 М.
Как не носить с собой вещи
00:31
Miracle
Рет қаралды 1,7 МЛН