Adui namba moja wa dunia kwa karine hii na iliyopita ni Marekani ingawa Mungu mwenye zi atulinde na atujaalie Vita visiendelee
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
100 % Correct
@manarakassimmanara31322 жыл бұрын
Huyu jamaa Hana maana sijui anaongea nini ni kati ya urusi na Europe na america ndio walio tutawala Kwa muda WA miaka mia tatu lakina rusia hawaja fila Africa hiyo Moja pili walitisaidia kugombania uhuru mpaka Sasa nyie wote mnaijoi lakini nasikitika uelevu ni mdogo WA kisiasa Kwa hiyo msitudanganye WATANZANIA na tupo huku Europa miaka na Miaka kwanza hamjui historiya kabla mosco kuwa kapitali ya rusia ilikuwa kievu taifa la kirusu limetoka Scandinavia na kukimbia kuunda rusia sasa ni upumbavu Kwa hiyo debeti yenu
@godfreydavid62672 жыл бұрын
kivipi mzee?
@omysule71182 жыл бұрын
Wachambuzi jaribun kuwa wakweli, anachokililia mrusi ni sawa n kile alichokililia Mmarekan wakat USSR alipofaný installation ya nuclear pale Cuba
@jonathanmutiwa37342 жыл бұрын
Mahalia vita Kuna vita Mungu uacha watu kujitengemea.Kwakua Mungu aliacha upendo umtawale mwanandamu.
@germainpennant64392 жыл бұрын
Wachambuzi mko very smart! Mko poa
@bonita3292 жыл бұрын
kaka mwenye miwani na shati la drafti umeonge point sana 👏🏽halafu mwishoni hapo unaposema Putin sio wa kumuamini ni kweli kabisa na ndio haya yanayo tokea jana na leo mpaka Ex-president wa Ukraine kayasema pia leo hii kwasababu anayo full experience ya Putin na mission zake that is true👏🏽mwenyewe nilikuwa nashangaa how come nchi nyingine zipo jirani sana na Russia na wamejiunga nato toka kitambo how come Ukraine ndio tatizo?something is wrong 🤔halafu wafrica msijisahau Russia also wanted to put Africa in the same financial slavery as American too ana lake pia MRussia Tuzidi kuomba Mungu awapiganie wenye haki 🙏🏻 manake hizi vita za mataifa kwa mataifa zipo mpaka kwenye vitabu vya dini.
@staceychristensen77002 жыл бұрын
Tunaomba Amani 🙏🏽Mapenzi ya Mungu yatimizwe 🙏🏽
@yassinphonyogo23472 жыл бұрын
mna bwsbeaja tu sadam alipigwana majeshi ya nato kwa sku ngapy toeni umbea wenu
@nyawawawanyawawa9352 жыл бұрын
Tena walimchangia Nchi kibao
@danielgitau58802 жыл бұрын
Huyu mfalme mjinga, ataichukia siku aliyo saliwa,tayari maiti za waliye tumwa sinaozea ukraine 🇺🇦
@amimumufaumekikwasa59212 жыл бұрын
China yupo sahihi ni afadhali kubaki kimia kuliko kuongeaya mambo habayo hayana bundi,ila tukija kwetu wa african marekani na wa farasa sio wazuri yani nchi nyingi za african zina filisika sana hakuna chochote kinacho kuwa eti kina leta mahendeo yani hawo wa jama wawili ni wabaya sana.
@martinsntonyo85372 жыл бұрын
Excellent analysis of what is going on in Ukraine and Russia
@kassimmurji28722 жыл бұрын
Urusi sio wachokozi wachokozi ni nnchi zamagharibi zikiongozwa na marekani ustarabu wakimagharibi unawafaaa wao sio lazima waexport nnchi zingine magharibi ni mashoga
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Kabisaa Upo Sahihi
@chance07092 жыл бұрын
Uyujama hajui Russia 🇷🇺 Mbona marikani ilishindwa Somalia 🇸🇴 na Somalia 🇸🇴 ilikua na saidiliwa na Russia 🇷🇺. Usi zany Russia 🇷🇺 niwajinga wanao wekamambo yao yote inze
@salehkhamis86532 жыл бұрын
Safi sana Nawapata vizur Azam tv tupo pamoja live mwanzo mwisho
@dorothymutegeki75432 жыл бұрын
Msitudanganye bwana Urusi watachukua Ukraine.
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
😀😀😀 Kabisa
@godfreydavid62672 жыл бұрын
@@shabbymakapaneshabby5000 22-09-2022 vipi kashaichukua? au umedanganywa na media?
@allyshekh66102 жыл бұрын
Unapokua mchambuz jitahidi kuondoa itikadi au mapenzi
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
100% umesema Kweli
@abubakarmgaza92702 жыл бұрын
Nafikiri jambo ambalo limekosekana kuelezewa hapa ni motives za NATO na siasa za magharibi dhidi ya Urusi tukianzia hapo tutaelewa vyema zaidi juu ya huu mzozo!!
@ednageorge86762 жыл бұрын
Yaani Putin ni mshenzi sanaa hana hata huruma
@ruu65922 жыл бұрын
Mtangazaji kihere here utadhani ni mukrain
@juliussuleiman39992 жыл бұрын
Putin anafanya ambacho kimewahi kufanywa na Marekani huko Iraki na libya
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Malipo atalipwa ipo siku wamemuua Shujaa wa africa gadafi walijua africa itakua na nguvu sasa wameingia motoni kwa mrusi putin black see
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
100 % 😀😀😀
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Watafurahi Na SHOW Hebu tuone kama BABA Mwenye NYUMBA Ataingilia 😂😂😂😂😂😂
@paschalcharles36172 жыл бұрын
Ni muda Sasa wa kuondokana na ukolonimambolea utawala wa kibepari tunamtaka URUSI aondoe utawala wa kibepari unaoletwa na marekani na washirika wake ,, URUSI ni WAJAMAA socialist huyu URUSI ndo tunamtaka
@mahadymasawe26592 жыл бұрын
Urusi nawakubar
@mashakaluhamba11832 жыл бұрын
Nimewasilikiza vizuri lakini kuna dalili za kununuliwa na vyombo vya magharibi. Kwanini hamuoni kuwa Amerika anataka kuisogelea Urusi ili aidhoofishe kiuchumi. Halafu Maliasili iliyoko Ukraine ichukuliwe free kama wanavyofanya Afrika.
@christophersimwinga66892 жыл бұрын
Huyu Rais mchekeshaji wa ukran ndiye wa kulaumiwa . Alitakiwa asifungamane na upande wowote kama TZ ilivyo elekea wakati wa vita baridi. Ukiwa upande fulani unakuwa adui wa upande wa pili . Ndo madhara yake
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Huyo jamaa katulia mrusi hajataka ukrine wao ni kitu kimoja na nchi ilikua na maendeleo mrusi hataki aungane na mijibwa wa ukoloni mrusi uliwahi kumuona koloni yy alitetea isipigwr irag hawajamsikiliza
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Huyu rais kajitakia aende kwa mashoga wemzake mrusi alipinga ushoga mrusi hana kiloni wao walifata africa wakakomba mrusi katetea irag Libya hawajamsiliza haitoshi wakavamia sirya kuwa mamilioni ya watu alimtetea sirya mrusi mrusi kawa nae phalistin esrael I livyo wapiga mrusi hataki ukrine ila hawataki hao majibwa wamsogelee huyo rais wa ukrine mjinga tu
@amimumufaumekikwasa59212 жыл бұрын
Leo Libya watu wana hangaika chanzo ni mumarekani na mu farasa leo Congo DRC hakuna amani ni hawo hawo wa marekani,mimi si suport vita ila mbona sisi wa african tungali na lala mpaka lini tutahamuka.
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Kweli kabisa
@johnmike60592 жыл бұрын
Nyie waongo urusi aishindwe ukraine ivi urusi mnaijua vizuri au
@jumanassoro15522 жыл бұрын
Hivi ninyi watangazaji amuoni uyo ukrin anapata nguvu kwa marekani nato na washirika wake kupewa siraha nzito kibaraka wao urussi apigani na ukrein tu
@aminsalum57312 жыл бұрын
ivi ni Mzozo au ni Vita???? TANZANIA bwana mpaka lini mnafichaficha
@Brunoh90Tv2 жыл бұрын
Vita pia ni mzozo
@ruu65922 жыл бұрын
Ni vita🤣
@beatricekimbe49662 жыл бұрын
Wanaficha wengine wantekete
@dorothymutegeki75432 жыл бұрын
Hacha uongo Urusi iko vizuri saana
@rashidrajab13912 жыл бұрын
Hapa hamna kitu pia nanyi mnaunga mkono wachochezi uraaaaaa Russia 🇷🇺 💖
@eatwell91612 жыл бұрын
Hii kuzidiwa kifikra na kuanza kuvamia inanikumbusha Tanganyika na Zanzibar
@msomimosomy98122 жыл бұрын
Huyo.mchambuzi maandazi. Eti nato haihusikina. Vtayaukrani
@mrematvbabakoku83362 жыл бұрын
Hapa tanzania tuna polis jamii washapu sana kukamata bodaboda ingefaa tuwapeleke huko wakapambane na vidume wezao
@seiflugendo50432 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@anuaryally61772 жыл бұрын
Sasa kwanini na sisi waafrika tusiwe na soviet yetu umoja wa wa afrika kuachana kuwa vibaraka uchwara wa mabebelu wachumia tumbo tunasalitiana wakati ni huu wa kujiunga tuwe na soviet yetu kama uko ubebeluni
@homeboybeyondtheborders49352 жыл бұрын
Mbona hawa wachambuzi wanaegemea upande mmoja
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Kabisa
@allymangosongo55702 жыл бұрын
Wachambuzi awajielewi urusi super power munachambua utumbo
@saheedali74672 жыл бұрын
Inafanana na mashaka ya Tanganyika na Zanzibar.
@seiflugendo50432 жыл бұрын
Mfano uliokufa
@abdalahngozi54552 жыл бұрын
Wachambuzi wanakwama, wanapga story kama wapo vijiwen. Putin anapgana vita vya kimkakati sio vita ya kuimaliza Ukraine
@joshuaswai82032 жыл бұрын
Wewe ni juha hujui kitu ushabiki bila macho kululu kalale
Ukraine ni kibaraka ..anayehatarisha amani ya dunia
@geraldpaul77722 жыл бұрын
Miminaona kweli kwamba hizinisiku za mwisho wa dunia hii
@OMANOman-qc1lm2 жыл бұрын
ao wanao ojiwa wanavyo zungumza utafikiria wanajua Russia ikoje Russia la kufanya now ampe kichapo cha maana ucrain
@jumamataro48702 жыл бұрын
Safi
@fredrickipembe81882 жыл бұрын
Nyinyi wachambuzi hajui kiti hapo nendeni mkanywe chai na chapati mambo mengi hamjui
@teljanahmed20512 жыл бұрын
Hawa sio wachambuzi nimashabiki wa UKRAINE au labda wanatafta viza ya ulaya🤔mnaelewa uwezo wa Urusi🤷♂️❓😳
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
😀😀😀😁😁😁 100 % Upo Sahihi
@tambasaloonhairstyles11482 жыл бұрын
Unatatizo kwenye uwlewa wako
@christianmwasakogo55792 жыл бұрын
Mimi ninachokiona hapo mr.putin anajilinda dhidi ya nchi za kidemokrasia kuwa nchi za magharibi zikiipokea Ukraine kuwa mwanachama wait na hiyo itakuwa ni mbinu ya kubomoa/kumuondoa putini kwenye kiti cha uraisi wa muda mrefu,anaona Ukraine itakuwa chambo kwa siku za usoni kutumika kuimsambaratisha Putin kukiacha kiti!! Na kuingiza Urusi kwenye Udemokrasia!!
@ruu65922 жыл бұрын
Iyo democracy imetuu tia umaskini kabisa
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Umeonaa
@godfreydavid62672 жыл бұрын
@@ruu6592 kivipi?
@frankbrightonembida30762 жыл бұрын
🙏🙏🙏tuwaombee
@rithajulius7402 жыл бұрын
Wanao umia hapo ni watoto na wanawake😭😭😭😭
@danielgitau58802 жыл бұрын
Wanaume hawaumii??
@johnsonuriourio61212 жыл бұрын
Upo sahihi dada ila zelenzk anapozwa anasababishwa kuua wananch wake siwez kukupa eneo langu Mimi ujekuingiza wachaw na wagaga kufanyia ramli kwa nitakuja nichukue eneo langu stajalii watoto wako Wala mkeo
@nigagi3ew2312 жыл бұрын
Acha mchezoooo mta kufaaa wote rashia wabayaa
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Hiyo black see unambia kuna vifaa hatari vimechimbiwa
NATO niwachochezi tena sana,wao ndio wameshababisha hayo yote.
@yusufuzuberi98842 жыл бұрын
Kwann kama angekuepo trample kwamba vta into endelea ukren wakariti historia Inaonesha mgogoro ulikuepo tangu 2014 inakuaje
@rengijohn37982 жыл бұрын
Mungu wasaidie weka maelewano na mapatano Kati yao
@juliusjoseph63202 жыл бұрын
Alova shati jeupe ni form one ajui lolote kwanza haoni mtoeni miwani
@masindijr.76332 жыл бұрын
Nyie wachambuzi ni wa mchongo tuu hamna jipya. Nimewasikiliza mwanzo mwisho lakini nimegundua kuwa nyie ni vibaraka wa Marekani na washirika wake..... Na Ukraine.
@halfanimasudi46792 жыл бұрын
Mungu atuepushe na haya matatizo
@mussakulanga95132 жыл бұрын
wachambuzi hawajasema mzizi wafitina wa kwanini mrusi anampiga m Ukraine shida ipo pale pale Putin amesema mataifa ya ulaya ni vibaraka wa marekani na marekani analeta base Katika nchi za nato Urusi hataki hivyo
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
100 Sahihi
@leonardnyange71522 жыл бұрын
Dunia kwa sasa inamwitaji mlusi kuliko mlusi anavyoiitaji dunia awa awa wachambuzi akuna wanachokijua
@salumsaid53692 жыл бұрын
Ila kuna umuhimu wa nyinyi wachambuzi kusoma historia ndio mje mtusimulie coz mnaelezea mnavyohisi tu kutoka kwa mitazamo yenu
@saidyhasshim23732 жыл бұрын
Tatizo muna waona wamarekani wako sawa. Wakati wana nyanyasa Afrika mzima
@faridaabdallah22132 жыл бұрын
kweli
@eddiemay5472 жыл бұрын
Urusi nikafiri ila ni mtetezi jhata enzi za mtume muhamadi saw wako makafiri ila waliipigania dini ya kiislam basi hakuna ajabu kwa urusi kupigania dunia zidi ya mashetani
@petershimbi70142 жыл бұрын
tatzo mchambuz anaulizwa tofaut na yeye anajibu tofauti
@thomsanga79562 жыл бұрын
No wewe ndio huelewi
@nzeyimaamini32822 жыл бұрын
Acheni kuingea msio yajuwa
@mombasa00762 жыл бұрын
NATO NI WACHOCHEZI WEWE KAMA HUTAKI BASI
@MwonekanoTv3 ай бұрын
Biashara ipi anayofanya mchina huko uraya
@omysule71182 жыл бұрын
Dear wachambuzi muelewe kuwa democracy ni mfumo wa serikali km mifumo mengine, ss wengine mbn hawafuati democracy lkn wanaishi maisha mazur kulik nchi zeny democracy, mifan ipo mingi t, siwaelew wachambuz hawa wana biases san
@senikomanya72232 жыл бұрын
Huyo mchambuzi wa nguo ya njano hana point
@julianamargwe16632 жыл бұрын
Duhh
@gfckukivi2092 жыл бұрын
Tafteni habari za ukweli
@jamilahathumani42222 жыл бұрын
Nimeelewa sana yan na uchambuzi
@nemecykongolo36822 жыл бұрын
pelekeni uongo wenu huko urusi nchi kubwa acheni ujuwa
@chumakasibi35852 жыл бұрын
Poutine acha muzozo autafika fasi aki ya mungu iko autafika fasi acha mapema utapata asara kubwa
@igiraneza42 жыл бұрын
Yani mpaka sasa nikiwaangilia majamaa hawa hadi na waza kwa kauli zao Africa tunaelekea wapi mbona wa afrika hivi hatuone jamani !
@frankmakomba3782 жыл бұрын
Toka hapa nilikuwa nawasikiliza hoja na maoni yenu mbalimbali, 95 % ni kweli.
@johnasmasulu52052 жыл бұрын
Balinana
@sherampunga32262 жыл бұрын
Marekani hausiki hapo, wao wenyewe wameamua wenyewe kujiunga na nato
@sajadnduti49062 жыл бұрын
Mchambuz Mwenyewe anajichubua,anachochambua ni Pumba tu
Anacho kulilia putin nisahih kwahiro inchi za magharibi sinzul kwadunia yote.
@zephaniapeter31672 жыл бұрын
Besisira kutoka nkome geita Mungu Ubaruku dunia hivi vita ikome
@msomimosomy98122 жыл бұрын
Usiseme hajielewi usiejielewaniwewe na us
@mangofish90792 жыл бұрын
Huyo anachekesha sana ukikaa kusikiliza kasumba za kimagharibi unakua na double standards. Zelensky angekua rais wa mexico halafu atake kujiunga na uruši kijeshi usa wangemstahmilia? Bora hao uruši wamepitia mazungumzo yakashindikana marekani wangekwenda kumtoa Mr bean ikulu iwe mzima au maiti. Kisha anauliza kwanini iwe Ukraine wakati kuna Estonia na Latvia wamo Nato na wamepakana na uruši? Miongoni mwa majibu kwamba, ukilinganisha mipaka ya baadhi ya nchi zinazopakana na uruši. Ukraine upande wa mashariki ukiangalia map ktk google imo ndani ya Uruši kimkakati. Lakini pia kusini ya Ukraine kuna ghuba au peninsula inaitwa Crimea hii Nato waliililia sana Putin alipogundua michongo yao akairejesha kua sehem ya Uruši. Kwanini? Ingechukuliwa kupitia Ukraine kujiunga Nato maana yake uruši kashapoteza 'territorial integrity' yake na kwamba uruši isingekuwa na uwezo tena wa kujihani kwasababu angepoteza naval power yake ktk Black Sea. Kama munasdhani hivi vita ni bahati mbaya au uruši kakurupuka basi munahitaji kurudi kusoma tena International Relation with Geopolitical. Munazungumza vitu kijuujuu tu.
@josephgelvas26682 жыл бұрын
Ok
@mustaphyassin97432 жыл бұрын
Wachambuzi nyie ni waongo
@saidiabas88552 жыл бұрын
Mbona nyinyi hamuyadili ya Palestine Congo Libya na irak mbona hamumjadili mmarekani na mabaya yake