No video

Isha Mashauzi - Sudi Sudini (Official Video)

  Рет қаралды 1,049,273

Isha Mashauzi

Isha Mashauzi

5 жыл бұрын

#IshaMashauzi #SudiSudini #SlideDigital
SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL
/ @ishamashauzi
Listen & Download Music Worldwide
ffm.to/mashauzi
Follow:
/ ishamashauzioriginal
Channel Administered by Slide Digital
/ ishamashauzioriginal

Пікірлер: 407
@rithadanda9023
@rithadanda9023 5 жыл бұрын
Kama unaipendahiinyimbo kamamimi gonga like hapa 😍😍😍😍😍
@saumuabdi5954
@saumuabdi5954 5 жыл бұрын
Napenda
@princessthuma7051
@princessthuma7051 5 жыл бұрын
Pambeee
@ramatengema3557
@ramatengema3557 4 жыл бұрын
Pambe tyuuu bg up
@mohammedngokolo6705
@mohammedngokolo6705 4 жыл бұрын
Asante isha video konk
@happynessalfred6285
@happynessalfred6285 4 жыл бұрын
Iko pos
@sashababy1321
@sashababy1321 5 жыл бұрын
Watu oyoooo gonga like km unaikubari ....nipe mamy isha kipenzi
@sashababy1321
@sashababy1321 5 жыл бұрын
😂😂nawaona vijuso. ....mambo🔥🔥🔥🔥
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
naikubali bila pingamizi..
@user-zk1uo2fp7q
@user-zk1uo2fp7q Ай бұрын
Wew aunanupizani mam ramam kuwa jikera.simba rotam kunanazi nibesti fomim na tatizi ukinupa tatizi nitatiz sauzi🇿🇦
@ShaniKazumali-wl7lc
@ShaniKazumali-wl7lc 3 ай бұрын
2024 like hapa 🎉
@omanoman2044
@omanoman2044 13 күн бұрын
Japo siyo mpenzi wa haya mambo ya dunia lak8n hii imenikamata asante aisha mashauz kwa kaz nziri san
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 5 жыл бұрын
Km ww ni fans wa Isha Mashauz na km ulikua ukisubiria video tujuane kwa like ♥♥🔥
@zariaswalehe8933
@zariaswalehe8933 4 жыл бұрын
Msg sent mom
@fadhilachilyenga5242
@fadhilachilyenga5242 4 жыл бұрын
Mussa khassan wewe kama mimi
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 4 жыл бұрын
@@fadhilachilyenga5242 safi
@ashalubeya6509
@ashalubeya6509 4 жыл бұрын
Wallah siichoki mie
@leilaselemani156
@leilaselemani156 4 жыл бұрын
Uko vizuri mdogo wangu isha
@salmaothuman4799
@salmaothuman4799 5 жыл бұрын
Baada ya mzee yusuf unaefuata ww ✌mkurya wa kwanza kuimba taraabu 😀😀😀
@raheemalewa9219
@raheemalewa9219 5 жыл бұрын
Hafiki kopa hata akaruka
@asiajuma673
@asiajuma673 5 жыл бұрын
Kabisa yaani huyu isha penda sana💋❤
@dannydon8639
@dannydon8639 4 жыл бұрын
😅😅😅😅 wakurya wenzangu twende sawa au wakurya hatujui kulike 😁😁
@freddyfredricks3435
@freddyfredricks3435 3 жыл бұрын
Hata wewe mwenyewe ndani ya nafsi yako wajua umedanganya😃😃. Hamfikii Khadija Kopa hata kwa nusu!! Wewe sema tu wewe Ni strong fan wa Isha. Nampenda Isha sana ila najua hamfikii Kopa! Labda kwa ndoto tu. Kopa ni jina kubwa Sana kwa taarab. Nenda hata kwa wabara wa Kenya,Uganda, na Tz
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 жыл бұрын
@@raheemalewa9219 tukiachana na Kopa damu ya 🇰🇪hyo,, hakna mwengne Isha ni moto bwana
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 5 жыл бұрын
Timu ishaaa mashauzi TWENDEEEEEE
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
timu pana sana
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 жыл бұрын
Teyinaaaaa
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 жыл бұрын
tupo hewaniii 🙏🏾♥️🥰
@bahataman3379
@bahataman3379 4 жыл бұрын
Zephania Mayeye hizo nyimbo zote zilinifulahisha sana
@falistarndomba9336
@falistarndomba9336 4 жыл бұрын
Nakupenda sana Pacha wangu
@alecynakaonga7920
@alecynakaonga7920 5 ай бұрын
Simba🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@dannydon8639
@dannydon8639 4 жыл бұрын
Wakurya wenzangu twende sawa au 😅😅😅😅 hamjui kulike 😁😁😁 😁
@mboweirene9670
@mboweirene9670 4 жыл бұрын
🤔😂😂
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 5 жыл бұрын
Wale wa free WiFi tujuane +974 song kali💣🔥
@bosslady8152
@bosslady8152 5 жыл бұрын
+974😘😘😘😍
@jacobodongo3917
@jacobodongo3917 4 жыл бұрын
+974 🔥🔥🔥
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 4 жыл бұрын
😚😚😚😚
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
974😍😍
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
+34 free WiFi mda wote
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 15 күн бұрын
Niko hapa 2024🎉
@ggghhh2004
@ggghhh2004 5 жыл бұрын
Tunakupenda Burundi 🇧🇮😋😋
@neemankana3070
@neemankana3070 5 жыл бұрын
Nice mama LA mamaaa
@user-nq7xi2oj4x
@user-nq7xi2oj4x 3 ай бұрын
Mungu amzidishie aisha yuko powa nyimbo zote congole mama
@annamaokola807
@annamaokola807 5 жыл бұрын
Kweli Kila mmoja na bahati yake lala mlango wazi uliwe na Simba hahaaaaaaa,,,,Kila siku maneno watajijua bora kuwapotezea...love Isha😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 жыл бұрын
ANNA MAOKOLA 😸😸😸😸👍
@lehilasalehe2342
@lehilasalehe2342 5 жыл бұрын
Kiramja anabahat yke kazikwenu walala milango nje
@kamkamandallaz7793
@kamkamandallaz7793 4 жыл бұрын
Ndio sanaa halsi
@faudhiaally3669
@faudhiaally3669 4 жыл бұрын
Kwa kweli ht ukiwa mwelevu hawatokugeuza ng'ombe hpn chezeaa
@mwadawaibrahimmohamed6089
@mwadawaibrahimmohamed6089 2 ай бұрын
Sana Isha tupo nyuma yako inua taarabu binti yetu tulkuwa tumekosa raha❤
@mashamwaki6384
@mashamwaki6384 5 жыл бұрын
Shikamoo isha hapana chezeaa mamaa kubwaaa😂
@omanoman4182
@omanoman4182 5 жыл бұрын
Asanteeeee mamaaa LA mamaaaaa nakupenda ishaaaa😘😘😘😘😘😘😘
@wardakasala8956
@wardakasala8956 5 жыл бұрын
Pambeeeeeeeeeee kama umeona kiuno chakunanazi kama mimi gonga like hapa
@melchizedekoumamakora6271
@melchizedekoumamakora6271 5 жыл бұрын
Kukuna nazi yaitaji ujuzi. Miye hapa nakuna nazi.
@pillykenedy2140
@pillykenedy2140 5 жыл бұрын
Hiyo ndo musoma moja,wakurya gonga like tujuane💪
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
tupo sana
@usherngwele1336
@usherngwele1336 4 жыл бұрын
Pigaa kelele Kwa isha already weweeee
@yashanon1338
@yashanon1338 6 ай бұрын
😢😢🎉😂🎉​@@lonnmutta2073🎉🙃pictr
@mwanisaidi4761
@mwanisaidi4761 4 жыл бұрын
Kusikiliza na kusoma like kunanoga zaidi
@halimasahani5562
@halimasahani5562 5 жыл бұрын
Isha kwa kuvaa tu kiboko fundi wako anakuptia htr
@samialalionne2603
@samialalionne2603 5 жыл бұрын
Isha isha wang nakupenda saaana bip up saana mama chr karibu burundi ,,❤❤❤❤❤
@shadrackkhamis7439
@shadrackkhamis7439 3 жыл бұрын
Kwann waimba taran mbakuwa na miziwa Ivo ila unaimba vzuri sana I like it
@mbaabulaban
@mbaabulaban 4 жыл бұрын
Mja hapati, hapati alitakalo Bali hupata, ajaliwalo na Mungu Usikonde, kwa hili nilipatalo Hilo ndilo, hilo ndilo langu fuu Mja hapati, hapati alitakalo Bali hupata, ajaliwalo na Mungu Usikonde, kwa hili nilipatalo Hilo ndilo, hilo ndilo langu fuu Sudi, sudi sudini Bahati ya mwenzio, usilale mlango wazi Sudi, sudi sudini Bahati ya mwenzio, usilale mlango wazi Ni lipi nililowakosea? Mbona yenyu ni machafu hamsemi Mabaya, kutwa kunipakazia Kama nina deni niambieni Maana kila siku maneno Mie si mtu, hilo linatoka wapi? Mmenibadilisha jina naitwa mchawi Tena hasidi, yote yanatoka wapi Maana kila siku maneno Mie si mtu, hilo linatoka wapi? Mmenibadilisha jina naitwa mchawi Tena hasidi, yote yanatoka wapi? Niliyajua mapema ndo maana nikapuuzia Washa zoea kusengenya ndo maana nawapotezeaga Si hofii mi wenu unafiki, shingoni sijitii kamba Wajidanganya na vyenyu visiki, sumu yenyu sitoilamba Alopewa na Mola hapokonyeki, wala msijisumbuke kwa dumba Wajidanganya na vyenyu visiki, sumu yenyu sitoilamba Mwanitangazia, mwajitangaza mitaani Kwamba mnanijua, mimi kiundani wewe Kuliko hata alonileta duniani wewe Tena mnajinadi, huko mitaani wewe Kwamba mnanijua, mimi kiundani wewe Kuliko hata alonileta duniani wewe Nyie kama mahodari basi naye mseme Yaani nyie kibindoni wana wa wezenu midomoni Nyie kama mahodari basi naye mseme Yaani nyie kibindoni wana wa wezenu midomoni Sudi sudini, asiye bahati habahatishi Sudi nichukie nyinyi, tamaa hamnikatishi Mwajipatia dhambi nyinyi, nalala mie sikeshi Ikiwa kuna kuozwa nahisi nimetenda Basi niko radhi chini niweke mimi Kuliko kukaa pembeni, mabaya kuzua Na mimi nina roho, kama nyinyi Hata ukiwa mwerevu wao watakugeuza ng’ombe Kusudi wakupake majivu, hao hawana aibu viumbe Nafeli kwa kukosa usikivu, hamna subira hata chembe Mnapoteza mwenzenu kwa mambo yenu ya kizembee Sibabaiki na yenu majungu mie Mie nawaua kisugu mie Mwasaka kiti kupitia jina langu Ukimya ndo sina haya hangu mie Mmesahau kuwa kuna Mungu Mwapinga ramli chini ya uvungu nyie Sudi sudini, asiye bahati habahatishi Sudi nichukie nyinyi, tamaa hamnikatishi Mwajipatia dhambi nyinyi, nalala mie sikeshi Sudi sudini, asiye bahati habahatishi Sudi nichukie nyinyi, tamaa hamnikatishi Mwajipatia dhambi bure, nalala mie sikeshi Pole, pole sana eeh Pole, pole sana eeh Na kila kitu mimi Mimi mchawi wako mimi Mimi hasidi yako mimi Mimi na ubaya wako mimi Kila kitu mimi Pole, pole sana eeh Pole, pole sana eeh Umeshinda ugangani, kesha uchawini Sina hirizi shingoni, shina ushale mwilini Mimi najiamini, namtegemea maanani Pole, pole sana eeh Pole, pole sana eeh Na kila kitu mimi Mimi mchawi wako mimi Mimi hasidi yako mimi Mimi na ubaya wako mimi Kila kitu mimi Pole, pole sana eeh Pole, pole sana eeh Kuna nazi, kuna nazi Kuna nazi, haya kuna nazi Kukuna nazi kwahitaji ujuzi wewe Kama hujui nenda muulize somo yako Kukuna nazi kwahitaji ujuzi wewe Kama hujui kamuulize somo yako wee Mi mwenzangu anakuna nazi, haya kuna nazi Haya imba mwenzangu anakuna nazi, haya kuna nazi Nazi kweli jamani inampendwa wewe Ila kukuna eeh yahitaji ujuzi wee Na iwapo wataka kujaribu wewe Basi nenda uulize wenye ujuzi wee Angalia usilete upuzi wewe Kukuna nazi kwahitaji ujuzi wee Mi mwenzangu ana-kuna nazi, haya kuna nazi Haya sasa mimi na kuna nazi, haya kuna nazi Kukuna nazi kwahitaji ujuzi wewe Kama hujui nenda muulize somo yako wee Mi mwenzangu ana-kuna nazi, haya kuna nazi Mi hodari kukuna ee kuna nazi, haya kuna nazi Haya imba mwenzangu ana-kuna nazi, haya kuna nazi Sitaki, sipendi, naogopa Anajijua yeye kwamba yeye si mzima Anataka kumpa mwenzake maradhi Anajijua yeye kwamba yeye si mzima Anataka kumpa mwenzake maradhi Kwa makusudi Sitaki, sipendi, naogopa, sitaki Anajijua yeye kwamba yeye si mzima Anataka kumpa mwenzake maradhi Anajijua yeye kwamba yeye si mzima Anataka kumpa mwenzake maradhi Kwa makusudi Sitaki, sipendi, naogopa, sitaki Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Maneno ya watu wanapenda uwongo(Hicho kiranga) Ua fisi wapi ? Kutwa kimbelembele(Hicho kiranga) Watu washamjua pembeni wanamcheka oooh Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Ugomvi si wake kutwa kimbelembele(Hicho kiranga) Kuchukia watoto wa wenzake bila sababu(Hicho kiranga) Kuingililia maneno yasiyo mhusu(Hicho kiranga) Wenzake washamjua pembeni wanamcheka Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Umelikoroga hilo, leo utalinywa hilo Chachizi ukimpa tatizi alitatue ni tatizi(Haha)
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Pig ip my umewweza sn
@billywilz8753
@billywilz8753 8 ай бұрын
Beba mimi hivo hivo😊
@zainabzz7241
@zainabzz7241 3 жыл бұрын
Kelele ya kwanza kwa isha wake woyoooooh 😘😘💃jike la simba wawaaaaaaaaaaaaa
@alicejoseph6579
@alicejoseph6579 2 жыл бұрын
Naenjoy Sana na isha mashàuz "kilà kitu mm na mbaya wako mm jmn"
@zenamohamedi900
@zenamohamedi900 5 жыл бұрын
Na kukubalii👌dada una shoo mbovu ujawai kuyumba apo sasa kwenye kukuna nazi kama ujui kamuulize somo yako ataliii
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
Ila isha umezid kunenepa banah eeh
@floridaally3095
@floridaally3095 5 жыл бұрын
Hujawai tuangusha mashabik zako nakupenda sana we mwanamke
@ridgeglorialukusa3597
@ridgeglorialukusa3597 4 жыл бұрын
Tume kupenda sana Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🧚🏽‍♂️🧚🏽‍♂️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@selemaniomartwaha5416
@selemaniomartwaha5416 3 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni hakiake mpeni sahangazi unatisha
@maisarangade7743
@maisarangade7743 4 жыл бұрын
Weweeeeeee Tena na nusu my hapana chezea kuria
@mwanamisibalozi3147
@mwanamisibalozi3147 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana Kenya😍🇰🇪
@modesthywilliam3482
@modesthywilliam3482 5 жыл бұрын
isha Mashauzi Unapendwa n mama Nillan 💕💖
@josephchawa2243
@josephchawa2243 5 жыл бұрын
mashaallah nyimbo nzuri na muimbaji yuko pouwaaa😚😚😚😚
@mpechifamily5111
@mpechifamily5111 5 жыл бұрын
kwanza umedamshi halafu hiyo video iko poa kabisa ukoseage my ongera kwa hilo
@michaelotienookumu7367
@michaelotienookumu7367 2 жыл бұрын
Hito sauti ya "kuna nazi...." kweli huu ni ujuzi!! Kazi njema Isha...
@maryamshabani6024
@maryamshabani6024 5 жыл бұрын
Umeutendea haki wimbo video Kali na nyimbo Kali atal💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@nikolausmalezi839
@nikolausmalezi839 3 жыл бұрын
Yaani mi nimejikuta tu nakupenda bure bonge la ngoma, taraabu ilotulia imebeba jumbe ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🖐️🖐️🖐️
@bahatimnyanga3504
@bahatimnyanga3504 4 жыл бұрын
Jamani kama nnageni nambieni Mmenibadirisha jina Naitwa mchawi ?2020 Tujuwane bass
@254NOMAD
@254NOMAD 2 жыл бұрын
Am watching 2yrs later but I have to admit this is the best song I have ever watched in life.
@cricketchat-talkkenyancric8113
@cricketchat-talkkenyancric8113 Жыл бұрын
Me too.... I love this song
@francispaul5806
@francispaul5806 6 ай бұрын
Stop lying
@254NOMAD
@254NOMAD 6 ай бұрын
@@francispaul5806 true story!
@user-jl8ep8ni2n
@user-jl8ep8ni2n 5 ай бұрын
❤❤❤
@allackymohamedy9712
@allackymohamedy9712 5 жыл бұрын
Kazi nzr sana big up queen of the best melody
@raudhaally2863
@raudhaally2863 5 жыл бұрын
Yn hio location nzr jumba limepambika mashallah jamnii nimelipenda very amaizing na nyimbo ashhh hooooot
@shemsasaid7869
@shemsasaid7869 2 жыл бұрын
Ndomana tunakupenda wazanzibari
@zainahali1274
@zainahali1274 5 жыл бұрын
I am here for you Mama 😍😍😋😋😘😘😘😘..kazi safi Sana 💋❤💖💕..Endelea kutupa taarabu nzuri kabisa
@huaweiphone9120
@huaweiphone9120 4 жыл бұрын
I love you songs
@asinathmuhidini4046
@asinathmuhidini4046 3 жыл бұрын
Ilove you isha yani wewe fani yako talaabu na nyimbo zingine. Tupege laaa uzidi kutukomesha mashabiki zako mwaaaaaa
@tinalmethod9911
@tinalmethod9911 3 жыл бұрын
Safiiiiiii
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
Nakupnda km pesa yaan toka nianz kukujuw hujawah niangusha maneno kunt na umepndeza sanaaa na hasa nguo ya black
@monnymadame3719
@monnymadame3719 4 жыл бұрын
Unajitahidi kucheza maa mashallah
@bimkubwasaid4673
@bimkubwasaid4673 3 жыл бұрын
Nakbli kaz Isha✌✌
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
one love nimeipenda sana hii imeweza mno tu murwa sana hio video iko clear sana kazi pana
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 жыл бұрын
much love and adoration sister you are a great star salute..
@livingstonemusungumuyunji7309
@livingstonemusungumuyunji7309 Жыл бұрын
Wow hii juu wallai mashauzi
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 20 күн бұрын
Da isha mawigi yako pambe😅
@abopicsissa2774
@abopicsissa2774 4 жыл бұрын
Miye hoyiiiiiiii kwako isha mama
@SharifMakhisa-yv3ft
@SharifMakhisa-yv3ft 6 ай бұрын
For sure if this's the latest then mama isha hapa ndipo❤❤
@rajuabdou8293
@rajuabdou8293 4 жыл бұрын
Comoros 🇰🇲 🇰🇲 jinsi tunakupenda 👌🙏🏿💚
@qunwenishamsa8617
@qunwenishamsa8617 5 жыл бұрын
Asanteee my lv mambo ni 👌
@user-zf8lv6sh9e
@user-zf8lv6sh9e 2 ай бұрын
Asantaaaaaa❤❤❤❤❤
@fatumakombo2531
@fatumakombo2531 3 жыл бұрын
Nakupa zote isha wangu umekosha sana sichoki kusikiliza hii nyimbo
@Officialconi20
@Officialconi20 5 ай бұрын
Mie saut ina nimaliza ❤❤
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
Daaaaa!!!!jimbo tamu balaaaaa jamani
@yusuphkaoneka3664
@yusuphkaoneka3664 5 жыл бұрын
Nilikua nasubilito hii video hongera kwa kazi nzuri
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 Жыл бұрын
isha upo juu utabaki juu inshallah mungu azidi kukubariki
@hamidamahmoud9511
@hamidamahmoud9511 5 жыл бұрын
Bado naisubiri nitakonda isha big up sana wewe ndo msanii nikupendae tz na nandy
@aishambwana6886
@aishambwana6886 3 жыл бұрын
Nakukubali wajina
@hosnaali6165
@hosnaali6165 5 жыл бұрын
asantaa 😍😍hilo limewafikia wakanisema kwa ubya ..kama imeandikwa itakua
@FatumaMhina-vu1ux
@FatumaMhina-vu1ux Жыл бұрын
Respect sana kwak
@azizayahaya1767
@azizayahaya1767 4 жыл бұрын
Pambeeeeee
@jumaamashaka2497
@jumaamashaka2497 5 жыл бұрын
Napenda ukiimba sebene sio taarab isha
@user-oq9bi7cl8m
@user-oq9bi7cl8m 6 ай бұрын
Dada Aisha hii noma nyimbo zako zote napenda mama tupe taarabu
@halimamiraji4013
@halimamiraji4013 5 жыл бұрын
Yani mwanzo mwisho umedamshii mashallah mungu akulinde na mahasid
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Umeon ee my mamb n mot
@madjaliwaimidy6679
@madjaliwaimidy6679 5 жыл бұрын
Congratulation dada asha
@antepasmtuy1926
@antepasmtuy1926 3 жыл бұрын
Mm apapoa
@rehemadonald2592
@rehemadonald2592 2 жыл бұрын
Unajua San dada
@ashalubeya6509
@ashalubeya6509 5 жыл бұрын
Imesimama Isha wangu ,love you
@hhggg716
@hhggg716 4 жыл бұрын
FATUMA MASHALLAH dd mashauzi 😍😍
@hadijapazzi7793
@hadijapazzi7793 3 жыл бұрын
Ipo poa naipenda sana hiiii
@salhakambangwa2495
@salhakambangwa2495 4 жыл бұрын
pambee upon juu
@rehemarehema4798
@rehemarehema4798 2 жыл бұрын
Kabisa ujakosea mamy
@hadijasungura2965
@hadijasungura2965 5 жыл бұрын
Nampenda huyu
@jerinanguto3723
@jerinanguto3723 2 жыл бұрын
Masharrrhau-isha
@ibrasubaru8930
@ibrasubaru8930 4 жыл бұрын
Hahahh kweli sudi sudini momy
@aminashq1181
@aminashq1181 5 жыл бұрын
Nakupenda Isha mashauzi💖💖💖
@mariamubakari599
@mariamubakari599 4 жыл бұрын
Yani ww ndo uliobaki katika waimbaji wa taarabu yani haunaga kazi mbovu nakupenda hadi naumwa Malkia wa taarabu , jike la cmba yani nukikuona hata kama nina hasira huwa nafarijika sana ninapockiliza nyimbo zako
@princessmamitho5717
@princessmamitho5717 4 жыл бұрын
MUSOMA hoyeeeee😍😍😍
@zawadihamisi9585
@zawadihamisi9585 4 жыл бұрын
Penda ww SANA isha
@twahaanyoni9368
@twahaanyoni9368 4 жыл бұрын
Uyuu dada huaga namuhelewa wallah videos Kali sana himeweza good momy
@fatumaramadhan6530
@fatumaramadhan6530 4 жыл бұрын
mwasaka kk kupitia jina langu imekula kwenu
@salmahamisi8868
@salmahamisi8868 5 жыл бұрын
Isha huwa nakuelewaga kinoumaaaaa
@allymindad1839
@allymindad1839 4 жыл бұрын
Isha noma nakupendaje
@alimashabani2252
@alimashabani2252 3 жыл бұрын
Hamu aishi dada kusikiya nyimbozako wekibokoyaoo Aisha akuna zaidiyako
@shakilamohamed7943
@shakilamohamed7943 3 жыл бұрын
Nakupenda bure
@noelaligwa5060
@noelaligwa5060 2 жыл бұрын
Jamani isha nakupa zote asilimia
@jacklinerichard4155
@jacklinerichard4155 4 жыл бұрын
Unaimbaa dada
@jacksonmhonie3862
@jacksonmhonie3862 29 күн бұрын
You are my best artist keep it up the 🔥 is burning ❤
@mvoih4854
@mvoih4854 3 жыл бұрын
Sidhani kama utatoa wimbo mwengine wa kuupindua wimbo huu SUDI SUDINI!!!
@CharlesAmonmakelele-uw3jh
@CharlesAmonmakelele-uw3jh Жыл бұрын
Niliyajua hayo mapema ndoo maana nikapuuzia dah!
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 жыл бұрын
Kilaktu Mimi hahaha nipo bz natfta
@iddyramadhan4817
@iddyramadhan4817 4 жыл бұрын
Sifa za mungu mawaidha
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 5 жыл бұрын
Upovizurii isha jamani
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 5 ай бұрын
Bahati ya mwezio usiilalie mlango wazi utaliwa na simba dume
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Isha Mashauzi
Рет қаралды 503 М.
Isha Mashauzi - Thamani Ya Mama
10:03
Isha Mashauzi
Рет қаралды 785 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 180 МЛН
Inzi Wa Kijani (feat. Fungakazi Modern Taarab)
16:33
ASHURA MACHUPA - Topic
Рет қаралды 31 М.
Sura Surambi
13:13
Isha Mashauzi
Рет қаралды 108 М.
Hisani Yangu
6:28
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 553 М.
Tugawane Ustaarabu
16:19
Isha Mashauzi
Рет қаралды 215 М.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 159 М.
Taarab: Khadija Kopa - Mjini Chuo Kikuu . Audio
17:59
Marjan Sempa
Рет қаралды 896 М.
Isha Mashauzi - Nimpe Nani (OFFICIAL HD VIDEO)
3:28
Isha Mashauzi
Рет қаралды 4 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН