Isha Ramadhan - Mama Nipe Radhi One of the greatest and classic taarab of all the time

  Рет қаралды 3,705,936

LEAKSTV NETWORK

LEAKSTV NETWORK

12 жыл бұрын

Пікірлер: 1 300
@Riziki-ek3ko
@Riziki-ek3ko 2 ай бұрын
Wanao tizama hii nyimbo huu mwaka twende like
@happyjoseph5840
@happyjoseph5840 23 күн бұрын
Akuna kama mama miaka 💯 msj nzuri ya mama na mwana 2024 nyiee isha anajua ❤
@nasib_filmwhip9957
@nasib_filmwhip9957 Жыл бұрын
Still hitting different in 2023 💯💥💥
@jordanjustin7290
@jordanjustin7290 5 жыл бұрын
Kuishi kwingi ndio kuona mengi kwa hiyo mwanangu kwenye wengi kuna mengi.... Kama umesikia hiyo gonga like
@gsmtools8956
@gsmtools8956 7 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️😍
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Nimefiwa na mama a few weeks ago!huu wimbo una maana nyingi kwa nyie ambao mna mama!the best person ever
@user-qy8lw4pd4v
@user-qy8lw4pd4v 11 ай бұрын
Allah amrehemu mama yangu kipenzi ila mungu amempenda Zaid hii nyimbo inanigusa sanaa kwelii kuishi nawatu kazi sanaa
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Mama ni number moja hana mpizani naipenda sna hii nyimbo ongera my somu
@amnahleilah8589
@amnahleilah8589 6 жыл бұрын
Ukipata radhi maishani utanyookewa ukimdharau muzazi mwishoni utararukiwa
@hadjiyussuf4566
@hadjiyussuf4566 5 жыл бұрын
Rip bi rukia juma Allah akuwe penye wema peponi
@msusamusa7178
@msusamusa7178 6 жыл бұрын
Mama thamani yako naijuwa mimi namuomba Allah hazidi kutuweka salama hapa duniani ili uje uione thamani yangu na mie naandika huu ujumbe kwa hisia Kali moyoni kwakuwa uko mbali na mie nakupenda mama "I will love my mummy than my son"
@halima9061
@halima9061 5 жыл бұрын
kwakweli inauma
@maryamhamisi4257
@maryamhamisi4257 4 жыл бұрын
Wewe naipenda sana ahaha hahaha wape
@sudisudick7886
@sudisudick7886 4 жыл бұрын
Asante na nimekuelewa musa
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Da tuko wengi tuko mbali s na mm zetu
@happinessmwidini8992
@happinessmwidini8992 3 жыл бұрын
Best naso
@rahmarogath4067
@rahmarogath4067 2 жыл бұрын
Jamani nikiskiliza wimbo huu machozi yanatoka😭😭😭😭😭
@MudMuho-zo9do
@MudMuho-zo9do 9 ай бұрын
Pole sana jamani
@shadyjuma7688
@shadyjuma7688 4 жыл бұрын
Innalillah wainaillah rajuin Allah akulaze pahla pema Pepon na akupe mwanga na nuru akupe mwanga wa milele 😫😫😫😫😫😥😥mbele y2 nyuma yako mama angu daaah dunia hii jmn
@alfredycheyo8847
@alfredycheyo8847 6 жыл бұрын
Mama nipe radhi,kuishi na watu ni kazi inahitaji ujuzi !!
@chabbybae9294
@chabbybae9294 6 жыл бұрын
Nice song
@hajiurassa3790
@hajiurassa3790 6 жыл бұрын
Masungwa Masungwa sister upo vzr xana umeniburudisha xan pia umenikumbuxha mbal xan
@khadijatwahir9743
@khadijatwahir9743 5 жыл бұрын
Penda sana mama yangu sema mungu kampenda zaid penda isha
@bintisalumubintisalumu5482
@bintisalumubintisalumu5482 5 жыл бұрын
Mamanipe
@alfredycheyo8847
@alfredycheyo8847 5 жыл бұрын
*Insha Allah, kwake M/Mungu asiyekosa kwake ndio marejeo yeke*
@halimamohammedy9247
@halimamohammedy9247 5 жыл бұрын
Napata shida sana natamani kukurudisha mama angu ila mungu kakupenda zaidi yangu pumzika kwa amani tu mama angu
@mohammedkijimbu4051
@mohammedkijimbu4051 5 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema
@sudisudick7886
@sudisudick7886 3 жыл бұрын
Pole Sana ndgu yang u🤔🤔🤔
@shukurumavumila1684
@shukurumavumila1684 3 жыл бұрын
Pole sana
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Pole my
@barakambogera1667
@barakambogera1667 5 жыл бұрын
Pole Sana na KUFIWA na mama yako mzazi Bi rukia juma hakika apumzike KWA AMANI :"""!:""
@halimakombe4734
@halimakombe4734 2 жыл бұрын
Ahsante mama kwakunileta duniani mama yangu ndonguzo yangu
@vuzoblog2230
@vuzoblog2230 6 жыл бұрын
Hakuna kama mama, safi sana
@najmamichael2208
@najmamichael2208 5 жыл бұрын
Nakupenda san mama angu bi khadija mungu akupe maisha marefu ya kuishi hapa duniani kweli kuishi na watu kazi
@babat5272
@babat5272 3 жыл бұрын
nakupenda sana mama yangu. wee mwenyezi. Mungu nakuomba unitunzie mama yangu. Umzidishie afya njema aishi miaka 1000
@bahatimwasaghwile8336
@bahatimwasaghwile8336 Жыл бұрын
Nakupenda mama angu
@geonycoutinho5055
@geonycoutinho5055 5 жыл бұрын
Hii nyimbo nzuri sana nakupenda sana mama ang kipenz mungu
@aishambise8835
@aishambise8835 4 жыл бұрын
R l P mama yangu uliko mungu akuodolee Adhabu ya kaburi
@kokujohn2220
@kokujohn2220 2 жыл бұрын
No kwer msera wangu
@neemaiddy3750
@neemaiddy3750 5 жыл бұрын
Mama angu popote ulipo nakupenda sana umetulea kwashida mpaka tumekuwa wakubwa Mungu akutunze mama angu,,
@zainabg1309
@zainabg1309 Жыл бұрын
💥💥💥
@fatmanassib2823
@fatmanassib2823 6 жыл бұрын
Mama nipe radhi.. Love u isha Ramadhan. Mashauzi iko yu
@abbassuleh9920
@abbassuleh9920 5 жыл бұрын
Nakupenda sana mamangu,bila wewe sipati Rana duniani
@mudrickabdallah8496
@mudrickabdallah8496 4 жыл бұрын
Akuna kama mama nampenda sana mama yangu mungu ampe kauli thabit uko alipo
@allyduwa9914
@allyduwa9914 4 жыл бұрын
Mbele yako mama yangu mzazi bi fatuma daimu nakukumbuka sana mama yangu umeondoka kwenye uso huu wa dunia mwanao uliniacha bado mdogo cjaanza kujitemea ujawai kula hata mia kma kifuta mgongo chako kwa yale uliyonifundisha jinsi ya kuishi na wanazengo waja wasiokuwa na haya wala vibaya
@mariajoseph5347
@mariajoseph5347 3 жыл бұрын
Wanano itazama 2020 gonga like Kwel kuishi na watu kazi
@fatmachambotanzania9379
@fatmachambotanzania9379 5 жыл бұрын
R.I.P mama Rukia yaan kwa haya nnayopitia haukukosea kuishi na watu kazi sana tena kazi mzito kila ufanyalo kwao ni baya tu
@aishaanthony4508
@aishaanthony4508 3 жыл бұрын
Pole kipezi
@getrudemauya8298
@getrudemauya8298 7 жыл бұрын
Mama umenivumilia mengi nakupenda sana,big up sis Isha utunzi mzuri
@mohammedfundi545
@mohammedfundi545 6 жыл бұрын
Namkubali mashauzi ,nimekua sasa nimeona kazi ya mamangu alioipitia.ewe mola msamehe madhambi yake aliyoyatanguliza na yajayo amin
@ba3206
@ba3206 9 жыл бұрын
Unaweza ukadhania wana act kumbe ni kweli ni mama na mwanae...mama anaonekana mdogo sana....I love Isha...hasa mashauzi yako
@abbyk_lymo4053
@abbyk_lymo4053 6 жыл бұрын
sijajua kama ni mtu na mama ake kabsaa. aisee safi sana hii nyimbo haiish utamu
@pantamagonga9132
@pantamagonga9132 4 жыл бұрын
Penda sana aise inanikumbusha Mbali mno
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali mashauz class
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Tuwapende I Mama zetu,haijarishi ,wanepitia nahumu mengi kutukuza , allah awafanyie wepesi inshallah,na waliotangulia basi mwenyezimungu awape kauli thabiti inshallah.kina Mama wate ni masuper woman's
@annamaokola807
@annamaokola807 5 жыл бұрын
Kwa kweli hakuna kama mama!!!mama nipe radhi kuishi na watu kazi,,, song litadumu miaka kama yote!big up ISHA
@ngomangoma8629
@ngomangoma8629 Жыл бұрын
Llooop
@biasha5414
@biasha5414 Жыл бұрын
Nape da Sana hii taarab
@jumaayubu3048
@jumaayubu3048 6 жыл бұрын
Napenda xna hii Taraabu na ntaipenda daima
@farajisureman9925
@farajisureman9925 4 жыл бұрын
Hii imetulia kuna mzigo wa Mossi sasa ukikaa na huu
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
Ujumbe mzur nimeipenda asanten kina Mama
@nusurakaoneka5281
@nusurakaoneka5281 4 жыл бұрын
Nani Kama mama
@gastonngedenokm8478
@gastonngedenokm8478 4 жыл бұрын
Kuishi kwingi kuona mengi mungu mjaalie huyu mwana sanaa
@rosemarymathias4938
@rosemarymathias4938 3 жыл бұрын
Hakuna kama mama.
@ashiraali3954
@ashiraali3954 7 жыл бұрын
nice sanaaa hakuna kama mamaaaaaaa
@annasimon178
@annasimon178 3 жыл бұрын
Waooo dada angu mie msoma hakuna mchovu akiwa mchovu uyo kachanganya Asante sn
@abasisalum9691
@abasisalum9691 4 жыл бұрын
RIP MAMA 😭😭😭 HII DUNIA TUNAPITA DAH 2019 LIKE APA
@abasomary7122
@abasomary7122 4 жыл бұрын
Wimbo huu na maneno yake yatadumu milele hakuna wa kuushusha Mama ni mama tuu hata awe kichaa hakuna kama mama .Kila kitu kwenye wimbo huu kinetulia na umeimbwa kwa ubunifu sana Hongera sana Aisha na Hongereni sana wote mlioitwa MAMA kwani hakuna kopy ya mama .Mama atabakia kuwa mama tuu
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 4 жыл бұрын
MUNGU msamehe MAMA yangu makosa yake😭😭😭😭😭 pumzika MAMA yangu one day tutaonana
@salimasalim7796
@salimasalim7796 Жыл бұрын
Pole my yn m nikion Mt anmama bs naumia lkn ndo ivyo TN y mung meng
@daveme9180
@daveme9180 Жыл бұрын
Amina
@wilisonmbwambo7110
@wilisonmbwambo7110 5 жыл бұрын
nimekumbuka mwaka 2010 nilikua naupenda sana mpakaleo 2018
@seifkuku3943
@seifkuku3943 7 жыл бұрын
pamoja na ujane aliokuwa nao mama yangu wallah hatukuwahi kulala njaa..alikuwa radhi akae na njaa wanawe tule
@mariamually9502
@mariamually9502 6 жыл бұрын
Seif Ally mamag.mahabube.nakupenda
@mkaliimkalii6064
@mkaliimkalii6064 6 жыл бұрын
Big big sana mamaa
@fatumaseleman2373
@fatumaseleman2373 5 жыл бұрын
Sefu
@halimahalima7356
@halimahalima7356 5 жыл бұрын
penda sana umwimbo
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 4 жыл бұрын
Alihamdulilah mama ndy kila kitu kwang love mom
@jasintamushi2614
@jasintamushi2614 4 жыл бұрын
Wenye tnaangaliaaa 2020 gonga like
@malken8181
@malken8181 2 жыл бұрын
Nakuhasa mwanangu hii dunia tunapita kuisha na walimwengu yahitaji uvumilivu wema wako utaukuta kwa mungu ❤2022 nimeelewa sana hicho kipengele
@violetnyandege2029
@violetnyandege2029 10 ай бұрын
Ukweli kabisa
@angelsuleiman4668
@angelsuleiman4668 6 жыл бұрын
nakupenda mama mengi umenijalia japo kitu sina utu wangu pokea ,,,hongera ishaa
@aishamohamed4412
@aishamohamed4412 5 жыл бұрын
Wanaoitazama 2019 gonga like
@havijawaabdallah8026
@havijawaabdallah8026 5 жыл бұрын
September 2018??? 🙌🙌 One of my best song ever kwny taarab😋😋😋. Qan hapa nilipo mashetani apa una mashetani weh..
@florrybenjamin7372
@florrybenjamin7372 7 жыл бұрын
kweli katika hii dunia utapambana na mengi cha msingi kuvumilia yarabi nipe uvumilivu
@yngsavage6262
@yngsavage6262 5 жыл бұрын
Mama mwalimu'docter ;masibu kwa kweli ni kilakitu
@peteriranga5592
@peteriranga5592 2 жыл бұрын
.... still listening 2021. Mama ndiyo kila kitu; Love you Mama.😘🙏
@tusemezanenamariana5933
@tusemezanenamariana5933 3 жыл бұрын
Wangapi wanatizama 2020 Tujuane hapa..gonga like kaa zote❤️💜💜💜💜
@shabankimbulasantekonde549
@shabankimbulasantekonde549 Жыл бұрын
Tupo weng pia hii nyimbo inamaadir Sana
@norah2079
@norah2079 5 жыл бұрын
Tupo wakenya 2019 apa tunaoisikiza hii ya mama???kidole juu tusonge mbele jamani☝❤💕
@sammynganga8998
@sammynganga8998 7 жыл бұрын
Hongera mama nani kama mama
@mashaallah4186
@mashaallah4186 4 жыл бұрын
walah niisikiza natokwa na machozi maana siko karibu na mamangu mda sasa
@magrethjumamaundazoloamisi596
@magrethjumamaundazoloamisi596 4 жыл бұрын
Naupenda Sana uwimbo nani kam mama
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 жыл бұрын
Nani kam mama jamani ❤❤
@lightnessmbise1430
@lightnessmbise1430 7 жыл бұрын
R. I. P my luvely mumy!!! Ahsantee kwa kunifunza mengi katika hii dunia.
@abbyk_lymo4053
@abbyk_lymo4053 6 жыл бұрын
R.i p my mom too
@godsonjuma6868
@godsonjuma6868 6 жыл бұрын
Mamauko vizur
@peterelias3093
@peterelias3093 6 жыл бұрын
lightness mbise kwer nani kama mm nimekumic mm angu mpendw munguakupe miaka ming rove you my mother
@halimasekky1850
@halimasekky1850 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hakuna kama mama
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Pl
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
R.i.p bi rukia juma mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 5 жыл бұрын
Duniani Tunapita
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
@@juliusmwinga4051 kbs
@fatumadaud9302
@fatumadaud9302 5 жыл бұрын
R.I.P mama Rukia Jumaa😭😭😭😭
@rahmatumam357
@rahmatumam357 5 жыл бұрын
Innalilahi waina ilahi rajuin hta habari sina kma hatunae tena bi rukia jumaa Allah ampunguzie adhab ya kabri
@sharifhabibukibavu1268
@sharifhabibukibavu1268 4 жыл бұрын
Mwanaha ariy
@neemaboniface7557
@neemaboniface7557 4 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Shilwa Magema Mungu akupunguzie adhabu za kabri 2020
@zakiasongoro2004
@zakiasongoro2004 4 жыл бұрын
wangapi wanaangalia leo 2020 siku ya mama duniani nani kama mama
@josephclemence4441
@josephclemence4441 3 жыл бұрын
Wanaotazama ngoma hii 2021 wagonge like💜
@Monaish___mooon
@Monaish___mooon 3 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali
@annakaijage9205
@annakaijage9205 2 жыл бұрын
Still watching 2022
@husseinmasai713
@husseinmasai713 Жыл бұрын
​@@annakaijage9205
@rizikikhamisi8142
@rizikikhamisi8142 Жыл бұрын
Asante xna
@DonyJuma-ct2he
@DonyJuma-ct2he 7 ай бұрын
Ngoma nzuru sanaaaaaa
@johnpaulluteshi3305
@johnpaulluteshi3305 10 жыл бұрын
hata mimi nina mashetani ahsantha mama umenipunga sio siri one love from Kenya now in saudia
@saidimgoa8593
@saidimgoa8593 6 жыл бұрын
Unaweza bi dada, na wala hubahatishi
@chekanadigookichwechwe8728
@chekanadigookichwechwe8728 4 жыл бұрын
👍
@ntwangaisaya9424
@ntwangaisaya9424 4 жыл бұрын
Nimekuta tuh leo napenda kusikiliza nyimbo zako
@jacklineedward9079
@jacklineedward9079 6 жыл бұрын
Memkumbuka mama leo rip ma, ulonifunza nayaona, mpaka leo isha naickiza hii nyimbo
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Pole mpenzi mungu yu pamoj na wewe my
@swabrakaisar3212
@swabrakaisar3212 3 жыл бұрын
Kwakweli kabisa kabisa
@swabrakaisar3212
@swabrakaisar3212 3 жыл бұрын
Daima nakukumbuka mamaanqu kwakweli toka Munqu akuchukue nimekuwa mpweke saana
@johnmapunda99
@johnmapunda99 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri wa muda wote. When taarab was real. Nani kama mama? Wameimba kwa mtindo wa call and responding... Yaani kwa kuitikiana. What a great song!
@mwanaidathuman7727
@mwanaidathuman7727 4 жыл бұрын
Wanao itazama hii video ya isha hadi sasa tujuane hapa, hii nyimbo imebeba ujumbe mzito sana, uko juu isha ila pole kwa kuondokewa na mama ( Allah ampe amuepushie adhabu ya kabri Inn Shaa Allah )
@zabibuissa7157
@zabibuissa7157 5 жыл бұрын
Nani anaeicheki hii ngoma mpk sasa 2019 gonga like twende sambamba
@ashalazaki2845
@ashalazaki2845 4 жыл бұрын
penda sana ili songi
@ivolevina660
@ivolevina660 4 жыл бұрын
Mimi pia
@swabrakaisary8960
@swabrakaisary8960 4 жыл бұрын
Mimi apaaa
@shadiaadam5149
@shadiaadam5149 4 жыл бұрын
Tuko pamoja mama
@safaaabeid8166
@safaaabeid8166 4 жыл бұрын
Hapana chezeyaa ww
@hassanadamali3382
@hassanadamali3382 8 жыл бұрын
kweli wazuri na wabayo wamo duniani waja wana roho mbaya wamesahau hisani penda sana hapo hongera sana na Mungu akujaze na akupe maisha marefu
@sabhaimaro6886
@sabhaimaro6886 8 жыл бұрын
Omore
@ashuraalla9454
@ashuraalla9454 6 жыл бұрын
Jamn napend San taarab i jamn sitoichok never inaujumb san
@mansourally91
@mansourally91 Жыл бұрын
MY BEST TAARAB EVER IN TANZANIA 🇹🇿. MWENYEZ MUNGU UWAPE MAMA ZE2 MAISHA MAREFU 🥰🤲
@babujay9132
@babujay9132 11 жыл бұрын
aaaah isha hii nyimbo kali sana mno yaan uwifanye tena remix by babu jay (ATHENS)
@agnessdaud6250
@agnessdaud6250 6 жыл бұрын
shukuran sana kwa mama ang mzaz!!
@abdallahnakamo6031
@abdallahnakamo6031 7 жыл бұрын
Nakumbuka Mama yang anapenda sana huu wimbo..nice
@user-wj6hw7df5r
@user-wj6hw7df5r 9 ай бұрын
Wanaoitazama 2023 tujuane ❤rathi ya mama mhimu sana🎉🙏
@victorfredrick1423
@victorfredrick1423 6 жыл бұрын
Mama ni mama RIP mom
@mwanamkasisuleiman9707
@mwanamkasisuleiman9707 6 жыл бұрын
Victor Fredrick pole sana hakuna kama Mama ,mkumbuke Mama kwa Dua njema
@mariamleonard5768
@mariamleonard5768 5 жыл бұрын
Victor Fredrick pole
@simagema5777
@simagema5777 5 жыл бұрын
Nampenda my Mama
@neemaandrew4769
@neemaandrew4769 3 жыл бұрын
Mashaallah sst isha mashauzi nakumbuka mbali sana kila nikiona hii nyimbo nakupenda sana 😍 2021tujuane tulioingaliaa🥰🥰
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Pamoja
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 2 жыл бұрын
Yaan hp ndy nimeweka 🤣🤣🤣🤣🤣
@kombakomba7922
@kombakomba7922 2 жыл бұрын
2022
@hamisimtenje5590
@hamisimtenje5590 2 жыл бұрын
@@jasmine.mayala7597 mom9m9
@dadamaisha4470
@dadamaisha4470 3 жыл бұрын
Una sauti mashaAllah dada... Queen of best melodies
@bhindasheshe589
@bhindasheshe589 4 жыл бұрын
Isha weeeeee...1 of my favorite Taarab Singer's
@mariammaingu6209
@mariammaingu6209 3 жыл бұрын
Big up Isha,very nice song
@wazirbashir7626
@wazirbashir7626 6 жыл бұрын
Asante sana mkurya mwenye mashauzi... Remind me of my teenage days nikikesha kwny vigodoro TANGA RAHA SANA... I really miss my home... 2018 still enjoying each beat of it!
@berthakadaso3389
@berthakadaso3389 2 жыл бұрын
Unfortunately this lady is not originated from tanga,bt mara region.
@abdaziz1876
@abdaziz1876 Жыл бұрын
Tanga hatari sana sasa kuna vijamvi balaa tupu
@ogetoj6245
@ogetoj6245 2 жыл бұрын
Mawaidha mwafaka. Nani kama Isha jameni?Heri njema kwenu nyote. Ahsante Isha. Dr. Ogeto International
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 5 жыл бұрын
Wangap wanatizam mpak sasa 2019 tujuwane
@zubedayahyamselem3673
@zubedayahyamselem3673 4 жыл бұрын
2020
@davidhamaga7477
@davidhamaga7477 3 жыл бұрын
Wangapi 2020 wanatizama mpaka Sasa hii nyimbo tujuwane
@ashanyoni1210
@ashanyoni1210 3 жыл бұрын
Tupo bb
@zahrahabib3177
@zahrahabib3177 4 жыл бұрын
2020 sichoki kuisikiza hii nyimbo
@mosemose7272
@mosemose7272 4 жыл бұрын
Haiishi ladha kamwe
@colethacharles548
@colethacharles548 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani kipenzi Chang u hakika ulikuwa nguzo muhimu sana kwangu na huu wimbo ulikuwaga unaupenda sana kumdedicate Bibi yetu gaani mama yako ambae umetangulia ukamuacha😭😭 mama unaniuma sana bado nilikuwa nakuhitaji mnoooooo ktk maisha yangu😭one year past naona Kama Miaka kumi haupo
@eldachrissy5551
@eldachrissy5551 8 жыл бұрын
Mwimbo unanifariji sana..kweli kuish na watu kazii
@fatmaadam1778
@fatmaadam1778 5 жыл бұрын
Nikweri mm nimtu lkn kwer kuishi nawatu kazi
@ackleymsangi5922
@ackleymsangi5922 4 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda ni balaa.....
@shamsazakaria3315
@shamsazakaria3315 4 жыл бұрын
Elda Chrissy tn sana jmn
@rehemafrancis5480
@rehemafrancis5480 3 жыл бұрын
Kweli hakuna kitu kikubwa Kama mama. Nakupenda Sana mama japo umetutoka tangu 2007 pumzika kwa amani mama yangu.
@deborahjuma6869
@deborahjuma6869 2 жыл бұрын
R,IP mama yangu nilikupenda MUNGU kakupenda zaidi,, Asante kwa kunifuza mengi yenye hekima katika hii dunia,, Mungu akulanze mahalo pema
@gideonlungwa6555
@gideonlungwa6555 4 жыл бұрын
Kuishi na walimwengu yahitaj uvumilivu aisee good song my sister from dom tz. 2019
@ZahraZahra-ex8xx
@ZahraZahra-ex8xx 8 жыл бұрын
wamesahau hisani kweli mm sema kweli
@zenakaide6604
@zenakaide6604 4 жыл бұрын
2020 mpo. Pumzka kw amani mama aisha
@elizasule4944
@elizasule4944 3 жыл бұрын
Mama yake na isha au isha mwenyewe
@user-cz5ol4kg4t
@user-cz5ol4kg4t Ай бұрын
bila ladhi ya mama peponi uingii ndugu yangu kmukimfulahisha mzazi ndiio umemfurahisha mungu
@faredamobilo3678
@faredamobilo3678 5 күн бұрын
True ma Isha, wacha tusiende ,ni Neema ya .mumgu aliye hai siyo waoh wala shee ya Allah kreem!
@fatmayahya3848
@fatmayahya3848 6 жыл бұрын
I LOVE U MAMA
@allykaseya388
@allykaseya388 5 жыл бұрын
wimbo ukopowa Sana jamani
@nadiafahad7945
@nadiafahad7945 6 жыл бұрын
Waambie lsha ,mama ndio kila kitu dunian. binafsi nampenda sn Mama yangu Allah ampe umri mrefu mamy wa mie
@mohamedchaugwade6234
@mohamedchaugwade6234 4 жыл бұрын
Mohamedi Chaugwade. Tutakukumbuka mama
@suleimanathman2906
@suleimanathman2906 11 жыл бұрын
kama nikupenda taarab basi za aisha mashauzi nimefika
@aishamkadara6752
@aishamkadara6752 6 жыл бұрын
100% isha ramadhan mama n mama allahu arhamha. ...R.I.P mom kwa malezi yko 😂
@JinaMakame-vq8mq
@JinaMakame-vq8mq 26 күн бұрын
Mama ninamba moja nakupenda sana mama yanguu mama umenifunza mengi sana ninakuombea kila heri nikisikiliza ngoma hii nakupenda mama
@fatmarashidi8353
@fatmarashidi8353 5 жыл бұрын
Wanao tazama 2019 twende sawa apa
@aishaoman6542
@aishaoman6542 4 жыл бұрын
Haichuji kwangu hii ngoma tamu sana kweli ukimzarau mzazi utaharibikiwa
@nasirabubakari7845
@nasirabubakari7845 4 жыл бұрын
2020 April
@samsonymasanja7235
@samsonymasanja7235 5 жыл бұрын
Uliiba ukweri dada yngu
@johnmapunda99
@johnmapunda99 5 жыл бұрын
Wimbo huu ambao upo katika mtindo wa call and responding...umeimbwa vizuri sana na kwa utulivu.Pia ala zimepigwa vizuri sana.Hongera kwao.
@SayfMziray
@SayfMziray 5 ай бұрын
Wanaotazama ngoma hii 2024 like hapa
@hassanisalimpulo2223
@hassanisalimpulo2223 4 ай бұрын
❤❤😊
@salimasha7346
@salimasha7346 3 ай бұрын
Tupo 😂😂😂
@salimasha7346
@salimasha7346 3 ай бұрын
I love that
@SamsungA14-mw7wl
@SamsungA14-mw7wl 3 ай бұрын
❤❤❤
@mariamdennis-um9vx
@mariamdennis-um9vx Ай бұрын
❤❤
@gladymosha3120
@gladymosha3120 5 жыл бұрын
Tulokuja hapa baada ya kusikia kifo cha mama aisha 💁
@wakatiomar5123
@wakatiomar5123 5 жыл бұрын
Naam mungu amlaze mahali pema peponi😭😭😭
@latifahsalum3479
@latifahsalum3479 5 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit
@salomerenard8830
@salomerenard8830 5 жыл бұрын
Aise pole sana isha mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ameen
@jumaismaily1640
@jumaismaily1640 5 жыл бұрын
Polen jaman
@jaggaludegula6826
@jaggaludegula6826 5 жыл бұрын
Tupo pamoja nawe
@consolathasaimon2545
@consolathasaimon2545 7 жыл бұрын
penda sana mama yng kipenz bi Elizabeth love you my Apple
@tumainikassanga7659
@tumainikassanga7659 7 жыл бұрын
mwenyewe penda sana mama yangu, ahsante mama kwakunilea vizuri.
@zaharasaidy9132
@zaharasaidy9132 10 жыл бұрын
Aisha upo kuu. Wekali
@officialruutvtzonline3234
@officialruutvtzonline3234 3 жыл бұрын
2020 tupoo iSHA umetisha Sana'a rip bi Rukia Juma Allah akufanyie wepesi na akusamehe,,,ahsant Sana mama Kwa mafunzo yako akuna Kama mamaa,,,
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 жыл бұрын
Kabisa my
@abdaziz1876
@abdaziz1876 Жыл бұрын
Aaah mwananguuu, hiyo ndio duniyaaa Yaliyo moyoni mwanguu, Leo ninakuhusiaaa Huu ukubwa wanguuu, Mengi nayavumilia... Swadaktah. Allahumaghufirlaha walramhaa waskanhaa filjanat. Ulale palipo pema mama yangu. Nakumisi kila cku
@saidmbwana4254
@saidmbwana4254 10 жыл бұрын
MASHAUZI: Umeleta raha ndani moyo BIG UP
@davidhamaga7477
@davidhamaga7477 3 жыл бұрын
MASHAUZ Nakuku bali mama ra mama
@amosynyarosa5077
@amosynyarosa5077 3 жыл бұрын
Heshima kwa akina mama wote
Mashauzi Classic Modern Taarab - Ni Nani Kama Mama Official Video
20:01
Nina Moyo Sio Jiwe Leyla Rashid Jahazi Modern Taarab New Music
8:04
Taarab Music
Рет қаралды 1,6 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 111 МЛН
Tugawane Ustaarabu
16:19
Isha Mashauzi
Рет қаралды 205 М.
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Africha Entertainment
Рет қаралды 2,4 МЛН
USABASI na UZABIZABINA - Mwanate Kibwana ( Lelele Africa )
7:40
LELELE AFRICA MUSIC
Рет қаралды 5 М.
Taarab: Mwanamke hulka
13:54
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,1 МЛН
TAARAB. Isha Mashauzi - TUGAWANE USTAARABU. audio | MARJAN SEMPA
16:27
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,7 МЛН
Udugu Hazina Yetu (feat. Khadija Yusuph)
17:29
Mzee Yusuph - Topic
Рет қаралды 128 М.
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
13:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 14 МЛН
Nani Kama Mama
16:45
Isha Mashauzi
Рет қаралды 261 М.
Taarab: Nitadumu nae. ©
15:00
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,6 МЛН
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,8 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 107 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 2,3 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,7 МЛН