Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)

  Рет қаралды 672,797

Isha Mashauzi

Isha Mashauzi

Күн бұрын

Пікірлер: 514
@hamadkey3370
@hamadkey3370 8 ай бұрын
Jeshi la mtu mmoja , Jike la simba queen of the best melodyyy umeua mamaaaa, washabiki hatutaki maneno tunataka kazi , kazi kama hiii uko juuu mama!!!!! Kimya ukitoa uanatoa kombora❤❤❤❤❤❤❤💯
@NassoroChiwana
@NassoroChiwana 8 ай бұрын
Jaman hanifa maulidi akupe2 maua Yako hakuwez ant yang mwenye kipaji chako nakupend sanaaaa ❤❤❤❤❤ halafu ngoma ni motoooooooo
@osamamahmouds9827
@osamamahmouds9827 8 ай бұрын
Shabik No1.. wa Mashauzii Unapendwa namm ❤️❤️❤️ Umeshindikana Mamaa 🙌🙌🙌
@radhyiawamburah2394
@radhyiawamburah2394 8 ай бұрын
Isha mambo yako makubwa makubwa na hii pia kali 🔥🔥🔥
@hilarybahati7763
@hilarybahati7763 8 ай бұрын
Video Kali Sana mambo ni 🔥🔥🔥🔥 weee ishaaa umepigaje hapooooo
@allymwijarubi8932
@allymwijarubi8932 8 ай бұрын
I am from Los angels i don't know swahili ,but uyu isha anajua kinoma 😊😊😊❤❤❤
@subirajumanne
@subirajumanne 8 ай бұрын
Mama la mama lao weyeee waongesheeeee🥰🥰🥰🥰 maujuzi hawajuiiih🤗
@shomari_msumi
@shomari_msumi 8 ай бұрын
Hongera kwako Queen of the best melody na kwa director pia,video Kali👌👌
@hilarybahati7763
@hilarybahati7763 8 ай бұрын
Bi star kaendana na uhalisia nice choice Sana
@blackbeauty-qe2xt
@blackbeauty-qe2xt 8 ай бұрын
Umependeza sana ngoma Kali Kila kitu Kiko mwaaa❤❤
@Zaitoon72
@Zaitoon72 8 ай бұрын
Ila bi star nampenda bure tu❤ huyu mama maan anavimbwanga😂
@faidhacute
@faidhacute 8 ай бұрын
Mi nampenda mpaka naumwa bi star
@saodashabani2652
@saodashabani2652 8 ай бұрын
😂😂Achoshi ukimtazama
@mdetetv6050
@mdetetv6050 8 ай бұрын
Haya ndio mambo tunayoyapenda dada toa ngoma bwana gem ichangamke
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 8 ай бұрын
Ila taarabu tam hii aswaaa za shoga yangu Maana wewe ndio mwenye mziki wako kucheza pembe hatar
@mapinduzi47
@mapinduzi47 11 күн бұрын
❤w
@mapinduzi47
@mapinduzi47 11 күн бұрын
Unanionaje
@AsminHakimo
@AsminHakimo 8 ай бұрын
Kila mtu na mtuwe video kwanini usituwekee hapa dada ili vipenzi vyako tuipate kwa urahic 2024 jan.... na bado inavutia ❤
@AbrahamBlass
@AbrahamBlass 6 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimeingia u tube kwa ajili ya taarabu kwaajili ya huyu dada
@brianmithia2930
@brianmithia2930 2 ай бұрын
Karibu 😊,Mie Isha Ndiye Kunileta Hapa, Nyimbo Ajaab😊
@rajabusaidi7681
@rajabusaidi7681 2 ай бұрын
Hata mm naiskiaga leo ndio nimeipata...😂😂
@joyceshanh
@joyceshanh 2 ай бұрын
mm pia aseeeee
@SuzanMoshi-m1s
@SuzanMoshi-m1s 9 күн бұрын
Uyu kiboko yao
@JosephineMpangala
@JosephineMpangala 19 сағат бұрын
upo kama mm😂😊
@johnymelkiory5451
@johnymelkiory5451 8 ай бұрын
Nimeangalia mpk mwisho nyimbo hii ipewe mauwa yakeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@mwanashasjambia8572
@mwanashasjambia8572 8 ай бұрын
Hongera sana DDA Esha nyimbozako zote nzr.
@nevermgawe2802
@nevermgawe2802 8 ай бұрын
Isha wàngu jamani Hadi mwili wangu umesisimka nakupenda buree💖💖🙏
@aishamdinku9129
@aishamdinku9129 8 ай бұрын
Tupe raha isha weee 🔥🔥🔥🔥💃💃💃
@AshaMbaraka-cb5ix
@AshaMbaraka-cb5ix 9 сағат бұрын
Isha , unajua,unajua, unajua Tena, hongera sana my dear
@latifaally4573
@latifaally4573 8 ай бұрын
Nyimbo tamu mpaka tamu Tena
@Virtualbets365
@Virtualbets365 8 ай бұрын
My love ❤❤❤❤❤❤❤ Mungu akuweke we Isha .mapenzi toka kenya
@christinasaimon9083
@christinasaimon9083 8 ай бұрын
Umenifanya niipende taarabu isha yani naichezaaa hapaaa hiiiiiiii weeeee ❤ iko kinanda acha tuu 😊😊
@marjansempa
@marjansempa 8 ай бұрын
makopa kwa wingi much luv
@KhassimMatangula
@KhassimMatangula 15 күн бұрын
Uyu mdada achongewe sanam lake pale kivukono ❤❤ anajua Sana mbaka anajua Tena ❤❤akuna Kama wewe 🙌🙌🙌
@Naahlyan
@Naahlyan 8 ай бұрын
Video nzur sana jmn unaenjoy kuangalia
@khadijaabdullah59
@khadijaabdullah59 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mambo ni moto
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 8 ай бұрын
Hongera wajina sina roho ya kwann pambania yako ndoto makasiliko ya nn mbona pambe tuu❤❤❤❤❤
@Salma-f4x
@Salma-f4x 18 күн бұрын
M
@SintaHalimoja
@SintaHalimoja 8 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹nimekupa maua Yako isha
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 8 ай бұрын
😂😂 jinamizi jipu la kwapa.nakupendaga bure b dada. Like kwa b star.
@AshaHussein-q8n
@AshaHussein-q8n 8 ай бұрын
Sana dad isha pend sana
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 8 ай бұрын
Mashauzi yake tu kwenye kucheza napenda sanaaa 😂😂😂nyimbo tamu sana ♥️
@halimahassani106
@halimahassani106 8 ай бұрын
Ishaa n mmoja t❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 8 ай бұрын
Mwana muzik wangu uliyebaki kwenye taarifa Maana nyimbo zako zote nipo zako kipenzi changu zinapa nguvu za kupambana uku
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 8 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉Quen tha best melody mambo motooo
@Sabraahmed-yv9rp
@Sabraahmed-yv9rp 8 ай бұрын
Namkubali sana isha,huyo nikoboko
@McMkombozi
@McMkombozi 8 ай бұрын
Isha mashauzi. Nakupenda Bora. Tunaomba utoe sasa album ya band plz tupate raha pia kwa saida mashauzi Asia mashauzi neema masahauzi zubeida mashauzi pia
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 8 ай бұрын
Queen kama queen 👸 chukua crown 👑 yako🥳🥳🥳🥳
@ZuhuraAnuary-y5b
@ZuhuraAnuary-y5b 8 ай бұрын
umependeza sana mashaallah umevunja kabati
@ValerianaBiseko-hc6uy
@ValerianaBiseko-hc6uy 8 ай бұрын
isha weeeeeee nakupenda sio kitoto
@Shadia544
@Shadia544 8 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 tunainjoi tuu hasidi hana hasara🌹🌹🌹✌️✌️✌️
@Maas-d5d
@Maas-d5d 8 ай бұрын
uwiiiiiii my sweet love penda sana wewe..unahangaika kwawaganga lakini sie tuna mungu weweyaaaaaaa imeenda hio
@morrissila
@morrissila 8 ай бұрын
Hii ndio taarab halisi. Kazi njema ishaa ❤❤
@zaharamuna5861
@zaharamuna5861 8 ай бұрын
Umetisha sana dada yangu
@AsiaMagombeka
@AsiaMagombeka 3 ай бұрын
Nakupenda isha, napenda nyimbo zako kipenz mungu azidi kukulinda
@Rukiarukyruky-zj8nk
@Rukiarukyruky-zj8nk 8 ай бұрын
Jike la simba haujawah kukosea 🔥🔥🔥🔥🔥
@stumaihamis6728
@stumaihamis6728 8 ай бұрын
Hirizi mzigo ipo vizuri sana ISHA umeshinda bila vita dada
@newswireKenya
@newswireKenya 8 ай бұрын
ALL THE WAY FROM NAIROBI KENYA. GOOD MUSIC QUEEN OF THE BEST MELODIES.
@saiddotto8584
@saiddotto8584 8 ай бұрын
Video tamu adi raha yani isha una baya kwangu kukupenda tuuu❤❤❤
@ZainabuMfanando
@ZainabuMfanando 8 ай бұрын
Queen of the best melody ujawai kumuacha mtu salama😂😂😂😂 weweeeee
@Kasweetie_254
@Kasweetie_254 7 ай бұрын
Wivu na kutamani va watu chanzo cha makasiriko 😂much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@khadijak6648
@khadijak6648 8 ай бұрын
Mwamba ndio huyu sasa penda ww mpaka basi uko juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 8 ай бұрын
Wakwanza nipeni like kama zote namkubali sana isha❤
@AbdulAbdalla-f6j
@AbdulAbdalla-f6j 7 ай бұрын
❤❤❤
@earlyally5146
@earlyally5146 7 ай бұрын
Ume nipeweni chakweli.
@essiensaid6089
@essiensaid6089 7 ай бұрын
Snaa
@leeafricanfashionanddesign7153
@leeafricanfashionanddesign7153 5 ай бұрын
Wueh!kazi ipoh,Huna baya mama
@Zainabuswed
@Zainabuswed Ай бұрын
.p
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akuzidishie kila la heri maishani mwako Amin ❤❤❤🎉🎉🎉
@RayaJuma-r7k
@RayaJuma-r7k 7 ай бұрын
Namkubali kinoma
@HamisiFaraji-ej5mf
@HamisiFaraji-ej5mf 8 ай бұрын
Jisongi tamu sana dada Isha umetisha
@MamiChoba-ep9cc
@MamiChoba-ep9cc 8 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤ wanipunga sana swahiba natokea Kenya💪💪💪💪💪
@nandymdogo5363
@nandymdogo5363 8 ай бұрын
Best melody kama yeye 🎉❤pendeza sana isha
@SalmaShaibu-ww4dx
@SalmaShaibu-ww4dx 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤ nlmis sana ulud huku
@AishaAli-y7w
@AishaAli-y7w 8 ай бұрын
Bi star umeuwa love it
@PelinaFrancis
@PelinaFrancis 8 ай бұрын
Yaan mm na taarab mbali mbali ila isha kuna kitu kanifanyia wallah tena ❤❤❤😂😂😂
@HeryGhost
@HeryGhost 7 ай бұрын
Nyimbo kari san hongera isha ww noma san ❤
@BinHaju
@BinHaju 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Nimeirudia mara nne
@AsmaSoud-e8z
@AsmaSoud-e8z 2 ай бұрын
Dada atulia Sana Na nyimbo zake mashaallah ❤
@alumbelurando8768
@alumbelurando8768 3 ай бұрын
Hii ni Kali kwa yote inshallah Allah pekee🔥🔥🔥
@FatumaMohammedi-w1z
@FatumaMohammedi-w1z 8 ай бұрын
Wanapendaaaaa❤❤❤❤ super woman mmja tu . Isha ana hatari sanah katufanya nyumba nzima tuwe shabiki yake 😢
@MamyLily-f2i
@MamyLily-f2i 8 ай бұрын
Hii video 🎉🎉🎉🎉🎉 Iko juu wimbo 🎉🎉🎉🎉 like hpa twende
@msomangaorijinal3921
@msomangaorijinal3921 8 ай бұрын
Nice video kutoka Kwa mashaizi
@zamaradiabdallah2821
@zamaradiabdallah2821 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ pambeee t nyimbo yke
@rehemaAyubu-q3w
@rehemaAyubu-q3w 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ hongera zake nyimbo ikopowa
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Ай бұрын
Ukistaajabu ya wengine vipi ya Isha?Chako Mungu kakupa si cha mwingine , mpaka kulalia mlango wazi. Dalali wa Wagang'a si jobo. Potelea mbali makasiriko, Dada!! Dr. Ogeto International
@RebekaJoseph-k8h
@RebekaJoseph-k8h 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤nyimbo tamuuu sanaa
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 ай бұрын
Nakupenda bure ddngu ❤❤ umeweza hii Kali kwakweli viumbe wazito😢
@reaganochango7628
@reaganochango7628 8 ай бұрын
Locked in kitambo toka Nairobi Kenya🇰🇪.....Tamu kweli kweli😅❤
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 8 ай бұрын
Safi sana isha ume nipa furaha sana imekaza sawa kabisa
@ThuwaibaMkana
@ThuwaibaMkana 8 ай бұрын
❤❤❤❤nakupenda ishaaaa unavyo cheza
@abawaqanawat6419
@abawaqanawat6419 8 ай бұрын
Happ ndipo mistari mikali Nakupa maua yako mamaa
@janethmkumba8904
@janethmkumba8904 3 ай бұрын
Nakupenda sana Isha na nyimbo zako zoote
@moudboss846
@moudboss846 8 ай бұрын
Asante sana ISHA tulipoa sana watu wa Music wa Taarabu
@UpendoAyubu-b5r
@UpendoAyubu-b5r 8 ай бұрын
Wapiiiiii mamasemeniii wa jua kaliiii
@UswegesongaSonga
@UswegesongaSonga 6 күн бұрын
Inyimbo imeturia Sana hongera dada mbinguni unakitichako❤❤❤❤❤❤❤
@AishaHaji-n3f
@AishaHaji-n3f 8 ай бұрын
Nampnd san uy dada yet kin isha ❤❤❤
@feswalfaizoo2132
@feswalfaizoo2132 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤Big video uko juu mashauzi
@latwibujuma
@latwibujuma 8 ай бұрын
Mganga punyeto kwenye ubora wake hana baya ❤❤😂😂😂
@Mzuri_002
@Mzuri_002 8 ай бұрын
Nakuaminia queen of best melody❤❤🎉🎉
@EvaBaya-ym4ok
@EvaBaya-ym4ok 8 ай бұрын
Nyimbo tamu clear video ❤mob love from Kenya
@christobellndovie7060
@christobellndovie7060 8 ай бұрын
Hawo wakina mama wa mashauzi classic band wa backup Mimi nimewapenda yani wanajuwa mpka wanajuwa tena
@Amourharoub-rf1tc
@Amourharoub-rf1tc 8 ай бұрын
Queen safi sana irudishe tarabu
@FloraMwashigadi
@FloraMwashigadi 8 ай бұрын
Dada nimependa sana nyimbo yako. From mombasa
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 8 ай бұрын
Isha umepigajeee hapoooo❤️❤️❤️❤️❤️
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 8 ай бұрын
Nimeipenda hii 😍😍
@Malikamtajir
@Malikamtajir 8 ай бұрын
Long time kupata kutuachilia kibao pambe kama hiki...Watafa siku si zao wenye roho za kwanini
@marthachambuso9447
@marthachambuso9447 8 күн бұрын
Pole sana Kila kilichoumbwa na mungu kina mwanzo na mwisho wake tumuombe Allah atupe mwisho mwema inshaallah
@AshuraAziza
@AshuraAziza 8 ай бұрын
Imeelewek iyoooooooooo❤❤❤
@Nuru9568
@Nuru9568 8 ай бұрын
Isha anadamu ya nguo mashallah ❤
@Samiafficial3942
@Samiafficial3942 8 ай бұрын
Kweli👌👌👌💕💕💕from Rwanda
@maryayo491
@maryayo491 8 ай бұрын
Isha unaimba ❤❤❤
@francispaul5806
@francispaul5806 3 ай бұрын
Isha wewe ni Legend wa Morden Taarab, leo huu wimbo nimeanza kuusikiliza kuanzia asubuhi mpaka jioni nikiwa kazini. Nimeweka Loop on yaani ni burudani haswa. Unajua kuimba kipenzi.
@OmaryDilemwa
@OmaryDilemwa 8 ай бұрын
Kali sanaa
@KulwaAthumani-j8p
@KulwaAthumani-j8p 7 ай бұрын
Mashauzi on top👌👌
Isha Mashauzi - Sudi Sudini (Official Video)
12:41
Isha Mashauzi
Рет қаралды 1 МЛН
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,9 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,5 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 11 МЛН
SEMPAZ SOUNDS TAARAB VIDEO MIXX NONSTOP 2023
1:01:49
Marjan Sempa
Рет қаралды 420 М.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 595 М.
Nina Siri
11:10
Israel Mbonyi
Рет қаралды 979 М.
Niacheni Nijivune
14:34
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 338 М.