ISHARA 6 UNA CHUNGUZWA KWENYE KIOO CHA KICHAWI.

  Рет қаралды 2,348

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@prisilagregory2484
@prisilagregory2484 2 ай бұрын
Ee mwenyezi kwa jina la Yesu kristo navunja vioo vyote vya wachawi vinavyochunguza maisha yangu,wasiweze kuona maisha yangu,unifunike kwa shuka la damu ya Yesu kristo Amina.
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 4 ай бұрын
Napitia hio hali yakuchukiwa bila sababu katika jina la yesu kioo cha uchawi kinacho nimilika kivunjike kwa jina la yesu kristo
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db Ай бұрын
Hata mm kpnz najitoa lkn naambia lawama
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 4 ай бұрын
Mtumishi wa mungu naomba uniombee,naamini kupitia unabii huu Mimi nimepona,shetani atakaa aanionee kwa kipo Chao Tena au kupewa ubaya Tena Leo ni mwisho,,na wema wangu unaenda kurudi na wazazi wangu wanaoenda kpona na ndugu zangu wanaoenda kupenda
@BeatriceMulama-vr8xp
@BeatriceMulama-vr8xp 4 ай бұрын
Asante pastor kwa mada.
@Marthamodest-l7q
@Marthamodest-l7q 4 ай бұрын
Amen
@TabizaAa
@TabizaAa Ай бұрын
Amen 🙏🙏
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 4 ай бұрын
Amen nimesaidika baba barikiwaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@LeticiaShoka-me2wq
@LeticiaShoka-me2wq 4 ай бұрын
Amina
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 4 ай бұрын
Halleluya
@telvinbrian11
@telvinbrian11 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nisaidie kwa maombi kwa maana ishara zote sita uliyonena ndio hali ninayopitia kwa sasa
@Christabell781
@Christabell781 3 ай бұрын
Shalom, hiyo hali ipo rev.
@BahyaSalim-v7u
@BahyaSalim-v7u Ай бұрын
Mchunga habari nisaidie kwafamilia yañgu inaruo yakichawi
@revpeternjihia
@revpeternjihia Ай бұрын
Nitafute kwa Simu .
@elizabethguga7396
@elizabethguga7396 3 ай бұрын
Ameen ameen🙏
@AdamHamis-sg6zz
@AdamHamis-sg6zz 3 ай бұрын
Nimeota tumebeba maiti tunaenda kuzika hatua chache tunakutana na kundi lingine nao wanaenda kuzika yaani wamembeba maiti wao wanaenda kuzika tunakotoka ss, wakati huo sisi tunaenda kuzika wanakotoka wao, Tukapishana namna hiyo then baada ya mda najikuta tumebaki watu wawili tuu tuliobeba maiti wenzetu wote wapo mbele, ghafla maiti ikanza kuchuruzisha maji flan iv machafu, ikabidi tuibebe kwastyle flani iv ili uchafu usitupate , then hatua chache nashangaa maiti imekua nyepesi sana kuhamaki maiti haipo tumebaki na sanda tuu yenye damudamu, ikabidi tuludi kuitafta maiti imedondikea wapi tukaitafuta mpaka tuipata lakini inaliwa na mbwa mwenye sura mbaya mweusi flani iv kijivu sio kijivu , nikamfukuza yulembwa akatoka , akaicha maiti imebaki haina nyama vizuri kiasi kwamba sehemu nyingine mifupa inaonekana nilipochunguza vizuri iyo maiti nikagundua inauhai Kuna baadhi ya mishipa ya damu inadunda, mwenzangu akawa anajaliku kuiweka kwenye sanda asiweze mi nikaona kinyaa kuishika na mikono mitupu ikabidi nitoke nikachukue gloves 🧤 nikatoka kwenda dukani kwangu kuchukua gloves 🧤. Na ndoto ikaishia hapo. Mchungaji naomba unisaidie kutafsir ndoto hii.
@SosisRoti
@SosisRoti 4 ай бұрын
Mtumishi niombee nipate kz niyulie maana kila kazi nikipata hata mwexi haushi ina potea mutumishi niombee plz nakuomba
@BahyaSalim-v7u
@BahyaSalim-v7u Ай бұрын
Nisaidie sifanikiwi nachochote
@nicodemustesha1493
@nicodemustesha1493 4 ай бұрын
Mtumishi mimi ndio napitia hiyo hali naomba maombi yako
@ShyBeats-dk4du
@ShyBeats-dk4du 4 ай бұрын
Amen
@BenedictaKileo-ff9go
@BenedictaKileo-ff9go 4 ай бұрын
Amen 🙏
@EsterMsomba-s7d
@EsterMsomba-s7d 4 ай бұрын
Amen
@CHRISTINEMAPENZI-e6e
@CHRISTINEMAPENZI-e6e 4 ай бұрын
Amen
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 2,5 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 69 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
ISHARA 4 UME CHAGULIWA NA MUNGU.
12:44
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,4 М.
ÑDOTO AINA 2 LAZIMA UTAKUTANA NAZO UZINGIZINI
10:26
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 263
Ndoto 3 Zina Kuonyesha Mwisho Watatizo Lako
1:06:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 6 М.
NDOTO 7 UNA HATIMA ILIYO BARIKIWA.
13:43
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1 М.
ISHARA 11 UMEROGWA
14:47
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 702
ISHARA 8 SURA YAKO INA TUMIKA MAHALI NA MTU MWINGINE.
10:16
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 859
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
NDOTO 8 HATARI ZAIDI.
59:50
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 428
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН