TABIA YA WALIO ZALIWA MWEZI WA TISA.
27:06
IMANI INAYOMGUZA MUNGU.
23:09
Ай бұрын
Bwana ana niandalia meza.
14:44
NDOTO 5 UKO KWENYE KIFUNGO
13:30
I Dance Like A Winner Man.
0:31
UKWELI UTAKUWEKA HURU.
1:17:53
Ай бұрын
Пікірлер
@EdgarPaul-v4o
@EdgarPaul-v4o 53 минут бұрын
nliota vichwa vya kondoo vimechinjwa ving san vinamanisha nin
@JasmineRiziki-s8r
@JasmineRiziki-s8r 5 сағат бұрын
mimi nimeota nyuki wakinikimbiza but tulikuwa wawili but mimi azikuwa nyingi kama za uyo mwingine alafu nikakemea zikaeda
@NellyKombe
@NellyKombe 6 сағат бұрын
Ameeen
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 9 сағат бұрын
Niliota natembea kwenye matope yalikua kidogo saana atanilikua natembea ayakunisika mengi inamanisha nn paster
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 9 сағат бұрын
Asante paster niliota nakula wali tuu
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 10 сағат бұрын
Paster am from zambia naomba namba yako
@revpeternjihia
@revpeternjihia 9 сағат бұрын
+254706945821
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 10 сағат бұрын
Asante paster
@smartboy5298
@smartboy5298 10 сағат бұрын
Amina Mtumishi
@Gloria-i8p8e
@Gloria-i8p8e Күн бұрын
Aminaa🙏🙏
@Gloria-i8p8e
@Gloria-i8p8e Күн бұрын
Amen posror umenifundisha mahali🙏🙏🙏🎉🎉
@ChazkKasubi-le4dj
@ChazkKasubi-le4dj Күн бұрын
Amen
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Күн бұрын
Amen
@JaneVitalischuwa
@JaneVitalischuwa Күн бұрын
Aminaaaa baba
@evalema584
@evalema584 Күн бұрын
Bwana asifiwe mm nimeota nauza mkaa na nikawa na furaha
@mercygonah6111
@mercygonah6111 Күн бұрын
Amen
@dorothymoshy1920
@dorothymoshy1920 Күн бұрын
Shalooom Nabii 🙌
@mercymuthonindumbi4306
@mercymuthonindumbi4306 Күн бұрын
Asante mtumishi WA mungu.mimi nimeota panya anakula sindiria (bra)yangu akikata anakimbia.ndoto ingine,nimeota nimeshika mbuzi mweupe ,ng' ombre naye akakimbia nini maanake
@revpeternjihia
@revpeternjihia Күн бұрын
Roho ya umasikini hii ,na kila kitu kizuri kita kukwepa na pia ni changamoto ya kindoa Omba sana
@annachachage4931
@annachachage4931 Күн бұрын
YESU KRISTO Atukuzwe,kwa kukusafisha salama
@irenemwanri3023
@irenemwanri3023 Күн бұрын
Amen
@AweMagdalena
@AweMagdalena Күн бұрын
Nini maana ya ndoto nalishwa mifupa mikavu iliyobabuliwa kwa moto na mfanyaka mwenzangu
@AgnesStephano-u9d
@AgnesStephano-u9d Күн бұрын
Shalom mtumishi samahani nataka kujua maana ya ndoto hii nilikuwa njiani nitaanza kumchapa mtoto wa dada yangu pamoja na mdogo wangu nikawajeruhi Sana na nilitumia fimbo kuwachapa na pasipo na sababu naotwa agness nipo temeke
@user-rr2jb6jj4s
@user-rr2jb6jj4s Күн бұрын
Mtumishi Mimi naota mume wangu tuliachana naye kuwa ananifuatafuata halafu huyu tulikuwa tunaishi naye lakini kupigana Kila siku mbaka nikatoroka Bado kafuata kuniambia ataniua Bado aliniumiza
@ClementinaUrassa
@ClementinaUrassa Күн бұрын
Sifa utukufu tunampa yeye alie juu kukutunza katika safari baba
@JescaDeogratias
@JescaDeogratias Күн бұрын
😢amina baba jakilini kutoka dodoma kweli baba nimeota naendeasha baiskeri lakini baba Barbara ilikua imejaa magari nikapita kwenye nyumba ya mtu nikawaomba kupita ili niendelee na safali
@irenemilau2946
@irenemilau2946 Күн бұрын
Glory to God...welcome back
@هايلينل
@هايلينل Күн бұрын
Irene shalom shalom Baba, mungu ni mwema, nashukuru umefika home vyema
@edinahmoraamageto7344
@edinahmoraamageto7344 Күн бұрын
Mtumishi, nimeota nikiwa mahali tukiwa wawili lakini hapo mahali tulikua tutoke lakini mtu nilikua naye Kuna mtu alikua anamsuhia tusiende na alikua anamsidi nguvu Hila Mimi nilikua na mtu alikua na nguvu kuliko huyo alikua anamzuhia tusiende lakini nilifinyia huyo wangu jicho akashika huyo mtu alikua anamsuhia huyu mwingine na tukatika Hila tukiwa njiani yule mtu wangu akaona tumeenda mbali akaajilia yule mtu, akatufuata akatufukia na akamkalia huyu mwanzangu akaanza kumpiga nikienda kumtoa asimpige akataka kunituma na meno akiwa ameniwekea mdomo Kwa mabega aniume nikaamka na nikashtuka sana lakini hakufaulu kuniuma
@iqrahiqrah377
@iqrahiqrah377 Күн бұрын
Habari Rev. Mie nimeota tumeonana ukanisalimia ukamuulizia baba angu nikakwambia alikufa kwa sukari ukaniambia ulijua tu maana kuna namba nilikwambia nikawa nakwambia naijiwa sana na namba 111 ndo nikaamka bt so heartbroken
@ruthouma9449
@ruthouma9449 Күн бұрын
Tena pia aliota anpigana na step brother wake alikuwa anampigana naye na chupa ..
@ruthouma9449
@ruthouma9449 Күн бұрын
Baba asifiwe yesu baba Mume wangu aliota ananipiga kwa ndoto sana
@revpeternjihia
@revpeternjihia Күн бұрын
Kuta inuka ja kuinuka changamoto kati yenu.
@JoanpetershayoPetershayo
@JoanpetershayoPetershayo Күн бұрын
Nikaota tena ndoto napanda mlima ila naleteza nakunguka kisha nafanikiwa kupanda mlima
@JoanpetershayoPetershayo
@JoanpetershayoPetershayo Күн бұрын
Mm nimeota matunda yaliyoivaa nachuma juu ya mti
@paschalsamsagala9739
@paschalsamsagala9739 Күн бұрын
Bwana yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu naliota napita njiani kisha nikaona simba mkubwa sana anakuja kisha nikaona watoto wakanizunguka weeengi sana nikawa katkat yao yule simba akafunga macho akaondoka
@اسيلالعنزي-ذ8ح
@اسيلالعنزي-ذ8ح Күн бұрын
Amen nmeota mm namke mwenza tuko namimba
@ReginaAndrea-e4u
@ReginaAndrea-e4u 2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 izo ninazo kweli
@prosahkristina757
@prosahkristina757 2 күн бұрын
Amen
@WitnessChrisant
@WitnessChrisant 2 күн бұрын
Shalom mtumishi
@CatherineNgosso
@CatherineNgosso 2 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu...mimi nmeota chuon kwetu nyuki wanatungata wanafunz na malecture na nmepewa SUSPENSION chuon kwangu hii inamaanisha nn
@veronicaadhiambo-gx1yk
@veronicaadhiambo-gx1yk 2 күн бұрын
Ameen
@JacklineMushi-o8g
@JacklineMushi-o8g 2 күн бұрын
Shalom mtumishi wa mungu Mimi ni Jacklin mushi nipo Tanzania nimeota ninachambua mboga za majani na baada ya hapo nikaziamdaa na viungo tayari kupika nikapika nilipogeuza mboga na mwiko nikamwona nyoka wa kijani ndani ya sufuria jikoni mboga inatokota akatokea kijana wangu wa kanisani amechukua yule nyoka kwa sufuria akataka kunilisha kwa nguvu nikamkataa nikashtuka asubui
@Nyachama
@Nyachama 2 күн бұрын
mtumishi wa mungu,nimeota kakangu akipigana na dadangu aliye kufa,alafu walikua wanapigana juu ya mchele uliopikwa, kisha nikaona ndenge nisiye mjua mweupe ametoka kwenye kakangu alikua amemufungia kisha katoeka,katika Ali iyo kakangu akawa ananingombanisaha ni kwanini nimemfungulia yule ndenge,kisha tukatoka inje kwenda kumtafuta,tukiwa katika ile Ali ya kumtafuta yule ndege,tukakutana na ndege mweupe aliechomwa na jua kalibia kufu,nikamchukua yule ndege ili nimsaidie asife,kusonga kidogo tukakutana na mtu alie umwa na nyoka amekalibia kufa,mimi nikamchukua nikaaza kumusaidia yule mtu akawa sawa,nabii wa mungu tafadali naomba nijue manake ni nini
@vandyjavol9628
@vandyjavol9628 2 күн бұрын
Vipi kama unakula njugu karanga na mtu alieaga dunia na anakuambia kula tu usijali!
@GraceLeonidas
@GraceLeonidas 2 күн бұрын
Amen
@AlaphatSophia
@AlaphatSophia 2 күн бұрын
Samahan mtu mishi naitaji msaada wako wa maomb
@AlaphatSophia
@AlaphatSophia 2 күн бұрын
Samahan bwana yesu asifwe mm niota ngombe wapo wengi mmoja akawa ananifata
@janetmutua4275
@janetmutua4275 3 күн бұрын
Iko poa sauti
@janetmutua4275
@janetmutua4275 3 күн бұрын
Ooh yes
@janetmutua4275
@janetmutua4275 3 күн бұрын
amen 🙏
@janetmutua4275
@janetmutua4275 3 күн бұрын
Shalom daddy
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 3 күн бұрын
Karibu