WAZANZIBARI wamechoka kutawaliwa na TANGANYIKA, 2025 ZANZIBAR iwe na MAMLAKA KAMILI mwisho wa Ukoloni wa Tanganyika.
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Allahuma Amin Amin Amin
@2002-h6cАй бұрын
OMO naye ajiona eti Mwarabu, tangu lini mtu mwenye asili ya Congo , porini huko alokuja Zanzibar kupitia utumwa akawa Mwarabu ??😊
@2002-h6cАй бұрын
Huyu jamaa angekuwa Mzanzibari wa kweli (Mwafrika ) Watanganyika wangekola, ila uzuri ni kwamba huyu ni Kumbaro, hana asili hata ya Afrika, anajtekenya na kucheka mwenyewe, tangu lini Kumbaro akawa Mzanzibari, ili uwe Mzanzibari aili inabidi kwanza uwe Mwafrika 😂😂
@MohdSuleiman-k1oАй бұрын
Hii ya Lin?
@MohdIkra-d7sАй бұрын
Hiii imeshapita illaa haitapitwa na muda maana ni taaluma sio mipasho kama wanavo fanya majirani zetu
@ahmedjaad4940Ай бұрын
Nimeandika sana hapa hawa wahusika waandike details kuhusu hizi video, mkutano lini, umefanyika wapi, lakini jama hawajibu kabisa
@BimkubwaOthmanАй бұрын
Bora namsubir nimuone ila akiwa Raisi ntakupongeza jussa para kama kinoooooooo
@SmilingTropicalSailboat-op2jkАй бұрын
kwan ACT jumla yao n wangapi maana hawawaoneshi wat wao