Nakumbuka kitambo, moyo una huma nikisiliza mzuki wazamani, kupia wimbo huu nime kumbuka ndugu zangu walio fariki 😭 Nakumbuka wakati nilikua shule na marafiki zangu. Toka Congo 🇨🇩 na wapenda ndugu zangu wa Tanzania 🇹🇿.
@AbelLazaro-y4p10 күн бұрын
Kazi zuri ulifanya brother
@jojomackenzieYАй бұрын
nani ako hapa novemba 2024 🤣🤣😋
@AbelLazaro-y4p10 күн бұрын
Huu Wimbo na ukubali san,niko dr
@GodwinRwegasira11 ай бұрын
Ngoma zake 20% ni noma sana, hazichuji kama za wasanii wa kazi kipya