Hello moha i want to talk with you as my brother be careful with faustine kwa nyumba yako asije kujiua cause it's like akona depression 🙏
@rahema90719 күн бұрын
Mohaa sio kila saa 📷 hiyo amesema ukweli
@frashiamuthonimwangi702019 күн бұрын
@@rahema907 imagine camera ndio itatuma asaidike Saa akiogopa kuongea kwa camera watu watadhani ako sawa
@MamrF-v9v18 күн бұрын
Camera ndio inaweza musaidia faustine asiwe nakiburi
@gladyskamanda975619 күн бұрын
For sure Moha, you go through a lot but God will be with you
@loreenmwambinguloreen737318 күн бұрын
Amteka
@onyeomachinyeremaka680919 күн бұрын
*I just want to say a short prayer for everyone who is fighting secret battles. I pray gracious GOD gives you victory 🙏🏾🙏🏾🙏🏾*
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Amen 🙏
@millycentmwanisa200419 күн бұрын
Amen
@MarryNatasha19 күн бұрын
Moha thank you for putting everything to God and the way you handle things continue to trust God bro never give up you just continue with that spirit
@loreenmwambinguloreen737318 күн бұрын
Kweli kabisa na ni kijana mdogo sana
@austrinemutsotso156019 күн бұрын
Moha you are a great person ND a God sent....endelea vivo ivo....but kindly kalisha fastine ND her siz chini mu have a family talk..saizi they are your family...na vitu zingine kindly usieke Kwa camera cz thiz 2kitu they are going through wanaweza ata jiua wakiwa in your house..plz just tlk to them kando mbaya yasiwafate.. advice kama aliget passport yake mtaftie connections arudi job maze plz bro..we love you for the good job ND heart....
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Okay
@SarahEthiopia-q2c19 күн бұрын
Sasa walai moha utafanya aje walai unajaribu moha walai ❤ kwanza umejaribu
@FanisOkoti19 күн бұрын
Sikwa ubaya faustine is right sikila wakati camera , labda ayuko comfortable labda niprivate issues...labda anataka kuambia kwa siri like brothers....bt God will bless u moha bt wacha vitu zingine zikuwe siri vile anataka...
@caroopambo19 күн бұрын
Juu washaanza kuona mwangaza sasa yuko sawa?
@muasyairene762619 күн бұрын
Plize moha faustine sasa amefunguka macho let them free sasa ushaawasaindia hope end month is almost apate doo..let him go job enda marigoti hau kikomba chukua mkoko chapa job you pay 50 but jioni utakua na doo jioni before upate doo.this guy is too much mouthing.ata siz wake anakaa ana wisdom kuliko this guy.
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Hizo camera anakataa ndio zinamsaidia for real
@frashiamuthonimwangi702019 күн бұрын
@@mohaclassicfamily very true
@onyeomachinyeremaka680919 күн бұрын
*Moha please don't cry take easy sometimes challenges comes to test your faith so be strong and don't give up on Faustine because he's prostrated.*
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
I will but it's hard to work under pressure
@onyeomachinyeremaka680919 күн бұрын
@@mohaclassicfamily*Sorry bro take hard . Gracious GOD bless you and give you all your heart desires and what you deserve ❤*
@MariahNyaboke19 күн бұрын
Hugs Moha❤Faustine everything works with time be patient please..you are grateful you have lavender and moha as afamily. Don't allow depression win you young boy. May God intervine with every situation 🙏ishallah all will be well
@josphinekageha786519 күн бұрын
Moa ambia foustine awe mpole mungu anamuandalia mahali asifoce vitu ,,,,,,wakati wa mungu atafurai .
@Barak-ck19 күн бұрын
Moha take care Faustine is not understanding just look on how he can get passport aende kazi , lavender is understanding,
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Qm trying akh kurenew take time
@Barak-ck19 күн бұрын
@@mohaclassicfamily it needs pesa ya hongo itoke haraka
@margaretnjoronge571216 күн бұрын
He can apply then naweza kwonyesha mtu ataipush itoke haraka
@FATUMANgala-j1z19 күн бұрын
Moha uko mature,advice huyo kjana
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
I will
@gozakoth846619 күн бұрын
fostin ungejua maisha ya town aunge Fanya moha jivo moha akiweke na familia yako
@ZainabuBaya19 күн бұрын
Faustine with tempers nothing good will come out nimekuwa nikiwafollow you have the right to be bitter but God's time is the best and justice will prevail kuwa mpole bro and be strong for your siz
@MarinaMusah19 күн бұрын
Faustin toka huko nje Kila siku tafuta job na mungu atakufungulia hatakama niyakuosha office please, cause ukililia Moha utampea pressure pia yeye na ameweza kukupea place ya kulala wewe ni mwanaume toka utafute please
@periswanjiru947619 күн бұрын
Moha i trust on you i love when you smile bro be strong
@josphinekageha786519 күн бұрын
Foustine weka imani kwa mungu ni uchungu ndio but mungu yupo heri ushikilie hio mjei ju ile kidogo unapata toa fugula kumi kwa kanisa majaribu yapo ili tumkumbuke ako na mamlaka
@JenifferNzioka-fv9xv19 күн бұрын
Moha Mungu akupe roho yakuvumilia na huyo shetani anajaribu kuwafuruga ashidwe kwa jina la Yesu
@EdnahKemunto-w4g19 күн бұрын
Moha nimefeel nikiona unalia ,,elewa tu faustine ni vile ako depressed bt kila kitu itajipa,,moha much hugs
@AgnesKamau-h6j19 күн бұрын
Moha pls understand those people they might have been witched by those mothers for revenge so understand them spirit of confusion is real u rescued them from deadly situation which their mother especially postine had done to him.
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
I do understand them but am under pressure
@onyeomachinyeremaka680919 күн бұрын
@@mohaclassicfamily*Bro you're in the palm of His hand.*
@PurityLove-g9b19 күн бұрын
Faustine achn n moha please sis ndo tuliambia moha akuwek n bd tukon uwez wa kuambia moha akutumue muon I love moha n siwez furahia ukimfanya alie
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Very true
@AliceNjeru-os1yb19 күн бұрын
Wah aki Faustine akue na uvumilivu kiasi mambo itulie Mungu afungue milango aende majuu aki, aache kiburi ju ukiwatoa saii wataenda wapi😢😢😢
@prettyannitah523719 күн бұрын
Faustin usi question God have faith instead when the time is right God will make it happen 🙏
@DorcasChege-p7t19 күн бұрын
Ngai Faustin huwezi force God a do something. Wengi wetu tumepitia mengi bro. Subira Subira. Hivyo unabiya Moha, ongea na Yesu he knows unayopitia u never know tomorrow. I'm praying with u.
@Everlyne-zg2qz19 күн бұрын
Wewe fastine,omba Sana upate macho ya ndani,uwez bata mtu km moha nifunze kwa na subira bcz subira huvuta heri,Na umbu mwenye kelele hufa haraka,kuwa mtu Wa kwenda na wakati Wa mungu
@ShiroNgure19 күн бұрын
that's true moha pengine hajazoea kuka kwa wenyewe pls sugulikia vitu zake arudi kazi pls juu huyo jamaa ata chizi mm naeliwa nawe mwerewe pls
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Am trying akh sio rahisi nkiwa peke yangu
@frashiamuthonimwangi702019 күн бұрын
@@mohaclassicfamily 💪💪❤️❤️
@MamrF-v9v18 күн бұрын
Faustine mugu hajibu hapo kwahapo wew umekasirika serikali yasahii niuwe napesa ndio usaidike kwahiyo wew tafuta kazi yoyote ufanya lakin mambo ya kublem mwenzako siovizuri ,shukuru mungu mohaa ana rohoyake angelikuwa mwengine hangeweza kuwa nanyinyi nyote kwanyumba kwahiyo shukuru mungu sana
@HANNAH-kc5kz19 күн бұрын
Moha pole kweli unapitia mengi faustine uko na stress hatukatai lakini moha amenjalibu aki kukaa na nyinyi na hii maisha aaaii be patient faustine life is so hard nowadays
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Very hard advice him
@Emilymama2boys18 күн бұрын
😢😢😢😢😢💔😭😭😭😭😭mungu amsaidie uyu kijana arudi kazi afaniwe justice arudishiwe documents zake aende asaidie dadake amechanganyikiwa cz anafikiria nateseka na ako na pesa mob na zimeenda ZOTE 😢😢
@DorcasChege-p7t19 күн бұрын
Moha i like how u preach to Faustin. Ategemee God. Faustin? Hakuna rafiki kama Yesu mwabiye how u feel. Moha? Ur young and bright brain.
@AphurahBoakye19 күн бұрын
Moha fam we are waiting.watchig from 🇺🇬
@FaithMuia-f3k19 күн бұрын
Moha vitu zingine should do out of cameras just help him arudo Qatar actually mi ningekua faustine siezi kaa kwako tena coz almost daily ni makelele ama umwekee hio mayai ....unaonekana umechoka na wao kukaa kwako bt God will give a way out na watakuondokea
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Not really but hizi camera ndio zimewasaidia I can't do it alone
@MoraaOngera-r9k19 күн бұрын
Faustine hana shukrani yaani hawezi ongea in a humble way unakaa mwanamke aaaaH unabooooooooooo faustine
@PurityMmboga-d2h19 күн бұрын
Hi faustine you have to take heart bro and make sure you protect our one and only beautiful sister lavesh and I pray that God to help you it so painful but take heart bro everytime I watch you story I starts to 😢 cry
@lillianmasinza178719 күн бұрын
MOHA _ THANK YOU FOR TAKING IN FAUSTINE AND LAVENDER ! IT SHALL BE WELL . WATCH AND PRAY !!
@beckymaria212519 күн бұрын
Muha sio kila kitu kinawekwa kwenye camera ,vitu zingine ni private wewe uko tu after content or money vitu zingine usiweke public
@PaulineWabwile09719 күн бұрын
now that mama mlezi wa lavender aliwapa title deed si wauze io shamba wajipange ..Moha umeng'ang'ana ata Mungu ameona ..lavender uko pia ako rude kimpango Faustine the same.. Moha surrender you've done more than enough
@AngelaMunyao-v7j19 күн бұрын
Moha mwambie faustine aache haraka kwa munguhakuna haraka wala hachelewi angojee wakati wake but aaze kutafuta kazi hata kama ni mjengo
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Kwelii
@MariamzuhulaAbudlRahman19 күн бұрын
Hi guys good evening to everyone following but guys please we all know that life is hard but Faustine and your family please try to respect people don't be like that at least take it easy if it wasn't moha you would haven't reached here even we could have known you please be patient like is hard but some time God's time is the best @ moha please tell this people that everything needs time and sense not too much energy or effort 🫂👆🫂 Moha God will bless you abundantly because you have a pure heart thanks so much
@loreenmwambinguloreen737318 күн бұрын
By the way he can't blame moha he is a kid also...
@IreneKioko-pb4cy19 күн бұрын
Faustine wee acha kiburi ya ufala tumepita hio life wengi but tumevumilia mvumilivu ula mbivu now am 25 since 18 yrs nafanya vibarua nisomeshe our siblings So vitu zitakuwa sawa
@liliankemuma947519 күн бұрын
Amen,endelea kumtegemea Mungu yote yatakuwa sawa.
@joashmakori198918 күн бұрын
Ni stress huyu kijana anapitia please understand him
@Barak-ck19 күн бұрын
Mambo ya court case wachana nayo pia you need to know moha is your age mate , wewe anzia maisha yako wacha na moha, wewe Faustine mature moha is good man mimi ningekuambia uende juu wewe si mtoto
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Am trying on my side
@Barak-ck19 күн бұрын
@@mohaclassicfamily yes but I think like how he is complaining
@Victoria-25418 күн бұрын
Moha umeongea kikamba😂😂😂
@salomemercy142219 күн бұрын
Moha mwambie aanzishe biashara ya kuuza mayai,,najua hio hawezi kosa 50bob kwa mfuko,,😢😢woiyee kabla harudi job,, alfu kwani ww ni mungu ndio fau anaku blame,pole kwa pressure
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
I'm wish ungeongea na yy
@beckymaria212519 күн бұрын
Muha nunulia huyu mayai na sausages na trol auze that will be the best help then that girl wth her privacy stuffs off camera just understand him he is depressed 😢
@loreenmwambinguloreen737318 күн бұрын
Bas ushamaliz uyu mtu alizoea pesa nyingi
@ShuqranElima19 күн бұрын
Moha sorry for everything but try to calm down and listen to foustine we are all human though 😢😢😢
@euniceshanii298019 күн бұрын
Mohaa umejaribu kusaidia foustine lkn Hana sibira na wutulivu aki
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Patience pays
@mnqobi896919 күн бұрын
Faustine ako depressed...Please Moha understand him...
@LydiahNjoroge-j7h19 күн бұрын
Yes,because lavender anamtegemea,so pengine alikuwa anataka waongee private, moha mpe time umsikilize,kwa privacies
@WeddyKathambi-b6g19 күн бұрын
Faustine inajua unasumbua? Pole moha but muelewe depression is real
@NorineEdesa19 күн бұрын
faustine miracles hazikujangi hivyo tuu be patient na cases huwa haziendi vile unadhani
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Very true
@thechosenone01-h5e19 күн бұрын
It's only the HOLY GHOST will meet you and your sister,,may He visits you this night mwisho wa mwanadamu dio Mungu huanzisha
@lizliz-to3bf19 күн бұрын
Faustine anafaa kueda Qatar tu tena juu weeeeeh,kama ni pesa ya kurundi aseme achangiwe life itakuwa sawa
@beckymaria212519 күн бұрын
Kuna pesa za ticket etc anahitaji but hana
@justofavour910919 күн бұрын
Huenda those two wicked women so called mama zao ndo wanajaribu kuwatupia hizo maconfusion mkosane ndo usiwasadie coz wanaona vile umewashikilia Hadi case iko Kwa court,wataumia,so pliz moha I beg you in the name mwelewa Faustin hata kama anakukosea mrekebishe Kwa hekima na upole🙏🙏
@elizabethkhayumbe159819 күн бұрын
True
@velmanyamusi783819 күн бұрын
Very TRUE
@FaithNjeri-e4e19 күн бұрын
True
@margaretnjoronge571216 күн бұрын
Very true
@MercyNadia-o1k19 күн бұрын
😢😢😢😢😢aki wanadamu awana. Shukran nimeamini leo asanti ya punda mateke i feel uou moha
@M5840818 күн бұрын
Faustine why are u failing us😢
@ZolufaMas-ie4un19 күн бұрын
Moha Saidia huyo boy juu uk na strees
@carolynkalush519919 күн бұрын
Moha mpaka ukaongea kikamba woooooiii moha 😪😪
@LydiaNyaboga-fp3uh19 күн бұрын
Pole moha... patient plays brother Faustine,
@SarahEthiopia-q2c19 күн бұрын
Aki nafeel muha don't cry waaah hii n hard si utoke utafute ata wewe aiii wewe Faustine jitume pia wewe
@MbulwaMunyao19 күн бұрын
Ule mama alikula pesa y huu kijana anajua kile kinakula huu kijana
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
😳😳am shocked what's really am going wrong
@MbulwaMunyao19 күн бұрын
Kabla huyo sis yko ajue moha alikuwa anaishi mukona kiburi n huyo sis yko pia
@periswanjiru947619 күн бұрын
Very true ni kiburi
@caroopambo19 күн бұрын
Ikiwa huyo mwingine anadisrespect mama mlezi ambae ameng'ang'ana nae sembuse wewe
@thegospelmessage503919 күн бұрын
True wanamadharau 😂
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
They should learn how respect
@lydiawanjiku79118 күн бұрын
@@mohaclassicfamily moha huyu jamaa unamsaidia lakini hana heshima usigoje ashante kutoka kwake
@Betty-k1c19 күн бұрын
Faustine uko na ego you should accept Moha amekuhelp sana control your anger issues
@sophiagakenge118518 күн бұрын
He is not reasoning
@paulantony540119 күн бұрын
But huyo lavender ni kama iko inlove na bro wake ama Mimi naona zangu😂😂😂
Moha mungu akusaidie uko na advice nzuri but Faust ndo haelewe mungu anajibu Kwa wakati wake aelewe hilo
@DorriesWulenywe19 күн бұрын
Aaai moha uko na moyo kweli mungu akubariki
@eunicemuenioyugi812119 күн бұрын
Foustine pia wacha kustress moha . he's taking care of you and your sister .kanairo mtu kukuweka sio rahisi
@BrendaMogambi19 күн бұрын
Hi moha na faustine,,aja leo nitoe faustine makoza,,no 1 tamber yako iko juu,,moha amekusaidia Sana,,alfu kitu ingine ukuambia faustine asikuje na camera,,so ww ndio mwenye makoza
@DelphinMulera19 күн бұрын
Faustine moha has a golden heart acha kumpea stress akikuacha utalia na hakuna mtu anaeza kusaidia kumbuka moha anakusaidia na pia Ako na his own things anafaa kufanya
@frashiamuthonimwangi702019 күн бұрын
tafuta mjengo juu wewe huna asante
@caroopambo19 күн бұрын
Correct 💯💯 aende mjengo
@thegospelmessage503919 күн бұрын
The man and sister wanamadharau
@SarahEthiopia-q2c19 күн бұрын
Me adi nliacha na mimba na nkazaa nkafungia hao then nkasuffer a lot but God did it atlest sahii nko job. Stable na mtoi wangu ako shule poa Kuwait n kitu ya maana na kujituma walai things. Will be ok
@MamrF-v9v18 күн бұрын
Faustine usi blem moha ju anaeka camera Ili upate usaidizi jamani mbone unakua mukali ,,nimaisha tu hayo yatapita usiwe na stress sana
@mumblessed00119 күн бұрын
Huyu anatumiwa uchawi ndio wakosane na moha ndio watoke hapo wateseke
@veronicatirwomwe656519 күн бұрын
There are many people without even a house to sleep in.
@phanicebosibori630118 күн бұрын
Faustine sasa c ata akwe na shukrani juu ako na mtu amemshikilia 🥺some people are ungrateful 😢,unalalamikia moha n kama n yeye amekupea izo shida zako🥺🥺🥺NKT
@caroopambo19 күн бұрын
Moha achana na hawa mafala waende utawabeba hadi lini hivo ndio alienda kujifanya tanzania ukawa na wakati mgumu
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Have tried for real
@lydiawanjiku79118 күн бұрын
@@mohaclassicfamily huyu mwambie tu atoke ajitafutie kama mwanaume anaboo sasa
@naseeralbishi472619 күн бұрын
Faustine unataka moha afanye nn na amekueka ndio utafute lakufanya ....faustine unatakiwa ushikuru moha sana
@gladysmartha-lc2xy19 күн бұрын
Wewe ata uko mkubwa Mimi niliachwa na wazazi wangu nikiwa primo my siz was 3yrs na bado tuko.
@winniemurimi829919 күн бұрын
Yako ni tofauti na Faustine saa ii dio anajua kumbe wazazi walikufa anaishi na goons kila kitu imeenda
@jacquelinewanjohi640519 күн бұрын
Team and family maombi ...please lets play hii family. No weapon fashioned against this family shall ever prosper , God have Mercy. Peace of the Lord.
@LucyWangui-d2o19 күн бұрын
Faustina shukuru moha anakupea kila kitu food n home pia ka unataka kujitaftia ukiwa free toka kiasi before urudi God willing usake sake job ata kama n kindogo utapata ,,acha kupressure moho please amekufanyia mengi
@salomemercy142219 күн бұрын
Sasa faustine hasira nayo,ya nn, na hio camera ndio inamsaidia,,wueh😮
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
He not see that
@salomemercy142219 күн бұрын
@@mohaclassicfamilymwaume ni kujituma,walahi ,ama atafte ya hoteli, nimemtext ,mwambie kesho ajaribu, believe me hawezi kosa ata,bora a trust God,.
@salomemercy142219 күн бұрын
@@mohaclassicfamily alafu mic ni pesa ngapi?
@ZulufaRingo19 күн бұрын
Please faustine kuwa mupole muha ndio ndungu Yako mungu anaweza kama simungu ungejuwa hayo yote please please kuwa mupole uwezi saidika ukali hatakupeleka mahali narudia kuwa mupole mungu atakuonyesha ngia please
@prettyannitah523719 күн бұрын
Moha you just record if at all italipa do that Faustin nayeye ajue pia watu wa mjengo huishi na hukula tu vizuri but asidharau kazi yeyote na sasa pia akue mpole aongee chini na ni Mungu hufungua njia have faith
@ZenyGold-g7h19 күн бұрын
We kijana acaaa muvuruga muha kakusaidiya yakutosha Sasa towa ufala apo
@FaisalAlota19 күн бұрын
Faustino Wacha kiburi moha amekusimamia sana but kaa ukijua uku inche kuna watu wanapitia magumu na wamenyamaza respect moha sana
@margaretnjoronge571216 күн бұрын
Something is wrong somewhere Lord help this family ..... open there spiritual eyes and ears...... faustine be cool kweli depression is real 😢😢
@lilianmbakambaka671819 күн бұрын
Faustine wee tafuta hata mjei any work that's available even moha the other day alikuwa na msiba pia so since both of you are total orphan and focus on with your life God has plans for whatever is going on faustine🙏🙏🙏
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Hawajui life ni ngumu apa nje😢
@FATUMANgala-j1z19 күн бұрын
Faustine kuwa mpole,kama unataka job si utafute mjengo mbn unapeleka mbio moha na alikusaidia
@TreasureMagumba19 күн бұрын
Pole mohaa but hawa watu watafutie mahali wakaombewe hawako sawa kabisa kisaikolojia wasamehe bure yani inaumiza😢😢😢
@ZenyGold-g7h19 күн бұрын
Katupiwa Pepo yakujinyonga
@dianasimiyu885319 күн бұрын
Faustine wacha hizo people goes through alot hasira haisaidii be patient moha akupee job for a moment Qatar utaenda. Kuwa recorded sio jambo mbaya pia ni kazi bana and we need to know more that it's happening.
@LLl-p4r3l19 күн бұрын
Punguza pressure Fostine elewaneni jamani
@JanetOsebe19 күн бұрын
Moha leo siongei but wacha mungu akupe roho ya ufumilivu ni majaribu tu
@judyagano19 күн бұрын
Sasa unataka moha akwambie nini 😮😮😮
@periswanjiru947619 күн бұрын
Faustine kama hii akili ndio uko nayo mungu akusaidie am sure moha akikosa kuwapea food utakuja kumwanika uku so just be cool juu huna chako
@frashiamuthonimwangi702019 күн бұрын
mungu wangu huyu kijana haoni vile moha amewasadia
@deborakadhengi577119 күн бұрын
Kuna spirit flani inamsumbua sio yey😢😢
@Betty-k1c19 күн бұрын
Imagine huyu faustine n nugu sana moha amtupe nje leo aneza anzia wapi
@paulantony540119 күн бұрын
Sasa moha awasaidie Niko Japan kumpereka mbio hendeni kwenu mnasumbia sasa
@mohaclassicfamily19 күн бұрын
Sasa hii ni pressure 😢
@veronicawakonyo773019 күн бұрын
their is people who are facing alot more than you faustine please be patience God is working for it
@naomifuraha19 күн бұрын
Acha kucomplain sana acha iyo time moha achoke hiyo time ndio utajua God's time is best the more unacomplain the more unachelewesha God we mwenyewe