Hii mmeua kabisaa ,Asanteni sana kwa wimbo mzuri mnoo 💕💕💕 The melody 🔥 🔥🔥
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS16 күн бұрын
Hata hivyo hamjawahi kuniangusha... love you soo much my team ❤ ❤🎉
@mutongoreprostudios16 күн бұрын
Pamoja sana mkuuu. Ubarikiwe sana
@ErickHerry-vy9cf16 күн бұрын
Congrats! Hamnaga kazi mbovu❤❤
@amambiastephen17816 күн бұрын
Asanteni sana. Mwenyezi Mungu azidi kuubariki utume wenu, na awalinde siku zote.
@taramajane20015 күн бұрын
Kazi nzuri
@waromokello16 күн бұрын
A cool music from a wonderful team ❤❤
@evaalute255616 күн бұрын
Waoooh..kazi nzuri jmn..🎉 nawapenda sana..mpk malaika wanachungulia..uzuri wa sauti hizi..Mungu awatunze na kuwabariki..🌹🌹🌹
@pauljustinian827116 күн бұрын
hamna maneno mengi 🙌🏾🙌🏾🔥🔥
@davidmwipopo274316 күн бұрын
Nawapenda bure. Kazi nzuri sana.
@ClotlidaFmayanja14 күн бұрын
Mpo vizuri hongera sana kwa mtunzi wimbo mzuri sana Mungu azidi kumtunza. Pro studios choir hakika mnanikosha sana sijawahi na wala sitarajii kuwachoka. Hongereni sana
@tempochoir16 күн бұрын
Wow ❤❤❤❤
@tempochoir16 күн бұрын
Angelic voices ❤❤❤
@sayariproductions16 күн бұрын
🎉 Safiii 🎉
@claudiopaul899115 күн бұрын
This is awesome
@SimonNdibalema-m5v16 күн бұрын
Kazi nzuri jaman hongereni sana
@gracemtaki553816 күн бұрын
😂😂😂Organist Kama kawaida umaliziaji wake kwa minor notes super 🔥🔥🔥🔥🔥
@marineusmutongore15 күн бұрын
Kazi nzuri sana , hongereni sana kwaya Pro 👍 Utunzi bora kabisa wa Baba Latinus 👏👏👏👏
@Kwaya_ya_MtakatifuAgatha15 күн бұрын
Assnte saaana
@gracemtaki553816 күн бұрын
NAWAPENDA MNO 💖💖💖 mnanibariki sana kwa sauti nzuri natamani NIWEZE IMBA kama nyie🙏🙏🙏🙏
@emmanuelsolo745712 күн бұрын
Kazi nzuri sana hongereni kundi zima la Pros.❤❤❤
@Arati316 күн бұрын
Kazi safi 😊 nawapenda sana
@EzekianaMlawa15 күн бұрын
Hongera sana waimbaji, mbarikiwe sana.
@laurentinalaurent89527 күн бұрын
❤🙏
@DavidMakunja-m6f14 күн бұрын
Wimbo mzuri sanah unanibariki sanah ,,,,mmetisha sanah
@mutongoreprostudios14 күн бұрын
Shukrani sanaa
@gracemtaki553816 күн бұрын
Well-done ❤❤❤
@ClotlidaFmayanja14 күн бұрын
Hivi organist kamalizaje kweli kama kawaida yake Mungu azidi kukuongoza. Pro studios hongera sanaaaa kwa kazi nzuri
@mutongoreprostudios14 күн бұрын
Asante sanaaaaaaa
@DavisWangodi10 күн бұрын
nashuku hapo kwa organ ni kazi ya N B Mutongore. kazi safi sana mtunzi na kwaya
@deovictormedia792816 күн бұрын
❤❤
@flavialatinus216214 күн бұрын
❤❤❤❤❤super
@remigiuskahamba744016 күн бұрын
Amen...
@alistidiasimon897114 сағат бұрын
Hongera sana uncle Latinus kwa utunzi Bora, Erneus kwa muziki safi (mtoto) na wifi kwa uimbaji mzuri(mkwe) familia imebarikiwa sana kwa vipaji