Umbea wamfikisha pabaya Maringo7 ni baada ya kukutwa nyumbani kwa Sumaku akigombanisha ndoa yao, aamriwa kubaki kwa Sumaku na kumsaidia shemeji yake shughuri za nyumbani
Пікірлер: 109
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Yaani kikundi chenu ni kizuri sana yaani mnaweza sana,wote mna talenta sana.na huyu sumaku anafaa kuwa mwanasheria anajua mpangalio wa maneno.
@victotmangapi33484 жыл бұрын
Hutu mama kila mwanaume mme wake.
@AliAli-rx6wu2 жыл бұрын
Mariam Fritz hujaamboo?
@SalimHujaki Жыл бұрын
Mizengwe safii❤
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Sumaku ungesomea uanasheria ungepata mia kwa mia,maringo nae kwa umbea 😁babu nae anajua kukanusha kila kitu.safina nae mhh,mnajua wote.