Mnatukwepeshaa Mafuta Mnatulisha Ajina Motoo😂😂Kuumwa mtaumwa Tuu Mpaka Mje Kujua Siri Sio Leoo
@Zainab-u9q2 ай бұрын
Mhh chuku chuku mpya duuh
@samirahassani86062 жыл бұрын
Mh ajina Moto mtihan.
@agapitimlally97574 жыл бұрын
Nawakaribisha mapishi mbalimbali kujifunza jikoni kwangu chani
@jayzeem142 жыл бұрын
Asante lakini unampika samaki muda mrefu mno.unaharibu virutubisho Chef. Msra ya kwanza chemsha dk 5 msra ya pili 5 tosha kabisa. Asante kwa teknik ila punguza muda. Na weka option ya kutia saumu kukata zaidi harufu ya shombo.
@aminamsouth92 жыл бұрын
Mnunue sufuria mpya mweeeh, otherwise great job
@josephndomba97517 жыл бұрын
Uko vizuri chef big up sana mungu akusaidie
@josephinamacha27935 жыл бұрын
Safi sana. Nimejifunza kitu asante
@timalinitino29783 жыл бұрын
safi nakulaga hapo
@roserose91086 жыл бұрын
Hongera,sana mpishi wetu
@megoj51797 жыл бұрын
Safi sanaaa...well done chef!!! naomba uniambie au Kama kuna kuna yeyote aliyesikia jina la ingredient ya pili aliyoweka baada ya kutia ndimu. Asanteni. From Scotland U.K
@penelopejimmy30097 жыл бұрын
Maggie Orkar ajina moto
@salimajuma66712 жыл бұрын
asante nimejifunza
@isabellajoakimu23254 жыл бұрын
Iyo Ni sup au mboga
@gracemajala85097 жыл бұрын
hi recipe nzuri,je naeza ongeza tumeric
@ameenamassawe70347 жыл бұрын
je viazi vilichemshwa au ni vibichi?
@davidmanyanga75837 жыл бұрын
Ameena Massawe vizuri
@megoj51797 жыл бұрын
grace majala Viazi vibichi
@husnanoor13687 жыл бұрын
Nadhani waweza tia turmeric one of the best ingridients kwa samaki chukuchuku
@fatmajezan68127 жыл бұрын
delicious greeting from Yemen
@catherineezekiel62066 жыл бұрын
Ginamoto ndio nini? na inasaidia nini?
@clybilmwamba97396 жыл бұрын
Catherine Ezekiel Ajinomoto is a monosodium glutamate or MSG.It is totally fine to eat, it adds richness and flavour to food but don't use too much.Its usually popular in Asian cuisine.
@gumatohuka88275 жыл бұрын
Tamu,super.from , Norway. Thanks.
@gumatohuka88273 жыл бұрын
@Zeke Henry Hello. Thank you for sharing 🙏❤.
@gumatohuka88273 жыл бұрын
@Dane Israel Hello. Thank you for sharing your experience. Wish you a great day 🙏🌹🌷.
@queenshebasheba35955 жыл бұрын
Kiukweli huyo samaki mmekosea sana mungekatia kila kitu hayo mazwa msingeweka angetoka fresh kwanza karojeka hapo radha ya sato hakuna