Jinsi ya kupika samaki mbichi.

  Рет қаралды 73,190

Bahati Kitchen

Bahati Kitchen

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@waleoofficial6816
@waleoofficial6816 4 жыл бұрын
Badala ya Kuweka Background ya Music kwenye video ungeweka angalau Maandishi kuelekeza zaidi..maana ni kimya kimya hiyo
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 4 жыл бұрын
Salam alekum mashallaah chakula kizuri napenda sàna samaki
@mamaeu3147
@mamaeu3147 Жыл бұрын
Hongeraaa dear,ila kurahisisha viungo vikiiva unavipunguza then unapanga samaki halafu unavimimina juu ulivyopunguza
@nnatashacollinc7258
@nnatashacollinc7258 11 ай бұрын
Samaki wabchi hawafunikwi na pia wanachemshwa muda mrefu mpaka watoe mafuta Yao ....umejithidi ila bado sana
@SwabraMohamed
@SwabraMohamed 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nikweli
@jayzeem14
@jayzeem14 2 жыл бұрын
Asante. Huyo.samaki unamweka viungo gani kabla kumpika?
@justjj9934
@justjj9934 Жыл бұрын
Jamani hamsemi mukipika? Musik unakera sana...
@JaliaIrambona
@JaliaIrambona 7 ай бұрын
Asalam alaikum warahmaturulah wabarakatuh
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Hiyo beat ni ya mziki gani? Naomba jibu dada
@bahatikitchen4339
@bahatikitchen4339 4 жыл бұрын
Derrick 👋 sikumbuki sehemu nilipo hingizia himeshatolewa!!
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@bahatikitchen4339 daa sawasawa Dada
@sabrinasalum4387
@sabrinasalum4387 5 жыл бұрын
Bodo kupika samaki anashombo lazima umchemshe na limau afu umpalilie makaa au kama autumi jiko la mkaa unamchemsha kwanza na limau shombo litoke
@fatmajuma8000
@fatmajuma8000 3 жыл бұрын
Huwenda alimloweka na chumvi
@agnesmwanthi3937
@agnesmwanthi3937 Жыл бұрын
Good
@mariamutu5642
@mariamutu5642 6 жыл бұрын
That's what I like simple cooking bravo
@salmandege3961
@salmandege3961 3 жыл бұрын
Wamkoroga sna si atavurujika
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Nice my sister samaki mtamu sana
@bahatikitchen4339
@bahatikitchen4339 5 жыл бұрын
Asante sana .
@JaliaIrambona
@JaliaIrambona 7 ай бұрын
Asante
@neemamanyanya2983
@neemamanyanya2983 5 жыл бұрын
Hao samaki umewachemsha kwanza kidogo au unawaweka hivyohivyo mbona huongei
@bahatikitchen4339
@bahatikitchen4339 5 жыл бұрын
Nime weka maramoja bila kuchemsha asante kwa ku tembelea channel yangu.
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 4 жыл бұрын
Kweli samaki anageuzwa
@mpabhanigalubhirikiye6511
@mpabhanigalubhirikiye6511 5 жыл бұрын
Ungekua unatoa na maelezo ingependeza zaidi
@mariamuhadi8958
@mariamuhadi8958 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@marrygicho4050
@marrygicho4050 3 жыл бұрын
Ongea dada
@jayzeem14
@jayzeem14 2 жыл бұрын
Inabidi kutumia sufuria kubwa nadhani.
@adammasero
@adammasero 5 жыл бұрын
Mie nameza mate
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 6 жыл бұрын
Nimebaki kumeza mate tuuuu
@husnamahmoud7374
@husnamahmoud7374 5 жыл бұрын
Nice mashallah
@hannaroosevelt8432
@hannaroosevelt8432 6 жыл бұрын
Huongei tunaelewje hata maelekezo
@livingtairo7753
@livingtairo7753 5 жыл бұрын
Hanna Roosevelt hapa huwezi elewa chochote zaidi ya kupoteza mb
@sachadaring3632
@sachadaring3632 5 жыл бұрын
Try to explain plzz
@gw8886
@gw8886 6 жыл бұрын
swafi
@timamuhammad1320
@timamuhammad1320 5 жыл бұрын
Gatoto Wechy masha
jinsi ya kupika samaki mbichi wa mchuzi
12:42
Mapishi na Zuhura
Рет қаралды 22 М.
Ukipika samaki mbichi hivi utaenjoy sana 🥰
3:36
Malkia Foods
Рет қаралды 41 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Mchemsho wa Samaki. Mtaamu😍
3:28
Malkia Foods
Рет қаралды 18 М.
JINSI YAKUPIKA SAMAKI MBICHI WA NAZI/ SAMAKI MBICHI @ikamalle
3:45
MCHUZI WA SAMAKI MTAMU, UNAVUTIA NA RAHISI KUANDAA
3:02
Rasheedah’s Meal
Рет қаралды 11 М.
jinsi ya kupika samaki mbichi mchuzi mzitoo//fish curry.
6:46
jikoni kwa mama Swaumu
Рет қаралды 14 М.
Jinsi ya ku pika samaki chukuchuku
6:58
Bahati Kitchen
Рет қаралды 32 М.
MAKANGE YA NYAMA/ DELICIOUS STIR FRY
4:19
Ika Malle
Рет қаралды 83 М.
Jinsi Ya Kukaanga Samaki Vizuri Bila Kushika Chini Na Kuungua
4:01