Mzee Msey: "Wazigua bila kuoa wake wanne hakieleweki"

  Рет қаралды 18,476

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 жыл бұрын
Hapo kweli wazigula chatongera dini yakiislamu na twajiweza .kuwatunza wanne
@asmaajuma3328
@asmaajuma3328 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂. Ataomba rufaa kweli. Mzee wangu uko sawa Mashaalah.
@mohamedmkwayu2917
@mohamedmkwayu2917 3 жыл бұрын
Kwa watu wa zamani ilikuwa ni sawa kuoa wake 4 kwakuwa walikuwa na uwezo lakn kwa vijana wa kisasa hawawezi. Hata huyo mmoja tu ni shida itakuwa hao 4. Sababu nguvu hawana chakula chicken/chips/mayai wataweza nn.
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 4 жыл бұрын
KUA MWANAMKE ANAKUA KATIKA ADA YAKE HIYO BADO SIYO HOJA YA KUFANYA MTU UONGEZE MKE KWA SABABU SHERIA YA DINI YETU YA KIISLAMU HAIKURUHUSU KUTOKA KWENYE ZAMU YA MKE KWENDA KWA ASIE NA ZAMU KISA YUKO KWENYE ADA. MTUME SWAL-LA AL-LAAH A'LAYHI WA AALIHI WASAL-LAMA ALIKUA NA WAKE WENGI ZAIDI YA 4 LAKINI ALIKUA AKILAZIMIKA KULALA MIGUUNI KWA MKEWE KUKIDHI HAJA YAKE PALE ANAPO KUA MKE HUYO YUKO KWENYE ADA NA NDO MWENYE ZAMU YAKE. HIVYO INGEKUA KUOA WAKE ZAIDI YA MMOJA NI KUKWEPA HILO MTUME SWAL-LA AL-LAAH A'LAYHI WA AALIHI WASAL-LAMA BASI ASINGKUA NA HAJA YA KULALA MIGUUNI KWA MKEWE KUKIDHI HAJA YAKE YA KIMAUMBILE ILIHALI ANAO WENGINE WASIO NA DHARURA !
@sofisofisanatuwamezidikumf884
@sofisofisanatuwamezidikumf884 4 жыл бұрын
sasa hivi hakuna mashekhe nikupotoshana tu nasasa hivi hawafati shelia ya MTUME wanaoweya sifa tu
@mohamedmkwayu2917
@mohamedmkwayu2917 3 жыл бұрын
Hao ni wazigua wa enzi hizo.
@mohamedmkwayu2917
@mohamedmkwayu2917 3 жыл бұрын
I agree to You Tube's Terms of Service
@MdEmon-yn4cw
@MdEmon-yn4cw 4 жыл бұрын
dini yetu mwisho 4 watano ume halifu sheria ya Allah
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Msisahau watanga wengi wamejaa Kenya Mombasa Nairobi mje muaisabu pia
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
😂😂😂😂eti anaweza mchezesha bint mchezo mpaka akaomba rufaa.👏
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 жыл бұрын
Wako vizuri sana
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Huyu mzee hajafika 90 nimjanja tuu kisha mitaa yangu hii nkitoka South Africa ntamtafuta huyu babu
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 4 жыл бұрын
Atakuwa amekisia tu ila miaka 90 ajafikisha kwa jinsi alivyo sitegemei atakuwa na miaka hiyo
@anasjelani8186
@anasjelani8186 4 жыл бұрын
Anaweza kuanayo kwani bibi yangu mzaa mama yuko kabuku ulizia kwabamira anamiaka 126
@MohammedAhmed-hw3lg
@MohammedAhmed-hw3lg 3 жыл бұрын
Huyo hajijui anaumri gani hafiki kabisa miaka 90 sio zaidi 80
@yassinisuleimani1912
@yassinisuleimani1912 4 жыл бұрын
Asalamu Aleykum warahamatulahi wabarakatu Masha Allah Tabarakala Allah alahamudulilahi Allah ila nilicho naoba sana sana kuhusu kuweza kupata zaidhi za history hata ikiwa ni vitamu kwa naba zangu na Email zangu ziko haba chini tafazali yassini55@yahoo.com yassinisuleimani@gmail.com yassinisuleimani87@gmail.com jomokenyatta45@gmail.com 210-326-1905 Ahasante
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 жыл бұрын
Wabondei wavumilivu sana, mi bibi yangu ana 87 lakini yupo anapigana.
@athumanikigolo8753
@athumanikigolo8753 3 жыл бұрын
Huyu ana 79-80s
@chidiomari.65
@chidiomari.65 3 жыл бұрын
👁️👁️🇫🇮🤝
@MohammedAhmed-hw3lg
@MohammedAhmed-hw3lg 3 жыл бұрын
Tizama meno yake unajuwa anaumri gani anajuwa historia kidogo tu
@fideamavindi4369
@fideamavindi4369 4 жыл бұрын
Wee mengine umeongea chenga
@bigsamtv937
@bigsamtv937 4 жыл бұрын
Miaka 90 hapana😂😂😂😂
#Chetunichetu  Fahamu kuhusu Magila msalabani
43:33
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,6 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 122 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
UBUNIFU: JINSI YA KUBADILI TAKATAKA KUA MALIGHAFI YA KUZALISHA MKAA
7:19
HOUSE GIRL EP 41  | S3 | LOVE STORY 💞💕
18:58
BUSATI TV
Рет қаралды 10 М.
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 193 М.
MZEE MAJATO-MTETEZI WA WAZIGULA
12:54
Kumbusa TV
Рет қаралды 3,2 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, OKTOBA 25, 2024
30:46
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,8 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 122 МЛН