RASMI KAMATI SAA 72 YAMFUTA LESENI KAYOKO,TFF NA TPLB WATOA TAMKO,MECHI IMEFUTWA SIMBA NA YANGA...?

  Рет қаралды 66,938

BM NEWS Tz

BM NEWS Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 380
@EmanuelMuna
@EmanuelMuna 2 ай бұрын
yani hata akili ya kawaida tu mnatunga vitu ambavyo hamna uhakika na mnacho kifanya una jua kabisa hizi Tum kubwa zina uadui huoni anaweza kujitokeza shabiki feki na akafanya hayo na kupoteza point kwa mpinzani wake ebu acheni kua watoto
@AdmiringChateau-eu5yd
@AdmiringChateau-eu5yd 2 ай бұрын
Inawezekana wewe nikipofu
@AyubuMohamedi
@AyubuMohamedi 2 ай бұрын
Kwel aloo
@emmanuelndahan4879
@emmanuelndahan4879 2 ай бұрын
Ujinga
@stephanojoseph4357
@stephanojoseph4357 2 ай бұрын
Unawezaje kuuhakiki uchawi kama sio mchawi
@jacksonndutu4024
@jacksonndutu4024 2 ай бұрын
Kwenye Kigezo cha Goal keeper yaani naona kabisa mnavyourudisha nyuma mpira wetu wa Tanzania, sidhani kama mmeliangalia hilo kwa mapana.
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 2 ай бұрын
kwa maana hiyo mnaona kuna cha maana ambacho mnaongelea apo mm naona mmekosa kazi yakufanya
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 ай бұрын
Kwakweli
@AbrahManizo
@AbrahManizo 2 ай бұрын
Lingi inaelekea kuharibika wamekuwa wanapanga wao kikos wanavotaka wao
@MrishoBoka
@MrishoBoka 2 ай бұрын
So kweli vijana wanne mechi moja so kweli kabisa
@DakiaNzunda
@DakiaNzunda 2 ай бұрын
Kwa kifupi hakuna mlichojadili hapo. Sifuri!
@OthmanNditije
@OthmanNditije 2 ай бұрын
Wachezaji wazawa wajitafutie nafasi katika timu zao na sio kitafutiwa nafasi na TFF
@anthonyboniface4181
@anthonyboniface4181 2 ай бұрын
Hizo kanuni hakuna hata moja itakayopita mpira ni Biashara muwekezaji anafanya Biashara kwa kanuni hizo sioni wawekezaji wakifadhili ligi ama timu tutarudi nyuma miaka 20 iliyopita
@JohnEdward-z1j
@JohnEdward-z1j 2 ай бұрын
Mpira wa tanzania nimzuri sana lakin kuna marefa wachache wanataka kuiharibu angalia mpira unatoka njee lainz men (marefalii wa pembeni wapo tu na hawanyooshi kibendera) lefa mkuu nae katulia tu
@umalqasimalhamhami6707
@umalqasimalhamhami6707 2 ай бұрын
Wasege
@SonSon-vg8bd
@SonSon-vg8bd 2 ай бұрын
POINT TATU NA UCHAWI HAZIHUSIANI
@michaeljoseph7745
@michaeljoseph7745 2 ай бұрын
yaani team km simba au yanga isajili wachezaji wa 4 tu pumbavu sana halafu unategemea ukachezea na mamelod au Al ahaly aisee acheni upuuzi wenu huo
@josephatilunde9329
@josephatilunde9329 2 ай бұрын
Hamna kitu hapo ni kuweweseka tu, unafikiri ligi ya NBC kushika nafasi ya 6 Africa ingewezekana kama porojo unazozisema zingetiliwa maanani?Tafakari
@sundaymsomi6284
@sundaymsomi6284 2 ай бұрын
Oya huyu jamaa anaongea upupu mtupu hata simuelewi kama kweli ni mtu wa football
@ChimbangaMakotha
@ChimbangaMakotha 2 ай бұрын
Kk kuwa nafas ya 6 kmchongo Ila kisoka bado xana
@ChimbangaMakotha
@ChimbangaMakotha 2 ай бұрын
​@@sundaymsomi6284xahihi kaka mpra wa tz umeharibiwa na gsm, mana kote ulimwenguni cjapata ckia kuwa bosi anamiliki zaidi ya team tatu kwny ligi moja
@ibrahimmwaya3929
@ibrahimmwaya3929 2 ай бұрын
Naongeza nyingine Kama Ikibainika kuwa mchezaji alipewa KADI nyekundu kimakosa na ikatengliuliwa wakati mpinzani amenufaika kwa kupata point 3 kwa kupungua kwa mchezaji huyo basi points 3 hizo zifutwe ili ilete uwiano kwa kuwa kuendelea kwa mpinzani huyo kunufaika itakuwa bado haisaidii chochote kufutwa huko kwa KADI hiyo
@musalucas3490
@musalucas3490 2 ай бұрын
Acheni kuzipangia timu mnaenda kuziua timu hizo kiushindani kimataifa
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 2 ай бұрын
Kwa mara pili tunaona waandishi wa habari wanakuja mapendekezo,mapendekezo kwani Kuna nini au huu mpira ni waandishi wa habari? mbona wanao endesha hizo timu na wanacheza na ndio wavuja jasho hamuwashirikishi? Unasikia waandishi wa habari wanawasiwasi, ni Tanzania pekee waandishi wamekuwa ndio wenye mpira, kanuni kanuni, wao ndio makocha wao ndio wanacheza! Tujiangalie!!!!
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 ай бұрын
Simuangalie timu za nnje wanafanyaje,au mnataka kubomoa timu zetu
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 ай бұрын
Hilo la makipa sawa kabisa
@ChristopherMisungwi
@ChristopherMisungwi 2 ай бұрын
Mukosaw lakini kwanza mwafaja kuhusu hujuma waliyofanya yanga narefa wao ilitujue kwer mnataka haki
@AbuuMbarouk
@AbuuMbarouk 2 ай бұрын
Njaaaa zinawasumbuwa sana tafuteni mqshambar mukalime
@abdallahmaganga5806
@abdallahmaganga5806 2 ай бұрын
Kweli kabisa kwa upande wa Simba anamagolikipa wawili i Mimi nashauri kuwa timu ambayo inagolikipa was kigeni na mzawa ifanyike hivyo
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 2 ай бұрын
Posho za kikao zimeenda bure mawazo ya mwaka 47 hivi Nani katuroga?
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 2 ай бұрын
Ndio maana kila kukicha tunahitaji ushauri wa wakoloni tu, maana wenyewe kama ndio mawazo mnadhani mtakuza mpira. Hivyo kabisa. Hata tusiokuwa wanamichezo tunaona udhaifu wa mapendekezo yenu nje nje. Kama huna hoja kunyamaza nako ni busara.
@PiliSobo
@PiliSobo 2 ай бұрын
Hapo kwenye mchezaji Bora umeongea vizuri,, mchezaji Bora hapimwi Kwa kufunga
@gerphasntaziha4475
@gerphasntaziha4475 2 ай бұрын
Hamna point ya msingi alioongea huyu mtu, kwani mnashindwa kutafutia timu za nje makipa wenu nao wakachezeshwe huko ili timu ya taifa inufaike?
@MussaMachano-t8j
@MussaMachano-t8j 2 ай бұрын
Tujitayarishe kuagiza marefa wa kigeni kwenye ligi
@TariqKununginoti
@TariqKununginoti 2 ай бұрын
Kaka hapo amjafikiria je shabiki wa timu nyengine akajigeuza shabiki wa timu nyengine na kufanya madudu ya kishirikina
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 ай бұрын
Na hii wa ushirikina liko sawa kabisa hatutaki ushirikina kwema ling letu
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 2 ай бұрын
Mbona hamkuwa na utulivu kwenye hayo. Mmekurupuka. Mpira ni biashara msilete porojo. Anzisheni timu za kwenu muone kama ni rahisi kama kuongea ongea.
@SudyMohamedy
@SudyMohamedy 2 ай бұрын
Mmekosa kazi ya kufanyaj ligi yenyewe inaharibiwa na marefa leo hii mnaleta hoja isiokuwa na mashiko
@KieleniALLY
@KieleniALLY 2 ай бұрын
Ww mjinga sana sasa kama kipa wa bongo wanauza mechi sasa hzo mechi s majanga
@saidihaibe2375
@saidihaibe2375 2 ай бұрын
Mnataka ligi iwe ya mwaka 47 mmechemsha
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Hawa waandishi ni wapuuzi Pamoja na huyo msemaji wao anaeongea hapo
@JohnTamba-l5c
@JohnTamba-l5c 2 ай бұрын
Nasikitika nimemaliza bandi langu kwa kusikiliza takataka
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 2 ай бұрын
Achen ujinga mnataka kuturudisha tuliko toka kiufupi lilamtu acheze na nafasi yake anzeni natim ya taifa luchezesha wachezaji wandan tu halafu kuhusu matola nimiaka mingapi nimsaidizi naye mdokalizika na kazi yake na ety mashabiki waingie nachungu wannjani timu ikatwe point ujinga huo alafu serikali haiamini uchawi vipi hoja izo me zitoa wapi.
@oleoles9424
@oleoles9424 2 ай бұрын
Hakuna kitu apo,pelekeni huo upuuzi kwenye nchi ya kufikirika
@rizyoneboffi3662
@rizyoneboffi3662 2 ай бұрын
Kuhusu kocha msaidizi mzawa ni utayari wa mtu matola mwaka wa ngapi huu na hakuna anachojifunza hapo mmefeli
@Hamyder
@Hamyder 2 ай бұрын
Kuhusu matola utamwonea ajawai kabiziwa timu kama kocha mkuuu sasa wapi utaona kile ambacho anacho
@GeorgeRichard-ww1cb
@GeorgeRichard-ww1cb 2 ай бұрын
Acha sisa kwenye mpira
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Sio lazima mpewe nafasi ya kuhoji
@JohnTamba-l5c
@JohnTamba-l5c 2 ай бұрын
Hamna hoja za msingi hapo. Mnaojadili haya wote sio watu wa mpira ni wachumia tumbo tu;! Sheria za soka na niongozo yake inafaa tuzifuate kutoka FIFA na CAF Sasa haya mnayoyaanzisha ni mapovu tu na wivu wa kuona klabu ya Yanga inapiga hatua barani Afrika. Acheni wivu.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 2 ай бұрын
Yanga kaivuruga nchi😅😅😅mpaka kanuni zimetungwa sasa😅
@issaselemani491
@issaselemani491 2 ай бұрын
Siasa katika michezo haifai.Mchezaji ajitahidi mazoezini ili aweze kupata namba,mkitaka magolikipa wazawa wapewe nusu ya mechi hata kama hawana uwezo hiyo siyo sawa,watabweteka tu.
@vallentinemakuka6965
@vallentinemakuka6965 2 ай бұрын
Mnalenga ushabiki tu ili kuilinda simba .Timu inanunua wachezaji ili wacheze wote sio kulipa fedha bila kuwatumia.
@RamadhaniMakwilo
@RamadhaniMakwilo 2 ай бұрын
Kayoko akiendelea kuchezesha bc tujiandae kua nafasi ya 40 kwa bora, turikua namba 5 na xaxa namba 6 kuenu makini na marefa kuna wat wataipereka ligi yetu iwe kama siasa
@Salisalum
@Salisalum 2 ай бұрын
Nyie ni wahuni na itabidi TFF wawaangazie. Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe.
@WalifaWalifa
@WalifaWalifa 2 ай бұрын
Sisi tunaomba VIR itumike sio maneno maneo yasiyo na msingi wowote Kayoko hana kosa yeye ni binadamu kama wengine.
@JEREMIAPOUL
@JEREMIAPOUL 2 ай бұрын
Kwa upande washabik hapo mmekoroga😁😁😁
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 2 ай бұрын
Andaeni academy za vijana vilabu vinatumia gharama kubwa hamjaongea point hata moja😂😂😂
@lusungudaniel2659
@lusungudaniel2659 2 ай бұрын
Yaan hii jambo la ushirikina ni gumu. Je shabiki akifake kuwa ni shabiki wa Timu X wakati sio,itakuwaje?
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 2 ай бұрын
Mmekaa chini kuyatafakari hayo au mimekutana vichochoroni mnalopoka tuu simba saivi tutahama nchi
@KigeNyamhanga
@KigeNyamhanga 2 ай бұрын
Acheni ujinga watu wanatoa pesa alafu mumpangie cha kufanya
@abdulhamidnjovu6031
@abdulhamidnjovu6031 2 ай бұрын
Mpira ni biashara kubwa duniani na mwenyewe ni FIFA, akiwakilichwa na CAF barani Afika na TFF, nchini Tanzania. Sheria na kanuni za FIFA haziwezi kubatilishwa na mapendekezo ya vihiyo kama huyu!
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 ай бұрын
Shida Hawa wanatafuta umaarufu hakuna Cha kulindana uzawa Kila Mchezaji Apapambane kutafuta Namba Mpira Biashara GSM anaweka Pesa yake anataka faida anzisha timu Yako ndio mfuate hizo kanuni mnazotaka Kipa wa Manchester United sio maziwa ni mwezi Mwenzetu haijafika pale Kwa lelemama ameonyesha Uwezo wake
@JohnTamba-l5c
@JohnTamba-l5c 2 ай бұрын
Ujinga wenu unaenda kuliingiza Taifa matatizoni kule FIFA na CAF
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 2 ай бұрын
Katika watu wapuuzi wewe ni mwalimu wa wapuuzi wote. Hayo mapendekezo anzisha team yako ukifanikiwa utakuwa umeshawishi..... Mpira ni biashara siyo maneno maneno.
@hamisimnyeto
@hamisimnyeto 2 ай бұрын
Hivi huyu anayetoa hizo hoja amejitathimini au niupepo wa kishabiki unampelekesha mbona nchi ngumu hii hebu tuache siasa kwenye mpira
@PaschalBayo-qp9zs
@PaschalBayo-qp9zs 2 ай бұрын
Vp kwa timu iliyonufaika na points ambayo cyo yake ninyi mnawaza tu ushirikin acheni upumbafu wenu km juz simba kakosa point sababu ya urefa bd mnawalinda tuambien kuhusu hilo
@ondaomari6255
@ondaomari6255 2 ай бұрын
Timu 16 za NBCPL ngapi zina magolikipa wakigeni?
@SimonPeter-l7y
@SimonPeter-l7y 2 ай бұрын
Dah! Vitoto vya 2000 kweli nyie, Zidane alikuwa mchzaji bora wa World Cup na alipewa Kadi nyekundu
@PiriminMkamati-t2f
@PiriminMkamati-t2f 2 ай бұрын
Sijajua mnafikiria kutumia kiungo gani? Hv karne hii bado mnazungumzia habari ya ushirikina kweli km taifa? Hv shabiki wa simba avae kibuyu shingoni akawa anakimbia uwanjani,, yanga wakatwe point na mashabiki wasiingie tena uwanjani. Kwanza mnaaibisha taifa, inaonesha taifa halina watu waelewa. Kwa hilo mmefeli....ushauri wangu kaeni na watu walioelimika kupitia maswala hayo ndipo muweze kayaainisha kwa uma.
@JosephKipingu-b7t
@JosephKipingu-b7t 2 ай бұрын
Nyie majuha asee mnata mrete siasa kwenye soka
@creative-thinkers10
@creative-thinkers10 2 ай бұрын
Kuna sehemu mbili mnatakiwa kuangalia tena. 1. Shabiki kujihusisha na ushirikina kuadhibu timu uongo maana mpinzani anaweza kutuma shabiki wake kuingia kama shabiki wa timu pinzani mtajuaje kuwa ananufaika na timu husika? 2. Mnalazimisha makipa na makocha wenu wala rushwa waingie kutuharibia timu zetu.
@SaidiWaziri-f4o
@SaidiWaziri-f4o 2 ай бұрын
Mm naishauli tff au selikali marefa waajiliwe siohawa waposho wakipewapexakidogo wanauzamechi
@hamadmasoud490
@hamadmasoud490 2 ай бұрын
Wanatapatapa maji ya YANGA MAKUBWA
@ChandeJunior
@ChandeJunior 2 ай бұрын
Hiv hizo sheria zingine huwa mnazichambuaga vizur au mna mpango wenu wa kuzibana timu fulani yaani hizo sheria ni pumba tupu
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 2 ай бұрын
Kwanza amenyoa kiduku unadhani Kuna kitu hapo mpira pesa waambie wazawa wajitume
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 2 ай бұрын
Hii mnakuja na mbinu nyingine ya kunyang'anya points za timu chukiwa kwa manufaa ya timu pendwa
@michaelnsingija
@michaelnsingija 2 ай бұрын
azishen akadem zenu sio mnaanza kupangia vilabu yan hapo mtakuwa mumefanya laamaana
@FabianJuma-q8s
@FabianJuma-q8s 2 ай бұрын
Hv mnajadil nn? Au ndo kumaliz MB zetu2,hovyooo
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 2 ай бұрын
Vijana wawe 2 hapa lazima na Tz( wazawa WENGINE wawe 4) . Yaani mechi ya NBC WA Tz wasiwe chini ya wachezaji 6.
@mathiaschoma9527
@mathiaschoma9527 2 ай бұрын
Ni tff hao hao walipanga time kusajili wageni 12 ili kuongeza ushindani kwa wachezaji wa ndani, sasa hii nadhani ni kutapatapa. Kama ligi yetu ni ya wachezaji wa kulipwa hayo mapendekezo hayana mashiko. Hao waliotuheshimisha ni juhudi za mchezaji binafsi si vinginevyo
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 2 ай бұрын
Tff mtakuwa mnafeli sana anzeni kumfungia aliechezesha simba na cost mbona hamkumfungia wakati simba alipewa penati ya mchongo napia alipewa goli la of side na Azam acheni ubaguzi na hasa karia wewe ni mshenzi vitu vingine ufwatilii ila simba ndio unaiona timu hakuna jambo lisilo na mwisho
@PaschalBayo-qp9zs
@PaschalBayo-qp9zs 2 ай бұрын
Na wa yanga na simba pelnat zote mbili simba kanyimwa na yanga kupew free kicks ya mchongo
@MogelaSaileni
@MogelaSaileni 2 ай бұрын
Nikweli kwamfano mchome tunamnua nimshabiki wayanga sikumoja likafanya bitendovyakishilikina nalimevaajezi yasimba naniaukumiwe
@mirajiramadhanikyande6173
@mirajiramadhanikyande6173 2 ай бұрын
Mtaajiri Mtaalam wa Diagnosis ya Ushirikina?.
@MbendaHalfan
@MbendaHalfan 2 ай бұрын
Tumieni akili mnaotunga sheria shabiki. Ni shabiki tu anaweza kua shabiki wa yanga kwenda kufanya ujinga kwa simba na wa simba akaenda kufanya ujinga kwa yanga mnaweza kusababisha timu zikapolwa pwent kwa sababuya shabiki wa mchango kama mchome
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 2 ай бұрын
Ushirikina mnauthibitishaje hii ni kutaka kuzalisha vurugu hivi akitokea mathalan shabiki wayanga akavalia nguo za simba kwa makusudi na kubeba vitu vinavyoashiria vitendo vya kishirikina kwa makusudi ili simba iadhibiwe nakinyume chake je hamuoni haki haitapatikana? Ile fikra yenu ifikirieni kwanza kabla yakupendekeza yasiyowezekana
@willymdeka6034
@willymdeka6034 2 ай бұрын
Mnajisahau mpila ni biashara msilazimishe huo mpango wenu unataka vijana wanne wacheze Kila mechi na kama hawana uwezo wa kuisaidia timu je acheni mambo ya kizamani hayo
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 2 ай бұрын
Mliokaa kwenye kikao wote majunuun
@KateniManeno
@KateniManeno 2 ай бұрын
Hapo viongoz hakuna hao wakatunze ndoa zao kazi ya mpira hawaiwez watupishe tena kabla hazijapitishwa watuachie tuwakosoe ili wajue kuwa kaz ya mpira sio yao
@daudkondo4069
@daudkondo4069 2 ай бұрын
Timu ni zawatu binafsi, labda uiombe serikali iwafungulie chuo Cha soka la vijana
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 ай бұрын
Swala la vijana wa nne ni zuri sana kwa kukuza soka letu
@mussamussa952
@mussamussa952 2 ай бұрын
Hapo kwenye mashabiki wa timu mumevurunda maana shabiki anaweza kuvaa jezi ya timu ya simba na akawa ni shabiki wa timu ya yanga .
@ChimbangaMakotha
@ChimbangaMakotha 2 ай бұрын
Kmsng dg unaongelea ushabiki na upenz wa team ila je kwa waamuzi km alajiga jenesia lukia na huyo ramadhan wanaopewa nafas ya kuchezesha derby huwa wanakuwa sahihi kweli?
@ChimbangaMakotha
@ChimbangaMakotha 2 ай бұрын
Acha upenz wa team fulani zungumza hoja yenye kuleta mafanikio soka la tanzania
@AhmedMohamed-zj8hi
@AhmedMohamed-zj8hi 2 ай бұрын
Sio sawa kwahiyo kama hawajuwi wapewe nafasitu sindio?! Binafsi nazani mngependekeza makocha waende shule na zitengenezwe akademi za maana ili kukuza vipaji vya wachezaji na si vinginevyo!
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 2 ай бұрын
Mnataka kualibu ligi
@fabianmattaba3465
@fabianmattaba3465 2 ай бұрын
Hawezi kufutiwa leseni kwa sheria ipi?
@JoshuaPaul-i6g
@JoshuaPaul-i6g 2 ай бұрын
Watu wanawekeza pesa zao na wanataka faida kutokana na walicho wekeza so huwezi kuweka mtu kwenye timu kama hajitumi chamsingi wambie wajitume ili wapate nafasi lasivyo watasugua sana benchi 😂😂
@JosphatSonge
@JosphatSonge 2 ай бұрын
Hu Ni upuuzi wachezaj wakigeni wawe at 16 we unasem wa 4 kweli we nidishi la Azam
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 2 ай бұрын
Tatizo naloliona hapa ni moja tu huwezi kuipangia timu wachezaji ikiwa sisi tunajifunza kila kitu kutoka nchi zilizoendelea kisoka pia kuhusu makocha halikadharika kama wao ni bora na wanakosa kazi nyumban waende kuomba nchi za waty n wachezaji hali kdharika na hayo yote huwa yanakuja pale tu yanga ikiwa inaongoza ligi binaibuka visakata kibao maboreshoresho kibao mbona akiongoza simba mnasahau yte hayo
@islamsalim4001
@islamsalim4001 2 ай бұрын
Ichukueni time menu ya vijana ikiwa na kocha went mzawa muiingize ligi kuu , ili muuone uchungu na gharama za uendeshaji wa timu na hapo utawapanga hao wazawa wako unaowataka, kelele nyingi utekelezaji Ziro
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 2 ай бұрын
Acheni siasa...Mpira ni fedha
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz 2 ай бұрын
Ni kweli, lazima uwe na pesa zakutosha kufanya usajili mzuri, kuhonga marefa na kuhonga wachezaji kuhujumu team yao lkn pia kuumiza wachezaji muhim wa tim pinzani kabla ya mechi kwa kutumia mechi zingine zitakacho chezwa karibu ya Darby.
@CharlesWilliam-iz3fz
@CharlesWilliam-iz3fz 2 ай бұрын
Nyie hacheni mapendekezo yasio na na faida kwa vilabu.namini wenye akili timamu hawezi pitisha zaidi ya 10 % ya mapendeko hayo
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 2 ай бұрын
Mbona sijaona ishu ya kayoko na leseni yake
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 2 ай бұрын
Mapendekezo ya Hovyoo. Hapo kwenye GOAL KEEPER MMEMLENGA DJIGUI DIARA. PILI VIJANA WATAFUTE TIMU YAO. MPIRA NI BIASHARA. ACHA UJINGA.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 ай бұрын
Wamlenge diara kwa lip?shat kama lilee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
KWANI TIMU ZINGINE HAWANA MAKIPA ILA NYIE TU UTOPOLO KANYOKO FC?? MWEHU WEWE
@AyubuMohamedi
@AyubuMohamedi 2 ай бұрын
​Timu ya yanga unaweza cheza nao na ukatoka bila ontaget ko diara atakosa save​@@SurprisedFullMoon-gg9vu
@aminaomari2312
@aminaomari2312 2 ай бұрын
Yaani Diara ni shati?acha chuki za kijinga kizuri kinajiuza.​@@SurprisedFullMoon-gg9vu
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 2 ай бұрын
Nyiendiyo mnavuruga livi mngekaa kwanza navilabu namkazungumza namkakubariana hapomnawalinda yanga
@JustinBombom
@JustinBombom 2 ай бұрын
Yanga inawaumiza kichwa sana viongozi
@RemidiusRwehabura
@RemidiusRwehabura 2 ай бұрын
Hakuna point hata moja ya uboreshaji hapo Kuna kitu kinakuumiza
@JosephKipingu-b7t
@JosephKipingu-b7t 2 ай бұрын
Sasa unahic ligi imekuwa kwa hayo mapendekezo ya hovyo
@JeremiaMwambamba
@JeremiaMwambamba 2 ай бұрын
mimi simba ilikuwa simba 2 yanga 1bila upizani lefa kaegemea upande wayanga
@issaselemani491
@issaselemani491 2 ай бұрын
Bado hujaamini kama umefungwa!!?
@KateniManeno
@KateniManeno 2 ай бұрын
Hivi mliyokuwa mnajadili hayo wote mlikuwa na akili timamu au mlitoka kunywa vimpumu
@mohdpandu4919
@mohdpandu4919 2 ай бұрын
Sasa hayo ni matakwa ya kanuni au mapendekezo? Na inatakiwa kuanza kazi msimu upi? Sababu ligi ishaanza. Inatakiwa itangulie kanuni kisha ifuate ligi 7bu kanuni ndio inayoendesha ligi. Au tumekurupuka tu
@GodfreyGabriel-s7w
@GodfreyGabriel-s7w 2 ай бұрын
Kama ndo mipango yenu huo ni uzembe wenu vilabu vinafanya biashara peleka wachezaji wenu nje vilabu vinahitaji waliokwiva sio uzawa tu.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
PETER MSIGWA ATOA SIRI "CHADEMA LISSU AKISHINDA TUTAJISHUGHULISHA"
11:08
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 1,1 М.
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Azam TV
Рет қаралды 1,2 МЛН