Shkamoo Mama Samia. Tupeyane pole sote kwa Janga la Wavuvi lililotokea huko Mkoani RUVUMA. Ingawaje huku tuliko ni mbali na nyumbani bali msife moyo tunakuhakikishieni kua Tuko Pamoja wakati wote. ALLAH aziweke mahali pema peponi roho za Marehemu ambao Wametutangulia Mbele ya HAKI. AMIIINA AMIIINA AMIIINA. ❤❤❤❤❤❤❤
@FrankMwaulambo-m7b2 сағат бұрын
Pole sana mliopotelewa ndugu na jama
@ElishamaMulokozi-pi8nm6 сағат бұрын
Habari njema.Karibu sana TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU,KUANZIA TAREHE 25 JANUARIA,2025 MITUMBWI 127 YENYE WAVUVI 550 YAPINDUKA ZIWANI.
@PauloMwakolo4 сағат бұрын
ITV DAIMA
@NaftaryMgoyeКүн бұрын
😢poleni ndg zetu ziwa Rukwa kwa ajali majini😥😥🕯️
@OresterMhenziКүн бұрын
Mungu awatie nguvu ndugu zetu
@GroliaNdombaКүн бұрын
Ee mungu tupe ukasir imetuumiza sana😢
@luckasivundweКүн бұрын
Selekali imejadili vipi?kuhusu ufaulu wanafunzi kufaulu mitihani yakwenda kidato cha kwanza kwakubashili majibu