Huyo Futuna Suleman hapokei simu kwa ajili ya sadaqa ya yule mtoto aliezaliwa kwa ajali. Tunaomba apokee simu ili tupate kuchangia
@mohamednatwalla5121Күн бұрын
Wanao hujumu miundo Mbinu ya reli ya mwendo kiasi. Adhabu yao iwe kupigwa risasi ndio watakoma vinginevo watakuja sababisha hasara na ajari mbaya sana.