ALLAH akujazi kheir tumefaidika sana mwenzi mzima wa Ramadan
@aminamnyaruge85742 жыл бұрын
Asalam Aleikum shekhe.. Naomba kuuliza hivi Kuna muda maalumu wa kuoga mchana wa Ramadan... Kuoga kawaida kwasababu Kuna wengine wanasema ukioga mchana swaum yako umeitengua
@turnermarcus36162 жыл бұрын
Personal hygiene is paramount and very cardinal (Read 74-5 Quran ) cloths no blood stains/dirty cloths (74-4) Ladies ! never stand infront of Allah unclean or with periods! NEVER! FOREVER!
@fatmaali38382 жыл бұрын
Maa SHAA Allah Wenda malizia amu ama Wenda funga amu 😆
@زينبأمينة-ظ7ق2 жыл бұрын
Masha Allah
@hurryshomary93192 жыл бұрын
Assalam alaykum Warahma tullah wabarakatu..
@hurryshomary93192 жыл бұрын
Je ikiwa kuna surra katika Qur- an siwezi kuisoma kiarabu je ninaruhusiwa kusoma tafsiri yake au ile kiarabukiswahili?
@hurryshomary93192 жыл бұрын
Je ikiwa kuna surra katika Qur- an siwezi kuisoma kiarabu je ninaruhusiwa kusoma tafsiri yake au ile kiarabukiswahili?