Ingependeza ndugu yangu ukanielezea kwauzuri na upole nandanganya kwa jambo gani ili nisiregelee hilo jambo mara nyingine . na sio uzuri kumuita mwenzako mushrik nihatari mm naamini hakuna mola anae faa kuabudiwa ila ni Allaah pekeyake . sijui nijambo gani nililp mshirikisha mola wangu .nieleze nipaye kuliacha . naomba unielezee hapa aw ruhsa utoe clip uelezee mm nimekosea wapi na kwa jambo gani mpaka inaniita mushrik?
Allah awasamehe na cye tuwe na mwisho mwema Allah humma mamiin
@jamilamucina237911 күн бұрын
Masha Allah! Shukran jazeelan nimejifunza mengi
@halimaramadhan200011 күн бұрын
Jazzakah llahu kheir ustadh
@halimaramadhan200011 күн бұрын
Amiin yaa Rabb
@abdulrahimsaid786411 күн бұрын
Maashaallah
@AyubEsmail-mq4gu11 күн бұрын
Amee
@challengepcn798212 күн бұрын
Maa Shaa Allaah Sheikh Mbona Microphone imepat nini - nyeupe (stain) katika microphone
@jimjam-xg7rv12 күн бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚
@angle360012 күн бұрын
Namba za simu
@marwaabdalla930612 күн бұрын
Amiin 🤲 😊
@ashakhamis909312 күн бұрын
Mimi nauliza je yafaaa kumpa talak tatu ilihali yuko ktk nifas? Na je eda yake ni ipi?
@Khalid-mf3iu12 күн бұрын
Mbona kumejengewa hivo sasa jamani je nafasi itabakia ya kuzika wingine? Fikirieni na hilo pia musijengeeni makaburi
@khamisali594212 күн бұрын
Dogo saiv ana ziara ya kidaawa akirudi tu mbona utaelewa sheikh izzudiyn wala usiwe na wasiwasi INSHAALLAH
@IzudinAlwyDin12 күн бұрын
nitafrahi nikieleweshwa nakuomba muombe akubaali kukaa mm na yy anieleweshe . na mola atakubarikie . na mm natamani sana nipewe ilimu yakufaham haki zaidi . shukran
@khamisali594212 күн бұрын
@@IzudinAlwyDin tusubiri arudi halaf yyy mwenyew ataamua kukuelewesha kama ulivofanya we au kukaa chini we na yy mukaeleweshana ila me niseme tu sisi sote tunatafuta haqq kwaiyo tusiwekeane hassad sisi ni ndugu katika uislam
@IzudinAlwyDin12 күн бұрын
@@khamisali5942 Nafrahi kuskia hivyo na nataka ujue mm na yy ni marafiki sana na twaongea vizuri hatuna chuki wala kinyongo kabisa namuhishim sana . ila haya nimambo ya kiilimu ni muhim kuiimishana ki ustarabu na kiadabu na kutovunjiyana hishima . na urafiki na undugu utabaki palepale .
@khamisali594212 күн бұрын
@@IzudinAlwyDin nashkur sheikh Izzudiyn kwa kutext na we namuomba Allah atupe elimu tuijue haqq na tufanye ibada vile mwenyew anavoridhia INSHAALLAH
@w405812 күн бұрын
Naam sadaqta
@JumaAbdalla-sw8sg12 күн бұрын
Asalam alaykum.
@khadijaabdul502913 күн бұрын
Allh akbar
@halimamuketi673813 күн бұрын
SUBHANALLAH
@ibraa115713 күн бұрын
Maneno yalijawa hekma Shukran sheikh Ikiwa n wa kuelewa ataelewa Sio kukimbilia kwenye mitandao na kujifanya yuajua na kumbe ni kina haulai