SubhanAllah ALLAH atujalie mwisho mwema atujalie kinaa za roho ameen
@a.8564 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@sakinat25274 жыл бұрын
Maa shaa Allah shukran jaziila sheikh Allah akutangulie kwa kila hatua
@almashally88084 жыл бұрын
masha Allah Mola akupe umri sheikh wetu uzidi kutunufaisha
@mangeraalbert79824 жыл бұрын
Ameen yaaRabu
@mamyh57384 жыл бұрын
Mashallah daawa popote Allah akufanyie wepesi
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen
@zaisule91714 жыл бұрын
Asalamuakeikum . Ni bora tuwe twaandika deni zetu. Itakuwa bora kwa watu wako kukulipia. Na wewe ulohai wadaiwa ni bora kulipa deni la mtu. Allah atufanyie wepesi tusiwe tutaondoka na deni.
@zaisule91714 жыл бұрын
Kuna deni nyengie ukikopa mtu , kama waona amelemewa tusamehe kabla mtu hajafa.
@saumuseif91894 жыл бұрын
Tumekuelewa ustadh
@samamussakibwana57034 жыл бұрын
Marshallah Allah akuongoze tunakupenda kwajili ya Allah
@sakinat25274 жыл бұрын
Allah atujaalie khusnul khatima yaa Rabb
@remiomar71544 жыл бұрын
Hahaha hahaha 😂😁😆😂😂 deni ni Baya mm silipendi kuwa n deni "at wakazipiga diki" 🤣🤣🤣🤣
@ashnuhu14204 жыл бұрын
Kweli deni ni baya kweli. Lakini wengine hawajui kulipa
@asiaissa9764 жыл бұрын
Assalamu alaykum ndugu katika uislam samahani kuhusu kumlipia maiti deni hio ni amri kabla warithi hawajagawana kwanza walipe deni Rejea aya ya 12 النساء Annisai
@mmalbakry4 жыл бұрын
Nakuunga mkono Asia Issa; na mimi na kwambia Sheikh usome aya ya 11, 12 surat Nisai hata mwisho utaona ni lazima kulipiwa deni maiti kabla ya kurithiwa.. kwa hivyo sahihisha makosa haya katika darasa yako nyengine. Maryam Albakry
@mangeraalbert79824 жыл бұрын
Mna maskini na tsjiri.
@nashaabubakar54544 жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh niko na swali, na je mfano wazazi wawe hawapo Hai n mmoja wao ako n deni na mwenziwe twaruhusiwa kulipa lile deni ama
@muniraramadhan79874 жыл бұрын
SHUKRAN JAZAKALLAH KHERI SHEIKH IZUDIN ALLAH AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUTUELIMISHA
@sakinat25274 жыл бұрын
Asalam alaykum Lau samaat sheikh ningependa kile kipindi cha uliza ujibiwe kirudi hata kama ni wiki mara 1, tena ningependa kama kitarudi ukiweke siku ya alkhamisi wakti baadal ishai au vile utakavokuwa na nafasi ki upande wako , shukran
@aaliyahholden92824 жыл бұрын
asalam alaykum shekhe naomba number yako kuna maswali muhimu nataka kuuliza na kujua. Shukran
@ashooraashoora11804 жыл бұрын
Jazzakumllah Khery
@saumuseif91894 жыл бұрын
Jaman deni kumbe nibaya hivi
@salmabakar43394 жыл бұрын
Ameen
@mwanakombaabbas934 жыл бұрын
Shekh mimi niko na swali ikiwa babangu alimchukulia dhamana mtu deni siyeye alokopa but kamchukulia
@asiaissa9764 жыл бұрын
Amiina yaarabbi
@remiomar71544 жыл бұрын
Home sweet home
@mamabukhar65914 жыл бұрын
Duh wamama tumezd dah na hiv vijora tutaangamia
@aaliyahholden92824 жыл бұрын
Wallahy ALLAH atujalie kinaa za roho yarab
@ruwaidashaaban72674 жыл бұрын
a.alaikum ikiwa mtu mwenye deni neema zake ziko pending je vp hupata adhabu?
@mwanakombaabbas934 жыл бұрын
Kamchukulia mtu sasa yeye alo chukuliwa dhamana hakulipa na bado yuko hai but babangu ashafariki sasa deni hakulipa yule je dhambi hizi nikwa baba ama yule alochukuliwa dhamana alipe deni la watu b coz yeye ni mzima
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
Allah atujaalie kheri
@fatmarashid18434 жыл бұрын
Mansha allah ustadhi
@andallaathman38564 жыл бұрын
Mashaa llah lamu ntamu naona seafront nchu nkwavo
@kimrudiger44544 жыл бұрын
Iwapo unadaiwa na anaekudai ameama mji huwez kumpata je inajuzu ile ela anayokudai kuitoa sadaka kwa ajili yake?