Jérémie Yanguvu - Upendo wa Unafiki ( Official Music Video )

  Рет қаралды 126,221

Jems Yanguvu Jérémie Esthetique

Jems Yanguvu Jérémie Esthetique

Күн бұрын

Пікірлер: 122
@FranckWendo
@FranckWendo 11 ай бұрын
Wanadam ni wanafiki sana, hata sisi tunaojiita wakristo. Mungu aturehem. Tubadilike maana haki yetu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hatuwezi kuingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 9 ай бұрын
Ujumbe mzuri kaka, Mungu akubari
@faidafatuma
@faidafatuma 11 ай бұрын
Ni unafki mutupu kweli, yote yamenenwa kwenye wimbo 😢😢😢. Mungu akubariki Jams ya nguvu.
@AdrefineHemedi
@AdrefineHemedi 4 ай бұрын
Ndio unafiki hupo hata ndugu kwa ndungu wanauwan mubarikiwa wapedwa 🙏
@selemanifanikiwa
@selemanifanikiwa 11 ай бұрын
Home boy from Germany 🇩🇪
@esperuku9627
@esperuku9627 11 ай бұрын
Jemsy wanguvu unamaliza kabisa siku hizi hakuna upendo tena unafiki tu ndo uko katika mioyo yawanadam kupitiya hii message yaiyi wimbo waokoke kabisa waachane nahayo kwa sababu hakuna munafiki ataingia katika mbingu za baba Mungu ubarikiwe sana kwakazi nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@barakadieudonne
@barakadieudonne 11 ай бұрын
Wimbo Mzuri Sana 😢 Ubarikiwe sana ni YESU tu asiye badilika ❤
@FrankFidele-fh8xn
@FrankFidele-fh8xn 7 ай бұрын
Huyo ndo mwimbaji tunaye hapa usa kwa wimbo za injili wengine wanahimba kelele tu.
@MatsonDragon
@MatsonDragon 11 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@AsendeAndre-g6k
@AsendeAndre-g6k Күн бұрын
amen 🙏 🙏 🙏 amen ubarikiwe sana 🙏 🎉🎉🎉🎉thank you God bless you
@EzekielmethodeMmunga
@EzekielmethodeMmunga 5 ай бұрын
God first 🙏 🎉❤ Will miss you Saint Stephanie Idi😊😢
@sue743
@sue743 7 ай бұрын
Mungu nilipie adui zangu walionitendea ya kishetani mwilini mwangu na kwa maisha ya watoto wangu kwa jina la Yesu Kristo.
@AimeeSizaine
@AimeeSizaine 8 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana. Ubarikiwe kaka 🥰🥰🥰
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Barikiwa sana KBS 🥰👍🏼😘❤️ God bless all 👏🏼🔥🔥 njoy your special God is everything for
@WilliamChanja-oo4nu
@WilliamChanja-oo4nu 10 ай бұрын
Najikuta nabarikiwa asubuhi ya friday in the name Jesus Christ
@Sharli22
@Sharli22 11 ай бұрын
Nikiwa na stress uwa na kimbilia ku ihi CHANEL god bless this brother 📌🙏
@DonasienPanda
@DonasienPanda 11 ай бұрын
amen umenibariki san rafiki yang by doxido boy
@AmosHashaka
@AmosHashaka 11 ай бұрын
Zembo zembo zembo, alleluia 🕺💃🎸🎼🪘
@DAMCLASSIC-vo8ts
@DAMCLASSIC-vo8ts 11 ай бұрын
Kazi nzuri sana kwa uyu wimbo Mubarikiwe sana
@ndumbuleworldwide
@ndumbuleworldwide 11 ай бұрын
Jeremie wewe ndiye natamani kuimba na yeye kwa maisha yangu alafu producer amefanya mambo nzuri alafu wewe umemaliza umenipea melody tamu sana yani wimbo umeweza yani. With Love from Mtwapa Kenya.
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 11 ай бұрын
Kweli siku izi unafki umetawala saaan
@KasmonKashindi-yj3iz
@KasmonKashindi-yj3iz 11 ай бұрын
Music speaker kweli Ipo poa xana tumeipata vizuri kutoka Congo baraka south kivu
@nyiraguhirwajoanna5571
@nyiraguhirwajoanna5571 11 ай бұрын
Family members ❤️👍I love this ❤💋and it’s clean plus the Mother you are blessed ❤live long Jems
@bamwishocadet1118
@bamwishocadet1118 10 ай бұрын
God bless you more than for this good song my brother Jems yanguvu, yaani huu wimbo unakuwaga nani bariki saaaaana bro 👏🏼👍🏼🫶👍🏼👍🏼👍🏼🫶👍🏼👍🏼
@Safikasongo-g8i
@Safikasongo-g8i 11 ай бұрын
Ubarikiwe San mungu awe na wewe kwenye kazi zako zote
@marianyasa
@marianyasa 11 ай бұрын
Kaka yangu hongera Sana kwa wimbo huhu ume nifariji Sana mungu akupe miaka 100 Amina
@ApolinaStella
@ApolinaStella 10 ай бұрын
Unafunza sana wimbi huu
@salimanyasinde156
@salimanyasinde156 10 ай бұрын
Message nzuri sana kaka marafiki ndio wana tuaribia mungu akubariki sana
@Ganzaboke
@Ganzaboke 11 ай бұрын
Kumbe ulikuwa naweza❤
@faidavictoria
@faidavictoria 10 ай бұрын
Amen, tuna barikiwa ❤️🙏🏾🙏🏾
@PendezaMushiko
@PendezaMushiko 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana🎉
@famadedaudilukube5750
@famadedaudilukube5750 11 ай бұрын
Unaweza kak yangu mungu akubariki
@jay_-bjumakiza4964
@jay_-bjumakiza4964 11 ай бұрын
kweli mungu azidi kukupa nguvu nyimbo zako zinabariki kweli kweli.
@danielyamalaphilipe3766
@danielyamalaphilipe3766 11 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉🎉, Kwa Kasi hii za mwaka huu zote tena ni za kwetu
@bonnetambweofficial
@bonnetambweofficial 11 ай бұрын
Safi sana 🔥✊
@TibaKashindi-ij8gx
@TibaKashindi-ij8gx 11 ай бұрын
Yaani nakubali kabisa Maana ujumbe imetoka wakati sahihi hasa kwa wanafiki wajionao wanaupendo kumbe fake
@mrrajjy
@mrrajjy 11 ай бұрын
Yabguvu wape rahaaaaaa sema simbali tutakiwashaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥📞✍🏿
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 11 ай бұрын
Jamani hii ni gospel au niwenge music
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 11 ай бұрын
Kwa Yesu mambo yote yapo sebeneka na Yesu
@ShuksonSmg
@ShuksonSmg 8 ай бұрын
#$hukson🎉🎉 upewe mauwa yakk bro❤
@officialnadoboytz1005
@officialnadoboytz1005 11 ай бұрын
LE GENERALE JEREMIE YANGUVU KITOKO KAKAA ❤
@amisalumona1060
@amisalumona1060 4 ай бұрын
Amen amen kaka Jams Y
@agathajuma4827
@agathajuma4827 11 ай бұрын
amena mbarikiwe what a good ujumbe
@kouth1234
@kouth1234 8 ай бұрын
One of the best modern songs. God bless you!
@Mtabi17
@Mtabi17 11 ай бұрын
I’m in love with this song
@Safikasongo-g8i
@Safikasongo-g8i 11 ай бұрын
Wimbo mzuri sana umenifariji sana
@MAUWA122
@MAUWA122 11 ай бұрын
Amen kubwa huuu wimbo una ujumbe mkubwa san ❤❤❤
@lessalubunga7443
@lessalubunga7443 11 ай бұрын
JEMESY YANGU ubarikiwe sana kwanyimbo nzuri sana kbs 👌
@KasmonKashindi-yj3iz
@KasmonKashindi-yj3iz 11 ай бұрын
Uyu dada wa upande wa mkono wa kuume napendaga njisi anavyocheza sana
@adophine1063
@adophine1063 5 ай бұрын
I love your song, keep going my majina ❤
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io 10 ай бұрын
Nahupenda sana
@JacquelineZawadi-vy4hu
@JacquelineZawadi-vy4hu 2 ай бұрын
𝐆𝐨𝐝 𝐛𝐥𝐞𝐬𝐬 𝐭𝐡𝐞𝐦 🙌🏽
@ElineOred
@ElineOred 11 ай бұрын
Nikweli kabisa kaka Yangu ❤❤
@gespodavid118
@gespodavid118 11 ай бұрын
Barikiwa san mtunishi
@jay_-bjumakiza4964
@jay_-bjumakiza4964 11 ай бұрын
mungu akuongoze katika safari
@MwajeyJenny
@MwajeyJenny 11 ай бұрын
ubarikiwe ❤🎉🎉amena 💞🥀
@bahatirachel2145
@bahatirachel2145 11 ай бұрын
Good job 👏 🙏🙏🙌🙌🙌
@Amisi-t3d
@Amisi-t3d 11 ай бұрын
I like,I love your songs jems yanguvu
@celestintruckdriver6076
@celestintruckdriver6076 11 ай бұрын
My favorite song ever God bless you for this one you touch my life
@WELONGOMLELAFIDO
@WELONGOMLELAFIDO 5 ай бұрын
Kazi njema kaka
@Jonathanabedinego
@Jonathanabedinego 11 ай бұрын
Vyema sana kaka
@Rizowangu
@Rizowangu 11 ай бұрын
Nakuwaga na kukubali sana🎉🎉❤❤
@sumailimsombwa
@sumailimsombwa 11 ай бұрын
❤❤bomba sana
@mariamumutwale3933
@mariamumutwale3933 11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@emelinaeliasi8191
@emelinaeliasi8191 11 ай бұрын
Kitu hichooo 🔥🔥🔥🙌 good song 🎵 good video good quality 🎉be blessed ❤🙏🥰
@amisabolenge3272
@amisabolenge3272 11 ай бұрын
mbarikiwe sana watoto wa mungu
@JolieBebe-z3v
@JolieBebe-z3v 11 ай бұрын
Keep it up brother 🙏🏽🙏🏽
@vivianjuma-of1yl
@vivianjuma-of1yl 11 ай бұрын
Nice one
@amisimudimbeofficiel
@amisimudimbeofficiel 11 ай бұрын
I agree with you man of god
@QuanDale-g9y
@QuanDale-g9y 11 ай бұрын
Barikiwa sana jemsy yanguvu ❤❤❤❤
@EzekielmethodeMmunga
@EzekielmethodeMmunga 5 ай бұрын
❤❤❤ Sweet dreams
@JeanBaraka-pu5xo
@JeanBaraka-pu5xo 11 ай бұрын
ndo dunia yaleo hata mke mwanaume watu wameshabandili kila mutu atalipwa kwamatendo yake haba duniani mungu atufungule masho tu
@SiyatembaGcememe
@SiyatembaGcememe 11 ай бұрын
This world is full of hypocrites, nice song keep it up brother
@beyoncebinjeannie8097
@beyoncebinjeannie8097 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana jemsy ❤❤❤❤❤
@anastasiabadeux8310
@anastasiabadeux8310 11 ай бұрын
Unariwe sana kwa Ujumbe mzuri sana
@jujukashasende4637
@jujukashasende4637 11 ай бұрын
Well done 👍🏾
@GLORY.BGOSPEL
@GLORY.BGOSPEL 11 ай бұрын
Wow I love this song
@KalltuniClassics
@KalltuniClassics 11 ай бұрын
Achia hii kitu😆
@jemsyanguvujeremieesthetique
@jemsyanguvujeremieesthetique 11 ай бұрын
Kitu kinakuja kwa nguvu sana
@Hearts4rucyah
@Hearts4rucyah 11 ай бұрын
Fav song❤
@imanikambale
@imanikambale 11 ай бұрын
Good work ❤❤❤
@Mawazo-q2k
@Mawazo-q2k 11 ай бұрын
Mubarikiwe san shemej yangu
@MachoziKitabu
@MachoziKitabu 11 ай бұрын
Mubarikiwe
@christophermsekena616
@christophermsekena616 11 ай бұрын
Kazi nzuri baba
@gerrardabwe
@gerrardabwe 11 ай бұрын
Keep up the good work
@QuanDale-g9y
@QuanDale-g9y 11 ай бұрын
Nice song I like it ❤️😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️ very very good ❤❤❤❤jemsy yanguvu
@lmwenelmwene5758
@lmwenelmwene5758 11 ай бұрын
❤😂ubarikiwe sanaaa tata hii ki wango cha juu
@gertrudeamos4259
@gertrudeamos4259 11 ай бұрын
Wow. What a nice song😊🥹😍
@EmmanuelLouis-n4j
@EmmanuelLouis-n4j 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@davidben8465
@davidben8465 11 ай бұрын
Amen amen 😍😍😍😍👌
@nestor_nyb
@nestor_nyb 5 ай бұрын
wow🎉🎉🎉
@abeditempo7224
@abeditempo7224 11 ай бұрын
UBARIKIWE KIONGOZI KWA UJUMBE WW UKWELI HUU ❤
@shabanikuteta
@shabanikuteta 11 ай бұрын
Nice Song
@esperuku9627
@esperuku9627 11 ай бұрын
Ngoma hii jamani ni hatari Mimi imenigusa sana tokea nimeisikiliza imenifanya kuelewa kwamba yesu anawatu wenye wanajuwa kuseketa rumba uyu dada mwembamba danse yake imenifanya nivutiwe sana sasa nitanunuwa soda kwa ajili yako dada najisikia niwabariki watoto waMungu wangu nawapenda sana pili jemsy yanguvu iyo still yako ykucheza umesomea kabisa iyi moyo KZbin ikupatiye discdor👑👑👑😍😍😍😍💕💕💕💕💕💕💕💕♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
@TibaDibanje-cd1ho
@TibaDibanje-cd1ho 11 ай бұрын
❤❤❤🔥🔥🔥
@SalamaDeborah
@SalamaDeborah 11 ай бұрын
Leo Mimi ndiyo wa kwanza likes zangu jamani ❤❤❤
@jemsyanguvujeremieesthetique
@jemsyanguvujeremieesthetique 11 ай бұрын
Ukiwa wa kwanza pia kuitazama utatusha sana
@suzanabalondanicharles7789
@suzanabalondanicharles7789 11 ай бұрын
Amen
@carinehelen400
@carinehelen400 11 ай бұрын
What a master piece 🔥🔥
@makibunu-nm3rs
@makibunu-nm3rs 11 ай бұрын
Amen 🙏
@mariabikyeombe9050
@mariabikyeombe9050 11 ай бұрын
❤❤👏👏👏👏
@zawadizebebe846
@zawadizebebe846 11 ай бұрын
Amen❤️🔥
@directorsebastin
@directorsebastin 11 ай бұрын
Seen By Director sebastin 💐
JEMS YANGUVU JEREMIE - Ya Leo Sio Ya Jana ( Officiel Music video )
7:25
Jems Yanguvu Jérémie Esthetique
Рет қаралды 302 М.
Jems Yanguvu Ft Cadeau John & Gloria M.K - MY LOVE (Official Music Video)
7:35
Jems Yanguvu Jérémie Esthetique
Рет қаралды 48 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
RICHARD MUDENDA.MALEELE 0777060891
4:59
Mudenda Richard
Рет қаралды 34 М.
Rejoice Gospel Choir - Ni Neema ( Official Music Video ) +255750805734
6:42
Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)
Рет қаралды 811 М.
-HERI MWISHO- ( official Video) #armeecelesteband #herimwisho
8:13
ARMÉE CÉLESTE BAND official
Рет қаралды 177 М.
Brother Godfrey - Maisha Ni Fumbo (official video)
4:28
Brother Godfrey
Рет қаралды 127 М.
Geme Biratu | SIN GALATEEFFADHA | New Official Music Video
5:50
Geme Biratu Official
Рет қаралды 817 М.
Rusia Bita - Mazingira Feat Timotheo Mulonda  (The Official Music Video)
5:25
Timotheo Mulonda official
Рет қаралды 694 М.
kilembe wakondo -kanisa (official video) ft silvie assa 4k
7:00
Wakondo Kiza
Рет қаралды 16 М.
JEMS YANGUVU - N'AÔNDA (Official Music Video)
6:56
Jems Yanguvu Jérémie Esthetique
Рет қаралды 502 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН