Jacaranda kwa waka moto niligoma kwenda kanisani nilichanganywa nikachanganyikiwa mkristo asema (2)

  Рет қаралды 4,713

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

11 ай бұрын

Пікірлер: 30
@LukasMabena
@LukasMabena 11 ай бұрын
Nawafatilia vzur kutoka tanzania
@NOUR24TV
@NOUR24TV 11 ай бұрын
مشا الله تبارك الله kazi nzuri
@zainababdulrahmankarisa6273
@zainababdulrahmankarisa6273 11 ай бұрын
alhamdulillah kwa neema ya kuwa muislamu ama kweli QURAN imejitosheleza
@zohramariga6678
@zohramariga6678 11 ай бұрын
Mashala mwenyezi mungu awalide nahusida zawalimwegu
@Abas_Mdungi.
@Abas_Mdungi. 10 ай бұрын
Tupo pamoja na sheikh zetu tuweke mda wetu angalau tuskilize neno la mungu
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 11 ай бұрын
mashallah uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@user-nb2tb9zk5i
@user-nb2tb9zk5i 10 ай бұрын
Pole polp Salim 😅ni mzee lazima pole pole I love you kwa kazi yenu ❤❤❤❤ mashalla
@ggv866
@ggv866 11 ай бұрын
Pole pole Ustadhi Salim wampeleka mbio Ustadhi Ali
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 ай бұрын
Inn shaa Allah hilo tutarekebisha
@Jingajinga64
@Jingajinga64 11 ай бұрын
Nae ustadh Ali afanye utulivu asivuruge wakati ustadh Salim anapo ongea
@user-bq3np7gt3z
@user-bq3np7gt3z 11 ай бұрын
Masha Allah masheikh wetu Allah awahifadh na hasad muendelee kuongoa watu Allahumma Amiin
@mtotompole1040
@mtotompole1040 10 ай бұрын
Masha Allah Allah Akulindeni Na Hasad
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 ай бұрын
Assallam aleikum mashekhe wetu Allah awatie nuru kila mfanyalo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
@user-nb2tb9zk5i
@user-nb2tb9zk5i 10 ай бұрын
Mashalla ♥️❤❤
@oopsm3574
@oopsm3574 10 ай бұрын
Kiama kitakuwa siku ya Ijumaa haijulikani ijumaa gani
@ggv866
@ggv866 11 ай бұрын
Allah Akbar
@HADIJATON-mi7st
@HADIJATON-mi7st 9 ай бұрын
Mashallah
@khadijayusuf7968
@khadijayusuf7968 11 ай бұрын
Mashallah masheh wetu nilikua niko mgonjwa juu sijawaon karib wiki sas❤
@Hi_20206
@Hi_20206 11 ай бұрын
Allahu akbar
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 6 ай бұрын
Masha Allah for the good daawa the sheikhs are doing.my one request and I've been asking continuously is for the sheikh's to property coordinate. Let one sheikh (Salim) do the talking without the other interfering . it would be prudent for the other sheikh to stick reading the scriptures.. This continuous interference is really confusing all of us and it's against the teachings and tenets of our Nabi (saw).. Let's be professional like the way the Christian preachers do..I have utmost respect for these sheikh's and mine is just to advice for the sake of our beautiful and organised deen. May ALLAH (SWT) bless you immensely for doing this noble cause. Allahibarik
@makamwasina2090
@makamwasina2090 11 ай бұрын
Ma Sha Allah
@MOHDNASSOR-zv5cx
@MOHDNASSOR-zv5cx 11 ай бұрын
MASHAA ALLAH ❤❤❤
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 11 ай бұрын
MashAllah ❤❤
@yia73
@yia73 9 ай бұрын
Wakaitana my baby? 😅😅😅😅😅😂😅😅😅
@user-xs1cc1hg3y
@user-xs1cc1hg3y 11 ай бұрын
Mashaallah
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 11 ай бұрын
Yaani Kila nkiona mafundisho yenu nahuzunika kwa kuona mapasta wamevamia vijiji vyetu nakuritadisha ummati Muhammad S.A.W maimam wamekaa tu kwamskiti nawapenda kwa ajili ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 11 ай бұрын
Tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d 11 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajion,huu nimsiba kwa kweli😢
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 465 М.
Haki inasimama tu leo tumemwagiwa maswali kama mawe wagaratia waleta mapya
55:55
MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _  NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?
6:38
JUMA KIBWANA
Рет қаралды 5 М.
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Straight Path Dawah
Рет қаралды 11 М.
Ibada gani Mwenyezi Mungu ameamuliza watu wafanye maswali yamwagika kama mvua
1:14:53
MAMA MWENYE MAYATIMA 8 AKABIDHIWA NYUMBA NA AL FATAH
5:51
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 20 М.