Masha'Allah... mada mazuri na umetuelimisha vyema Ustadh. Mwenyezi Mungu akuzidishie ujasiri.
@Nora-v1m3p11 ай бұрын
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh sheikh nakuombea Allah akupe afya njema akuzidshie elimu n hekm kw kazi ya Allah amiin amiin
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah na hakupe pepo ya fildas lnshaallah
@claudiabakisa80522 жыл бұрын
Amiin
@husna345622 жыл бұрын
امين يارب العالمين
@zaburi23862 жыл бұрын
Hv Kwa waislam Kuna pepo zna stage tofaut?
@elishapeter2720 Жыл бұрын
@@zaburi2386 ndio pepo zipo tofauti kutokana na mema uliyonayo
@fauabuu8609 Жыл бұрын
Mashallah allahamdulilah
@munakhamis9822 жыл бұрын
Mashaallah shukran kwa muendelezo Jazakallahu kher shekh Ramadhan
@abdallagaza68642 жыл бұрын
Andika Allah kwa capital letter (masha Allah)
@khadijamnayahe43142 жыл бұрын
Shk Kuria hongera kwa kujiamini ukaweza kupambana na watu zaidi ya mmoja,Allah akulipe pepo ya Fidaous
@mfalmekima53182 жыл бұрын
Shekh wangu allah akupe kila la kheri nazikubalu sana kazi zako nakufatilia sana napenda pia utulivu wako kwenye kufahamisha mashallah
@aminaomar38072 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadhani Allah akupe umri mrefu insha Allah...Hao ndugu zetu ktk Adam tatizo kiswahili hakijui..
@HaneephaMuslimah4 ай бұрын
Masha Allah Allahumma Barik Sheik Ramadhan
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mungu akupe wepesi katika kaziyako tukufu shehewetu
@fardammadi2839 Жыл бұрын
Hapo nimefurahi kumwambia yeso kasema mimi mtu nice
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Safi sana umemnyosha pastor MASHA ALLAH mungu atamuongoza tumuombee
@safarisafari73882 жыл бұрын
Hizi kazi zenu Hua niraha🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏👍👍👍
@rizikiali3282 жыл бұрын
Mashallah sheikh Ramadhan Allah akulinde na shari zote za wanadamu na mashetani Allah akupe umri mrefu ili watu mamjue mungu wa kweli mungu anipe fedha na mimi niweze kuchangia
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Asante sana Kwa kutuletea part 2 Kwa Ka haraka maana mm nilikua naisubiria
@abdullahiiddi41092 жыл бұрын
Masha Allah sheikh. Twakukaribisha tena na tena. Allah akuhifadhi na akupe umri wenye kheri na wewe tuzidi kunufaika Amin Shukran bro.
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Shukran jazeelan for welcoming me into your home and neighborhood
@yahyeabdiyahye79142 жыл бұрын
Mansha Allah ♥️💯
@jumanjenga76822 жыл бұрын
Masha Allah Ustaz Kuria
@faridahussein49622 жыл бұрын
MashaAllah ustadh Ramadhan Kuria ☪️
@tumajunior60802 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akuhifadhi na malaika wakuzunguke popote uendapo 🤲🤲🤲allahumma ameen
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Allah akubarik sheikhe Ramadan
@maherzain6152 жыл бұрын
MashaAllah jeshi la mtu mmoja la Allah. linajiamini kimaandiko. Allah akuhifadhi akuongeze elimu.Ameen
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@ummohamed44042 жыл бұрын
Mashalhaa Allhah akuzidishie
@mariamsaid7682 жыл бұрын
Huyu pastor wallah kichwa maji anaulizwa vengine anajibu vengine
@axmed54442 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR ❤️
@husnanancyatieno23912 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@ggv8662 жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri ustadhi Ramadan
@salimbilali51742 жыл бұрын
Lam yalid walam yuulad walam yakullahu kufuwan ahad...nishamjibia akitk kujua he Mungu anweza kujifnya au kujifananisha chochot....
@kusweymohamed Жыл бұрын
A a mm nilikua nime mchukia sana ndacha kwa kuweka viraka lakini saa hi amekubali hatoweka viraka mungu amuongoze bw Ramadhani enda nae polepole tawfiq inatoka kwa mungu waqati wa bw mtme sw aleyhi wasalam palikua na makafiri wa baya kushinda ndacha
@ggv8662 жыл бұрын
Allah ni mungu ..
@khadijamnayahe43142 жыл бұрын
Assalaam alaikum warramatullaah,shk Kuria naomba utupe feedback ya msikiti wa almaruhum mzee Daud
@wadadoharam67932 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ustadh
@AlhajiSaidi-uo8zl8 ай бұрын
Allhamdulilah ostazi ramazani
@jumakumala13372 жыл бұрын
Pastor hajielewi kweli , kazi nikula sadaka za watu tu kwa kuwadanganya , na ndio mn kila anayepata pesa anajenga kanisa lake ili apate sadaka
@Jamila-c7kАй бұрын
Allah ni huyo huyo mungu
@aishaally66022 жыл бұрын
Kwaubishi wao unatamani kumpiga kofi
@sophiajuma67982 жыл бұрын
MashaAllah
@chonghoswe62552 жыл бұрын
Hua Allah u rabukum
@mwanamtotosaid7022 жыл бұрын
Masha Allah
@telaamtauta22272 жыл бұрын
yaani huyo paste anawapoteza wengii kumbe huyoo
@abdallaali93632 жыл бұрын
Mchungaji wa kuchukua sadaka hajui bible
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
Duuuuuuuuh, wallah wakristo mnaroho ngum sn,mbona mna wasomi wazur tu wa elim ya Dunia hv mnashindwa kwel kuchuja haya mambo,kiukwel cjutii kutoka huko
@chiefmkalikibz15032 жыл бұрын
Pastor Janja, tafadhali haukuulizwa Jina La mtoto ama sifa za mtoto... Bali umeulizwa JINA LA MUNGU WA YESU(Issa bin mariam)
@salimbilali51742 жыл бұрын
Hahahaha jamaa amechemka Hana point
@jjtm1642 жыл бұрын
Kweli Quran inadhibitisha yesu ni mungu
@maherzain6152 жыл бұрын
Hio ni mwenye ezi mungu sio Allah😂😂😂 yaani kujadiliana na mtu asiekuwa na elimu
@mosmart47182 жыл бұрын
Very good question. I prefer to go to my Father who is your father and my God who is your God. Which is God is Jesus wanting to go to and he is God himself. There’s total confusion here. Jesus through out his time on earth preached one God and prayed to the same God.
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Sauti mamaaaa😢
@telaamtauta22272 жыл бұрын
huyo hana jibu umeambiwa uoneshe andiko lililo and ikiwa mimi yesu ni mungu
@danielmasunu58512 жыл бұрын
dini ya kupusu jiwe jeusi Makkah sijawahi kuona upangani kama uislamu
@kazijajuma2324Ай бұрын
Ndo wanavowateka watu akili makanisani hawasomi andiko likamaliza wanasoma padogo ambapo wanajua hapa watu wataamini yani mungu awasamehe tu mnapotosha watu Ila mungu ckuzote mshindi hamtotuteka sote Dunia nzima wenye akili nyepec mtawachukua Ila kwa wenye akili zao hamuezi Ata cku 1
@samxx4112 жыл бұрын
Sheikh Rama huyo hajielewi hata kidogo yupo kama ndacha anaungaunga Aya lkn hamna kitu hapo
@alimgestar28082 жыл бұрын
Uyo pasta ndo akili mbovu
@bahatikenia392 жыл бұрын
Huyo yuamfaa sheikh Yusuph wambogo apate full doze sindano haswa coz maradhi yake makubwa hajielewi kabisa
Huo kijana anacheza sasa anasema yesu ni nuru mbona hajaonesha wapi yesu nimungu ???
@أبوسليمان-د6ه3 ай бұрын
Huyu jamaa hajui kabisaa kujenga hoja 😅 , anahangaika tu na maandiko
@telaamtauta22272 жыл бұрын
hapo .upande wapili wanashindwa kujibu hapo wanaaza kuunganisha vijamba
@shuaibsaid5152 жыл бұрын
yesu kimwili na kiroho. leo mtu anapigwa kesho mungu? kazi ipo. YAKOBO 1:17 Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.
@RashidiMoha Жыл бұрын
wasabato hawana jipya
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Ramadan kuria umesha anza vituko vyako kuchekesha watu.😂😂 Kengele pengine wamekuona ww mgeni ndio maana hawaja ipiga hio
@rahmasoliman4892 жыл бұрын
Mpaka wanakera Hawa wktisto
@telaamtauta22272 жыл бұрын
kabisaa yaani hata mimi nahisi wananitibua kamanini
@hamzayusuf18942 жыл бұрын
Huyu niyule mjinga wa minsho duniyani
@jumakumala13372 жыл бұрын
Waristo awawezi kujitetea na wala kuutetea ukristo mn si dini ya kwli na ni dini ya wazungu na kitovu chake kiko America , Italian na Romania
@chiefmkalikibz15032 жыл бұрын
Bin Kaguo, muonee huruma huyo mchungaji maana yuwaomba stima zitapotea saa ngapi.... Ama aomba kuzuke Moto hapo bandani, ila kasahau kukizuka Moto "Kiosk Cha Kupora Waumini Kitaungua"
@nush.08772 жыл бұрын
A.salam aleikum...kwakweli yataka moyo kupigania dini ya haki..swali langu ni...kama huyo Mwalimu anasema kua Yesu Mungu..Sasa kutokea kifo Cha Yesu mpaka hivi wa Leo ni nani anaehusika na malezi na mahudumu ya Duniani???
@alibillow13702 жыл бұрын
Tell him deputy president cannot sack or reshuffle the cabinet secretaries because he has no powers
@HaneephaMuslimah4 ай бұрын
😂
@bahatikenia392 жыл бұрын
Kwakweli huu ni msiba mkubwa waah hawa wahitaji viboko ili akili zao zifunguke hata hiyo bibliia hawaelewi
@mosmart47182 жыл бұрын
Pastor we need the name of God not the name of the son because the verse says a boy was born .
@salimbilali51742 жыл бұрын
Sheikh achana na uyo alienda Sunday school ankuja kufanya tuition kwako anamliza energy yako bure......
@telaamtauta22272 жыл бұрын
huyo mbabaishaji tu huyo paste
@رقيهالخصيبي2 жыл бұрын
Hivi ww mchungaji sijui ni muumini unafahamu ya kwamba kuna kiumbe hana baba wala mama na hana familia kwanin yeye hakuwa Mungu kwanini Yesu awe Mungu ikiwa ana mama jamani muogopeni Mwenyeezi Mungu kumfananisha na kiumbe alichokiumba ndio maana hiyo kufuru ndio maana kwenye hiyo dini yenu kuna Mungu mwanamke eti Mungu chini ya jua nyienyie kufuru mbaya kesho mtaenda kujibu mnajua ila mnafanya kusudi na kuwapoteza watu na wao kwa upeo wao mdogo wakiambiwa wanakubali bila kuisoma biblia kwa umakini
@mosmart47182 жыл бұрын
Pastor ameona hana dalili ya kuwa Yesu ni Mungu. We need straight statements from Jesus himself not Tito, Paul who have never seen walked with Jesus. Christianity started decades after Jesus left the earth in Antakya Turkey which is today a Muslim nation
@rahmasoliman4892 жыл бұрын
Ujanja mwingi wakiristo wanawaona wezio Hawa akili
@abdallahnassor78912 жыл бұрын
Bibilia inasema hata ilipofika siku ya kutahariwa walimtahiri
@andallaathman38562 жыл бұрын
Sio ujanja niujinga tuu hakuna ujanja Kwa Qur'an utakoma haha
@mosmart47182 жыл бұрын
So much confusion with our Christian brothers. The question is straight forward and unafanya zigzag to suit your needs. It’s either Jesus to your understanding is God or he is the son. Because it’s impossible for him to be both unless he is psychotic. You pastors just want to make a shilling here and there. Seventh day Adventist is a denomination started in the United States by a White woman Mrs White, and her husband and his friend. You all know that there’s no prophecy in America, Rome where Catholicism started. Or England where Anglicanism started or Germany. Everything you are preaching has nothing to do with Jesus of Nazareth because there’s no Christianity that started in Jerusalem where Jesus walked and preached. Hii mambo ya wazungu who came to Africa to colonise and steal our resources and change our beliefs in the one true God which our forefathers in Kikuyuni, Luhya, Luo, and all our tribes.
@salimbilali51742 жыл бұрын
Sas wewe wacopy paste alafu wtk kushindan sheikh amehifadhi.....
@Sal.02 жыл бұрын
Ai, hawa Wa Sabato kazi yao ni kupigwa KIRAKA tuu! Si wange tufuta kazi kwenye Petrol Station!? This kristian CULT is the most conniving! UWONGO tuu, Kwa sababu Ya kuitisha SADAKA, ambao YESU haja wai ku itisha! YESU ame sema, mime pewa injeeli buree, Kwa hivyo Hubiri buree! Sai M, amesema kweli, John 1:1 ni Nonsence kama John 3:16. In BOTH chapters, Jesus's NAME is NOT mentioned even ONCE! These WARONGOs just piga KIRAKA and say : you see, that verse is talking about jesus"! Na hawa WARONGO wa leo, very annoying! Well done Ustad!
@junglekhalipha83012 жыл бұрын
😂😂😂
@nooor11202 жыл бұрын
Hamuna mpya nyie wakristo vipi utatoa aya ktk quraan halafu hio aya uitafsiri kwa bible?wacheni ujinga fuateni dini ya haki km hao waliokuleteeni bible wazungu huko ulaya kutwa twawaona waingia islam baada ya kuona haki wanasilimu nyie kaeni tu mpk siku ya mwisho yesu atakwambieni kila mtu atauchukua mzigo wake nwenyewe hapo ndio mtalia kilio cha mbwa mdomo juu.
@Sai.Mo692 жыл бұрын
John 1:1 is a Nonsence chapter where Jesus name is NOT even mentioned ONCE! Kazi ya hawa WaSABATO ni UWONGO tupu, kama Mama yao ELLEN ambao alikuwa analetewa VISIONS na Ma Shaitani, karibu 300 per year! Isaiah 9:6 "For unto us a a child IS BORN, unto us a Son IS given": HERE, during ISAIAH'S Time, 3000years ago, this SON is ALREADY BORN! Therefore THAT SON during Isaiah's time, who is already born, can NOT be Jesus! WaKristo wana penda sana ku danganya watu! Hawa wezi ku silimu kwa sababu ya PESA PESA za 'sadaka'! SADAKA ni EASY MONEY kwa pastors