Asante imam. Tafadhali sadiyeni mama huyo mandugu.
@swafiirbulbul81910 күн бұрын
🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 🇷🇼 🇧🇮 🇨🇩 Juhudi inayofanywa na SALIM DA'WAH ni ya kupongezwa hakika. ❤
@salimdaawah1235 күн бұрын
Alhamdulillah tunajaribu kindogo tu
@loner_wolf10 күн бұрын
Wilberforce kapotea mazima 😅😅
@JamilaJumanne-u7q10 күн бұрын
We kuweza😂😂😂😂 taqbiriiiiiiiiiii
@hassanpadi9 күн бұрын
Pengine alisilimu tayari wilberforce, Jina kubwa hili 😂😂
@JamilaJumanne-u7q9 күн бұрын
@ ahahaaaaaaa kabisa kwa saut ya kaka SALIMU 😊
@OthmanMwai10 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatu vipenzi walimu wetu...kwa rai yangu,huyu kijana shadrack yuatupotezea muda,hata mazungumzo yake hayuko serious, na yuawatega unachokisema kisha aulize swali lisona mbele wala nyuma, kwani lazima aongee?.....Allah Awalipeni dunya na Akherah kwa kazi nzuri ya daawah❤
@Nora-v1m3p10 күн бұрын
Allah ampe wepesi dadangu
@estherwamaitha100610 күн бұрын
Waleikum salaam Allah subhana wataala Ampe shifaa
@KhamisJuma-ni1vk10 күн бұрын
Pole Sana Mama Insha Allah . Allah Atakufanyie Wepesi
@salimdaawah1235 күн бұрын
Aamiin amiin amiin
@HalimaJuma-n1k10 күн бұрын
Waleikum msalam warahmatullah wabarakatuh inshaAllah mama yetu Allah ampe shufaa ya haraka,huyo shadrack hana maswali anawachezea tu mashek wetu msimpe Tena nafasi anapoteza mda tu
@Samuel-iu9xm10 күн бұрын
Leo Hassan 💯✅
@amadimagadi797810 күн бұрын
Shadrak asipewe microphone tafadhalini wetu
@Sal.010 күн бұрын
Walimu hawa Siki.!
@aburaasmedia368210 күн бұрын
Walimu huyu Shadrack anataka ubishi. musimpee nafasi tena tafadhalini.
@salimdaawah1235 күн бұрын
Inn shaa Allah
@ibruzah00110 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@OthmanMwai10 күн бұрын
Huyo kijana ametumia nusu saa kwa ubishi tu...walimu wetu mkagueni, hana niya ya kusoma,ubishi tu..
@aishahazary409710 күн бұрын
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
@SaidMgeni10 күн бұрын
جزاكم الله خيرا
@MwangiMuhammad-q8r10 күн бұрын
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu.... mazbut ndani ya railway university grounds
@salimdaawah1235 күн бұрын
Ujumbe umefika
@mahmudmugarura217510 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@HisMajesty6410 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu
@natafutamatatizo438210 күн бұрын
SHADRAK HATUMTAKI WANAPOTEZA TIME BURE!
@Samuel-iu9xm10 күн бұрын
Lakini leo kawezwaa.
@Sal.010 күн бұрын
@@Samuel-iu9xm Kila SIKU ana wezwa, lakini TIME pia ime wezwa. Time wasted na Ujinga!
@faridbashuu10 күн бұрын
😂😂 Wanao enda msikitini Sio waislamu 🤣🤣
@salimdaawah1235 күн бұрын
Umeona hawa jamaa
@faridbashuu5 күн бұрын
@@salimdaawah123 Wanajaribu kufunika jua na blanketi. Ukweli utabaki pale palee
@salimdaawah1235 күн бұрын
@faridbashuu 😂😂😂😅😅
@hafsakirao39810 күн бұрын
Huyo kijana amekuja kujifanya anauliza maswali, but AIM yake ni ajione kwa KZbin na kujisifu kwa watu🤬
@oopsm357410 күн бұрын
Anapoteza wakati, fukuzaaa
@mifunga341410 күн бұрын
Mashallah
@ZakiyaAnwar-w1r10 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana
Walyku msalam waramtulah wabarakatu nimemiss mwalimu suleiman na Ali alfu kama shadrack anataka ubishi aende abishane na mpira musimpee nafasi tena mpoteza mda
@loner_wolf10 күн бұрын
Shedrak useless kbsa ..... hajui na haelewi kichwa kizito kama jiwe . Sku nyingi kauliza na anarudia maswali yale yale daily
@frankjuma18548 күн бұрын
Asalaam aleikum warahmatullah sheikh salim.huyo mama mngemjaribia dawa za kienyeji zile za sunna kuliko hospitali.kienyeji ni cheap na inatimu 100% kwa haraka
@salimdaawah1235 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@GRas-d7p10 күн бұрын
Huyu kijana anasema Mambo ya kichwa chake sio ya vitabu na hua anataka tu aonekane kwa mtandao na hana hishima kabisa
@Sal.05 күн бұрын
@GRas-d7p Nani huyo Kijana??
@GRas-d7p5 күн бұрын
@Sal.0 kwani waona ni nani
@bahsansheikh604210 күн бұрын
Huyu shadrack nia yake ni kupoteza wakati. Twawaomba walimu wetu musimpe tena microphone.
@salimdaawah1235 күн бұрын
Inn shaa Allah
@adrisshagi125510 күн бұрын
ASALAMU ALEYKUM. Hizo vitabu ni Kama passport expired. That mean you can not travel that passport.