Mashaa Allah كلمت التوحيد، لا إله إلا الله وحده لاشريك له ومحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم
@Nora-v1m3p17 күн бұрын
Ma sha Allah
@Sal.017 күн бұрын
MashaAllah. Very intelligent Control from the Ustad! Huyu Joshua KaOuma ni Ka Time Waster tuu! KaIdiot huwa hana MaSwali intelligent! Ban yeye. TabarakAllah Team and Local support team.
@salimdaawah12315 күн бұрын
Yeah hana swali
@bahsansheikh604217 күн бұрын
ALHAMDULILLAH
@abdikadirmuya690017 күн бұрын
MashaALLAAH Sheikh Salim mwenyeZIMUNGU akuzidishue lakila la kheri na umri mrefu wallahi una kipaji kikubwa sana cha kutetea na kusambaza DINI ya Uslamu. MashaALLAAH TabarakaALLAAH
@salimdaawah12316 күн бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@SaidMgeni17 күн бұрын
مشأ الله تبارك الله
@zaidiissa371417 күн бұрын
Mashaallah masheikh wetu hatimae mmeziponya nafsi zetu maana jana tumengoja sana maana kwetu wengine nikama dozi tusipoipata hua mabo hayaendivizuri nafsi zinaumia tunajua pia nyinyi mnamamboyenu yakufanya na familia zenu hatuwalaumu sana niilie ubinadamutu kuzoea wahenga walisema mazoea yanatabu mungu atufanyie wepesi sisi pamoja na nyinyi mbarikiwe sana Assalamualaikum wabilahi taufiq 🙏🇹🇿🙏
@ZakiyaAnwar-w1r16 күн бұрын
MashaAllah
@aburaasmedia368217 күн бұрын
Masha Allah
@BakariAdamu-h1k17 күн бұрын
Mashaallah leo mapema sana
@salimdaawah12315 күн бұрын
Masha Allah
@aishahazary409717 күн бұрын
Waalaykum Salaam WRhamatullah Wabarakatuh
@mohamedyeslam519416 күн бұрын
Mashallah welcome brother kwa Dini ya kiislamu
@josemu870Күн бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
@MaryamMaryam-n1v2e17 күн бұрын
Masha Allah Bilal masha Allah 🥰
@saeedisa979817 күн бұрын
MashaAllah
@KhamisJuma-ni1vk17 күн бұрын
Alhamdhulilah Kwa kweli Wislam Ndio Dini Ya khaki. Mana Tunaposikiza Hawa Ndugu Zetu hoja Zao Wanazo Toa Duu Kwa Kweli Mtiani
@salimdaawah12315 күн бұрын
Alhamdulillah
@husseinmwenja439817 күн бұрын
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH
@ibruzah00116 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@mahmudmugarura217517 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@rahilyas25416 күн бұрын
MashaAllah ❤
@iddyjuma803617 күн бұрын
Bilali Binrabaa......Nakafananae.....mashallah
@salimdaawah12316 күн бұрын
Umeona masha Allah
@dulividuli52375 күн бұрын
Umemuona wapi?😂
@ZakiyaAnwar-w1r17 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena MashaAllah
@salimdaawah12316 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@mamasiham928717 күн бұрын
Allhamdullilah
@MwangiMuhammad-q8r13 күн бұрын
Mazbut ndani ya railway grounds Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
@salimdaawah12311 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@oopsm357416 күн бұрын
Jatelo mkuku😂😂😂
@adrisshagi125516 күн бұрын
Asalamu aleykum. Ku patiza tuna iji patiza. Mara 5 kıla siku . Wuthu . Sababu. Wudu ina safisha Vitu vidogo.
@salimdaawah12315 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
@abdallahazizi99917 күн бұрын
Jatero Anababaisha Lakinitu ataelewatu InshaAllah
@salimdaawah12316 күн бұрын
Ataelewa inn shaa Allah
@ZayyanaBamuni17 күн бұрын
Takbyr
@aburaasmedia368217 күн бұрын
cash cash.... unauliza swali muislamu na majibu ni hapo hapo... lakini wakristo majibu yao ni kesho. Waswahili wamesema "Leo ni leo na asemayo kesho ni mwongo!!!
@salimdaawah12315 күн бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya Uisilamu ujumbe unawafikia pole pole tu
@salhkasmm55817 күн бұрын
Mbwa akinusa nguo yako au mwili wako lazima uoshe mara 6 naya saba kwa mchanga maana no najisi kwa sheria
@salimdaawah12317 күн бұрын
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo
@NathanielNathan-m4o16 күн бұрын
Sasa wale waislam wanafuga umbwa mtawaambiaje?
@fazahauzi538212 күн бұрын
Wana mipaka nao sio kumueka kama pet labda security kwa gate @@NathanielNathan-m4o
@dulividuli52375 күн бұрын
@@NathanielNathan-m4ohawafai kuswali hadi wajitoharishe kutokana na Najis walizo nazo
@NathanielNathan-m4o5 күн бұрын
@dulividuli5237 Sasa mchanga utaosha nao nguo vipi?