Part 1_USHUHUDA WA ADELAIDA DE CARRILLO WA BOLVIA ALIYEONYESHWA NA YESU MBINGUNI NA KUZIMU

  Рет қаралды 12,768

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@elvamasherano8122
@elvamasherano8122 2 жыл бұрын
Ee Mungu, nakuomba unisamehe dhambi zangu na jina lako litukuzwe milele amina.
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 3 жыл бұрын
BWANA YESU, nipe mwisho mzuri wa maisha yangu ya wokovu, AMINA🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊
@HappinessElisha-b6x
@HappinessElisha-b6x Жыл бұрын
Mbalikiwe sanaa kwaushuhuda mzuri mungu atusaidie mwisho wetu uwe mzuri kuzimu inatisha jamani
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 3 жыл бұрын
Jacktan Barikiwa sana. Huu ushuhuda wa leo ni wangu mimi. Nirekebishe Bwana Yesu. Ni mimi na 📺 saa zote Mungu nihurumie Yesu. Osha macho yangu Yesu Osha ulimi wangu Bwana na mwili wangu mzima Bwana Yesu. Jacktan na group yote ya Promover TV Barikiweni sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@jasonandjesuschrist4172
@jasonandjesuschrist4172 3 жыл бұрын
Mswahili hakukosea kusema LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO BAS I TUGONJE LANJA , TUOKOKE TUMWAMBUNDU YESU KRISTO ASIFIWE MILELE ❣️ AMEN
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Milele Amina
@LukasNdaji
@LukasNdaji 13 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@reginafidelis336
@reginafidelis336 3 жыл бұрын
Huu ushuhuda niliusoma mwaka 2015,asante kwa kutuletea mahali hapa watu tuijue kweli ya Mungu
@rozinamaleka214
@rozinamaleka214 3 жыл бұрын
Hata mimi niliusoma hakika nilijifunza mengi Mungu atupe mwisho mwema
@reginafidelis336
@reginafidelis336 3 жыл бұрын
@@rozinamaleka214 Amina
@neemanzengele7169
@neemanzengele7169 3 жыл бұрын
Mtumishi Jactan Mungu akubariki sana ushuhuda huu umenigusa yaani umekuja ilinibadilike nimeambiwa sana kuhusu TV sikuelewa ila leo namuomba Bwana Yesu anisaidie.Yaani nimeusikiliza zaidi ya mara mmoja.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen, barikiwa sana
@alinefeyi6731
@alinefeyi6731 3 жыл бұрын
Mungu atupe mwishomzuri
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 3 жыл бұрын
Oooo Yesu kwa nguvu zangu siwezi lolote naomba uniwezeshe Bwana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 3 жыл бұрын
Barikiwa sana brother Jackitan kwa kazi zuri
@beckhamcasen1945
@beckhamcasen1945 3 жыл бұрын
Sorry to be offtopic but does someone know a method to get back into an Instagram account? I was dumb forgot the login password. I would love any assistance you can give me
@editarichard1967
@editarichard1967 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@erianne494
@erianne494 3 жыл бұрын
Barikia sana
@totoyamungu
@totoyamungu 3 жыл бұрын
Tuokoe Eh mwokozi Wetu Mateso Hayo Hatuyawezi Baba🥺😭😭
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Eee Mungu mwenye rehema nihurumie na uniongoze niweze kutembea ktk njia zinazo kupendeza
@medadiissa324
@medadiissa324 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa wapo wanaodanganya lakini hiyo haizuii kuwa wapo wanaosema ukweli.
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 3 жыл бұрын
Amen
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Yesu usiniache unapozuru wengine
@desderiafrancis1404
@desderiafrancis1404 3 жыл бұрын
Ee yesu nitakase
@anaiskafilleaineedejesus3642
@anaiskafilleaineedejesus3642 3 жыл бұрын
Nitaku fwata milele ehhh yesu wangu
@Sala-vk6qy
@Sala-vk6qy 11 күн бұрын
Amen ila mawigi na mapambo yote uyaache
@Sala-vk6qy
@Sala-vk6qy 11 күн бұрын
Ushuhuda huu ndo nausikiliza Niko chuoni maisha magumu nna hell 69000 ambayao nlitaka nitumie mtaji wa kununua vitenge na kuuza lakini ndani nasukumwa kuwa nikanunue Biblia kwani Bible yangu ilpotea ndani kwa mazingira ya ajabu na kila nikipuuzia kinakuja kitabu Cha mathayo 6:33😭
@PromovertvTz
@PromovertvTz 10 күн бұрын
Msikilize Mungu atakutendea
@Sala-vk6qy
@Sala-vk6qy 10 күн бұрын
@@PromovertvTz mda uleule jana nilinunua Tena kubwa ya elf 30000 tangu hapo baada ya kununua nikawa na Aman na furaha Kama ya mtu anayetoka kuokoka
@الوردالورد-ز4غ
@الوردالورد-ز4غ 3 жыл бұрын
Kila siku najaribu kuachana na tamaa za hii dunia coz naogopa jehanam
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
Eeh MUNGU BABA NIREHEMU
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 3 жыл бұрын
Wewe unaitaji maombi maana uko katika kifungo Cha shetani
@Joyceisaka
@Joyceisaka 2 ай бұрын
Mimi natubuuu kabisaa na utakaso eee BWANA NAONA UPATANISHO NAWEW NAOMBAA TOBA MAANA NIMESENGENYAA WENGI NA KUWAZA MABAYA JUU YA WATU WA MUNGU EEE MUNGU NIREHEMU MIMI YAANI NIMCHAFU HAKIKAA UBARIKIWEEE MNO SHUJA JACKTANI MSAFIRI
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 ай бұрын
Amen
@chuggapjt3782
@chuggapjt3782 3 жыл бұрын
Najiuliza tu watu wengi wanadai wamefika mbinguni na motoni na ukisikiliza kila mtu anaongea lake huyu anasimulia hivi huyu hivi kana kwamba mbingu ni tofauti. Na ndani ya miaka miwili iliopita ndio wengi wameenda mbinguni. YESU KRISTO HAJAWAHI TOA SIRI ZA MBINGUNI ANASEMA HAKUNA AJUAE SIRI ZA MBINGUNI HAWA WAMETOKA WAPI? NAJIULIZA
@rmaryp6269
@rmaryp6269 3 жыл бұрын
Pole! Mungu akusaidie kutokuamini kwako, na soma maandiko vzr.
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Soma ufunuo wa yohana 19.yote ushuhuda wa YESU ndio roho ya unabii ,ndio maana inatenda kazi kwa watu tofautitofauti amini upate okolewa
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 3 жыл бұрын
Yesu yupi alisema mbinguni ni siri?,wakati mtume stephano kabla hajapigwa mawe na kufa alifunuliwa mbingu na kumuona Yesu ameketi mbinguni mkono wa kuume wa Mungu,soma biblia
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Iko shida ndani ya moyo wako unahitaji wokovu ili ukombolewe fahamu zako bado unaishi unayofursa ya kuujua ukweli. Kuzimu hadi leo kuna watu dunia wanatumikia huko ingawa shetani hawapeleki sehemu hii ya mateso ya milele ili wasijue ubaya wa kuzimu. Waganga wachawi free mason manabii wa uongo na maajenti wote huenda kuzimu na kurudi duniani kwa kuwa shetani kwa hila zake amewaficha wasijue yaliyombele yao. Ndivyo afanyavyo kwa wanadamu wajinga wasiomwamini Mungu anawapa roho ya kutokuamini kuzimu wala mbingu. Tubu ee mwanadamu
@chuggapjt3782
@chuggapjt3782 3 жыл бұрын
Tofauti ya kuonyeshwa, na kwenda na kurudi duniani. Embu njooni na maandiko. Sio kila kitu kinachosemwa cha kiroho tukiamini nyingine ni tungo tu za kujikweza
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 25 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Gũcokia riri wa kĩrĩma #Kĩrĩrĩmbĩ
1:10:52
Inooro TV
Рет қаралды 5 М.