Ni sehemu ya pili na ya mwisho ya simulizi ya kweli kwa jina ushuhuda wa mteule wa majini.Asante kwa kufatilia
Пікірлер: 26
@polinepoline28636 жыл бұрын
Shetani hamkaribii mtu anaye mwomba yesu wa ukweli.point taken pray without ceasing.mungu abariki program hii
@carolinetalam58325 жыл бұрын
Jina la yesu ni ngome imara wenye haki ukimbilia wakawa salama
@isabelabakana70676 жыл бұрын
God is good... All the time
@remmymhalla33234 жыл бұрын
Jaktan Msafiri Ubarikiwe sana kwa Kazi nzuri. Ila mimi nakwazika unaporukisha baadhi ya mambo muhimu kama majina ya Makanisa ya Kishetani na Mapastor wake. Wewe hutaki tusikie kwa nn Jactan. Acha mtu atoe Ushuhuda wake acha kurukisha maneno. Acha tuwaaibishe hawa watu wa shetani Jacktan. Acha maneno yote ya mtoa shuhudu tuyasikie yote watu Waokoke. Kwa shuhuda nyingi ulizotuletea tumejifunza HATUMUOGOPI SHETANI TULIO WA KRISTO YESU. THANKS.
@hassankombo44754 жыл бұрын
Kila kitu kina mipaka yake kaka , zipo dini ambazo zimepotea lakini hauwezi kuzitaja ila zaidi ni kuwaombea ili mungu awafungue maneno ya mungu yanasema niiteni nami nitawaitikia na nitawaonesha makubwa msio jua kwaiyo kama unataka kuyajua muombe mungu na atakujulisha
@remmymhalla33234 жыл бұрын
@@hassankombo4475 Kama kuna MTU anaenda sehemu ya hatari inabidi aambiwe kwamba humo kuna hatari sio kumuombea wakati Mungu anahitaji wewe umueleze. Coz wewe unajua ukweli.
@hassankombo44754 жыл бұрын
@@remmymhalla3323 kupitia hili kila mtu ajitasmini na kuomba mungu aoneshwe kama sehemu aliopo ni sehemu sahihi kwa kufunga na kuomba mungu atakuonesha, kila mtu atafunguliwa kwa wakati wake utayajua tu kama utaka kuyajua ila hawezi kuyataja kama hajafunuliwa kuyataja
@hassankombo44754 жыл бұрын
@@remmymhalla3323 muulize mungu atakuonesha
@remmymhalla33234 жыл бұрын
@@hassankombo4475 Umesema Vema. Barikiwa na Mungu.
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Asante sana dadangu Mungu akubariki kwa ushuhuda wako na pia ndugu zangu tunapaswa kusimama na Mungu kweli kweli pia tuwaombee watoto wetu kila wakati tuwafinike na damu ya Yesu kristo ili wawe na ulinzi
@latefaafreca54866 жыл бұрын
Asante sana Abigael kwaushuhuda umenijenga kiroho namungu akulinde siku zote za hapa duniani Amem
@blessedlovedandfavoured41296 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri.... Jesus is higher than the highest
@daviddavid-gq8zp6 жыл бұрын
Ahsante sana! Abigail God bless you for mighty name of Jesus Christ!
@gbonetz21205 жыл бұрын
Makanisa tungependa tuyafahamu kaka mbna umekata kata maana twaweza ata cc au ndugu wa Karibu wakawa wauminiii cehemu icyokuwa sahihiiiiiii.... Na lengo la USHUHUDA N kujifunza...
@mariamfritsi97616 жыл бұрын
Mungu ni mwema,tufanye maombi sana,kwani Mungu anawapenda waja wake.tumuamini yeye.07.03.19.
@wilsonmapesa7986 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@PromovertvTz6 жыл бұрын
Ameen
@glorygunda88874 жыл бұрын
Mmmh ungeacha tu tusikie hayo makanisa tujiepushe nayo
@michaelassam57896 жыл бұрын
Kaka ungeacha hayo makanisa yatajwe. Kama umeamua kupigana vita vaa silaha zote na simamia ukweli wote. Hii Chanel haina maana kama ukweli unauficha. Tafakari
@pericykiko61985 жыл бұрын
Wanamtetea shetani, acha aseme watu wasaidike bana
@gloriaaugustino80315 жыл бұрын
Michael Assam kuna sheria zinawabana
@lusekelomwinsasu3185 жыл бұрын
@@gloriaaugustino8031 sheria gani wanakataa tu lakini haisaidii kitu kuficha uovu wangetajwa ili giza liwatoke
@hassankombo44754 жыл бұрын
Uelewa wako mdogo kaka pole we usiangalie angalia chaneli nyingine amna ataekulazimisha kusikiliza we ukitaka uyajue muulize mungu nae atakuonesha, kwasababu akitaja unajua yatakayo tokea coz kwanza hawa manabii fake ni watu wenye pesa mnaweza mkakosa ata ushaidi mahakamani mkafungwa