Part2_USHUHUDA WA ESTA MASANJA ALIYEONA MBINGUNI NA KUZIMU NA KUPEWA SIRI NZITO ZA SIKU ZA MWISHO.

  Рет қаралды 39,256

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4BKUoBsh0eBZ
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE7XIKYRvkZyP
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB9gNmB6GOI7X
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 199
@raphaelmwalukasa
@raphaelmwalukasa 2 жыл бұрын
Why isn't everyone watching this? This is a must watch testimony 💪💪 Bless up brothers Jacktan and Audax .
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 2 жыл бұрын
Share with different people
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 2 жыл бұрын
Many are called but few are Chosen !
@zanikunene
@zanikunene Жыл бұрын
What is she saying? If only it was in English for everyone,I wish I could hear all her testimonies
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 2 жыл бұрын
Ushuhuda huu nimchungu katika kusikia kwamaana kwamba kuona vitu tunavyo chukulia kawaida na nifaida kwetu kumbe vimebeba mafhara makubwa na maumivu makali sana!! Yesu asante kwakuwa lengo lako nikutuponya nakutufanya tusikosa kwako, Ndugu zangu tuelewe na tubadilike kwakuwa kila kinacho zungumzwa nihalisi nakipo. Tunaweza kubadilika.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Haleluya aaaa nimeipenda Sana NDIO neno la MUNGU lisilogoshiwa aaaa thank you Jesus yaani huyo mpenda dunia na mapambo yake WOKOVU haupo kwao Ni Bora KUWA MJINGA na KUMUTAFUTA MUNGU dunia yenyewe imekwisha Ni Bora KUMUTAFUTA MUNGU
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Come on jacktan and erick audax!!! I can't talk too much about you!!! But you will be rewarded for your sacrifices you and your generation!!!!
@ministergadi7512
@ministergadi7512 2 жыл бұрын
Mungu nisaidie Mimi na vizazi vyetu tuingie kwenye uzima wa milele
@consoafrica1350
@consoafrica1350 2 жыл бұрын
Nimekusikiliza mama/dada Ester vizuri. Mungu akubariki na Asante kwa ujumbe mzuri na kustawisha mioyo wetu na nafsi zetu. However, Nina Tatizo moja katikawmafundisho ya Leo. Wasichana na kuolewa. Sijasikia Wanaume na kuoa. Katika haya maisha nimejifunza kwamba ishi uishivyo Lakini kikubwa lengo lako ni kufika mbinguni baada ya kuishi maisha yamridishayo Mungu. Hawa mabinti hawajioi. Na sio wote wajao kanisani hususani Wanaume wamekuja kumtafuta Mungu. Makanisa yanavyowamulika mabinti ni kwamba Wanaume wote walioko kanisani wanamstahili? Wanaume ambao hawajamuishia Mungu katika roho na kweli na wako kanisani wanamfaa Nini binti aliyeokoka. Nina uhakika mtume paulo ha kusema ni lazima mabinti kuolewa wala wanaume kuoa bali kuishinda kwao tamaaa ya kimwili na kumuishia Mungu kutawapa taji ya uzima. My point….. imizeni wanaume wawe kiroho na Mungu …… ili wawe walimu na Wanaume kwa hawa wanawake au mabinti. Na sio kuandamwa…… Kila mwanamke anayosifa ya kuolewa endapo atapata mwanaume mwalimu na sahii anaeongozwa na Bwana
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 2 ай бұрын
Amen ushuhuda huu unanigusa sana mungu atusaidie na atuepushe na hayo yote
@jessemach4459
@jessemach4459 2 жыл бұрын
Ndugu presenter anafanya kazi mzuri sana...ushuhuda unamguza lakini anaendelea tu.sisi wote tutiwe nguvu na Yesu
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi. Naomba uandike vitabu ili watu wengi waweza kupata hayo mafundisho. Kwa vile unaongea kwa ufupi ila ukiandika utaelezea vizuri zaidi.
@MagnifiqueDushime
@MagnifiqueDushime 3 ай бұрын
asante sana mtumishi!!napewa nguvu zaidi kupitiya ushuhuda huu!Mungu akumpe mwisho mwema!
@halimasanga3830
@halimasanga3830 2 жыл бұрын
Halleluyaaa sifa na utukufu vikuludie wewe Mungu utupendaye sanaa. Ushuhuda huu ni mkubwa sanaaa. Najikuta kuingia kwenye Tobaa. Mungu ni halisi.
@bentanabwire5692
@bentanabwire5692 6 ай бұрын
I salute you promover TV coz I understand more about Jesus christ.
@winfridamathew1390
@winfridamathew1390 Жыл бұрын
Amen...Mungu wetu alie mbinguni aturehem
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Mama Barikiwa sana. Hata hivyo tunaona kwa mipaka. Mungu atusaidie sisi akina dada tuache kujipodoa. Jacktan Barikiwa sana. Audax Barikiwa sana na Promover TV kwa Ujumla ninawapendka bure. Nimejifunza mengi
@roselynmidecha2554
@roselynmidecha2554 2 жыл бұрын
Hallelujah to the lamb of God...dadangu nimefurahia ushuhuda wako.
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 2 жыл бұрын
Asante YESU wang nakupendaa Dady .
@neematweve3150
@neematweve3150 2 жыл бұрын
Asantee Sana dada kwa ufunuo mzuri sana.nabarikiwa Sana. Natamani kukuona lave
@vumiliaswilla2901
@vumiliaswilla2901 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishii ushuhuda umenivusha Sanaa Mimi kama binti naomba Mungu anifunze jinsi ya kujitunza
@mputaostin3077
@mputaostin3077 2 жыл бұрын
Thanx for this message be blessed
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah ushuhuda mzuri sana barikiwen watumishi wa BWANA
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi 4 ай бұрын
Praise God nabarikiwa kabisa na hio neno
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Barikiwaa SANA Bwana wa Majeshi akuinuwe Akupiganiye SANA JACKTAN msafiri na kundi lako
@aliciaallyson4678
@aliciaallyson4678 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa mafundisho haya,,nawatazama nikiwa Dubai ingawa mm ni mkenya...Nimetamani sana afundishe kwa kirefu kuhusu kinachozuia maombi hapo pa 7 heavens
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amena amena MUNGU atujaliye neema tufikiye mjiuho
@anitalumumba5443
@anitalumumba5443 2 жыл бұрын
Powerful testimony
@maryjustajovini5736
@maryjustajovini5736 2 жыл бұрын
Asante Sanaa kwa ujumbe huu sijabiki Kama nilivyo
@FatimahAlshehri-gt1gj
@FatimahAlshehri-gt1gj Жыл бұрын
Amen mum umesema ukweli hta mmi niko na hiyo shida but sai nimechange kwa hizo vitu
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@catemacharia8499
@catemacharia8499 2 жыл бұрын
Glory to God I have learnt a lot, so those who work in salons will never enter heaven
@catenzoka2003
@catenzoka2003 2 жыл бұрын
Yualeza Kwa utaratibu mzuri sana.ujumbe WA maana sana barikiweni promover tv team.
@voctoriangombe6136
@voctoriangombe6136 2 жыл бұрын
Asante maana tulikuwa hatujui makufuru Yesu badilisha maisha yangu wewe ndio kila kitu kwangu
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Hallelujah hakika Bwana nimwema kila saa hataki tuangamie..jina lake lihimidiwe milele na milele Amina
@ruciasimeo4431
@ruciasimeo4431 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saaana Yesu azidi kukutumia nyakati hizi za mwisho
@lucyakinyiowino8600
@lucyakinyiowino8600 2 жыл бұрын
Asante sana Mungu azidi kukupa neema ya kuwafungua watoto wake macho
@maggiemamaafricaofficial7080
@maggiemamaafricaofficial7080 2 жыл бұрын
Asante sana dadangu
@bethmuthonimathu6442
@bethmuthonimathu6442 2 жыл бұрын
That is a powerful testmony
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama yangu ushuuda umenijega sana
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 2 жыл бұрын
Amen Amen niukweli kabisa dadangu
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen and Amen barikiweni sana watumishi wa Mungu
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
Amina, Bwana niwezeshe kutii sheria yako
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Safi Sana hakuna Kama YESU
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ushuhuda huu
@andrewmapunda8782
@andrewmapunda8782 Жыл бұрын
Yesu yu mwema
@mourineauma7323
@mourineauma7323 2 жыл бұрын
Great testinony
@ndungekasongoikasongoi2364
@ndungekasongoikasongoi2364 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah YESU NI BWANA WA MABWANA..hushuhuda ulio hai..Mtumishi wa mungu barikiwa Sana Sana Sana...
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 2 жыл бұрын
Amina
@marysabihi9931
@marysabihi9931 2 жыл бұрын
Kwa kweli Ninaomba Roho Mtakatifu anionyeshe hatua kwa hatua mambo nisiyoyajua ambayo Ni machukizo mbele za Mungu
@victorgoodluck2922
@victorgoodluck2922 2 жыл бұрын
Amen
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
This world will pass out!!! But the word of God will be forever!!!! Oh might God help me and others to finish the race!!! I wish to see Jesus Christ
@micheleliakimeliakimmihale8820
@micheleliakimeliakimmihale8820 2 жыл бұрын
Mungu atapenyeza tuu haya mambo hata kwa kupitia mitandao na tv private . Kanisan wakiukataa Utube inahubir Sana tuu.
@georgevicent6849
@georgevicent6849 2 жыл бұрын
👏🏿👏🏿 utakatifu ndio msingi👌🏿
@maxinnaibei3733
@maxinnaibei3733 2 жыл бұрын
I have come to know that am not complete I still have to change my dressing and life style, please pastors you need to preach the truth
@PastorPeter00
@PastorPeter00 2 жыл бұрын
Jactani huyo Mtumishi wa Mungu anavitu vingi Sana vya kutufundisha hivyo nasubiria part 3,4,5,6, 7 asiseme kwa ufupi atueleze kwa kirefu, tunajifunza vitu vikubwa sana,pia Namba yake ya simu ni Muhimu Sana.
@rjmagape7535
@rjmagape7535 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi
@paulnyanda2226
@paulnyanda2226 2 жыл бұрын
Kwakwel Mungu anatupenda Sana wanadam barikiwa mtumish
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Mimi naomba Mungu unisaidie nsitamani vitu kama hivi pia ni shike arizako😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@Sophia-b3k
@Sophia-b3k 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
amen
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
following;...nazidi kubarikiwa tena sana na shuhuda kama hizi.
@mokamichacha6783
@mokamichacha6783 2 жыл бұрын
Amen, nimejifunza mengi
@catherinepatrick5346
@catherinepatrick5346 2 жыл бұрын
Mungu nitie nguvu niwezeshe nifike kwenye nchi ya ahadi mungu wangu
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Maneno makubwa haya mungu wetu asante kwa kutuma watumishi wako watuonye sisi
@emanuelyjohnmarleymarley8173
@emanuelyjohnmarleymarley8173 2 жыл бұрын
Atufundishe somo la mianga 7
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 2 жыл бұрын
Mtumishi tusaidie namna yakumpata huyu mama, Dada Esta mtumishi wa Mungu.
@beatricegerald7253
@beatricegerald7253 2 жыл бұрын
Duuh ole wangu mm YESU nisaidie
@mchomvutv2426
@mchomvutv2426 2 жыл бұрын
Asante Yesu
@milkanjoki1676
@milkanjoki1676 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@edinaambangile8245
@edinaambangile8245 2 жыл бұрын
Nimejifuza vizur Sana naomba mungu anisaidie
@puritychepkemoi3028
@puritychepkemoi3028 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi huo ni ushuhuda juu nimejifunza sana sana,ukifunga kichwa unakata nywele ama?
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Mungu uwaurumie wanawake
@catenzoka2003
@catenzoka2003 2 жыл бұрын
Ja maní twaomba kuelezewa hayo malango saba Kwa undani pls mtumishi WA yesu.
@ester.k.6837
@ester.k.6837 2 жыл бұрын
Tunamshukuru MUNGU kwa ushuhuda huu. Kuna sehemu dada Esther alitaka kuelezea kwa nini kina Enock, Elijah na Musa walikuwa wanaonekana wazee sana, lakini kwa vile kaka Erick alimwuuliza swali kabla hajajibu basi akawa hajaelezea tena kipengele hicho. Je itawezekana kuuacha ushuhuda u-flow halafu nyongeza au maswali yakaulizwa baadaye? Ni angalizo tu wapendwa kwamba kuna interruption mno wakati ushuhuda unasimuliwa. Basi MUNGU awabariki zaidi!
@geofreypaul163
@geofreypaul163 2 жыл бұрын
Alieleza mbona
@florencebalongo6957
@florencebalongo6957 2 жыл бұрын
Hakika huu ushuhuda unafanana na wa Amiel Katekella.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Nimekupenda Sana umenifungua macho
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@florencebalongo6957 wawapi
@florencebalongo6957
@florencebalongo6957 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 wa Tz. Muchungaji Katekella.
@reinyhardy3730
@reinyhardy3730 2 жыл бұрын
Yesu yupo kalibu kuja .na mbali .
@leonardharerimana4625
@leonardharerimana4625 2 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa sana
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Hallelluyah Hallelluyah utukufu kwa Mungu Muumba Wetu
@georgevicent6849
@georgevicent6849 2 жыл бұрын
Nasubiri no 3 mbarikiwe sanaa
@subiramawenya711
@subiramawenya711 Жыл бұрын
Ni kweli tupu tuitii hii sauti jamani. Neno linasema kujipamba kwenu si kwa kusuka nywele, na tufunike vichwa wkt wa kusali
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Amen Jesus is soon coming
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
Nimengoja kweli finally
@glorymziray1915
@glorymziray1915 2 жыл бұрын
Natamani atoe ushuhuda huu kimtiririko Mana CHOCHOTE alichoonyeshwa nikwajili ya watoto wa Mungu natamani aeleze Kama ilivyo asiache kitu sijui anga Saba hivyo vyote nikwajili ya kanisa la Mungu hupaswi kuacha NENO lolote Mana KILA NENO ni Uponyaji juu yamtu flani usije ukadaiwa
@bulengepetite6062
@bulengepetite6062 2 жыл бұрын
Mungu atusame sana. Mambo unayo yasema ju yamapambo ata mimi nimeyaona kwenye ndoto. Kweli naomba Mungu atusaidiye sana sisi wanawake.
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Yani na mimi niliamua kufanya uamuz magumu nikaacha mapambo yote na sasa nmezoea . Na kusuka kabsa .
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana hatuwezi KUWA WABISHI Kisha kulilia mapambo ya dunia hii MAANA uzuri wa YESU UMEZIDI VYOTE
@elizabethsembe1677
@elizabethsembe1677 2 жыл бұрын
Nilipotaka kuacha ad vipodozi wee e nilitokewa navitu vyahajabu vipele.matango tango uso ulikua aufai nachukiza natamani niviludie vpodox nikawa naomba mungu nilud katk haliyangu naombarehema.we asaiv ngozi yangu nizuri kabisa nimezoea namiaka miwili sija tumia hivyovitu.tokea 2021mpaka sasahuuwa22
@lilianmugyabuso8908
@lilianmugyabuso8908 2 жыл бұрын
Mungu anisaidie sana naachaga na narudia tena Mungu anisaidie niache kabisa
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Kwa vile ni haki ya binti zetu ni lazima wapokee ila washughulikie utu wa ndani kuliko kushughulikia utu wa nje yaani mapambo nguo za kuonyesha mwili yaani shape
@janendegwa1748
@janendegwa1748 2 жыл бұрын
Which way to get wealth in Christ
@GraceGillian-o3p
@GraceGillian-o3p 3 ай бұрын
Naomba kujua na ukiwa rasta za asili ni dhambi pia
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 2 жыл бұрын
Ila wapedwa tusiache kushare hizi vidio kwa whastup na kwingineko yamkini roho moja ikapona japo wengi wanapinga sana. Mungu turehemu tuondolee kiburi na ukaidi tukutii wewe katika hali ya utakatifu.
@vicentphilipo3549
@vicentphilipo3549 2 жыл бұрын
amen
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 2 жыл бұрын
Amina
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Hakika
@liliankamanga4294
@liliankamanga4294 2 жыл бұрын
Amen
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Aseh ni htr sana
@LucianMwamunyi
@LucianMwamunyi Ай бұрын
Eeeeee MUNGU naomba utakatfu mimi na Dunia yote Tufumbue macho sisi, Mi motoni sipataaaaaaakiiiiiiiiii Uuuuuiiiiii
@lovenesskwayu5585
@lovenesskwayu5585 Жыл бұрын
Na Kama umeolewa Na mume wako anapenda ujipambe hii inakuwaje jamani?? Na hapendi mke wake kuvaa vitambaa hii ipoje??? Mtumishi atusaidie,, Vipi perfumes?? Nayo ni kosa? Kama ilivyo rangi Na vingine mtumishi alivyovitaja??
@gracemutono5023
@gracemutono5023 2 жыл бұрын
Sawa Jacktan tuko tayari karibuni
@estherpaul-ym7ed
@estherpaul-ym7ed Жыл бұрын
Tuna
@gayosanga455
@gayosanga455 2 жыл бұрын
Ushuhuda wako ni wa kweli kabisa ;
@endtimes9850
@endtimes9850 2 жыл бұрын
Mimi nimezaliwa sina meno mawili ya chini. Nikaenda kwa dentist(mtaalam wa meno) akanitengezea yakufit vizuri na yananisaidia hata kwenye kula na kukamilisha mwonekano wa kinywa Je, ni sahihi au sio sahihi. Naomba kujua Mtumishi Ester?
@vicentphilipo3549
@vicentphilipo3549 2 жыл бұрын
sio sahihi mungu alikuumba ili ukaishi na hayo meno aliyo kupangia yy hapo una mkosoa nikama kumwambia mungu ulinikosea ilitakiwa niwe nameno kama haya hayo sasa uyo weka
@pillykasegu7679
@pillykasegu7679 2 жыл бұрын
Humu ndani kuna mafundisho ya ajabu watu hawaamini biblia hizo shuhuda mwisho wa siku zitakuwa sheria kwa wakristo jamani someni biblia
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 2 жыл бұрын
@@pillykasegu7679 sasa niwapi alipoenda kinyume na bibilia?
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 жыл бұрын
kunawakati mwingine mtu kuzaliwa na mapungufu fulani husababishwa na mambo tofauti wala si Mungu kuumba hivo.mfana mtoto anaweza kuzaliwa jingo limefunga anapelekwa kupasuliwa akaona.vyakula tunavyokula mazingira tunayoishi,laana,nguvuza giza sasa wengine Hata kwa maombi wanafunguliwa. imani yangu ni kwamba si kila anaezaliwa na mapungufu fulani ni uumbaji wa Mungu so ikitokea yamerekebishwa si shida
@aprilking8250
@aprilking8250 2 жыл бұрын
Ni sahii ndugu uko sawa
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Shalom watumishi
@chari1774
@chari1774 2 жыл бұрын
What about Men who don't want to Marry? May Jesus reveal why.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
WASILIANA NA ESTA MASANJA KWA NAMBA +255763099367
@veronicageorge8481
@veronicageorge8481 2 жыл бұрын
Yesu Kristo asifiwe samahani naona namba ya Mtumishi wa Mungu Esta haijakamilika unaweza iandika tena
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
Hii namba kama haijakamilika
@lilianmugyabuso8908
@lilianmugyabuso8908 2 жыл бұрын
Nitampigia Asante
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 2 жыл бұрын
Part 3
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen ni mabarikwa sana
@fabricemunguiko5192
@fabricemunguiko5192 2 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE SANA KWA MAONO HAZA. HAKIKA MUNGU NI MWEMA SANA...
@reinyhardy3730
@reinyhardy3730 2 жыл бұрын
Je uliambiwa habali ya yerusalem .na wana wa izraeli ?
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 79 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН