This is Tanzania's Eyeman, Thank you God for giving us this True honourable comrade.
@StephenTossi-tj2uv Жыл бұрын
Asante Baba kwa hekima zako. Tunakuombea
@altonkanjolonga23802 жыл бұрын
Long live Hon. Jaji Joseph Sinde Warioba,wewe ni hazina ya Taifa letu
@MAFUNDISHO1 Жыл бұрын
Jamani watanzania! Usione vyaelea vimeundwa! Kuna comment unasona unajiuliza! Hivi tunarudi nyuma au tunaenda mbele.kama unafikili amani hii haikufai....jaribu kwenda hapo somalia.
@janiaoma7093 Жыл бұрын
Warioba anataka. uhuru watanzania Wana ume Kwa Wana ume waowane Hawa ni walewaze wanao sapota ushoga
@OmarMohamed-zf8dp Жыл бұрын
Warioba khebu tutajie muislamu aliewahi kuwa mkuu wa majeshi tanzania tena awe mzanzibar tutajie muilsamu alie shika mkuu wa uhamiaji tanzania tena awe mzanzibar taja na mkuu wa police mzanzibar bona haya huyasemi
@simonnaivasha63938 ай бұрын
Kuna mwaziri wa mambo ndani wengi Wanzazibari.
@godfreysanga6332 жыл бұрын
Hivi Kwa nn viongozi wakistaafu Huwa wanabusara sana???
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Nao ni binAdam hufika Wakti hujitafakal na kugunduwa Makosa yao na Mungu huwasaidia kujitambuwa zaidi na Mwenye kujielewa hurudi Kwa Mungu wa kweli na kumuabudu Mungu Sahihi Kwa kufanya Ibada sahihi ktk lmaan/Dini sahihi. Lakini Wakti wanapokuwa Madarakani hujisahau Kwa sababu ya Cheo/Vyeo (Wadhfa), Mali, na Umri mdogo Sasa wanazeeka (wamekuwa ki Umri) Uzee Dawa/Busara, Ujana ni Nusu ya Uwenda Wazimu.
We ndo unatugawanya, mbona mkitawala nyie hamsemagi hayo?
@abi-onlinetv4181 Жыл бұрын
We Mzee Mme jaa Wakristo tupu huko serikalini mbona sisi hatusemi? JE huo sio udini? Na hayo yote Nyerere ndoo kayaleta Mpaka Leo Ina maana hukuwa unayaona? Wakati wa Magufuri nyinyi ndo mlikuwa ndo mmechukua Nchi kalibia yote. Ulikuwa wapi kukemea hayo yote.
@khaalidcheo5383 Жыл бұрын
Uyu mzee kala kashiba sasa anaongea utumbo.anatakiwa afafanue wapi maala panaudini? Sio anaongea kwa matashi yake.
@josephrutta6834 Жыл бұрын
Kweli UDINI na UVYAMA ushaharibu wengi akiri. Wengi waliokomment inaonekana hawakumwelewa kabisa MZEE; sababu ya chuki za kidini na kivyama. Ila Mzee JSW ni Mzalendo asiye na unafiki, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Let wariba say what has seen on Tanzania national for his experience on his leadership diuring late Julia's kambarage nyerere leadership let not undermine him has spoken reality underground exelence president Samia sluu Hassan should avoid such a that shack on his topic was not unit Tanzania nation what warioba explain is reallity underground has spoken what late teacher Julia's kambarage nyerere speech was talking about cracs stated been seen Wich we should close this cracks
@enockchambile18212 жыл бұрын
Well said
@hassannyoka1304 Жыл бұрын
Warioba anachuki na waislam suala laudini mimi sijaliona nakamalipo sijui inawezekana ikawa kweli lipo maana katika naserikali wakiristo ndio wengi kuliko waislam kama nihivyo mimi nakubali udini upo sivyenginevyo waislam ni wachache sana na viongozi serikalini wengi ni wakiristo aache unafiki na ubaguzi uzee usimchanganye
@mussarukigwa3453 Жыл бұрын
Walioba una akili sana MUNGU akupe maisha malefu
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Amani na uhuru huwepo baada ya chaguzi za kitaifa,lakini vipindi ndani ya chaguzi hayo hayapo,maana uroho wa watawala ndio chanzo ya hayo
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Matatizo ya Zanzibar ni matukio ya uingiliaji wa siasa kutoka nje ya Zanzibar,
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
WEE JIZEE ULIPOUKUWA KWA MADARAKA RAIA WALITESEKA MNO!MMPAKA IKAFIKIA WAKATI WATU WANAVAA MAGUNIA!! NENDA KACHEZE NA WAJUKUU ZAKO!! MAMBO YA SIASA ACHANA NAYO °
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Huyu faza kesha zeeka. Wachaneni naye. Mkimlazimisha siku atakuja yatoa ya gizani.. ndo mtajua.!
@ezekielmirambo87042 жыл бұрын
Let blessings continuously be with you father!
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Jaji warioba ni Hazina tuliye naye tuheshimu mawazo ya wazee
@issaabdi9129 Жыл бұрын
wewe mzee acha wewe na nyerere wote mmetoka mkoa wa mara. Sasa kama si uporaji wa madarakani ni nini? Wakati wako ukiwa, waziri mkuu mbona mlimuondoa muheshimiwa Sokoine kwa ajili alikuwa ni mmasai kutoka mondoul. Kama si ukabila ni nini? Kumbuka wakati wako mlivyotaifisha mali za watu.
@samweljames89472 жыл бұрын
Safi Sana Nakupenda Tanzania
@abuialmarjibi979 Жыл бұрын
Enzi zenu hali ilikuwa ngum sana nani alikuwa na uhuru wa kuongea kama unavoongea wewe sasahivi
@h77-f8m2 жыл бұрын
Udini uliletwa na Julius nyerere mkatoliki
@mohamednyange1067 Жыл бұрын
Muasisi wa udini JK Nyerere
@proisolution7166 Жыл бұрын
SHIDA YA WATU WENYE MAJINA YA HASAABDI7199 HUWA HAMNAGA USTARABU ,NA KWA KAULI ZENU ZA MATUSI LAZIMA MNAONYESHA KUWA HICHO KITU ANACHOSEMA HUYO MZEE NI SAHIHI HATA MSEMEJE,MNATAKA KUONGOZA UWEZO NA MAARIFA NAMNAGA MSILAZIMISHE.
@proisolution7166 Жыл бұрын
WATU WAAJILIWA KWA CV,HATA MASHULENI ANGALIA NAMBA WATU GANI WANAENDA HASWA KUANZIA SECONDARY NA KUENDELEA ,WENGINE KULIPIA WATOTO ADA MNAONA SHIDA LKN MNATAKA MTUONGOZE NA UMAMUMA WENU.
@nyumbayatibanadua737 Жыл бұрын
Kuhusu udini hapa namashaka napo. Kwakua ni tabaka moja tu la dini fulani ndilo linaongoza kwenye serkali na mashirika ya umma, hata hivyo utaona tapaka la pili la dini nyingine halilalamikii hilo, ni kwakua tunaipenda amani na tunaipenda nchi yetu tanzania. Chakushangaza nikua tabaka hilo la dini fulani likipata ngazi moja tu basi hapo utasikia malalamiko kutoka kwenye tabaka fulani wakisema udini, ingawa hao wanaolalamika wamejazana tele kwa tele maofisini. Sasa suali ni je? Tunapozungumzia udini anakusudiwa nani?
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Mzee bado akaakili kubwa Sana Ila vijana ndo hatujitambui tunashindwa kusimamia ukweli Basi ili malalamiko yasiwepo wote tusilimu
@OmarMohamed-zf8dp Жыл бұрын
Mnafiki mkubwa wewe warioba mnaweza eleni serekali tatu tanganyika kwenu zanzibar ipo na muungano kati kati hamuwezi kilammoja awekwake ila mkumbuke kuwa bagamoyo kariuakoo kisarawe yote zanzibar bara hamna bahar
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Uchifu ....
@zaidyabdalah36912 жыл бұрын
Haya unayoyasema je watawala wanakusikia?
@Filexwawa2 жыл бұрын
Napya kuwe na sheria ili ipelekwe. Kwanyama kwamfano tubadilishe wagombea kama ww umetoka mahalifulani ukionekana unatabia hiyo ufugiwe kufanya siasa
@christinenyagiro66622 жыл бұрын
Kweli baba msiache haya. Kwani Mwalimu aliliona la katiba lakini akaliacha angalia linavyo tutesa watanzania sasa. Kwahiyo tunawaomba msiache hizi nyufa zitatesa watoto wetu. Ikiwa bado mpo hali iko hivi je, mkiondoka kabisa watoto wetu wa hali ya chini itawetesa kiasi gani?
@alisonimpaji615 Жыл бұрын
Eshima yako mzee wangu na kiongozi mzee tena shupavu na mwenye busara Kwa point hii ni muimu kubadilika lakini tatizo kubwa tulilo siasa ni nyingi .ata mambo ya msing kama Aya tuna yachukulia kama siasa
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Wewe acha unafiki,nyie ndio wa dini,wakablia,wakanda.ulikuwa wapi kipindi cha Magu
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Woga ulituunganisha, ilikuwa hakuna Roporopo Kama leo. There was more nepotism during Nyererethan any other time. Ilikuwa kila mahali watu wa Musoma. Jamani tuwe wakweli - tribalism was rife. Mzee usitudanganye!!! Kuna uhuru sasa hivi wa kutapika lolote, Nyereres era kulikuwa majela ya majaa wanasiasa - vizuizini! He was a shrewd leader. I doubt if Samia has any political detainees. Nyerere was the worst leader, semeni ukweli hayupo tena!
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Sahihi, Sema kweli japo Ukweli unauma🤣🤣🤣alikuwa anaangalia Tv Nyumbani Kwake Kisha anatuthimulia yanayotendeka/yalotendeka Ughaibuni anajifanya amebashiri/ametabiri kumbe keshe soma Alama za Nyakati kama Askofu Gwanima anajifanya anatabiri/amebashiri "Uislamu utakuwa/unaongezeka Kwa Kasi ya Idadi ya Watu wengi Wanakuwa/Watakuwa Waislamu" Wakti Allah alishasema tangia Karne ya 7 ktk Qur'an 110: 1-3 Chamsingi tuwe Wamoja wa kujali Maslahi ya Utaifa wetu na Taiga letu Kwa Kuzingatia Haki, Uswa na Amaan ktk Khofu ya Mungu Mola Muumba. Mzee/Muasis alituhadaa kuwa Mzalendo wa Tz na Afrika Lakini alikuwa Mzalendo M'baguzi zaidi Kwa kupendeles DINI yake na Madhebu yake; % ya Ardhi ya Tz imemilkiwa na Roman Catholic ! Wakija Waarabu/Waislamu kuwekeza Tena Miradi hata kama Miradi isokuwa ya DINI Lakini tutanufaika WaTz wote basi utasikia povu linalowatoka wenye chuki na Uislamu na Waislamu. Mgawanyo wa Pato la Taifa ulivyo, Mh'. Raisi Mstaafu Kikwete alizungumza ukweli na uhalisia ulivyo Mgawanyo huo Lakini Waislamu tumevumilia japo Wakristo wanapewa Mgao Mkubwa! Waislamu tulitaka kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiislamu (Organization of lslamic Conference -OlC) Ili Waislamu tukose Misaada ya Maendeleo ila wao Wakristo wanapata Misaada mbalimbali Ndani na Nje ya Nchi wanajenga Hospital, Vyuo, Makanisa na Miradi mbambali ya Maendeleo ya DINI yao na Waumini wao! Waislamu tmehitaji/Tunahitaji Mahakama ya Kadhi/Mahakama ya Kiislamu tangia tupate Uhuru tunawekewa Vikwazo; Waislamu wachache, italeta Udini nk yanasemwa Ili kupinga Maendeleo ya Wailamu na Waislamu!😭😭😭
@issaabdi9129 Жыл бұрын
100 pec haujandanganya huyu mzee wakati wake imeisha.. Usituletee wakati wa ukoloni wa kupanga foleni madukani.
@azzanalkhatry4625 Жыл бұрын
Anatisha kwa Udini kuliko ukoma!
@jumangaumba500 Жыл бұрын
Mzee mbona hukuyazungumza haya wakati wa magufuli? Mzee Acha kuongea , unataka kutuchonganisha watanzania . Wewe muda wako imeshaisha.
@kiatu2 жыл бұрын
Viongozi ndio problem nchi hii. Nakuomba ugombee urais hapo mbeleni
@saidmwamba1147 Жыл бұрын
Udini gani unaouzungumzia mzee baba na serikali zote zilizopita mpaka hii ya sasa ya Mama Samia mmejaa nyinyi wakristo serikalini?
@anosiata82422 жыл бұрын
Kuhusu uchifu samia ndiye ameufufua .
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Mara ngapi tumeona/tumeshuhudia ktk Vyombo vya Habari mbalimbali baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali Wakithimikwa Kwa Kukalia Vigoda, Kukabidhiwa Ngao, Mikiki, Kuvishwa Migolole/Ngozi za Wanyama huo sio Uchifu/Mila?! Hayo Enzi za Raisi wote (hata alipokuwepo Raisi Maguful) hayakufanyika ?! Au Kunya anye Kuku akinya Bata Mchafu?! Hayo ndo kama ya Propaganda zinapigwa kwamba eti; "Mtume Muhammad SAW ndie ameanzisha Dini Uislamu" Wakti Uislamu Upo/umeanzishwa hata kabla ya Kuumbwa Adam !
@jumakibasame3210 Жыл бұрын
Kesho kwa mungu mtachomwa kwa kusema uongo.we walioba kipindi cha nyerere watu walikimbia nchi kwa kusema ukweli.unakumbuka?na kuwekwa kizuizini. Mbona hamkuongea kipindi hicho? Hata juzi kipindi cha magu hukutoa sauti ulikuwa wapi?mzee acha uchochezi.
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@jumakibasame3210 Tatizo lenu watanzania hamufuatilia vyombo vya habari mnakurupuka tu. Kikwete mwenyewe akikosoa samia kuhusu uchifu. Wewe ulikuwa wapi.. fuatilia Kipindi cha polepole shule ya uongozi. Alisema nyerere Alifuta uchifu.
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Viongozi wanaongea umoja, amani mbona hawaongei haki? Kwanini viongozi wanaona Katiba inakuwa kuwa mali ya viongozi? Kama mnataka turudi kule tafadhali Inchi iongozwe na KATIBA SIYO KILA KIONGOZI AKIINGIA ANAKUJA NA MAWAZO YAKE TENA YA INJE YA INCHI YETU? KWA NINI MAENDELEO INAENDA KUONGELEWA DUBEI?
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Usituaminishe ujinga wako
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Mzee you were in power as PM etc and you had all the powers to bring change - so why advocating change now? Is this not unfair to the current regime.
@AngelMbwambo-ro8xs Жыл бұрын
Kuna watu mnachangia hoja kwa matusi ili watu waone mzee hajaongea jambo zuri kama wewe unajua kuchangia kuliko yeye changia tuone hoja yako sio matusi
@Filexwawa2 жыл бұрын
Naomba ufanye kitu kimoja bac kama baba tunaye mtegemea tupatie majawabu au nn kifanyike hapohapo niko na maoni sheria iwekwe kali ambayo inawabana hata hao wana siasa
@hamadishehe8344 Жыл бұрын
Utakua unajisahaulisha yaliyopita naunaonekana una lako Jambo,japo unalipeleka kizee zee,nakushauri upumzike kuongea hadharani heshima yako inapotea polepole.kila Jambo na wakati wake
@selemankishema5780 Жыл бұрын
We mzee pumzika memory yako inapotea saana nchii hii bwana hakuna hayo unayosema kama unachuki zako kalale mpuuzi wee
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hata kama yapo ndo anayaona Leo?! Hapa ni Unafiki na Chuki tu zinazowasumbua kwakuwa Raisi ni Muislamu. Kwani Uchifu umeanza awamu ya Mama?! Baadhi ya Mikoa Mingi yenye Waislamu baada ya Uhuru ikaporoka hadhi; Kielimu, Kiuchumi (Kilimo, Viwanda) nka Kwanini/sababu kuu ilikuwa Nini kama Si Ubaguzi zaidi Udini! Shule (Sekondari) za Kata ndo zimekuja kukombowa Waislamu Kielimu nk japo zilipingwa Ili kukatisha Tamaa Kwa aloanzisha na Kwa Jamii ! Baadhi ya Wananchi wanavumilia na WanaAman/inapatikana Amana Kwa kuwa waop Waumini wenye Dini sahihi ya Mungu Mola sahihi na huzifanya Ibada sahihi vinginevyo ingekuwa Mtihan. Nani asiyejuwa kwamba Waislamu rulikuwa tunabaguliwa ktk mambo mengi; Elimu, Ajira Serikalini nk tangia tumepata Uhuru Ulikuwepo Ubaguzi (Udini, Ukabila, Ukana nk)ila Kwa Awamu ya Mstaafu Kikwete amejitahid kuondosha Ubaguzi/Udini na Mama Mashaallah ndo anajitahid kuondosha Ubaguzi (Udini, Ukabila, Ukanda, Uvyama vya Siasa nk). Sasa alifanyalo Mama baadhi ya Walozowea Ubinafsi/Ubaguzi (Wafiki) ndo wanjifanya wanaoana na kugunduwa Leo/Sasa(Awamu ya Mama) Kuna Ubaguzi/eti Ubaguzi unaamka! Yaani Tafsiri nyengine kutenda Haki/Kuondosha Dhulma ndo Sasa unaitwa/Umekuwa Ubaguzi?! Klikuwa na Kero ngapi za Muungano?! Hivyo ZNZ Kuuwana/kubaguwana nani au nini sababu/chanzo?! Baadhi ya Waasi wa Taifa Walikuwa WaZalendo wa Taifa lakini ilipofika ktk Imaan/Dini yao na Madhehebu yao Waliuweka Jando Uzalena Wa Taifa wakawa Wazalendo/Waumini Wazuri wa Dini yao na Madhehebu yao mbona hakulisema/hakukoa alipokuwa Madarakani alikuwa hajui/haonihasikii?! Tuwacheni Kizazi hiki na Mama wetu atuvushe salama Kwa Umoja wetu. Leo hii baadhi ya % kubwa Tz imehoziwa na Roma Kupitia Kanisa hata Mh' Mstaafu Kikwete aliwahi kutowa Siri ya Mgawanyo wa Pato la Taifa % kubwa ilikuwa inapelekwa Upande wa Kanisa mbona haukujitokeza kukemea hilo na kuweka Usawa/kuondoa Ubaguzi?! Yale Maandiko "Mpende Jirani wako kama unavyoipenda Nafsi yako " hayakupasa/hayapasi kutumika Mpaka arudi Mpakwa Mafuta?! Baadhi ya Viongozi wenyechuki/Wanafiki (Wasio Wazalendo wa kweli/Wazalendo wa Dini, Ukanda na Ukabila) ndo wanaliaharibu Taifa. Kama KATIBA inatowa Haki basi itowe Haki Sekta Zote.Kubadili/Kuhitaji KATIBA MPYA Si ktk Umuhimu wa Usawa na Haki ktk Siasa, Vyama vya Siasa na Wana Siasa tu. Tubadike Kupitia Ukweli na Haki, tuwache Siasa za Chuki, Unafiki na Ubaguzi. Dunia ni Mapito na Sitarehe za Muda tu. Hakuna atakeondoka na Cheo, Mali, Dini Bali Amal/Matendo memo ya Mja Kupitia Maelekezo na Makatazo ya Mola Muumba ndo yatamsaidia Mjaa baada Kufa/Kuondoka Duniani. Hivyo tuigope, tuwache na tukemee Dhulma ya aina yeyote Ile. WaAllahu Aalamu/Mola Muumba ndo Mjuzi
@ibrahimmahinda9547 Жыл бұрын
Uzee ungine ni upunguani
@mbwanamungia99212 жыл бұрын
Nenda maofisi ya serikali hata leo utakuta ni watu wa tabaka gani wamejazana humo na wanapeana kazi ki ndugu
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hawa jamaa Wamerithi ya Shaiytwan/Ibilisi hawataki kuona/kusikia Fulani kapata/Kaendea (hawapendi Maendeleo ya Waislamu na Uislamu). Niliwahi kuona ktk Mtandao Godbless Lema akiwa Ughaibuni alipost kuituhumu Azam Media eti Ina UDINI, amesahahu au ndo hulka tu ya Roho M'baya! Azam Media ni Chombo kinamilkiwa na mtu Binafsi na ni Muislamu na hata hivyo ni kweli Azam Media Wapo Watumishi Waislamu tu?! Amesahu/hakuiona ITV Kadhalka hata TBC kunaupendeleo wa kuwaweka baadhi ya Waasisi wa Taifa/Waloleta Uhuru na kuwaacha kuwaenzi wengine ! Kwani Uhuru wa Tz/Taifa hili Umeletwa na mmoja tu?! Hili hawalioni kama ni Tatizo la Ubaguzi/Kutuga Wananchi na Taifa Kwa Ujumla. Nashawishika kudhani na kusema Mzee hayupo Pekee Bali Nyuma ya Pazia huenda wapo wengi wanaomshika Masikio na kumshika Mkono Kumuongoza na kumpa Ujasiri huo nae bila kuupima anaripuka hadharani kama mtu alokumywa Gongo/Pombe bila kujali Madhara ya Maneno yake. Tuangalie Rwanda, Congo nk. Chamsingi nduguzetu Wakristo zingatieni Maandiko yenu Kivitendo, "Mpende Jirani wako kama unavyoipenda Nafsi yako" isiwe kuitamka na kuibeba tu Biblia Kwapani/ktk Begi.
@ramadhanhassan9308 Жыл бұрын
Pumbavu tu
@yusuphrashidi-dr1kb Жыл бұрын
Huyu mzee udogoni mwake itakua alishawahi kufirwa
@hajiramadhanihaji355 Жыл бұрын
Huna sababu ya kutukana.
@isiaka7930 Жыл бұрын
@@hajiramadhanihaji355 i second you...udini ndo unaomkera
@jacksonpriva7664 Жыл бұрын
Uwezo wako ndogo sana wa kufikili
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
@@isiaka7930 Pamoja na hayo, tukumbuke hapa Yupo Adui wetu Ibilisi wa Kijini na wa KibinAdam anataka tuungane nae tupotee Kupitia Mzee na chanzo Cha yote hayo nk. Hivyo tuwe makini na lbilisi tujihadhal na Comments ziegemee ktk Kujenga zaidi na si Kubomowa/kutengeneza Chuki na Mifarakano
@simonnaivasha63938 ай бұрын
J Huna sababu ya kuandika matusi huna hoja kaa kimya.