JAMAA ALIYENING'INIA HEWANI KWENYE JENGO LA MAAFA DAR AZUNGUMZA NA RAIS SAMIA.

  Рет қаралды 113,056

GADI TV

GADI TV

Күн бұрын

Пікірлер
@nazmadamani7803
@nazmadamani7803 Ай бұрын
Mama ni mama tu Allah akulinde mpendwa na akuzidishie moyo wa Imani daima ameen. Kwa kitendo cha kuwatembelea wagonjwa Umetufariji Watanzania.... ❤
@alexkonza4506
@alexkonza4506 Ай бұрын
Nimefarijika sana , Mh Rais kuwatembelea wahanga na kujua hali zao , Asante sana Mh Rais.
@EmmaKirua
@EmmaKirua Ай бұрын
Mama nakupenda sana munguakupe maisha marefu,umefanya vizuri kutembelea wahanga ,walio lazwa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Alhamdulillah mama Mungu akupe Barka na afya njema uweze pia kutuongoza kwa salama!Mungu awaponye wahanga,na walio tukota Mungu awalaze pema peponi (ameen) kupata wasaa tunawaombea,mama asante ubarikiwe
@JuliethNemes
@JuliethNemes Ай бұрын
Mungu wetu unaweza mambo yote,Asante kwa uponyaji,hongera sana Rais wetu kwa kujali hivi,Mungu akupe maisha marefu❤
@PriscaMwakifuna
@PriscaMwakifuna Ай бұрын
Mungu akulunde mama yetu kipenzi pamoja na Jeshi lako waziri mkuu mkuu wa mkoa pamoja na waokozi woote mbarikiwe saana
@EsterShehiza
@EsterShehiza Ай бұрын
Upendo wa mama ni unconditional ...... ❤
@KENYANQUEENOFFICIAL
@KENYANQUEENOFFICIAL Ай бұрын
Mama ni mama ata awe mwendawazimu 😢😢😢😢😢,❤❤❤❤ nipitieni guys
@Globalpeace123
@Globalpeace123 Ай бұрын
Tunawaombea wote uponyaji wa haraka na Mungu awabariki na awalinde Tunawaombea madaktari na manesi wote Mungu awabariki awalinde awaongoze daima Katika jina la Yesu Amen
@UmmiMohamed-r4u
@UmmiMohamed-r4u Ай бұрын
Kumuona mama tu tayari wamejiskia kupona mungu atubarikie rais wetu amzidishie iman na upendo amin
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Ай бұрын
Mama,you are the Queen ,God bless you,upate maisha marefu
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 Ай бұрын
Hongera Sana mama Samia kwa upendo
@KhalifaOmar-sg7rb
@KhalifaOmar-sg7rb Ай бұрын
Kiukweli mama anajitahidi sana sema hakuna mwema wa wote lazima kutakua na watu watakusema vibaya hata kama utakua mwema
@annajohn175
@annajohn175 Ай бұрын
Asante sana Mungu wetu ....Asante mh Rais ..Poleni sana Mungu awaponye Asante sana daktari wangu Lemeri uliwahi okoa maisha yangu najua wako mikono salama Mungu awabariki
@godfreynoah6450
@godfreynoah6450 Ай бұрын
Kama unampenda mama tujuane kwa 🎉
@Graceyusuphh
@Graceyusuphh Ай бұрын
Mungu akubariki mama Samia, hakn mkamilifu umejitahid sana kwa nafasi yako mama🎉🎉🎉🎉❤
@BernadethaKamagi
@BernadethaKamagi Ай бұрын
Mama mwenye upendo mwenye huruma mwenye kujari mwenyezi mungu akulinde
@AdrophinaBosco
@AdrophinaBosco Ай бұрын
Mama yetu mzuri Mungu akutunze, unajua kujali na kuthamini hapo umenifrahisha mnoo, hakuna jambo jema kama kumtanguliza Mungu, ubarikiwe mnoo mama❤
@mwanaashajuma
@mwanaashajuma Ай бұрын
Ma shaa MAMA YETU KIPENZI MUNGU akuzidishie mapenzi na huruma. NAKUPENDA SANA. MUNGU AKULINDE, AKUPE AFYA NJEMA UZIDI KUTUTENDEA WEMA WATANZANIA. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE. AMIIN
@dn.n4983
@dn.n4983 Ай бұрын
Poleni sana wagonjwa pia masjukuru sana Rais wetu kipenzi kutoa uduma kwa wananchi pia madakatari manurse Mungu hawabariki wote Mungu ibariki Tanzania
@catherinefaney948
@catherinefaney948 Ай бұрын
Tunakushukuru Mungu wetu Kwa yote anayotutendea, tu awaombea ndugu zetu uwape neema ya uponyaji na waliofariki Kwa ajali hii,uwape pumziko la amani,wafiwa uwape Roho ya kukutumaini wewe tu.sifa na utukufu tunakurudishia Mungu wetu.kipekee nashukuru sana Serikali yetu ikiongozwa na mama Samia,Kwa jitihada zao katika kuwaokoa ndugu zetu.Mungu endelea kutupa VIONGOZI wenye Imani na wananchi wao, waongezee hekima watuongozo Kwa haki na upendo. Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Tanzania yetu.
@manaseyona9260
@manaseyona9260 Ай бұрын
Asante sana mkuu wetu wa inchi. Kuchukua hatua yakuwajali wahanga . Mungu akupenguvu daima sote tunaiman nawewe
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi Ай бұрын
Mungu awaponye wote walopata na .majanga ya haya muheshimiwa raisi wetu mama yetu tunakupenda
@Georgemselyamwaluko
@Georgemselyamwaluko Ай бұрын
Mungu akubariki sana mama Kwa kuwatembelea wahanga na kuona haja ya kumsaidia huyo mwanafunzi.
@JudithMshana-n3k
@JudithMshana-n3k Ай бұрын
Mama mungu akubariki haya nimajaribu tuu ya yatapita najua ukiwa kama mwanamke umejiskia uchungu sana kwa wananchi wako kutokana na jaribu hili lakini simama imara na mungu atakuona nguvu .mungu atasimama na Tanzania yetu
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x Ай бұрын
Najivunia serikali yetu kujali watu wote na kuwalipia pesa za Matibabu, inatia moyo sana, Asante Muheshimiwa Rais na Uongozi wako.🙏🏻🙏🏻
@rhoidakilangi5316
@rhoidakilangi5316 Ай бұрын
Hakika ni jambo jema sana na la kiungwana Mungu wetu ampe maisha marefu Raisi wetu❤❤
@SAKINALUJENJE
@SAKINALUJENJE Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde na kukufadhili Mheshimiwa Rais wetu MAMA Samia una huruma Mashaallah❤
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
Mama kwenye kuwaasa wamuombe mungu umenena neno zuri sana❤❤
@PiliJoseph-n2e
@PiliJoseph-n2e Ай бұрын
Mungu akubariki Rais wetu pamoja na wote waliyoshiriki kuwaokoa ndugu zetu wa kariakoo
@janecharo1196
@janecharo1196 Ай бұрын
Aki mama Samia umenitoa machozi sana kwa hilo ulilo fanya kwa wana raiya wako múngu akubarik Sana.
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
Jane, ni kama mimi tuu. Upendo na huruma za rais zimenifanya machozi kulengalenga.
@janecharo1196
@janecharo1196 Ай бұрын
@augenmagabila3081 aki huyu anajua kuingia leba inaumaje maana sio kilà mwanamke kujua watoto wa wengine mbali na urais Wake mtunzeni sana huyu. mmi kama mkenya naona matunda, na upendo wake kwa wa Tz.
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
@@janecharo1196 Inapendeza mno kuwa na Rais wa hivi, tuendelee kuwaombea Viongozi wetu wa nchi na wa Kiroho ili adui asiwanyang'anye hekima yao na upendo wao kwa Watanzania. Tuwasiliane Jane😏
@ramadhanifakikombo4010
@ramadhanifakikombo4010 Ай бұрын
Assante sana mh RAISI kwa kua nasi begakwabega katika ili janga ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@ZATIUNISaidi
@ZATIUNISaidi Ай бұрын
Tunakushukuru sana mama yetu mpendwa❤
@mariamussa-w2x
@mariamussa-w2x Ай бұрын
Asante mama❤❤❤
@hamidanatu2834
@hamidanatu2834 Ай бұрын
JazakaAllahu kheri Allah akujalie kila lenye kheri nawe
@MariamJumanne-ri1mc
@MariamJumanne-ri1mc Ай бұрын
Mama yetu Allah ampe umri mrefu 🤲🤲
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Mama huyo mama yetu… mungu amzidishie kheir mama yetu Roho yake tofauti na wengine miaka 5 tupo pamoja
@abishaikibona-dk4rg
@abishaikibona-dk4rg Ай бұрын
Tunakushukuru Sana Tena sana mama yetu Tena Sana,Mungu akubaliki sana,Ninakupenda kama mama,Ninapokuona napata hisia za mama yangu, Kwaiyo mama ni mama tu,Ila Mungu awe pamoja Nawe,pole kwa yote,
@suleimanali6939
@suleimanali6939 Ай бұрын
Assalamu Alaykum Warahmatu LLAHI Wabarakaatuhu NATAMANI SIKU MOJA MAMA SAMIA ANITEMBEELEE NA MM NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH S.W. KWA HURUMA ZAKO MPAKA NATAMANI KULIA NAKUOMBEA KWA ALLAH S. W AAKUHIFADHI NA MAHASIDY WOTE... 😢😢 😢😢 😢😢
@MO12-b1q
@MO12-b1q Ай бұрын
Dah mama ni mnyenyekevu sana nimependa sana Serikali ni Serikali tu 🇲🇿🇹🇿🙏🙏
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 Ай бұрын
🙏🙏🙏,hongera mama,
@EsterLipamba
@EsterLipamba Ай бұрын
Barikiwa sana mama Samia❤❤❤
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 Ай бұрын
Nakupenda sana mama mh Rais Samia suluhu hasan ishi ukibarikiwa sana mama yetu kipenzi
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi Ай бұрын
Aya sasa mama kawatembelea , mlisema sana khaa , mtapona MUNGU MWEMA
@SalumJingu
@SalumJingu Ай бұрын
Allah awajalie afya njema in shallah.
@FghgRyy
@FghgRyy Ай бұрын
Subhana Allah 😭 inauma sana poleni sana
@joshuayasolo4199
@joshuayasolo4199 Ай бұрын
Nilikuwa namchukia Samia but kwanzia leo nimempenda sana tena sana,Raisi wa inchi kuchukuwa time na kutembelea raia wakawaida hivyo kuwaongelesha kwa unyenyekevu sana,sio kwa kila kiongozi wa ngazi za juu yaweza fanya hivyo Asante Mama Samia Mungu Akuongezee myaka ya kuishi kwa unyenyekevu huwo huwo na kumcha Mungu 🙏
@KomboHamad-e3t
@KomboHamad-e3t Ай бұрын
Uchaguzi umekaribia
@setiseti5281
@setiseti5281 Ай бұрын
Alhamdulilah
@FaymaSaidi-l7d
@FaymaSaidi-l7d Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mummy
@myfuraha936
@myfuraha936 Ай бұрын
Mungu awaponye majeruhi wote. Mama umeonesha upendo
@RehemaMwampashi-n8t
@RehemaMwampashi-n8t Ай бұрын
Poleni sana😊😊
@Graceyusuphh
@Graceyusuphh Ай бұрын
Cjui nalia nini😢😢😢 ila Mungu wewe ni Mkuu sana🙌🏻😭😭
@janethelly4986
@janethelly4986 Ай бұрын
MUNGU MWEMAA🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 Ай бұрын
Mungu ni mwema Sana.Mungu Ibariki Tanzanzia
@annasamo1587
@annasamo1587 Ай бұрын
Mama ni mama Mungu akupe umri mrefu
@neemasamwel
@neemasamwel Ай бұрын
Nakupenda mama
@romanaromilus2997
@romanaromilus2997 Ай бұрын
Barikiwa sana mama Yetu
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki mama Samia
@NeemaNzilano
@NeemaNzilano Ай бұрын
Poleni kaka anguuu Mungu n mwemaa
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 Ай бұрын
Mungu awajalie mpone mrudi kwenye afya yako
@EsterShehiza
@EsterShehiza Ай бұрын
Poleni sna ndugu zangu Mungu atabaki kuwa Mungu na tutaendlea kusimulia matendo yakeeee
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Ай бұрын
Allah is great
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 Ай бұрын
Nashukuru sana Rais Kwa mwanafunzi huyo,
@nyilayusuph5315
@nyilayusuph5315 Ай бұрын
Asante mama Allah akulipe sanaaaa
@gracebura7401
@gracebura7401 Ай бұрын
Mtu wa shukran
@ImeldaMdibwa
@ImeldaMdibwa Ай бұрын
Mungu awape uzima wapendwa wetu
@StanzMakau
@StanzMakau Ай бұрын
Madam rais Mungu akulinde,,naomba kua raisi mwizi wa Kenya anawatch vile raisi anapaswa kukaa
@NdamaJeuri-v5m
@NdamaJeuri-v5m Ай бұрын
Poleni sana mungu yuko nasi😊
@ashamkenga6072
@ashamkenga6072 Ай бұрын
Mama ake sie❤❤
@abishaikibona-dk4rg
@abishaikibona-dk4rg Ай бұрын
Kiujumla tunatoa shukrani zetu zote kwa viongozi wetu Wapendwa,na jeshi letu kiujumla na wale wote walioshiliki Ili zoezi la uokoaji mpaka matibabu kwaadokta na manesi wote Mungu awabariki sana,Watanzania ndivyo inavyotakiwa tuishi kama Familia,Imependeza sana kuona viongozi wetu kubeba jukumu kwa ukubwa na kujali,Mungu awasaidie na kuwalinda kwa Hali Yoyote,Tuishi kwa upendo jamana Tunataka nini tena"
@lucaskagoma7605
@lucaskagoma7605 Ай бұрын
Mama Miaka mingine mitano Kwa watanzania woote
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Ай бұрын
Safi sana mama
@RukiaShomvi
@RukiaShomvi Ай бұрын
Mana mwenye uluma ubarikiwe na mungu
@limimaduhu1907
@limimaduhu1907 Ай бұрын
Mama ansantee kwa moyo wa huruma mungu akubariki
@ednampulule1847
@ednampulule1847 Ай бұрын
Mama. NI mwema mwaaaa mamaangu samiaa ishi miaka miaa
@bleziboniphace2090
@bleziboniphace2090 Ай бұрын
Poleni sana Mungu atawaponya
@ifonlyiknew619
@ifonlyiknew619 Ай бұрын
Huyo mwamba anato Maji Mengine anaweka kando anaacha Mengine au ni Brand inatakiwa Kuwa Hapo
@pvansong_tz4690
@pvansong_tz4690 Ай бұрын
Ndio, kilimanjaro ni neno la kivutio au alama moja wapo YA TANZANIA, MLIMA
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Huyu jamaa hilo tunaita ni wenge hakuna lolote
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Hakikaaa ​@@PrinceHendry-hp8vv
@salometabu100
@salometabu100 Ай бұрын
Mungu aendelee kuwaokoa na wengine
@mariammariam5723
@mariammariam5723 Ай бұрын
Mungu anatupenda sana vimbe vyake
@hiridasamwer7929
@hiridasamwer7929 Ай бұрын
😢😢😢😢😢
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Ай бұрын
Mungu awasaidi mungu awajaalie mpone
@ismailadan556
@ismailadan556 Ай бұрын
Mama ana huruma mungu akulende
@Fundnlly
@Fundnlly Ай бұрын
Mungu atawaponya
@MwanahalimakisuluKisulu
@MwanahalimakisuluKisulu Ай бұрын
Nimefajrijika kwa furaha na machozi na pia nimeshukuru kusikia huyo mwanafunz atarudia mitiani yake maan nilikuwa nalifikiria sana hili😢🙏
@SadaHasimu
@SadaHasimu Ай бұрын
Allah atawapambambania inshaallah
@celenamduda3417
@celenamduda3417 Ай бұрын
😢😢mwenyez mung ni mwema Kila wakat
@TatuMkeso
@TatuMkeso Ай бұрын
Alihamdulilah
@FridaAsamisye
@FridaAsamisye Ай бұрын
Natamani ningekuwa karibu nikunguse mama nashukuru kwa yote ayo. MUNGU akuongezee maisha marefu
@EglahNyabweke
@EglahNyabweke Ай бұрын
Barikiwa sana mama
@MwitaKihugi
@MwitaKihugi Ай бұрын
Mama samiah ana roho nzuri sana jmn🥰
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
Utakuta wakipona hawaokoki wala kumshukuru mungu kwa makuu aliyowatendea
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Hkwakwerri MUNGU AWAPE UFAHAMU
@YunisJerald
@YunisJerald Ай бұрын
Shkmoo mama yetu mpendwa shkmoo sana mama
@kibikirosebel1022
@kibikirosebel1022 Ай бұрын
MUNGU awaponye majeruhi WOTE 😢
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s Ай бұрын
😢😢
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 Ай бұрын
Mungu anaezà kukuonesha adhabu yake ilivo chungu tumuogope mungu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Hakuna cha Mungu hapo,jengo limejengwa vibaya kwa nini tumtuhumu Mungu😂
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 Ай бұрын
atuhumiwe mkrugenzi wa manispaa ya ilala ndiye aliyebariki ujenzi wa jengo (certificate of occupancy)
@MwanahalimakisuluKisulu
@MwanahalimakisuluKisulu Ай бұрын
Kwwhakika, na ni mwingi wa huruma pia
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 Ай бұрын
Watu wanasaahu mungu mpaka anawakumbusha kwa vitendo
@dullahbaba
@dullahbaba Ай бұрын
Hongereni japo kichwa Cha habari tofauti na habari iliyopo
@aishaabeid2099
@aishaabeid2099 Ай бұрын
Yaani🙌
@irenemichael
@irenemichael Ай бұрын
Wajinga Hawa Bora ayo mkweli
@prosperkiria6383
@prosperkiria6383 Ай бұрын
Mwisho kabisa amezungungumza na Rais kweli
@zee2teacher941
@zee2teacher941 Ай бұрын
Tunamshukuru Mungu sana
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Ай бұрын
Halaf baada ya kupona unakuja kumkashif mama samia kama anavyo fanya tundu lissu wakati maskini mama ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kwenda kumuona nairobi hospital..
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Ай бұрын
Yahni
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 Ай бұрын
Maisha marefu kwa mama samia
@TheopisterCornel
@TheopisterCornel Ай бұрын
Natamani kuonana na wewe mh mungu akulinde daima
@KilimoMichael
@KilimoMichael Ай бұрын
Mhe. Unafaraja mpaka mm mtazamaji nafarijika ubarikiwe umenishawishi 5 tena
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
CHIEF GODLOVE APEWA SIKU TATU / HATUTAMWONA  TENA.
11:27
Ngasa Tv
Рет қаралды 30 М.
MASHA LOVE AVUJISHA 'CHAT', WATEJA WALIVYOMTOSA KISA NIFFER
8:04
Wasafi Media
Рет қаралды 45 М.
Athari za Utawala wa U'Sultan wa Zanzibar kwenye Mwambao wa Pwani ya Kenya-Makala ya Kwanza.
18:23
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН