@@mmarandu2417 Awatake radhi askari kwa kuwagombeza.Uaskari ni unyama ni KUUA kuiba kutumia nguvu katika kulinda dola
@aristideskilawe502429 күн бұрын
Huyu Suzanna alistahili kuwa IGP. SAMAHANI KAMA NITAKUWA NIMEWAKWAZA WENGINE.❤❤❤
@BoniphasLucas-j6x28 күн бұрын
Kabisa awe Igp wanchi hyu mama
@kwisa489928 күн бұрын
Kwakigezo kipi,Askari wote wanatakiwa kutekeleza weredi
@EmmaculateGembe28 күн бұрын
Wala hujakwanza ni sahihi kabisa atakaekwazika huyo hana hofu ya Mungu
@stevenemwakasimba-pt8er27 күн бұрын
Upo sahihi
@nyamisimbaonlinetv975726 күн бұрын
Uko sahii sana
@LuganoMwalwembe29 күн бұрын
Upo vzr dada hv umekulia mazabauni au wazazi wako walikulea vzr sana
@edsonnelson446429 күн бұрын
Madhabau si hoja sema malezi kuanzia utotoni hilo ni la msingi sana
@venancemwanya421227 күн бұрын
Dada wasije wakakuteka
@Clever-l8v27 күн бұрын
Madhabahun amekulia pope
@SmilingBakedBread-no2do26 күн бұрын
😂😂
@hadijatwahadossa29 күн бұрын
Hongera sana mama..Mungu akuweke......sahihi kabisa waambie...wamatumia vazi na siraha kulazimisha rushwa
@NicodemusNkiami29 күн бұрын
Hongera dada uzalendo, weledi wa kazi yako, na kujua maana ya jeshi la police. Unafaa kuwa IGP ili tulete historia uonyeshe jeshi linavotakiwa kuwa na kunyosha tabia,
@pastorgodwinchengula784828 күн бұрын
Tayari haiwezekani maana tayari ameshachomolewa kwenye system ya jeshi...eti anapewa ubalozi 😢😢
@Ndu-wa.uroony228 күн бұрын
Kuwa IGP hakuji kwa jambo la kawaida kama hilo
@SimonMwita-k8s26 күн бұрын
Huyu mwanamke police.kazi ya police haiwezi sababu amesimamia hao police tu.angefa aongeleshe hao police wenyewe sio mbele ya wanainchi nikuhaibisha jeshi la police Kuna Mambo ya ndani kwa ndani kwa police sio kuongea vibaya inamana amesimamia police wahalifu
@peacemwesiga29 күн бұрын
Afande Zuzy Kaganda Mungu akupe maisha marefu yenye baraka ni Mungu amempa moyo wa haki .kujali.kusaidia .habagui askari Mama Rais naomba awe IGP au itakavokupendeza❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@pastorlazarosamwelkilala579528 күн бұрын
Eeeh
@DastanMoris26 күн бұрын
Uyu ni muhaya makini sana
@judicalosika764225 күн бұрын
Wengine siyo makini sana, haya na ukabila unatoka wapi!@@DastanMoris
@Auntybetty_tz20 күн бұрын
Sio mungu ambariki tu bali ampe ulinzi mkubwa. Ukweli badhi ya askali wa jeshi la polisi ni Wala rushwa wakubwa nchi tena kwa mabavu na vitisho vikubwa kwa wanyonge. MH. Raisi angalia Hawa askari.
Hongera sana mama wahenga walisema sina muhali na Adui.
@HamdanAmli29 күн бұрын
Ahsante mama apo nimekupata kwenye 1point5❤
@dallasmusic646529 күн бұрын
Wakipatikana 20 kama hawa Tanzania🇹🇿 inarudi kwenye utu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sophiaommy834328 күн бұрын
Hata kumi tuuu MUNGU atatusaidia
@EmanuelApollo-th1tp28 күн бұрын
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanywa na viongozi tena wakubwa kwenye vitengo nyeti hadi huwa nawapa na huko duniani kuko hivo😊😊
@stevenemwakasimba-pt8er27 күн бұрын
20wengi sana sena10tu!!kwa upana wa mitandao inch itakua sawa
@loishiyesamwel137429 күн бұрын
Huyu Dada ni askari kamili, ni wachache sana hawa.
@victortarmo157628 күн бұрын
Hongera Sana mama zusan nitakuombea kwa mungu uwe IGP
@marryngaiza206129 күн бұрын
KAMANDA YOU ARE GOOD
@saiditasher836228 күн бұрын
Mungu akubariki kwa ukweli watakuwekea sumu kuwa makini
@NyerereWomen28 күн бұрын
Hongera mama afande. Nakuombea kwa Mungu daima
@SaidCannal28 күн бұрын
DADA yupo vizuri sana inafaa hawe GIP
@Aziz-p6s25 күн бұрын
IGP wa sasaivi ni nani jina
@HamisiAbdallah-vu7fz29 күн бұрын
kipindi hiki ukiwa mtenda haki unaondolewa kwenye nafasi yako Jerry slaa alifanya KAZI nzuri Sana wizara ya ardhi ameondolewa
@judyngowi39128 күн бұрын
Mimi mwenyewe sizielewi kabisa teuzi za awamu hii? Ni kama sandakalawe
@Tariqxxtenations27 күн бұрын
Wee katolewa ee😢😢
@judyngowi39127 күн бұрын
@radhiasalum7156 kamtoa, leo kaapishwa kuwa balozi
@Tariqxxtenations27 күн бұрын
@judyngowi391 daa nafasi ile ilimfaa mno
@suleimansoud278326 күн бұрын
Kapewa nafasi nzuri nyengine
@KosovoNaiiem29 күн бұрын
Hongera sana dada mungu akubariki sana
@PascalMsafiri-x1f29 күн бұрын
🇺🇲🇺🇲🇺🇲 afande afande mungu akubariki. fika kigoma police wanasumbuwa sana
@yonasimion313029 күн бұрын
Excellent sister
@HenryAmos-hu2eb21 күн бұрын
Hongeara sana mungu akutangulie kwenye majukumu ya taifa kwa uzalendo wako
@angellomarcel567729 күн бұрын
Big up sana Kamanda KAGANDA
@KuruthumBilali28 күн бұрын
Congratulations ❤❤❤God rewards you afande
@ClemenceNyoni28 күн бұрын
Wazungu wanasema " IF YOU COVER-UP FOR SOMEONE'S MISTAKES THEY BECOME YOURS" Kama kuna mtumishi anakwenda kinyume mnapaswa kufanya kama hivyo tu... Safi Sana afande.... Hongera Kwa ujasiri...
@AndrewShiratu29 күн бұрын
Safi dada.ww ndo ulipaswa kuwa IGP.kuliko hizo kenge zipo tu na zinaona maovu ndani ya jsh la police na zimekaa kimya tu.
@chanenemkali164628 күн бұрын
Wengine waige kwako. Hongera dada. Happy to give you anything you want to make you transform the Force.
@roudhamahmoud76328 күн бұрын
Mungu akulinde dada
@ambitiousholyspirit39527 күн бұрын
Ahsante mama Kwa kauli nzuri jeshini ubarikiwe wengine wanapokea order kutoka juu
@BakariSadiki-f8n27 күн бұрын
Mungu akupe umri mrefu Kwa Hilo uliongea dada mungu akuinue
@chalokalunde942929 күн бұрын
Huyu afande awe IGP Pamoja na ubalozi.
@revocatusibrahim743325 күн бұрын
Very powerful sentences ever🕺🏻💃🏽 Go viral leader
@hildajoseph219127 күн бұрын
Hongera sana mama kwa maneno mazuri sana kuna chakujirekebisha hapo askari.
@shadowmedia764426 күн бұрын
Daaaah yaaaan umeongea ukwelii kabisa Mama yaaan wewe upewe KANDA MAALUM M1AN UNAONGEA FZCT MUNGU AKUBARIKI MKUU BLESS BLESS BLESS SANA
@JosephManala28 күн бұрын
Wananchi tuhitaji jeshi lenye weledi mungu akupe maisha marefu
@dr.peterlombiso768628 күн бұрын
❤ I love u sana mama, Mungu akulinde sana
@SmilingCityMap-xb9md29 күн бұрын
Mungu tusaidie sana
@rithaurassa29 күн бұрын
Pokea MAUA yako Wananchi tumekuelrwa saaaanaaa barikiwa sana na Mungu dada🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hakika huyu Askari anafaa kwenye jamiii.
@Amos-f2m29 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LinusMbeye28 күн бұрын
Hawa watu hawadumu
@rashidommy386126 күн бұрын
Dada Hongera sana Kwa kuwambia ukwel hongera sana, wana mambo ya ajabu sana
@GodfredAlfredNgarama28 күн бұрын
Wewe unasifa kabisa za kuwa asikari wetu mungu akujalie maisha marefu, maasikari wengine ni majizi kama majizi wengine tu.
@sophiamubila28 күн бұрын
Big up dada mara ya kwanza kuona askari mwenye hofu ya Mungu akukumbuke tena akupandishe viwango vingine
@MwamendySalumu-qb8rz27 күн бұрын
nikweli kabsa sister mungu akuogeze maono❤❤❤❤
@temuramadhani513428 күн бұрын
Hongera Sana kua na msimamo, wako, ndio Mana jeshi ra polisi linazalalika,
@ndinzeissa477828 күн бұрын
Hivi mama wewe umesomea wapi tanzania kweli na kupa mauwa yako kabisa umelelewa ila peleka upo vizuri sana hongera sana kwa kekemea maombi juuya hao asikari mienasema mungu akupe maisha marefu mimi binafsi hongera
@PeterMalugu-j3h24 күн бұрын
Safi sana upo sahihi .....
@chezariboy25 күн бұрын
Sauti ya wengi ni jicho la Mungu,, Suzi Kaganda Mungu akusimamie Mimi sjasikiliza maneno na matamko Yako saana ila nimepitia comments za watu na mawazo ya wengi sana nimekuta hakuna anaekulaani ila wengi wanakubariki na kukupenda kwa weledi stahiki mpaka wanakupa u IGp endapo wangekuwa na mamlaka.. Hilo tu Mungu yupo nyumba Yako kwa mambo ya HAKI. Barikiwa sana.
@mwiruiddi6526 күн бұрын
Very painful n kwamba polisi wanafanya hadi unyanganyi wa ardhi za wananchi wa tz😢😢
@HmashaAlly-m6h24 күн бұрын
Naomba nambazako Afande yani umenikuna sana sana
@masikitikomwakyonde125927 күн бұрын
Hongera sana dada ili uwe kiongozi mzuri lazima uwe na HEKIMA.
@shukurumushi630927 күн бұрын
Walikuchelewesha kupata hii nafasi ila namwamin mungu ndio kakupa hii nafas dada fanya kaz yako vyem mungu akawe mbele yako❤❤❤
@ZahabuZahabu-l9c28 күн бұрын
Hongera sana afandi mungu akulinde
@MahmoudJaffar-mt1qr27 күн бұрын
Kwa nchi mama tunajua kwa ujumbe huu utaachishwa kazi ila ujumbe umefika n.a. uko vizuri Mungu akulinde kaenda
@ernestsinje970028 күн бұрын
Yupo vizuri sana
@uwezawamungumkuu.amaniafrika29 күн бұрын
Wewe ni polisi au?. Mungu wetu akupe kibali mbele zake kwa uelewa wako. Amen.
@YahayaKiobya12 күн бұрын
Askari kama Hawa bado wapoooooo . We Binti ni mfano katika utumishi hasa Polisi. Hongera sana mama.
@EmmaculateGembe28 күн бұрын
Mungu tu akulinde ndugu yetu maana duniani wanasema ukweli hawapendwi
@shantungamaumba715928 күн бұрын
Really a brave patriotic woman soldier
@LucasK-h4x29 күн бұрын
Hapo xaxa tutawaelewa we mama unayajua majukumu hongera na pongezi kwako
@bishopjacobomwaigaga29 күн бұрын
Afande suzzy Hongera sana kwa utumishi wako wa Haki jipe MOYO sana watakuchukia lakini utashinda
@FarajisaadKhalfan29 күн бұрын
Dada mzalendo,mkiwa 30 wa hivo rushwa inatokomea.
@godwinkileo770227 күн бұрын
Jeshi zuri la polisi liko Rwanda tu, polisi wa Tz anakwambia live kua atakuuzia kesi😢😢😢😢inasikitisha sana
@RutiMasaryk27 күн бұрын
Apandandushwe cheo tafazali🙏👌👌👌👌👌👌
@AdrianDastan29 күн бұрын
Nakukubali sana kamanda ulipo kua tabora raia tuliinjoi sana na bodaboda walikula bata maana haiwezekani police anaenda barabarani kusubilia pikipiki na bunduki ni aibu kubwa
@joshuamshange535528 күн бұрын
Mungu akulinde daima kweli dada umeongea
@johnnkelebe736029 күн бұрын
Kuna Askali polisi wana ueledi sana ila hawapewi nafasi kubwa kuwa IGP sijui kwa nini.
@HellenNkwera29 күн бұрын
Nilichongundua mama atakii mtuu anayetendaa akii ndiio maana uyoo dada katolewaa maana kajuaa yatafuchuka mengii😢😢
@judyngowi39128 күн бұрын
Yaani wewe mimi si ndio nimeshangaa eti kapewa ubalozi, sijaelewa mama yetu huyo anahitaji nini kwa watendaji wake, mbona mtu akifanya vizuri anahamishwa?
@EmmaculateGembe27 күн бұрын
@@judyngowi391 hata mimi sielewi kwa kweli Mungu wa Mbinguni atusaidie maana ee hatima ya nchi yetu tumwachie Mungu pekee
@paschalsafari974728 күн бұрын
Dada Mungu akulinde.....wewe ni askari mwema..
@EngeneerSiasa28 күн бұрын
Kwa ulichoongea afande sijawai kulia Leo machoz yamenitoka umeongea kwa uchungu unawapenda raia wako mungu akulinde akupe nguvu akupe uhai mrefu mungu akubarik sana. Amin
Asante sana mama.. Haswa mkoani Rukwa, Katavi yaani wananyanyasa watu mnooo especially Warundi. Wanawafunga masaa na masaa huku wakiwa na passport ambazo zimegongwa vzr
@ZiggysebahZiggysebah28 күн бұрын
Huyu askari yu na Mungu. Daima hautabaki nyuma.Utainuliwa hadi ushangae.kweli tupu 💯
@AbdulNuru-z8b26 күн бұрын
Asant mama ubarikiwe sana wamezidi sana
@festokemibala583229 күн бұрын
Dada hongera umeonyesha kilichomo moyoni alichokuwekea Mungu. Naona leo unapelekwa nje ya nchi means umewakera nini? Kisu kimegusa mfupa, eeh!! Mimi bado niko kwenye wizi wakura
@tabutabu890027 күн бұрын
Safi sana mungu azid kukutunza mama❤❤
@MedardMushobozi28 күн бұрын
Hatupingani na MHE RAIS Lkn Huyu alitakiwa kubaki jeshini na kupewa nafasi kubwa zaidi ya aliyokuwa nayo
@kheriakida330928 күн бұрын
Wanaosema kweli na kusimamia haki wote wanatafutiwa pa kwenda, nashindwa kuelewa tatizo nini
@JohnMsafiri-v8s27 күн бұрын
Ubarikiwe sana afande wetu wanyooshe hawa viumbe wazito
@AlexKinunda-j9l28 күн бұрын
Mama ya kipenzi rais wangu mama samia nakupa 95% kweli jicho lako linaangaza ukitaka kufanya uteuzi .Yaani huwa naona uteuzi zako kweli mwenyezi alikupa upeo uho.Kwanza natoa shukrani zangu kwa kazi kubwa unayofanya ili kuliweka taifa letu kimataifa.Najua wapo ambao watakusema sana lakini sisi raia wako tuko nje ya tanzania tunaona upigaji wako wa kazi.Nijuavyo mimi hayupo binadamu aliyekamilika asilimia 100% kila mtu anamapungufu yake.Ombi langu kwa kwa Rais huyo afande mwangalie na jicho lako lautezi maana kaongea point kubwa sana kati huduma zinazo fanywa na maazi ya police wetu
@alexanderchacha858528 күн бұрын
Wewe ni mzalendo wa Kweli mama Mungu akutie nguvu katika majukumu Yako endelea kumuomba Mungu akusimamie Katika Kazi zako❤
@FIDELISMfugale29 күн бұрын
Amina MUNGU AKUTIE NGUVU UCJE KUWA KAMA WENZIO
@LaurenceAgustino-v9x29 күн бұрын
Asante sana umeongea mambo ya maana nchi hii ni wachache kama wewe .
@Judy-dy4zt29 күн бұрын
Asante dada kua makini watakuhua
@AwaShaban29 күн бұрын
Mungu atamlinda 🤲🤲
@Auntybetty_tz20 күн бұрын
Afande Suzany,,umebarikiwa kuliko Askali polisi wote
@MohamedSleyim27 күн бұрын
An incredible lady police officer who has touched our hearts and minds.
@DpN-rk8xz26 күн бұрын
Nikweli jamani Mungu hakulinde kwa kweli huyu anatakiwa Nobel UBARIKIWE sana
@aidaharuna554927 күн бұрын
Safi sana ww askali ingawa maaskali siwapendangi kwa sababu ya unyanyasaji mpk naongeaga askali atapata ufalme wa mbiguni kumbe kuna watu wema
@MusaSembui29 күн бұрын
Huyu ndiyo askari ageteuliwa hata ukuu anaweza ni mtu wa maana
@AzizaMengwa-wg5ik27 күн бұрын
Hongera sana piga kazi umsaidiemama samia
@Husseinndogo26 күн бұрын
Kamanda Asante mungu akulinde najua umeongea ukweli
@daudiYuta29 күн бұрын
Aminaaa samia hyu awe IGP
@philomenastephen336429 күн бұрын
SIASA TU.
@alexnyigo886429 күн бұрын
Munguu awabaliki sanaa
@magrethsengati256428 күн бұрын
Polisi wetu wakiwa kama kamanda susan dah Tanzania patakuwa salama sana ila mambo yanavyo endelea tuko dailema tuombee Taifa letu na watumishi wote wa serikali❤❤❤❤
@abbassalum682427 күн бұрын
Uko vzr lakin pekeyako hutoweza majambaz serekalin ni wengi naapo wanakusikiliza tu yanaingilia huku yanatokea kule
@amirabdallah282728 күн бұрын
Yote hayo yanatokana na sababu za rushwa na siasa za upande mmoja nchini Tanzania!! 😮🎉
@mozesamizi93128 күн бұрын
Afande uko sahihi huo ndio weredi,lakini umechelewa sana!!! Askari wanaoomba rushwa kwa lazima Tanzania ni asilimia 94, sasa utafaulu?,sijui Mungu akusimamie!