Daah! Mchungaji nakosa hata chakusema yaani hili somo kuna sehemu nimeyaona kbla hata haujalifundisha hili 😢Mungu akubariki maana kujitambua ni jambo la maana sana tutulie sana kwenye maombi vijana wako ili Mungu atupatie watu sahihi masihani mwetu na siyo kukimbilia ndoa tu uvumilivu na usitahimilivu unahitajika sana. Kuna wengi wamekata tamaa na kuingia kwenye ndoa kutokana na familia pengine rafiki zake wameoa au kuolewa bila kufikiria ni wapi anapoelekea ndoa siyo tu ya kudumbukia inahitajika maombi ya nguvu sana na kuwa karibu na Mungu bila hivyo ndoa nyingi zinakuwa na migogoro sana pia haswa kwa sisi mabinti unakuta ndoto zetu zinazima tunashindwa kuzitimiza kwa sababu tumeolewa na watu ambao siyo sahihi maishani mwetu. Barikiwa sana Mchungaji Ernest hakika napaswa kujitambua na kutambua wapi naelekea na ninataka kuwa nani God bless you 🙌