Nilimwamini Mh. Mbowe nilipitiliza nakumfananisha kuw ni zaidi ya Mwl. Nyerere nilimkosea Sana Mwl. Nyerere Mungu anisamehe Sana.
@gracekagoma32316 күн бұрын
Chade m a imesimama bila lissu.
@gracekagoma32316 күн бұрын
Lissu alipokuwa ulaya nani alikiongoza C h adema😮
@bonnymakuke31536 күн бұрын
@@gracekagoma3231Aliongoza lisu ukouko ulaya kwa akili Yako unazani kuongoza kitu mpaka uwe Tanzania!! Mzungu Alisha aliisisha Mzee ni mambo ya kubofya2 Kila mtu anapata taarifa!
@hemedbamja31976 күн бұрын
Kama hayo yanayosimuliwa ni kweli,basi tatizo ni chama kizima.haiwezekani chama ambacho watu wake wamejinasibu kwa muda mrefu kuwa ni "akili kubwa" wakikosoa mifumo ya uendeshaji ya CCM"kuwa ni akili ndogo",halafu yote hayo yakafanyika mbele yao kwa miaka kadhaa
@MartinLawi-w8z6 күн бұрын
Nimeona Tundu Lisu Anafaa Hata CCM wanamwogopa Lisu. Naomba Tuelekeze Nguvu Kamanda Lisu Apite
@b.truthful6 күн бұрын
Usha sema mkuu
@ladislausriwa77686 күн бұрын
CCM ipi inayomwogopa chiba
@ziddyziddy25246 күн бұрын
Duh hii inaitwa ukimwaga mboga namwaga ugali
@Peterchipemba6 күн бұрын
Lissu akipita uenyekiti hawezi kubomoa tofali za chadema,,ila lissu akianguka uenyekiti ata bomoa tofali nyinga za chadema,,alisha saema chadema sio mama yake,,
@SA-xj8hc5 күн бұрын
Chama cha Wakenya😢
@Leodimk-n5c6 күн бұрын
Huu ni wakati Lissu anahitajika kuliko wakati wowote akomboe hz hela ili walau viongozi wa mikoani waanze kulipwa posho
@FrankMwakatundu-cu6bd6 күн бұрын
NILIMWAMINI SANA MH. MBOWE NA KUMLINGANISAHA KUWA NI ZAIDI YA MWL. JULIUS K. NYERERE KUMBE NILIKUWA SIMTENDEI HAKI MWL. NYERERE, MUNGU ANISAMEHE KWA HILI!!! MWL. ALIYE KUFA MASIKINI KWA UWAMINIFU MKUBWA KWA CHAMA CHAKE NA KWA TAIFA LAKE!!! HATA AKAPAITA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU. NA HUO NDIYO UKWELI NA NDIYO MAANA UKISAHAKUWA RAIS LAZIMA UAPE KWA MUNGU, JAPO WENGI WANAAPA KWA KUMDHIHAKI MUNGU ILA MUNGU HADHIHAKIWA KAMWE!!! OLE WAO. WAHENGA WANASEMA ACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPOVUJA, SASA UCHAGUZI WA M/KITI TAIFA WA CHADEMA UMENIONESHA UDHAIFU MKUBWA WA MH. FREEMAN MBOWE. MH. MBOWE NIMEMLINGANISHA NA MCHEZAJI BORA SANA LAKINI NI MCHOYO WA KUTOA PASI HATA KWA MCHEZAJI BORA NA YUKO KWENYE NAFASI NZURI YA KUFUNGA GOLI LA USHINDI LAKINI ANATAKA AKAFUNGE YEYE TU JAPO ANAJUWA HAWEZI KUIPENYA NGOME IMARA YA ADUI YEYE ATANG'ANG'ANA TU AKAFUNGE YEYE, HUYO NDIYE MH. MBOWE NI HARARI!! IGA KWA NELSON MANDELA MIAKA 27 HAIKUFANYA AONE NI LAZIMA AWE RAIS WA AFRIKA YA KUSINI ALIKUBALI KUWA RAIS WA KIPINDI KIMOJA TU BAADAYA KUMSIHI SANA!!!
@kingj96066 күн бұрын
Vizuri, aliye kwenye kamati na mkuu wa kamati ya maadili ni Tundu Lissu, so labda ana ufafanuzi kwenye haya, kama ulipeleka, kwa formal complaints?
@kingj96066 күн бұрын
Kama unaweza kuropoka haya mbele ya kila mtu, nawaza kama ungepewa wewe idara ya IT, pengine unge vujisha hivi records kwa ccm. Maana kipindi kile kila mtu alikuwa anafika bei kirahisi. Na ilikuwa ngumu kujua haraka nani ni nani. Je kuna data breech as of today?. Pili, anayehusika kwenye maadili ya chama kwenye hili ni makamu mwenyekiti, so Lissu alifanya nini baada ya kuletewa malalamiko haya kama kweli yalikuwepo?. Maana tunajua Mbowe alikuwa jela, na hii kama ilikuwepo ilikuwa chini ya mamlaka ya makamu mwenyekiti.
@ErastoMaridadi6 күн бұрын
Kwa madudu haya mangi anajenga chama?hatuoni yupo sana kulinda masrahi binafsi?
@King_Of_Everything6 күн бұрын
👍✌️👊.
@rebekakulwa61596 күн бұрын
Nyie fisiemu. Mpite kule tunaenda na lisu
@SilveryMasalu6 күн бұрын
Ndiyo maana watu wanajitolea kuongoza chama miaka 20!
@masijamajogoro72316 күн бұрын
Duh😢
@gwakisaisote69416 күн бұрын
Nguvu
@gracekagoma32316 күн бұрын
Acheni Uchawa.Lissu siyo malaika😮
@IssaMohamed-mp4hj6 күн бұрын
Au nawewe ni mkenya mnaupiga mwingi kwa tz
@dogodogo5956 күн бұрын
Kwahiyo Chadema sio chama cha watanzania ni cha wakenya au vp. Yaani hamuwaamini hata wananchi wenu halafu munataka kuongoza nchi! Nyie ndio mtatuuza mchana kweupee... hamfai kabisa! 😂
@HassanAthuman6 күн бұрын
Political
@halimamasai22346 күн бұрын
Lakini ukweli ni kwamba Mbowe lazima atashinda tu iwe mchana au usiku 😂😂😂
@b.truthful6 күн бұрын
Hayo ni yako tuliza boli usiwe na pupa pengine kuwe na mbinu fiche
@halimamasai22346 күн бұрын
@ Haya We subiri utaona
@josephmantago28376 күн бұрын
Ccm mmezoea wizi chadema hyo hkuna
@halimamasai22346 күн бұрын
@ kwani sasa uchafu wenu si ndo umeja mitandaoni wizi wa kila kitu na kura lazima mbowe ashinde kufa basi siku hiyo CCM wapo imara hawatetereki kita shika dola mpaka kieleweke
@SilveryMasalu6 күн бұрын
Haya yote hata mchungaji Msigwa kayalalamikia akatishiwa kupelekwa mahakamani, mpaka wa leo hawajampeleka
@halimamasai22346 күн бұрын
Nili Comment Hapa kuhusu Msigwa watu waka kejeli Msigwa si mwendawazimu alichoongea sasa kina kuja nje pole pole Asante Msigwa
@salama11136 күн бұрын
Kitalam inaitwaje hii? 😂😂😂
@ulomirabiel69806 күн бұрын
Hivyo mnakijenga au mnakibomoa. Wote wajinga!
@SilveryMasalu6 күн бұрын
Chadema, Chadema, Chadema, uuuu!
@richardmbwambo57226 күн бұрын
We don’t need any of your nonsense We are tired of now.
@josephmantago28376 күн бұрын
Jibu ni mh Tundu hkuna spea hta urais ndo pekee anafaa kutuongoza wengine wasubiri mh Lisu aitengeneze nchi ili iwe rahisi kuongozwa hata wajinga kwani mifumo ikiwa mizuri itawaongoz wajinga
@gadielmungure97116 күн бұрын
Lisu apimwe akili yake. Haiwezekani mtu akaye nje ya nchi miaka zaidi ya SITA. Amerudi Sasa anapambana kuuwa chama Kwa kuropoka ropoka
@SephaniaMsigwa6 күн бұрын
We msenge huna maana kwa taifa hili
@matiredms9176 күн бұрын
Nakubaliana na Wewe mia kwa mia haswa.
@masijamajogoro72316 күн бұрын
Giza zinapokuwa kubwa asubuhi imekaribia. Wajumbe wanasikia, wanaona, ole wao wajichetue akili
@ErastoMaridadi6 күн бұрын
Wanapiga pesa chini tunaambiwa tujitegemee mifukoni,wajumbe kaondoeni uchafu huu makao makuu