KESI YA UCHAGUZI: MAHAKAMA YABARIKI TAMISEMI KUSIMAMIA/ YAKANA INEC KUWA NA NGUVU ZA KISHERIA

  Рет қаралды 1,298

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Сағат бұрын
Ndiomaana mimi uniambie uchaguzi au kuchagua mwaka huu, ila hongereni kwa hatua mlio Ichukua hamnadeni mbele za Mungu.
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi 54 минут бұрын
Asantee mahakama Kwa tamisemi uchaguzi. Wanaokata rufaa wakateee
@matiredms917
@matiredms917 Сағат бұрын
Mtangazaji acha ushabiki. Hili siyo la kusema Tamisemi yaibuka kidedea. Maslahi ya Wananchi hayawezi kufyekuzwa na mahakama zinazopotosha HAKI ili kufurahisha Watawala. Waandishi wa Habari muwe sehemu ya Wananchi badala ya kushabikia mambo ambayo yanafifisha haki na utawala wa sheria.
@VenaEliki
@VenaEliki Сағат бұрын
🎉yaan hii nchi watoto na wajukuu zetu watakuja kuyachapa makaburi yetu kweli sisi ni mapoyoyo
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 сағат бұрын
Pole Tanzania.
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry Сағат бұрын
Waziri alikuwa anatunga na kusimamia kanuni na kusimamia uchaguzi kulikuwa hakuna sheria ya tume huru ya uchaguzi, BUNGE LILIACHA KUFUTA SHERIA KWA MAKUSUDI. ILA WANANCHI TUTAJUA CHA KUFANYA.
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 3 минут бұрын
Ni muda wangu mwafaka wa kustaafu kupga kura Tanzania iwe uchaguz wa serikali za mitaa au uchaguz mkuu
@JosephIsanzu-g1r
@JosephIsanzu-g1r Сағат бұрын
Haki iko Kwa mungu pekee.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 сағат бұрын
Jaji ameteuliwa na yule aliyeteua Waziri. Katika Mahakama ya ndege,mshtakiwa au mlalamikaji akiwa panzi hawezi kushinda shauri lake !! Bila Katiba imara kama ile Rasimu ya Katiba ya Warioba mambo yataendelea kuwa hivyohivo bila ufumbuzi.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 23 минут бұрын
Jamani mahakama inashikiliwa na laisinye mnafikili tunaweza kutobowa
@ephraimsaimon3125
@ephraimsaimon3125 Сағат бұрын
Serikari n Ninitamisemi ni Nini na mahakama ni Nini ondoa neno wanainchi.
@Kazera-y2w
@Kazera-y2w 6 минут бұрын
Vip mwambukusi nae kalamba asali zile kelele hatuzisikii kwenye hili
@zephaniachibaya2894
@zephaniachibaya2894 2 сағат бұрын
Hapo nisawa nimekuelewa mwanasgeria WA serikali uko vizuri
@deniseliuter3002
@deniseliuter3002 2 сағат бұрын
Kuandika tuh ni shida
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Сағат бұрын
Sheria ilitungwa ili ifanye kazi gani?!!!!!! kuharibu karatasi na wino na kumchosha mchapaji.😡😡😖
@DesderusMrosso-oh5dz
@DesderusMrosso-oh5dz 49 минут бұрын
Sijaelewa mahakama Haina mamlaka katiba inasema mahakama ndio chombo chenye mamlaka ya juu sijamuelewa jaji kapigiwa sm kweli tatangamia jaji hana wajukuu
@zakaria924
@zakaria924 Сағат бұрын
Mtajua mlikuwa hamjui, hizi ndizo Mahakama za Bongo!
@rizwankiaze9264
@rizwankiaze9264 Сағат бұрын
Watafanya yote lkn siku ikifika watatoka wenyewe chawa wakipungua
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Сағат бұрын
NAFIKIRIA MUDA NA POSHO ZA KUTUNGA SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI🤣🤣😄😃😌
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Сағат бұрын
Nyie mawakili waselikali machawa tu hizo sheria simmeona kunamaslai yenu
@Barakaveresi
@Barakaveresi Сағат бұрын
Mahakani hakunaga tena muhimili1 umemeza miimili mingine
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 2 сағат бұрын
😢😢😢😢
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 58 минут бұрын
Mahakama ni ya rais Je Wangepingaje😂😂😂 Piga kura yako cdm Okoa bandari
@zephaniachibaya2894
@zephaniachibaya2894 2 сағат бұрын
Nimekielewa mwasheria WA serikali
@rizwankiaze9264
@rizwankiaze9264 Сағат бұрын
Simu moja tu lzma ushinde
@SelfathumanMisere-te6kg
@SelfathumanMisere-te6kg Сағат бұрын
Watanzania hatutapiga kura hakuna haki
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 Сағат бұрын
Mlitegemea nini
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 сағат бұрын
Shida nyingne ya nchi yetu wananchi mambo ya muhim kama hayo hata hawaoninkuwa niyafwatilia na kutoa maamuz yan kesi hiyo hiyo ingekuwa kenya hahaa ila tutafk tu
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 Сағат бұрын
Haki ikwa mungu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 сағат бұрын
Haina meno ni maelekezo tu
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
Kama kawaida yaani kumeoza
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza Сағат бұрын
Nilisema mtapigwa na kitu kizito au sikusema? haya bhana
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi 53 минут бұрын
Nimefurahi Kwa hukumu hiii
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
🚮
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 88 МЛН
RAIS SAMIA ATAPUUZA KILIO HIKI CHA WATOTO WA MAREHEMU?
10:14
SK Media Online TV
Рет қаралды 733
NALIMI &FRIENDS
36:47
Nalimijoseph Tz
Рет қаралды 3,9 М.
PADRI KITIMA AWAJIBU WANAOSEMA WASICHANGANYE DINI NA SIASA
12:23
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН