Рет қаралды 2,177
Mama Bikira Maria anamshukuru Mungu kwa Utenzi safi na tulivu. Anatufundisha kumshukuru Mungu kwa kila jambo huku tukijitabilia mema katika maisha yetu. Karibu kutazama na kutafakari.
WIMBO : MWENYE NGUVU
MTUNZI : ANSBERT NGURUMO
MWIMBAJI : JAMES MBOYI
ORGANIST : HAYMON NGAIZA
PRODUCER: INNO PRO
AUDIO & VIDEO : INNO PRODUCTION